NILIOMBA UKIMBIZI CANADA| AGENT ALINILIA PESA NA VISA SIKUPATA | WADADA MJIBRAND ACHENI KUOMBA OMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • Mpaukha ameeleza Safari ya maisha yake kutoka Tanzania mpaka kufika nchi ya ndoto yake Canada
    Ambapo anasema alitumia agent wa kwanza ambae alimlia pesa
    Anasema baada ya kufika tu aliomba ukimbizi, amewaasa vijana kujituma.
    Mabinti kutokua rahisi na waweze kujitegemea.
    Thank you Mpauka Jr for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 130

  • @OfficialDatingAssistance
    @OfficialDatingAssistance  5 หลายเดือนก่อน +8

    TikTok: Mpaukha Jr
    Instagram: Mpaukha Jr

    • @annamussa185
      @annamussa185 5 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you so much my ❤

    • @97digitalmedia67
      @97digitalmedia67 5 หลายเดือนก่อน +3

      Ubaguzi Canada upo mkubwa Sana sema watu hawawezi kujua kama kuna Unaguzi

    • @97digitalmedia67
      @97digitalmedia67 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ubaguzi Canada mkubwa sana

    • @AminaTwaha-h6t
      @AminaTwaha-h6t 5 หลายเดือนก่อน +2

      😅kweli kaongea vizuri ni huzuni sisi wadada wa bongo kuomba Kuna cost

    • @annamussa185
      @annamussa185 5 หลายเดือนก่อน

      Huyu kaka ana Account mbili sasa sijuwi anatumia ipi Instagram kaka kama unaona hii comment angalia Dm yako

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 5 หลายเดือนก่อน +14

    Napenda sana Shena anavyoheshimu mambo ya private hawi king'ng"anizi. Best youtuber wa mambo ya ughaibuni ni Shena❤❤❤

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 5 หลายเดือนก่อน +1

      Anajielewa sanaaa ki ukweli

    • @EstherMedda
      @EstherMedda 5 หลายเดือนก่อน +1

      She is smart

    • @SwalehSaid-mf5sg
      @SwalehSaid-mf5sg 5 หลายเดือนก่อน

      Hakika unachosema!

    • @SwalehSaid-mf5sg
      @SwalehSaid-mf5sg 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika unachosema!

  • @HonestMwaria-xi2hs
    @HonestMwaria-xi2hs 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ukifuatilia kwa umakini hizi interviews utagundua watu waTZ waliopambana wakafanikiwa kupata kuishi hizi nchi za nje IQ zao na namna za kufikiri sio za kawaida,kiufupi ni watu smart na intelligent.Mungu awabariki hawa wenye mioyo mizuri ya kutushirikisha hizi experience zao.Hongera sana Sr Shena kwa interview nzuri,zinatufungua sana akili waTZ

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nawapenda sana vijana wapambanaji. Hongera sana kijana kwa kutimiza ndoto yako ya kufika Canada

  • @Hawamoshi-j7r
    @Hawamoshi-j7r หลายเดือนก่อน

    Asante kaka

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ahsante shena Ahsante broh.
    Kwa kuchangia tu hapo kwa kuomba ukimbizi. Ukiomba ukimbizi sio lazima kma nchi yetu iwe na vita . Ukimbizi ni jinsi uatakavyojielezea mwenyeo nini kimekukuta. Ktk maisha yako kwa ssabu watu wengi huzani ni lazima nchi iwe na machafuko .but kuna wata huomba ukimbizi .kufikisika kibiashara akawa na madeni hawezi .kulipa . Kulawitiwa .kuwa kaka poa or dada poa . Yaaani si situation utakayoipanga na ikawagusa na ikagusa ktk jamaai ni ukisema situation yko usipindishe unachokisema hata ukiulizwa tena ndio hicho. Kwa kweli ni mambo mengi tu . Samahani sana

    • @tagomshana4032
      @tagomshana4032 3 วันที่ผ่านมา

      Waiyo wapendwa kama nataka viza ya ukimbizi naomba uku nchini kwangu? Au hata nikiwa nipo Canada maana Mimi mpaka sasa ninsviza ya kutembea

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru sana dada shena tunajifunza mambo mengi

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 5 หลายเดือนก่อน +1

    Interview nzuri saana , nawapata vizuri mno hapa Rorya, Mara maeneo ya Shirati na Kamageta

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 5 หลายเดือนก่อน +1

    dada nakupenda bure una busara sana na unajua kuuliza maswali ongera sana.

