Mungu Akulinde sana Rais wetu. Na nikupe pole sana kwa Majukumu Magumu sana Uliyonayo yakutatuwa kero za Watanzania.Mimi nashindwa kuelewa watendaji wanakwama wapi!!!,Wanakuumiza kichwa hivi!!!,kweli kutengeneza Gari la wagonjwa linakuwa shida.watuchukuwe Mafundi Mtaani waone. Yatapona yote.
Hatari sana ! JPM jembe langu kazi unayo! Wananchi wako umewapa ujasiri wa kujieleza mbele yako! Wanakuamini sana wewe unaewapa wananchi nafasi ya kukueleza ukaelewa! Unaamini wananchi wako! Kuliko viongozi uliowaweka! 🙏🏾 Mungu azidi kukuinua!
R.I.P kitu kinachoniuma sana nikutokupigia kura 2020 Inaniuma sana, ingawa 2021 Nilianza kukupenda na kukuelewa shida moja tuu nikuchelewa kukuelewa "Pumzika mzee" ninajifunza
Mh anafanya kazi sana tatizo watendaji wake. Yaani hadi kutengenezwa gari mpk raisi asimamie si awafukuze wote wasiowajibika wasomi wapo kibao mtaani hawana hta ajira
KARIBU KUTAZAMA IBADA YA JUMAPILI YA LEO 02.08.2020 KUTOKA HAPA OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS- KWA MTU WA MUNGU NABII SS ROLINGA, MBEZI BEACH DAR ES SALAAM PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL HII UBARIKIWE, GUSA LINK HII CHINI th-cam.com/video/rZFezSp_1zM/w-d-xo.html
Ninachompenda JPM Mwananchi Akizungumza tu Hata kama Akizungumza Kwa daraja la darasa la saba Chap Chap anamuelewa Kwamba Kuna Jamba fulani Huyo Mwananchi Anamaanisha
Yaani Rais wetu alivokuwa serious,hadi mlinzi wake anasitasita kujieleza mbele yake,asante sana Rais wangu,hivi ndivyo tunavyotaka sie wananchi wako wanyonge
That dude lamenting about water "maji tatizo" without elaborating further was not even polite in his tone. Some people lack basic manners of talking. The Late JPM is an ever hero and an excellent role model, not only for Africa, but the whole world. RIP.
Hongera sana Mh Rais unajitahidi sana na lengo lako tunalielewa ila wakati mwengine kua na subra kidogo unatisha sanaaa hata ninapokuangalia najaa hofu
Jaribu sana ndugu zangu kutumia nafasi ,pili angalie na mtu mnaeongea nae.na ww unaongea vip,hakika huyu ni rais wa pekee.mungu ampe maisha marefu raisi wetu
hili gari nikisema lije hapa litakuja? hapana mkuu, wewe unagari? hapana, mkurugenzi yuko wapi? yupo dar ameenda na gari lake, kuanzia sasa gari ya mkurugenzi ianze kubeba wagonjwa mpaka watakapotengeneza ambulansi 👊👊
Uwezo wako wa kufikili ndio unao kusumbua tangu lini Raisi alipo tatua shida za watu kwa njia za haki akalaumiwa? mfano kama hili la leo nani kamlaumu?
@@adrophwilliam3225 ndege si mlimlaumu pale ubungo alivyokuwa anavunja majengo ili ajenge daraja si mlimlaumu leo daraja limekamilika mnaanza kumsifia nw ndege zinaleta mapato zmechukua ndugu zetu toka china kwa ndege mlizo sema watu hazitusaidii
Magu na gari moshi mara atasema amerogwa, nchi mmeinajisi hakuna chochote zaid ya usanii milio 31 pesa ya (madafu) sasa mvua zikinyesha waizime mashine watumiye maji tope?.. Tatizo serikali imelaniwa hakuna kitakachokuwa. Mnatowa pesa mbili za madafu zitafanya nini buree tu.
