LIVE:IBADA YA KUOMBEA MSHAHARA // KIPATO CHAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2023
  • Hag 1:6
    na yeye apataye mshahara apata mshahara ili kuutia katika mfuko uliotoboka-toboka.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/sirizabiblia
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 129

  • @pendokache2400
    @pendokache2400 7 หลายเดือนก่อน +10

    Asante mungu kwa kunilinda mpk kufikia leo naomba uzidi kunilinda na kusimama na familia yangu peke yetu hatuwezi🙏🙏🙏🙏

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wale tunafanya kazi nchi za waarabu hii message ni yetu, team gulf konga like kama ni ukweli.

  • @sarahfeni1866
    @sarahfeni1866 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ubalikiwe sana muchungaji wa MUNGU 🙌🙌🙌

  • @sarahfeni1866
    @sarahfeni1866 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen

  • @simonhaule2765
    @simonhaule2765 7 หลายเดือนก่อน +5

    Asante mungu kwaajili ya Ibada hii naamini usiku huu sitabaki kama nilivyo

  • @user-yl9xm9mv3q
    @user-yl9xm9mv3q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu nakutegemea kwa kila kitu hapa duniani,na kwa sala hii naamini imekua

  • @zitashio7920
    @zitashio7920 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu umenionaaa

  • @SegolinaNgowi
    @SegolinaNgowi 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa mafundisho haya naamini nitaenda hatua nyingine mbele Asante Mungu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 7 หลายเดือนก่อน +4

    Roho mtakatifu tusaidie kwa ajili ya mishahara yetu ikaongezeke na ikatufae tunashukuru kwa maarifa na ugunuo wa maisha haya

  • @FistonWilly
    @FistonWilly 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu christo Atukuzwe mtumishi Wa Bwana Kwa kuona bado naishi mpaka Leo, namuomba Yehova anibariki Namimi pia pamoja nawewe.

  • @zitashio7920
    @zitashio7920 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ni wakati wa Mungu kunibadilishia hatua zangu kuniongezea ufahamu wangu ...

  • @user-rl6pu5hi3d
    @user-rl6pu5hi3d 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hallelujah 🙏 Jina la Bwana libarikiwe daima!!

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 7 หลายเดือนก่อน

    Asante MUNGU kwakuniamsha salama baba naomba kukukabizi famlly yangu naomba uilinde na kuiponya kila laana iliyonenewa kupitia kwangu na famlly yangu naomba ukaguse mkono wako bàba tuvuke salama mwaka 2023 na tuingie Salama 2024 fungua hitaji la moyo wangu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @sarangwaru6416
    @sarangwaru6416 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni. Napokea kwa jina la YESU

  • @aminaaa3227
    @aminaaa3227 7 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa ajili ya maarifa haya

  • @charlesmondo7278
    @charlesmondo7278 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anisaidie kudumisha mshahala wangu ili nikamilishe mipango yangu

  • @harrietkemiyondo4171
    @harrietkemiyondo4171 7 หลายเดือนก่อน

    Oh Jesus have marcy on us and forgive us 😢😢🙏🙏

  • @FaithDoha
    @FaithDoha 7 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba nizidi kukufahamu mengine utanisidiahia 🙏🙏

  • @user-ef9mr5st5t
    @user-ef9mr5st5t 7 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa Bwana

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani mungu ni mwaminifu sana nashukur Kwa kuijua hii madhabahu ya Siri za bibria 🙏🙏 mtumishi mungu akubariki sana

  • @KogaDenha-yy8lt
    @KogaDenha-yy8lt 7 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe sana mungu Baba Akulinde uendelee kutufundisha

  • @simonhaule2765
    @simonhaule2765 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen 🙏

  • @KogaDenha-yy8lt
    @KogaDenha-yy8lt 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mungu Kwa kunilinda mpaka Leo naomba uendelee kunilinda kwajina la yesu

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 7 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU akubariki sana

  • @user-ev6rb4qb3y
    @user-ev6rb4qb3y 7 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumish wa mungu namushukul bwana amenilida 🙏🙏🙏🌺🌺 siwez bira yeye kitka maisha yangu

  • @mapenzimapenzi3619
    @mapenzimapenzi3619 7 หลายเดือนก่อน

    Àmeen Ameen

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa ajili ya zawadi ya uhai na afya njema nakushukuru kwa kua kipato changu cha oly na kev na cosy vinakwenda kuongezeka ajira biashara na mipango yao yote ya pesa inakwenda kuongezeka ktk jina Yesu alie hai

  • @auleliamngongo2509
    @auleliamngongo2509 7 หลายเดือนก่อน

    Amina Bwana naomba nizitawale pesa na zisinitawale zenyewe

  • @janeandisen
    @janeandisen 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba uguze maisha yangu na mashahara wangu

  • @user-pn4wk3du3h
    @user-pn4wk3du3h 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏

  • @hilariakayanda5869
    @hilariakayanda5869 7 หลายเดือนก่อน

    Asantee Mungu kwa mafunuo🙌🙌

  • @oreosmundi1967
    @oreosmundi1967 7 หลายเดือนก่อน +1

    Baba naomba usimpungukie mtumishi wako, umkumbuke sana katika mahitaji yake, Wewe ni Mungu naamini unasikia na unatenda Baba!!