  • @MJM52
    @MJM52 5 หลายเดือนก่อน +2

    Piga kazi Shena,,,hapo hamna uharamu

  • @Hawamoshi-j7r
    @Hawamoshi-j7r หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

  • @WahidaAlharthi
    @WahidaAlharthi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe kaka ndugu yetu Allah akubarikiye Sana
    Wewe nimkweli ikiwa mkweli

  • @malundionlinetv16
    @malundionlinetv16 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana yote.

  • @trueone_tz
    @trueone_tz 5 หลายเดือนก่อน +9

    Tatizo la Watanzania sisi ni kutokupenda na kupeana ushirikiano, pia uvivu wa kusoma na kujifunza, wengine tulichelewa kupata taarifa sahihi. wakenya na wanigeria wengi hubebana sisi ukishaenda basi hutaki hata ndugu yako aje.

  • @agnesNdonde
    @agnesNdonde 2 หลายเดือนก่อน

    One day yes na da shena nitakuja hapa kunihoji Canada my dream country very soon ❤

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusimamie mkaka katika utafutaji wako🤲🌹

  • @gsurasa6366
    @gsurasa6366 4 หลายเดือนก่อน

    ❤Hongera dada

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 5 หลายเดือนก่อน +3

    Uani jama ,snamawazo kama yangu,canada na Australia,ndo napambania huko,ntaenda tuuu,dada ubarikiwe

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 หลายเดือนก่อน

      Ameen 🙏

    • @salumusobo4009
      @salumusobo4009 5 หลายเดือนก่อน

      Dada mwambie uyo brother anipe namba ya uyo agent aliyo mpatia visa nina mpango wa kwenda Kanada ,UK or marekani

  • @MamaB890
    @MamaB890 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume mariooo wapo wengi sana,wmekuwa wachunaji

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 5 หลายเดือนก่อน +4

    Da shena mwambie atupe number ya agent wake

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mlaiki jamani Shena anatupambania tupate madini tuna nfoto wengi ya kuondoka huku ,

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA 5 หลายเดือนก่อน

    Interview nzuri

  • @aminahamad3428
    @aminahamad3428 หลายเดือนก่อน

    Asante shena naomba namba ya uyo ajent wa huyo kaka please

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mengi ni mambo ya kishoga so wanasingizia,hio ndio sababu kwasasa ndio imeshika kasi so hawezi kusema maana hamtamuelewa kwasisi tulioko huku tunaelewa.

    • @enricajohn4120
      @enricajohn4120 4 หลายเดือนก่อน

      Hawapimwi kuhakikisha?

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 22 วันที่ผ่านมา

      Stori za kosenge senge km hiz hazifai kwa iyo kila mtu anayewaza kwenda huko ni shoga toa hiz fikra za kipumbavu za voongozi wako wa CCM

    • @lovenessmallya816
      @lovenessmallya816 17 วันที่ผ่านมา

      kuhus kutapeliwa mmi mwenyewe muhang,niliamua kuja gulf maana nilikua sina jinsi
      Kikubwa tuwe makini

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 5 หลายเดือนก่อน

    Nice interview

  • @rayasaid3734
    @rayasaid3734 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli wa Nigeria sio watu wazuri na usharikina wanatumia,pendelea East Africa mwenzako

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 5 หลายเดือนก่อน +4

    Kuomba ni tabia tu na namna ya malezi.
    Ukweli ni kujirahisisha😢

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 5 หลายเดือนก่อน +3

    alafu wanaigeria hawawezi kufanya maisha mtu sio wakwao.

