OpopoxoxxxizzxzoZzozxzIzxzI8zkoiioóoooinmjjkjicxxcckvonnckkkkllkkkkllkklkkkjkk k j K j. k k K K M Kkklllkklklkkkkkkkkmjññmmmmmkmk Ñknk Nj Jkm K m K K Km k Km Mmjjj Ñjjkk kñk .l K
Binafisi mimi nampongeza sana mh Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh majaliwa hata akampatia fursa Ndugu yetu Baraka Magufuli, pia nampongeza mh Waziri mkuu Kwa uhodari wake wa kazi ndani ya Nchi hii, mwisho Baraka Magufuli anakipaji cha pekee sana, Mwenyezi MUNGU ampe kila haja ya moyo wake
Kama ikikupendeza Mungu ninaimani Awamu ya Tano Itaandika historia mpya Waziri Mkuu kuwa Rais wa Nchi 2025, Mungu Bariki Tanzania ,Mungu Bariki Viongozi wetu .Amen
Huyu jamaa ni truly comedian, jambo la kumsaidia ni kuendeleza ucomedy wake sio kumpa political post. Wapi matajiri wakubwa sana duniani ambao ni comedians.
Baraka Magufuli unatuumiza mbavu! yaan! nimecheka jaman mpaka mbavu zinauma. safi kijan mwenye kipaji. safi viongozi wetu mnakuza kipaji chake kwa kumkaribisha jukwaan kila mara.
uyu jama anawakilisha taifa raisi awez kumuacha hivi hivi lazima awe na fungu lake hii ndio tanzania ya vipaji inchi yetu inawatu wenye vipaji sana tukiwezeshwa tunaweza kuikuza inc yetu ikawa ya kimataifa kama unaamini hilo gonga like twendeni pamoja
Ukia chana naukata tulionao kwenye waleti Ila tuna enjoi vilivyo asante sana wizr mkuu kumwita uyo jamaa kututoa stress mungu akulinde na tunawaptenda wote
Kama umesikia jamaa ana mjulia makufuli weka like yako hp twende pamoja
Rajab Ngunga i
Kama umemuona waziri mkuu amecheka hadi machozi gonga like hapa👇👇
Waziri mkuu uko pisi sana allah akupe iman zaidi
My PM Majaaliwa today you wrote historical event for giving a public joyful tears because of our talent comedian Baraka. God bless u all
Achilia mbali uchekeshaji Jamaa kichwani zimo saaafi go on Baraka
Duh! Baada yakukusanya pesa akamwambia wazir mkuu haya endelea.. Huyu jamaa noma!!
hatariiiii😂😂
Ni fire 🔥 fire kweli
Hahaha jamaa anaweza
wengi tumewaona lakini baraka magufuri ni wapekee,, umetisha mkuu
KWELI
Yes
VERY CREATIVE PERSON.
KAZI NA DAWA.
OpopoxoxxxizzxzoZzozxzIzxzI8zkoiioóoooinmjjkjicxxcckvonnckkkkllkkkkllkklkkkjkk
k
j
K
j.
k
k
K
K
M
Kkklllkklklkkkkkkkkmjññmmmmmkmk
Ñknk
Nj
Jkm
K
m
K
K
Km
k
Km
Mmjjj
Ñjjkk
kñk
.l
K
Uko vizuri saaaana
Big up
Umemburudisha Waziri Mkuu,mchapa kazi
Binafisi mimi nampongeza sana mh Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh majaliwa hata akampatia fursa Ndugu yetu Baraka Magufuli, pia nampongeza mh Waziri mkuu Kwa uhodari wake wa kazi ndani ya Nchi hii, mwisho Baraka Magufuli anakipaji cha pekee sana, Mwenyezi MUNGU ampe kila haja ya moyo wake
Dah! Waziri mkuu majaliwa majaliwa imemkosha sanaaaa
Huyu jamaa anaweza kuwa maaruf sana kama wapo wanao amini hilo tuwe pamoja hapo
Kiukweri nimeinjoy mb zangu
Waziri Mkuu kafurahi mpaka machozi yamemtoka Nani kaona!? 🙌🙌🙌🙌
Kama ikikupendeza Mungu ninaimani Awamu ya Tano Itaandika historia mpya Waziri Mkuu kuwa Rais wa Nchi 2025, Mungu Bariki Tanzania ,Mungu Bariki Viongozi wetu .Amen
Reuben Begashe Nina imani rais ajaye ni majaliwa
Itakua kama nyerere
Kabisa Majaliwa anafaa kuwa Raisi ajaye
sisi wakaguaji wa comment tumegundua kuwa hakuna asiyemkubali huyu jamaa noma sana
Yap
Daah ukisikia kupata kwa halali ndio hku hyu jamaa hta jacho hatowi anavuna pesa kma fyasaaa siamini macho yangu!