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 7 หลายเดือนก่อน

    Amen nakushukuru mungu Kwa pumzi na uhai unipeo siku bada ya nyengine si kwamba Mimi nimkamilifu ila ni Kwa neema Yako

  • @veronicapetro3017
    @veronicapetro3017 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @simonhaule2765
    @simonhaule2765 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu anisaidie sana kwenye majaribu ninayo pitoa

  • @joycemaro1186
    @joycemaro1186 5 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho mtumishi na mazuri sana mungu akubariki

  • @nyongesabenjamin3762
    @nyongesabenjamin3762 7 หลายเดือนก่อน

    amen mungu atuondoe katika hali ya utumwa

  • @dyana7405
    @dyana7405 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeen ,Mimi naitaji boss wangu waniongeze mshahara Wangu kwanzia Leo.🙏🙏🙏

  • @work24onme
    @work24onme 7 หลายเดือนก่อน +2

    Holy Healing God Power, Holy Jesus, Holy Spirit, Holy Angels, Holy Forever, Amen 🙏🏼

  • @lucygichuru7214
    @lucygichuru7214 7 หลายเดือนก่อน

    Amen asante yesu

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa mafundisho mazuri sana munao tupatia kwakila siku,Mungu wangu nakuomba unisaidie kushinda vita inazikutanisha pale kwamakazi zangu,unichungie mshahara wangu Baba Mungu nisiwupotezee kwa vitu habina maana kingine Baba huyu mshahara usinitoe kwako Mungu wangu,amen.

  • @rozinaemstedt7679
    @rozinaemstedt7679 7 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @irenedaffi7179
    @irenedaffi7179 7 หลายเดือนก่อน

    🙏 AMEEN AND 🙏

  • @user-du2rc8zh8w
    @user-du2rc8zh8w 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Bwana Yes kwa kazi uliyonipatia

  • @wallenmaulisa-me4ik
    @wallenmaulisa-me4ik 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante MUNGU WANGU kwa kunipa nafasi hii naimani umenisikia na nimepokea neema zako na vibali katika jina la yesu kristo mwana wa MUNGU aliye hai

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 7 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana mtumishi wa mungu

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @julietmunyazi
    @julietmunyazi 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni Ameni❤❤❤❤❤❤

  • @user-jb2sq8oi7k
    @user-jb2sq8oi7k 7 หลายเดือนก่อน

    See mungu naomba nisaidie katka maisha magungu

  • @user-vo7ss5tz1l
    @user-vo7ss5tz1l 21 วันที่ผ่านมา

    Asant yesu

  • @lucygichuru7214
    @lucygichuru7214 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nikumbuke pia nipate pahali nitaji simamisha na family yangu nifungulia jia inayo fahana na mm

  • @estheroburu5265
    @estheroburu5265 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante YESU kwa maarifa haya yanani hufu sana ❤❤❤❤❤

  • @EmmanuelSige-tc1bn
    @EmmanuelSige-tc1bn 7 หลายเดือนก่อน

    Yesu nisaidie

  • @feminakidiavai5849
    @feminakidiavai5849 7 หลายเดือนก่อน

    Amen ninaomba ushindi kwa jambo lolote ninalotenda

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante MUNGU kwa kunionya mapema 🎉

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Mtumishi 🙏

  • @BethMdoe
    @BethMdoe 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen hakika mtumishi umesema na mimi kbs nina miaka5 nje ya nchi lkn sina ninachokifanya asanteh Mungu kwa kusikia neno lako kwa kinywa cha Mtumishi wako inocent

  • @aminarajab1045
    @aminarajab1045 11 วันที่ผ่านมา

    Nikweli kabisa hii inchi imejaa dhuruma tu mungu tusaidie tupate hakizetu makazi ya majumbani nimagumu sana mungu tenda miujiza nilipwe hakiyangu kabla ya huu mwezi kuisha nilipwe kwajina la yesu kristo Ameeen

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen ameen Asante yesu

  • @collinslyimo448
    @collinslyimo448 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeen

  • @user-jz6ys4tq1i
    @user-jz6ys4tq1i 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mungu Leo unizalie nipate usingiz kama wengine

  • @LazarokipanaKipanamosson
    @LazarokipanaKipanamosson 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu asifiwe Sana 🙏

  • @gloryleonard4379
    @gloryleonard4379 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nakushukuru Mungu wangu. Asante Mungu wangu

  • @chantalanny6469
    @chantalanny6469 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe Ndugu Paster Innocent kiukweli nasaidia sana namafundisho Yako ya siku zote Najazwa sana Namafundisho zako Mungu Azidi Kubariki kaka Sina kitu chakukulipa bali Mungu atakulipa

  • @lucygichuru7214
    @lucygichuru7214 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nikumbuke tena usinipite

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 7 หลายเดือนก่อน

    Baba. Bariki mshahara wangu niutumie vyema naomba unizidishie Kibali kupitia mshahara wangu naomba desemba hiii niongezeee msharaha ifikapo January. Nipandishwe mshahara baba wewe ndo mtetezi baba nitetee na mimi

