Rais atengua uteuzi wa RC wa Simiyu anayeshutumiwa kumlawiti Mwanafunzi, adai ameundiwa skendo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @LaureenGodwin
    @LaureenGodwin 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani amelawiti wangapi? Ni fedhea kwa familia,ameisha toa

  • @CastoryKapinga-nb7ht
    @CastoryKapinga-nb7ht 6 หลายเดือนก่อน +6

    UNYAMAAA SANA NAONA SAIV MCHEZO NI KUCHAFUANAA TYUUU WABONGOO WAMEKOSA KAZI SI BORA WAKALIME.MATIKITI TU WAPATE MTAJI WA KULIPA DENI TULILO KOPA KOREA

  • @davidntowanga7717
    @davidntowanga7717 6 หลายเดือนก่อน

    exactly?

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 6 หลายเดือนก่อน +2

    Doooh

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 6 หลายเดือนก่อน +1

    Its very sad! usiombe yakukute

  • @FatumaMohamedi-t6t
    @FatumaMohamedi-t6t 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yote kher amshukuru Mungu hilo nalo litapita alikua anaishi kabla ya ukuu wa mkoa.

  • @ProsperUlungi
    @ProsperUlungi 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanafunzi wa chuo kikuu analawatiwa kweli mbona wanafunzi wa udom ndio wanaojiuza kwenye madangulo

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Uchaguzi unakaribia mambo ni moto!!!

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wa bongo hivyo ndio vitendo vyenu vya kawaida

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 6 หลายเดือนก่อน +3

    Isije ikawa jealous kuhalibiana

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 หลายเดือนก่อน

    Mwachuo c mtoto,haw w s/msingi wanazalishw istoshe huyo alikua mpenz wk je ana bkir tujue,kama hana bkr basi kamchafua RC boda boda hua waanakula bure bora yy kapewa million 10

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 หลายเดือนก่อน

    Mwanafunzi,w chuo c mwanake n mke alfu alikua mkewe,half bodaboda hua waanakula bure hizo vtu lkn mama yk anaijua dunia ndiomaana hataki kesi

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 6 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣

  • @FredMramba-hx3gl
    @FredMramba-hx3gl 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo alitumwa na mganga wake afanye hicho kitendo cha kishetani

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari 6 หลายเดือนก่อน +8

      Hakufanya hizo ni fitina my friend. Maisha ya sasa kufitishiana

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 6 หลายเดือนก่อน

      @@AshuuuBakarinakuunga mkono

    • @Agath45
      @Agath45 6 หลายเดือนก่อน +4

      Wamemtengenezea kesii

    • @MohamedSalum-d4t
      @MohamedSalum-d4t 6 หลายเดือนก่อน

      Pesa na cheo hakuna kinacho shindikana Wana Sh eria wetu mko wapi jamani

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Agath45acha ushamba CCTV camera hazikoseagi wewe