😂😂ukiachana na kuiga sauti jamaaa anaongea vitu vya maana mno safi sana bro
boe_bryn tv asrei
Baraka maguli upo vzr. endeleza kumuenzi Rais wetu kipenzi na mzalendo wa kweli chapa kazi makini
huyu jamaa anaongea point sana maguful amwangalie ampe hata kauenyekiti
Uko na utoto sana
Inatakiwa aombe ridhaa kwa wananchi wanaomzunguka
Huyo kajaaliwa hicho kipaji. Uongozi ni kitu kingine
Mungu akusimamie
Jamaa yuko vizur. Natoa marks 101% Excellent
Kaka hongera sana,Mungu akuinue na kipaji chako uzidi kufika mbali
Mh. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ni mfano wa kuigwa👏👏👏👏👏
Na pesa kawachangisha! this is classic
Hii ndiyo sanaa tunayoitaka.
Nakukubali sana Baraka Magufuli
Nani anaangalia mwaka 2020 gonga like hapa
Bila unafiki Baraka unatisha wewe ni mkali,serikali ikuwezeshe angalau uende chuo cha sanaa
Daaaah kila mtu mungu amempangia ridhiki yake aisee..binadamu ni wivu tu ndio unaotufanya tunatofautiana
Mungu akupe wepesi Mr President akimaliza muda wake 2025 uwe Rais wetu Mh. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa tunaimani na utendaji kazi wako.
Huyu jamaa anajua sana kutengeneza mkeka wake hahahaaaa.
Magufuri Fanya moango Mpe kaz baraka magufuri anakuwakilisha vyema sana mh John Pombe magufuri
HONGERA sana waziri mkuu kasim majaliwa pamoja na baraka
Huyu mwamba ni most talented yuko vzr
Huyu jamaa ni truly comedian, jambo la kumsaidia ni kuendeleza ucomedy wake sio kumpa political post. Wapi matajiri wakubwa sana duniani ambao ni comedians.
Techniques za fundraising. I like it
Jamaa anajua sana anafuata usemaji na furaha za magufuli.
wakwanza ku view wakwanza kulike na wakwanza kucomment kama umeona like hapa
Moja ya vipaji vya Hali ya juu
MUHESHIMIWA MAJALIWA ASANTE SANA
Kama umemuona jamaa alosimama nyuma ya waziri hajichekesh ni kauzu hacheki kizembe tujuane hapa
👇👇
Kassim. I love u
Anajua sana na ana contents. He is goood
Yaan Hyu jamaa yuko vizur kwenye sound similarities na Mh mjomba Magu 😂😂😂
Endelea kijana usirudi nyuma hata Kama utakatishwa tamaa🙏🙏
C.C.M should consider this young eloquent and energetic leader of his own nature!! he's going extra miles.
Daaaah Waziri ameflahishwa saana
Kijana yupo vizuri ukiachia acting. Inawezekana elimu yake pia nzuri!
duhhh,,, yan baraka hongera sana kwa hilo upo vizur sanaaaaaaaaaaa
Waziri Mkuu.... Safi Sana Kiongozi wetu....
Narudi zangu ccm naona kumenoga💃
So talented, so creative kapigampunga Kwa akili Sana🤣🤣
nipeni like zenu hapa kama mnmkubal baraka magufuli
Baraka namwelewa
😂😂😂😂 Mashaallah uko vizuri sanaaaa👏👏
Hongera nyingi sana
Yaani kweli baraka neema iwe nawe
Baraka Magufuli unatuumiza mbavu! yaan! nimecheka jaman mpaka mbavu zinauma. safi kijan mwenye kipaji. safi viongozi wetu mnakuza kipaji chake kwa kumkaribisha jukwaan kila mara.