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU. Ingilia Kati katika mahusiona yangu ninapo ingia mahusiano na mwanaume niongoze baba niwe katika moyo wenyewe ukalimu niongoze pia kwenye Kali zangu ninazo Tumi kuongea nipe maneno ya busara na hekima 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 kufanikisha mahusiona yangu yadumu na nijenge ndoa baba🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @irenemillius4907
    @irenemillius4907 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu ninashukuru kwa maana mimi bila wewe sio kitu ninakuomba endelea kubariki kazi yangu,msahara wangu ninakushuru kwa mwezi Decemberumenipigania sana wewe ni baba yangu ninaomba umbariki mtumishi wako Innocent Mashauri kwa huduma hii endelea kumtumia kama chombo chako 🙏🙏🙏

  • @jeskaniyimumpaye4170
    @jeskaniyimumpaye4170 7 หลายเดือนก่อน

    Nikwe baba mungu akubariki

  • @simonhaule2765
    @simonhaule2765 7 หลายเดือนก่อน

    Aamen

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @WarulyaSekweyama-xd8qh
    @WarulyaSekweyama-xd8qh 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU wangu nakushukuru be kwa in kibali kwa mtumishi Innocent na watumishi wako wore waaminifu.SHUKA baba ukomboe fa milia zetu bado kuna watu wanajiinua kutuvurugia ,ingilia Kati baba UTUKOMBOE KILA NVANJA

  • @julietmunyazi
    @julietmunyazi 7 หลายเดือนก่อน

    Sawa🎉🎉🎉

  • @lucygichuru7214
    @lucygichuru7214 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tukumbuke na utuzingile na damu yako

  • @jacklinegatwiri635
    @jacklinegatwiri635 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa mtumishi wako mwenye umetupa mufunikie kwa damu ya YESU KRISTO Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @veronicahnjoroge3463
    @veronicahnjoroge3463 7 หลายเดือนก่อน

    Uliniumba nikuambundu yesu

  • @lucygichuru7214
    @lucygichuru7214 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amen and Amen 🙏

  • @veronicahnjoroge3463
    @veronicahnjoroge3463 7 หลายเดือนก่อน

    Asanti roho mtakatifu 😊

  • @damarismagori-rg5jv
    @damarismagori-rg5jv 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu uliye mbinguni asante kwa huyu mtumishi... nimesoma kitu may the spirit of God be with us hatujaumbwa kuajiliwa mungu abariki mshahara wetu... team gulf mungu atusaidie sana tusirudi nyumbani bure

  • @user-uf2md1po7q
    @user-uf2md1po7q 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Dhore-jb5pb
    @Dhore-jb5pb 7 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen nashukuru mtumishi wa Mungu kwa haya maelekezo 🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌

  • @MatildaWanga-io1yp
    @MatildaWanga-io1yp 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi

  • @joankalegi
    @joankalegi 7 หลายเดือนก่อน +3

    Amen🙏🙏, God bless you

  • @gladysnjeri282
    @gladysnjeri282 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeen

  • @witheymunis911
    @witheymunis911 7 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN 🙏

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hᴀʟʟᴇʟᴜᴊᴀ ᴀᴍᴇɴ😢

  • @ElizabethKanza
    @ElizabethKanza 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @user-ry3qj2vd6g
    @user-ry3qj2vd6g 7 หลายเดือนก่อน

    Kama mm ukweli mshahara wangu b4 nimalize mwezi imeisha na Niko na ndeni😢😢😢😢 mingi sana ee mungu wangu naomba unisaindie kupitia maombi haya ya Siri ya bibilia Jehovah 🧎🧎🧎🧎🧎

  • @joanitamligo6321
    @joanitamligo6321 7 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭

  • @estheroburu5265
    @estheroburu5265 7 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @phillismonyangi7196
    @phillismonyangi7196 7 หลายเดือนก่อน

    That's me pastor please pray for me salary yangu ifanye mambo my family, I miss my kinds, and yet they are not OK with what I send to them, am feeling so lonely, 🙏🙏🙏please help me pastors

  • @oreosmundi1967
    @oreosmundi1967 7 หลายเดือนก่อน

    Amina utukufu ni wa Mungu tuamini itakuwa maana yupo upande wetu katika kila hatua❤

  • @FelisterOnderi
    @FelisterOnderi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah 🙏🙏

  • @AbigaelJero
    @AbigaelJero 7 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed pastor

  • @magdalenamagdalena8263
    @magdalenamagdalena8263 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen Ameen nimebarikiwa sanaaa

  • @gladysnjeri282
    @gladysnjeri282 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom

  • @simonhaule2765
    @simonhaule2765 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana Mtumishi

  • @user-ss3sv3wh1m
    @user-ss3sv3wh1m 7 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙌🙏🙏 barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @user-hl2kn6si2i
    @user-hl2kn6si2i 7 หลายเดือนก่อน

    AMEN 🙌🙌🙏🙏 Yesu akulinde mtumishi

  • @user-jh8il3mi4m
    @user-jh8il3mi4m 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie baba bila wewe atuwezi