KWANIINI SWALA ZINGINE TUNASWALI KWA SAUTI NA ZINGINE HATUTOI SAUTI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024
- MASWALI NA MAJIBU KILA SIKU YA MWISHO WA MWEZI NA USTADH KHATIB OMARY, ULIZA SWALI LAKO KUPITIA 0765 586 868 SHEIKH ATAKUJIBU BIIDHILLAH INSHAALLAH
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2023
KARIBU DARASANI KILA SIKU YA IJUMATATU MPAKA AL KHAMIS BAADA YA SWALA YA ADHUHURI MASJID AL JUMAA, KITUMBINI
Mashaallah
Shekhe mmmmh
Sheikh au sheikheena umeongea bila elim
Tujibu wewe basi ndugu yetu mwenye elimu
@ZaynWalad ukiona mtu hapend kukosolewa ujue ilo ni tatzo Haina dalili hapo rud ukasoma acha kujivisha kot la ushehe
Hapo unazungumzia mambo ya dini bila elimu.....
Jib ya suali ulilo ul zwa sijakufaham bado maelezo ya jib ulilotoa na suala ulilo ulizwa liko mbali kidogo
Twaomba clip nyengine ya jawab la suali lilo point mojw kwa moja
Ni kwanini baadh ya swala tunatoa saut na nyengine hazitilewi saut na nn hekm yake?
Majibu hayana dalili.....
😂 kwani kila tunachofanya ktk uislam kina dalili. Ukishaona unataka dalili, ni jawabu hujasoma. Si kasome tu fiqhi
Punguzeni ujahili huyu mtu ni mwanachuoni.
Maelezo ya dhaahir kabisa.
Namuuliza huyu shk alipata wapi hio jawabu ...hekma ya swala za siri na jahiri..
Kutufu kando ya alkaba bega likiwa nje ..na kutembea kw haraka ile mizunguko mitatu ya mwanzo..tupe umenukuu wapi kitabu gani ? Mwanachuoni gani ?