Da!! nakukubali Sanaa baraka unatisha
😁😁😁😁😁😁😁😁😁 kanifurahisha na style ya kutokea🤣🤣🤣🤣🤣
Safi Sana unajua kutumia kipaji chako
Huyu ndo anakopi kabisa sauti ya Mh. Raisi 👊wengine hapana
Jamaa ni smart sana, anafuatilia mambo yanavyoendelea vzr sana.....
Huyu ni comedian kweli,kipaji kipo juu sana kuliko hapa Pierre na akina mc pilipili,alichokosa ni support!!!
Nimefurahi sana. rais mwenye herufu ndogo (rais) Ishatofautiana na (Rais) Yuko vizuri sana Mungu Awatie nguvu.
Tunakukubari Sana waziri mkuu unastaili urais
so nice...wachangishe haooo,,props
duuu kaka umetisha sana hongera
Jamaa anajua sana kuigiza sauti eti "Enhee aya" alafu anaunga kidogo na kakicheko ka mzee baba, huyu kwenye noma.
Huyu jamaa noma nimecheka mpk nimelia
Talented and Gifted
Hii Baraka alifunika sanaa👍👍👍👍
Najivunia sana kua Mtanzania Amani tosha
uyu jama anawakilisha taifa raisi awez kumuacha hivi hivi lazima awe na fungu lake hii ndio tanzania ya vipaji inchi yetu inawatu wenye vipaji sana tukiwezeshwa tunaweza kuikuza inc yetu ikawa ya kimataifa kama unaamini hilo gonga like twendeni pamoja
Schools got nothing, street got talent 😂 ❤ ❤
anajua kuchekesha wazir had ametoa machoz kisa kucheka
Jama noma sana kakusanya fedha kibao
AMAZING ONE
Kaka kasim jiandae na kijiti cha urais inshaallah magu wetu akimalza mda wake jiandaeeeeee
Kaka huna mpinzan endeleaa hivyo hivyo ww ni mungu amekupa hiyo tarandaaaa
beka
Hongera dogo..naona confidence imeongezeka
Safi sana waziri mkuu kwa kutambua kipaji na kuonyesha ubinadamu...
Huyu jamaa ana akili nyingi.
😀😀😀😀👏nice sana hiiii
Jamaa anajua sana, ila asilewe sifa afanye kazi
Dah! Baraka Magufuri ameiva sana! Kumbe mpunga ni kitu kingine kabisa!👍👍!
Baraka Magufuli .....Kaza buti kk na kampeni lazima uwepo
Ukia chana naukata tulionao kwenye waleti Ila tuna enjoi vilivyo asante sana wizr mkuu kumwita uyo jamaa kututoa stress mungu akulinde na tunawaptenda wote
Ahahaahhahahaha Jamani Baraka magufuli duuuuuhh Kipaji Unacho saana
Baraka bigapu sana unawezaa mpaka unakeraa
Duuuuuuu!! Nimefurahi Sana kwakeli!!
REMIGIUS YUSTINIAN
Dah huyu jamaa noma sana
Masha Allah
Jamaa namkubali sana
Jamaa anaweza nmecheka sana
Jamani watu wana Talent aisee
Siku nyingine Baraka useme hivi 'Musikosee kuchagua kwenye uchaguzi'
Ila uko vizuri kuna mwingine yuko Dodoma atasubiria sana.
hahaha et wa Dodoma atasubiri sana
😂😂😂Kanifurahisha kweli alivyowaita hao wabunge
nsreen moafee unishindi mimi
Brother You are so talented big up🙌🙌🙌
Sijawahi muona Majaliwa kufarahi hivi..hii ndio TZ ,smiles all around.
daa jamaa anaongea point mambo ya miundo mbinu asantee kijanaa subiri kidogo tutakupa ataa mwenyekiti wa mufindi wa ccm unafanya kazi vzr
daaa uyu jamaa anakili sanaa!!!Big up
Ameweza kula pesa za viongoza wakubwa wa serkal hicho ni kipaji cha haki yake kabisa.
Baraka magufuli unatisha bhana