Umelaaniwa weye na ukoo wako bila shaka... Ni ujinga wa kiafrika kudhani kila jambo mnaloshindwa kuwajibika nalo kuwa ni laana, na laana iko Africa tu. Acha uwehu
th-cam.com/channels/9rRQdZ2IHlqMgvv1OJBqIQ.html *Ndugu, Jamaa,Rafiki ..watoto kwa wakubwa naombeni support yenu kwa kwa Ku like na Ku subscribe channel yangu hii kwa kubonyeza link hapo juu 👆🏻👆🏻kupata Nyimbo nitakazo zitarajia kuzitupia hivi karibuni pamoja na video za fani mbali mbali kutoka kwangu.Ahsanteni sana🙏🏻 na Mungu awabariki saana 🙌🏻*
Am from Kenya lakini nikikumbuka kifo cha Magufuli huwa ninanusurika sana...very painful to us as Africans 😢
Asante Sanaa Baba magufuri Mw/MUNGU akujalie maisha marefu Zaid 🙏 🙏🙏 🙏
Daah hakika wewe ulikua Rais wa kweli😭😭😭😭pumzika Kwa hamani baba
😢😢😢 Tanzania yangu
Mungu Akulinde sana Rais wetu. Na nikupe pole sana kwa Majukumu Magumu sana Uliyonayo yakutatuwa kero za Watanzania.Mimi nashindwa kuelewa watendaji wanakwama wapi!!!,Wanakuumiza kichwa hivi!!!,kweli kutengeneza Gari la wagonjwa linakuwa shida.watuchukuwe Mafundi Mtaani waone. Yatapona yote.
Duuu raisi wetu Mungu akutunze upo vizuri sana mmmmm
Natumai Somalia tutawaikua na rais kama Rais maghufuli🙏🇸🇴♥️
Nyie mlimfanyia fitna hussen Adid
@@hamadshein498fitna?? aje kakangu??
In sha Allah.Allah Awafanyie Wepesi.
Hussein Shabani Mungu atawapatia
@@teychriss3248 Mungu ni mwema kwa kila jambo jema.
Jamani huyu rais anafanya,kazi xna,yaan anauchungu na maendeleo ila baadhi ya mawaziri kichefuchefu na wakurungezi na DC wapo wapo tuuuuuuu
Hatari sana ! JPM jembe langu kazi unayo! Wananchi wako umewapa ujasiri wa kujieleza mbele yako! Wanakuamini sana wewe unaewapa wananchi nafasi ya kukueleza ukaelewa! Unaamini wananchi wako! Kuliko viongozi uliowaweka! 🙏🏾 Mungu azidi kukuinua!
now days hali ni mbaya daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Daah!!! Missing sana hii kazi ya anko. RIP dad /comrade JPM 😢
Dawasco Tanesco Kila kitu yeye dah Mungu akubariki🙏🙏
Kupata rais kama huyu itachukua muda sana Tanzania Mungu naomba msamehe dhambi zake pia utusamehe na wengine tulio hayi
Ila hapa john alicheza kicuba kwenye majibu.😂😂
Nakubali xna mkli taariza za uhakika your super nice
Magu :kwahyo hlo gari linaweza kauja hapa
Ccm : HAPANA haliwezi kufika😀😁😁😁😁
Nakupenda Sana Rais wetu 2025 Mungu Atupe Tena Mtu kama wew
daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Amka mzee magufuri taifa limekua la hovyo huku
Naomb like sote tuliangalia mwaka 2023
Mungu akusaidie magufuri
Alhaji hoyee 🇰🇪
I like Mr President God bless you and give you strong health
nataka gari la mkurugenzi likawe ambulance likabebe wagonjwa.... MAGUFURI HOYEEEE 😁✌
R.I.P kitu kinachoniuma sana nikutokupigia kura 2020 Inaniuma sana, ingawa 2021 Nilianza kukupenda na kukuelewa shida moja tuu nikuchelewa kukuelewa "Pumzika mzee" ninajifunza
Pole ndugu yangu
Magufuli kamanda aiseeeh
Yaani huyo kaka anahasira kweli, ana mrudishia kesi kwa m Rais 😂😂😂😂. Rais Magufuli oyee eee 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Fanya kazi baba unaweza.
Embu Rais niambie inakuwaje hapo,, yaani hadi raha🤣🤣🤣
@@elibarikinelsonnsenga3949 🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
Atakua Chadema huyu
Mh anafanya kazi sana tatizo watendaji wake. Yaani hadi kutengenezwa gari mpk raisi asimamie si awafukuze wote wasiowajibika wasomi wapo kibao mtaani hawana hta ajira
V8 iwee🚑🚑🚑chap
KARIBU KUTAZAMA IBADA YA JUMAPILI YA LEO 02.08.2020 KUTOKA HAPA OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS- KWA MTU WA MUNGU NABII SS ROLINGA, MBEZI BEACH DAR ES SALAAM PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL HII UBARIKIWE, GUSA LINK HII CHINI
th-cam.com/video/rZFezSp_1zM/w-d-xo.html
Sichokagi kumsikikiza huyu Mwamba ila na mshukuru Mungu kwa yote Maana hata kwa hili atabaki kuwa Mungu Jehova
Ninachompenda JPM
Mwananchi Akizungumza tu
Hata kama Akizungumza Kwa daraja la darasa la saba
Chap Chap anamuelewa
Kwamba Kuna Jamba fulani Huyo Mwananchi Anamaanisha
BIASHARA 8 ZA KUFANYA CHUONI
(gusa link 👇👇👇 kutazama)
th-cam.com/video/bejUDJKRa00/w-d-xo.html
Yaani Rais wetu alivokuwa serious,hadi mlinzi wake anasitasita kujieleza mbele yake,asante sana Rais wangu,hivi ndivyo tunavyotaka sie wananchi wako wanyonge
Naomba uniambie mheshimiwa ,, unamkubuka komba,, naomba unijib mheshimiwa. Rais huyu ni tunu. Mlinzi wake mwenyewe amepata tabu kujieleza
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁wabongo noma
Nameless Unknown Noma sana yani
Huyu ni zaid ya mwanajeshi
Mungu mjali rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya tano
Angalia hapa makala ya #King #Mswati na mila za kuoa mademu bikra.