  • @giboncebarnabas9667
    @giboncebarnabas9667 5 หลายเดือนก่อน +3

    Tuwe tuna like jamani . Kulike ni kuifanya video kufika mbali sana na iweze kuonekana yaani visibility. Kingine kulike ni kazi rahisi tu wala huliwi bando lako

  • @PaulsenMgema
    @PaulsenMgema 5 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa kaongea nondo sanaaaa

  • @MaimonaRajebo
    @MaimonaRajebo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dada naomba mwambie huyo kk anipe namba ya huyo anjet

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa kaongea nondo sana kachanganya na vyuma humo humo Safi sana

  • @hanswan1
    @hanswan1 5 หลายเดือนก่อน +4

    Shena hakuna fatwaa ya uharamu wa online dating kiislam, hivyo aliyeharamisha alete hoja lengo tu isiwe ni zinaa watu waoane kuleta family

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tena ukiwa huna hela njaa hiyo pambe utajuta😂😂😂😂

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 5 หลายเดือนก่อน +3

    Shena achana na hao watu wa nyumbani wanaosema, online date ni dhambi,unajua nyumbani watu bado hawajaamka kwa vitu vingi kwa hivyo kuelewa hivi sio rahic

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 หลายเดือนก่อน

      Ndiomana tunawapa elimu
      I hope someday wataamka 🙏

    • @MamaB890
      @MamaB890 4 หลายเดือนก่อน

      Wengine ni kwasababu wamejikatia tamaa wanataka na wengine wakate tamaa kama wao

  • @MaimonaRajebo
    @MaimonaRajebo 4 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie hata namba ya huyo anjet mm niko oman napambana na nimetapeliwa hela km mara mbili

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume wote tupo hivo tunapenda wanawake wanaojitoa kwa ajiri ya mwanaume nondo hii kaka kwa dada zetu utasikia mwanaume bahili simtaki badilikeni

  • @MaimonaRajebo
    @MaimonaRajebo 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka naomba nisaidie nami nitimize ndoto ya kufika Canada

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 5 หลายเดือนก่อน +2

    Atupe agents number yake nasie mie nina mtt wa dada ynga anataka kwenda na yy kutafuta maisha kashaomba mara 2 hajapata kashaliwa mara 2

    • @mohrecaps
      @mohrecaps 5 หลายเดือนก่อน

      Kaliwaje hiyo mara 2

  • @aurelialema3945
    @aurelialema3945 5 หลายเดือนก่อน +3

    Anaeona online dating ni haramu hilo ni juu yake. Tuache kuwa judgemental jmn

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba contact za huyo Brother aweze kuniunganisha na Agent wake pliz

  • @bettywangari6854
    @bettywangari6854 5 หลายเดือนก่อน +1

    Let us subscribe here n like this video you doing great girl

  • @nicedavid8536
    @nicedavid8536 5 หลายเดือนก่อน

    Safii

  • @KizaSamwelmpenda
    @KizaSamwelmpenda 4 หลายเดือนก่อน

    Dada mwambie bro anipe namba ya agent

  • @OmaryKayanda-b8b
    @OmaryKayanda-b8b 17 วันที่ผ่านมา

    nataka sana namba yako dada yangu

  • @yassirmaulid683
    @yassirmaulid683 5 หลายเดือนก่อน +2

    🎉

    • @yassirmaulid683
      @yassirmaulid683 5 หลายเดือนก่อน +1

      naelew xan 👌 1day 🛫

  • @mhizavinyangaza624
    @mhizavinyangaza624 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka naomba unitumie number ya huyo agent

    • @mohammedabdala7526
      @mohammedabdala7526 หลายเดือนก่อน

      Kuna ma argent wezi wengi na Namba zao badae hazipatikani

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mpaukha my friend 😅🔥🔥🙌🙌🫸

  • @Jirhley
    @Jirhley 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya agent wake basi nidili nae

  • @Rhobimdenish
    @Rhobimdenish 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wa kwanza ku comment

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 4 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @komboko4143
    @komboko4143 5 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya agent nikutia mkono kizan kwahiyo ukiwa unataka safar basi usichoke kuingiza mkono kizan .tulishaliwa sana juu ya hizi safar.

