WALIFANYA JARIBIO LA KUMUUA SHEIKH ABUL FADHWIL MAFUTA حفظه الله تعالى, SHEIKH ASIMULIA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 25 วันที่ผ่านมา +2

    Allah akuhifadhi sheikh wetu Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema inshaallah

  • @MussaMussa-ph6wm
    @MussaMussa-ph6wm 20 วันที่ผ่านมา

    Aamin.
    ALLAH awahifadhi Masheikh zetu.
    Kisha daima TUNAMUOMBA ALLAH AFYA NA ULINZI NA THABAAT

  • @ibrasaid9256
    @ibrasaid9256 หลายเดือนก่อน +7

    ALLAH AMHIFADHI SHEIKH WETU KIPENZI NA AWAHIFADHI MASHEKH WOTE WA KISALAFI KWA UJUMLA KATIKA NCHI YETU HII NA EAST AFRICA KUTOKANA NA SHARI ZA WAOVU, NA ATUTHIBITISHE SISI PAMOJA NA WAO KATIKA HAQQ MPAKA SIKU TUTAYOKUTANA NA MOLA WETU

  • @abdulsalaam5166
    @abdulsalaam5166 23 วันที่ผ่านมา

    Allah akubaarik shekhe wetu.na shari za Mahaasidi wa Manhaji Salafy

  • @AbdiShemndolwa
    @AbdiShemndolwa 25 วันที่ผ่านมา

    Allah akuhifadh shekh wetu

  • @RamadhaniOmary-x6u
    @RamadhaniOmary-x6u หลายเดือนก่อน +3

    MaashaaAllah! Allah akuhifadhi sheikh na awahifadhi waislam woote popote walipo

  • @zaydamos874
    @zaydamos874 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana sheikh Qassim mafuta Allah akupe umr mrefu sana

  • @BakariBinuri
    @BakariBinuri หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi shekhe mafuta

  • @RamadhaniOmary-x6u
    @RamadhaniOmary-x6u หลายเดือนก่อน +2

    MaashaaAllah! Allah akuhifadhi sheikh wetu

  • @user-ry3uz7ni6b
    @user-ry3uz7ni6b หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu atakuhifadi na dawah itasonga mbele

  • @DossaAbuzufaila
    @DossaAbuzufaila หลายเดือนก่อน +1

    naam Allah akuhifadh na shari zao

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 หลายเดือนก่อน

    Allah awaifdhi masheikh wetu wooote waki salafi Allahuma Amiy

  • @abulhusseinmpare-yw3dn
    @abulhusseinmpare-yw3dn หลายเดือนก่อน +1

    Allah akukinge na shari zao

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x หลายเดือนก่อน +1

    Hii audio ni ya muda gani?

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 18 วันที่ผ่านมา

    Usalafi jadida ni uzandaqa

    • @hamzajuma6830
      @hamzajuma6830 12 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe nae likichwa lako sijui limejaa makamasi!! Unajua maana ya salafia jadida au unatopokwa tu baada ya kujaza tumbo lako

  • @azizaj776
    @azizaj776 หลายเดือนก่อน +1

    ACHENI , KOMENI , muwe na khofu na MOLA Mtukufu kwa kusema uongo, waongo wakubwa nyie toeni taarifa polisi ifanye uchunguzi tujue mbichi na mbivu au tinaihifadhi hii clip ili tuikabidhi Jedhe la polisi lifanye uchunguzi tujue ukweli

    • @abulfidaassalafiyyah
      @abulfidaassalafiyyah  หลายเดือนก่อน

      @@azizaj776 ndugu yangu sikiliza maneno vizuri acha chuki na baadhi ya watu

    • @user-kd1vp7cz5w
      @user-kd1vp7cz5w หลายเดือนก่อน

      Alafu wewe mshezinzi kumbe polisi ndo nini

    • @tariqsinga8440
      @tariqsinga8440 หลายเดือนก่อน +2

      Kumbe hata haufaham uwe unauliza basi, hili tukio lilitokea 2014 na polis wanalijua na walimuhoji Sheikh Zanzibar na Dar es Salaam pia na kuna kijana mmoja ambaye kipind cha nyuma alikuwa na hizo za kikhawarij lakin siku alipohudhuria Muhadhara wa Sheikh Arusha akaachana na hzo fikra rafik yake ndio alihusika na kulipua bomu yeye ndio aliyetoa taharifa kuwa anafahamu aliyefanya hilo tukio na akahojiwa polisi na wakafuatilia mawasiliano ya huyo mtu ktk simu na wakaona mipango yote ilivyokuwa na akakamatwa.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 หลายเดือนก่อน

    Abuu muwayia mbona ulikataa kufanya naye mjadla!!! Shekh wetu why so!!

    • @tariqsinga8440
      @tariqsinga8440 หลายเดือนก่อน

      Maneno ya Maulamaa yapo wazi kuhusiana na mkataba wa Muhammad Imaam aliouingia na mashia makhuth Yemen, ktk mkataba huo Muhammad Imaam anasema sisi na mashia ni ndugu, Dini yetu ni moja, kitabu kimoja, Mtume wetu ni mmoja, adui wetu ni mmoja nk Waulamaa wakamtahadharisha na makosa yapo waz, Sasa baadhi ya Maulamaa wakampa udhuru Muhammad Imaam lakin ktk elimu ya jarhu wa ta'adiil kuna msingi unasema jarhu yenye dalili yaan jarhu mufaswar inazingatiwa kuliko ta'adiil sasa sembuse udhuru? Na yeye Abuu Muawiyah anafahamu huo msingi nenda katembelee page yake ya Facebook uone post aliyotuma mwaka 2017 July akieleza hayo masuala ya jarhu mufaswar angalia page yake yenye jina la Abuu Muawiyah A Lsalfy, sasa Sheikh Qassim Mafuta alisema hawez kukaa na yeye kuzungumzia hizo kadhia kwa sababu maneno ya ulamaa yapo na yeye kiarabu anakijua vzur sasa wajadili kitu gan?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x หลายเดือนก่อน

      @@twaibumikidadi7377 Yashapita hayo!!!

  • @RamadhaniOmary-x6u
    @RamadhaniOmary-x6u หลายเดือนก่อน +1

    MaashaaAllah! Allah akuhifadhi sheikh wetu

  • @RamadhaniOmary-x6u
    @RamadhaniOmary-x6u หลายเดือนก่อน +1

    MaashaaAllah! Allah akuhifadhi sheikh wetu