th-cam.com/video/iTG1_mr2Pf0/w-d-xo.html
th-cam.com/video/iTG1_mr2Pf0/w-d-xo.html
Mungu amlinde Tundu Lissu
That dude lamenting about water "maji tatizo" without elaborating further was not even polite in his tone. Some people lack basic manners of talking.
The Late JPM is an ever hero and an excellent role model, not only for Africa, but the whole world. RIP.
Hongera sana Mh Rais unajitahidi sana na lengo lako tunalielewa ila wakati mwengine kua na subra kidogo unatisha sanaaa hata ninapokuangalia najaa hofu
Kazi yako inafaa sana
Jaribu sana ndugu zangu kutumia nafasi ,pili angalie na mtu mnaeongea nae.na ww unaongea vip,hakika huyu ni rais wa pekee.mungu ampe maisha marefu raisi wetu
Uyu msemaji muislamu uyo duh! Kama nyaya haziko sawa
Unazingua sasa unaona alivyoekeza alupewa nafas kwenda kunyenyekea m2 au kueleza
Magu magu ilabasitu hakuna namna
Baba yetu kazi unayo hao ndio wananchi wako wanauchungu Sana tusaidie sisi wanyonge.
Mjomba magu kamshusha usalama duuh
Wanafunzi wote pita KWENYE CHANNEL yangu yapo MENGI mazuri uta yapata
hili gari nikisema lije hapa litakuja? hapana mkuu, wewe unagari? hapana, mkurugenzi yuko wapi? yupo dar ameenda na gari lake, kuanzia sasa gari ya mkurugenzi ianze kubeba wagonjwa mpaka watakapotengeneza ambulansi 👊👊
Lol mungu azidi kumuongoza uyu mzee
Natamani nikuelewe...
Gari ya Mkurugenzi!! Bado watendaji hawajakuelewa kwamba kipaumbele chako ni mwananchi wa chini kupata huduna
Wananchi sio watu wazuri kabisa.Daah wanakuchoma huku onaona😂😂
Mafuriko yalichimba hadi makaburi mwaka huu
Baba una kazi sana ...
Inatakiwa sijui
Maguuuuu
Gari ya mkurugenzi ndoo iwe ambulance duuuuuuuuuu
binafsi nimengundua kumbe upinzani nikupinga kila kitu, pia inakubidi usione mazuri anayoyafanya mtawala wako yote ni kupinga tu.
Uwezo wako wa kufikili ndio unao kusumbua tangu lini Raisi alipo tatua shida za watu kwa njia za haki akalaumiwa? mfano kama hili la leo nani kamlaumu?
@@adrophwilliam3225 yanayonisumbua mengi sana, sio tu uwezo wa kufikiri.
@@adrophwilliam3225 ndege si mlimlaumu pale ubungo alivyokuwa anavunja majengo ili ajenge daraja si mlimlaumu leo daraja limekamilika mnaanza kumsifia nw ndege zinaleta mapato zmechukua ndugu zetu toka china kwa ndege mlizo sema watu hazitusaidii
Mzee magufuli bwana sasa walinzi wako mbona unawachanganya hawatakiwi kushughulika na mambo mengine zaidi ya kukulinda wewe.
Analindwa na Mungu.Binadam Awezi kumlinda Mtu.Binadam Anakusaidia Usisumbuliwe na Watu.