  • @CiscaRecaps2015
    @CiscaRecaps2015 5 หลายเดือนก่อน

    pia watuambie bank statement iwe na kiasi gan

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 5 หลายเดือนก่อน

    Da shena mm ntakupata aje. Ninashidae na ww. Jamanii

  • @Ashi_Mushi
    @Ashi_Mushi หลายเดือนก่อน

    Unamwaga msosiiii?!?😊

  • @Hawamoshi-j7r
    @Hawamoshi-j7r หลายเดือนก่อน

    Kaka anazungmzia wanawake wanaejiuza ndio wanaambiwa wko chipu

  • @AnnaLambert-xn1ye
    @AnnaLambert-xn1ye 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza shena,ivi ukiomba ukimbizi na kupokelewa unaruhusiwa kurudi kwenu kutembea na kurudi uko?

    • @salimsalimali8285
      @salimsalimali8285 5 หลายเดือนก่อน

      Ukiomba ukimbizi huwezi kurudi nchini kwako kwasababu ulisema una matatizo nchini kwako ndio maana ulkakimbia

  • @prophetessbahatikashasha3858
    @prophetessbahatikashasha3858 5 หลายเดือนก่อน

    JE huko kuna MAKANISA ya YA kiroho

  • @josephatlitaye8598
    @josephatlitaye8598 5 หลายเดือนก่อน

    Tupe namba ya Agent

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 5 หลายเดือนก่อน

    Na mm natamanii kiishii canada

  • @ibraoman2745
    @ibraoman2745 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi nataman Kuja Canada ila kwa galam zang sio kuletw na mtu ila sijui nifany nn

  • @cleopatrahenry7541
    @cleopatrahenry7541 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani wewe ni mimi kabisa ila nimeshaliwa hela mpaka nimesema basi ilanajua one day yes

  • @MroseMcho
    @MroseMcho 5 หลายเดือนก่อน

    Sema wa bongo hatupendani

    • @winfridamdaki5699
      @winfridamdaki5699 4 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli, wabongo wanapendana buana na wanasaidiana sio wote hawapendani

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani jamani eeeeh ivi vitu vya aibu sana kuomba kuomba kama walemavu,kweli ni aibu sana

  • @EdithaPaul-k3c
    @EdithaPaul-k3c 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka kama hutojali unaweza kuniunganisha na huyo agent

  • @ashafaulkner
    @ashafaulkner 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe upo nchi gani

  • @annamussa185
    @annamussa185 5 หลายเดือนก่อน +4

    Sorry Shenna,hv Canada wanatumia Dollar ya marecan au wana Dollar yao pia

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 5 หลายเดือนก่อน +3

      Wana dollar yao ( Canadian dollar )

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 หลายเดือนก่อน +3

      Wana yao
      Canadian Dollar

    • @ndettothejuice3094
      @ndettothejuice3094 2 หลายเดือนก่อน

      Wana Dolla Yao yenye iko chini kuliko ya.marekani eg as now 1 Canadian dollar is 106/= Kenyan money while American dollar is 140

  • @annakashindye5792
    @annakashindye5792 หลายเดือนก่อน

    Da shena huyu kaka hana acount ya tiktok kama ipo unipe maana na mimi nahitaji aniunganishe na mtu wake aliye msaidia kumfanikishia jambo lake huyu aliemfanyia atakua mkweli

  • @97digitalmedia67
    @97digitalmedia67 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaguzi CANADA UPO MKUBWA SANA SEMA HUJAFIKIA KTK ZONE ZA HAO JAMAA NDOO UTAKAPO JUA UBAGUZI WA CANADA

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 หลายเดือนก่อน +3

      Karibu sana kwa kipindi tupate kujifunza kupitia wewe +4367764790884

    • @97digitalmedia67
      @97digitalmedia67 5 หลายเดือนก่อน +2

      @@OfficialDatingAssistance
      Ahsante sana kwa mualiko wako ningpenda kutoa maadini hususan kuhusu Ubaguzi wa Canada.
      Mada yangu itakua itakua Kuhusu kwa wale wanao kwenda kujaribu kufanya biashara za kimatiafa North America.
      Tutazungumzia vile vile jinsi gani ubaguzi ulokuwapo ktk nchi hizi mbili pindi utakapo jaribu kufanya biashara kubwa au transition ya biashara ndogo za ndani ya nchi na ukataka kutoka kufanya biashara kubwa na za kimataifa
      HAPO NDIPO UTAKAPO UJUA UBAGUZI WA CANADA

  • @nzegeatv6355
    @nzegeatv6355 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada tunaomba siku ututafutie chimakeke umuhoji

  • @MohamedOmary-s9n
    @MohamedOmary-s9n 5 หลายเดือนก่อน

    yeye ni mwanamke masikini na nataka mwanaume tajiri😀😃😄😂😂

  • @happinessshija5136
    @happinessshija5136 4 หลายเดือนก่อน

    Tusaidie Bas agent wako wa ukweli

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 5 หลายเดือนก่อน

    Masikini dah mtu anakudhulumu tu😢

  • @Justine_Tz1
    @Justine_Tz1 5 หลายเดือนก่อน +2

    Views 2800 likes 23 wabongo tuache roho z kukunja tu like jaman 😢 maan hap tunajifunza vingi na Kupata madini pia

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 หลายเดือนก่อน +2

      Shukran kwa ukumbusho 🤝

    • @Justine_Tz1
      @Justine_Tz1 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@OfficialDatingAssistanceSawa dada

    • @komboko4143
      @komboko4143 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yaan mm ningelikua na moyo mwepesi basi ningeghairi Ila sikukata tamaa Hadi nilipopata nikaondoka nikasahau kabisa yakiopita alhamdulillah tupo tunapambana Kwa sasa

    • @Justine_Tz1
      @Justine_Tz1 5 หลายเดือนก่อน

      @@komboko4143 Hongera kwakutokat tamaa me mwenyew nataman san sik moj nifik huk

  • @annamussa185
    @annamussa185 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tupe connection ya Agent kaka

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 หลายเดือนก่อน

    Kwasisi wazee wa cuba tushaelewa matatizo yanyumban yanayopelekea kuwa wakimbizi tayar tushaelewa

  • @joejoshua7791
    @joejoshua7791 5 หลายเดือนก่อน

    Watz wako wengi sana Toronto, Calgary, Vancouver ila hawapendi kujichanganya na watz wenzao

    • @Jeff_Tz
      @Jeff_Tz 5 หลายเดือนก่อน

      Fanya research utajua kwa nini hawataki kujichanganya. Ukitaka kujua zaid why nifuate private

    • @joejoshua7791
      @joejoshua7791 5 หลายเดือนก่อน

      @@Jeff_Tz Roho mbaya na wivu ndio maana hatupendani huko abroad

    • @hanswan1
      @hanswan1 5 หลายเดือนก่อน

      Nipe sababu ​@@Jeff_Tz

    • @victoriaandrea6849
      @victoriaandrea6849 5 หลายเดือนก่อน +1

      Canada nchi tulivu kwa maisha MUNGU awatunze vyema nyote mlioko huko

    • @Fetty-i1v
      @Fetty-i1v 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kaka kila kitu ni process, sio kudanganyana, mfano kuwa ukifika tu unafanya kazi, kisha kuwaambia watu wa nyumbani ukweli ni vizuri, kuliko kujipamba kwa uongo, kama wanavyojidai wengi huku nje.

  • @Maishacanada
    @Maishacanada 5 หลายเดือนก่อน

    Mademu wa kipopo wabovu kaka nakubaliana na ww Baharia

  • @ashumohd2192
    @ashumohd2192 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 5 หลายเดือนก่อน

    To hell with ukimbizi