Hussein Shabani safi
Kwani kawauliza wote??? Si amemchukua mmoja tu kati yao.
duuh kweli hapo mzee magu kakutana na wendawazimu
Lakini jamaa nimemkubali Sana kwani anajiamini na kingine jamaa kuna Jambo kalificha ndo maana akamwambia chunguza mwenyewe
Magu na gari moshi mara atasema amerogwa, nchi mmeinajisi hakuna chochote zaid ya usanii milio 31 pesa ya (madafu) sasa mvua zikinyesha waizime mashine watumiye maji tope?.. Tatizo serikali imelaniwa hakuna kitakachokuwa. Mnatowa pesa mbili za madafu zitafanya nini buree tu.
Umelaaniwa weye na ukoo wako bila shaka...
Ni ujinga wa kiafrika kudhani kila jambo mnaloshindwa kuwajibika nalo kuwa ni laana, na laana iko Africa tu. Acha uwehu
Huyu jamaa kama anaongelea mkundu
sasha 2020 ni milioni 91
Uyu Sasha ni shoga
Yaan ciwaelewi kabisa wanavyojielezea
Rais kawaelewa
safi sana salma soso
@@josephmanyama435 oya manyama henry hapa
Mh.raisi ana uwezo mkubwa wa kuwaelewa Wana maanisha nini
@@martinemasanja1633 fact
Huyu Mjomba magu ni hatari
Rais mpambanaji kiongoz wa wanyonge
Magufuli 😅😅
Millard ayo low quality
Nakubari
Kweeli baba wanakuchanganya,kwani,kila,kitu raisi,afanye? Kwanii viongozi wangazi zachini kazi zao,nipi?
Changamoto za maji ata Wilaya ya Masasi zimeenea kata ya Chiwata tunakunywa maji ya kushea na wanyama wakati mito iko mingi na maji yako mengi
Magufuli nikugombezwa kwa kwenda mbele na wananchi lol @4:50
Lakini sasa utajuaje mafuriko yatatokea ilhali mvua za mwaka huu zilikua zakushtukizia.
Sio kujua mafuriko walitakiwa kutoa hzo mashine baada ya kuona mvua kubwa
@@bone102 . Wakati mwingine mvua hunyesha usiku ukiamka kila kitu kime sombwa
Wanainchi wabaya Kama wajumbe ukiwatendea ubaya wanakupa ubaya nakupenda San Rais wangu Mungu akutunze maisha yote
😂😂😂😂😂😂😂😂
😭😭😭
Tatizo ni uongozi mzima ivi tengeneza hayo magari jamani hadi huruma kwa rais
Huyu DC kafanana na jengua daah
th-cam.com/channels/9rRQdZ2IHlqMgvv1OJBqIQ.html *Ndugu, Jamaa,Rafiki ..watoto kwa wakubwa naombeni support yenu kwa kwa Ku like na Ku subscribe channel yangu hii kwa kubonyeza link hapo juu 👆🏻👆🏻kupata Nyimbo nitakazo zitarajia kuzitupia hivi karibuni pamoja na video za fani mbali mbali kutoka kwangu.Ahsanteni sana🙏🏻 na Mungu awabariki saana 🙌🏻*
Huyu jamaa alijua kucheza na akili za wajinga
watu wanachomoa betri mbele dc pole sana
Duu ajali yake sio ya kitoto.
Kumbe maji tu ccm si mliichagua!
Wana,hila hao
Kumbe huyu ndio DC ALIOTUMBULIWA KAPELEKWA KANAL SASA HV
Mtetezi wa wanyonge
Ama kweli huyu mtetezi wetu wanyonge Allah akupe umri na afya njema
21st century Africa this is shocking
Unajua wanamchanganya sana raisi wetu anamambo mengi sana kwani viongozi wa huko chini wanafanya kazi gani jamani mbona madaraka hamyajui jamani
Jembe la ccm
YATAFURIKAJEEEEEE😂😂😂
😆😆😆😆😆😆 pumbavu kabisa
PETITMAN AANGUA KILIO MBELE YA WAANDISHI KISA ESMA KUOLEWA 😭💥💥🔥
LINK hapa 👇👇
th-cam.com/video/m915JRu4XCs/w-d-xo.html
P1
Duh huu wimbo mzuri shukuran kwa Munguth-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
We mheshmiwa weweeeee
T
ameshituka aliposikia mrad wa maj unasimamiwa na luwasa akahis lowasa.
😄😄
Hujitambui wewe unashindwa kuandika hata RUWASA, ray man mkubwa sana weee
Hee we kwel boya hajasema luwasa,,,sema RUWASA
th-cam.com/video/WRnrWuXh7cA/w-d-xo.html hatari sana
Wanainchi wabaya Kama wajumbe ukiwatendea ubaya wanakupa ubaya nakupenda San Rais wangu Mungu akutunze maisha yote