ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
Soma Nyiradi Hizi X40 Zinaondosha Ugumu Wa Maisha /Faida Ya Kusali Sala Ya Dhuha/Sheikh Walid Alhad
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2022
- Soma Nyiradi Hizi X40 Zinaondosha Ugumu Wa Maisha /Faida Ya Kusali Sala Ya Dhuha / Sheikh Walid Alhad Omar
Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Soma Nyiradi Hizi X 40 Zinaondosha Ugumu Wa Maisha /Faida Ya Kusali Sala Ya Dhuha / Sheikh Walid Alhad Omar
tizama mpaka mwisho usisahau kushare
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
TH-cam @Darsa tv
TikTok @Darsa tv
Alhamdulillah, nimeongeza kitu kingine kuhusu swala hii! Allah aendelee kukupa afya njema uendelee kutuelimisha Sheikh Walid.
Shekh walid wallahnakupenda kwan ajil ya Allah ,Allah akuhifadhi
Shukran sana Sheikh Wetu Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera ALLAH Akuingize peponi kabla hujafa
Allah akuhifadhi sheikh akujakie kheir
Allahumma Amiin
JAZAKA ALLAHU KHEIR SHEIKH WETU...ALLAH AKUPE AFYA NJEMA NA NURU KATIKA MAISHA YAKO
Natamani siku moja nifundishwe na sheikh walid
In shaa Allah kheri
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh sheikh .Shukran jazakallahu kheir
Inshaallah, mwenyezi mungu akupe kheri ya dunia na akhera
Baraka llaahu fikum
Allah akujalie umri twaweel ameen kwa kutupa elim tunaswali hatujui hizo nyiradi shukran
Allahamdulillah umenipa kitu Allah Atakulipa.Aameen🤲
Sheikh walid Allah akupe afya njema na umri mrefu na akulinde na mahasidi amiin ❤❤❤
Mashaallah jazakallahul kheir
Shukraan sana sheikh kwa Ugadi mzuri Allah akubariki sana sheikh wetu nakupenda kwaajiri ya Allah Alhamdulilah rabilalaamina
Allah Akuzidshie sheh walid uzidi kutupa faida juu ya dini
Shukran sanaa, Allah akupe umri uzidi kutujuza.
Aslm alkm ww.... Masha Allah 🌹 shukran sana sheikh Walid.
Shukran Shekh wangu Allah akuhifadhi na akupe mwisho mwema Kwa elimu unayo tupa Alhamdulilah
MashaAllah Allah azidi kukuhifadadhi sheikh na akuzidishiye ilm na afya njema. Akulipe mazuri apa duniani na kesho akhera Aamiin . Na faidika kila siku nikifata mawaidha yako ❤❤
Shukran sheikh wetu Allah akuzidishie ilmu yenye manufaa Allahouma ameen 🤲
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
Amiin yarab 🌹
waghalaikum salam warahmatullah wabarakatuh
Shukran jazila
Aslm alkm ww... Masha Allah!!!!,😀😀😀😀😀kweli kabisaa sheikh Walid alkamalu lillah. Allah atuongoze ❤❤❤
Shukran sn shekhe wetu pendwa. Allah akuhifadhi na akupe umri wenye manufaa Ameen
Jazzaka Allah kheri
Mashallah allah azidi kumlinda mwalimu wetu
wallah I sheik mungu akulipe anstee
Mashaallah darsa nzuri sana
Alhamdulillah nimekuelewa vyema sheikh wangu Allah azidi kukupa umri mrefu ili uzidi kutuelimisha
Mashallh
Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin. Jazzaka Allahu Kheir Ya Sheikh
Allah akuhifadhi
Asalaam alaykum mufty asante
شكرا
Mashaallah Allah akulinde
ماشاءالله الله اكبر
ahsante shekh
Masha Allah.
Shekh Kuna suna sabaaa ya uchovu
Mashallah tabaraqah ❤
Fantastic 👍👍👍👍
Masha Allah
Naam shekhe
Asalam.alaykum shekh naomba utupe muongozo wa salat-tasbih inasaliwa vipi wingi wake uchache wake na unasemaje kwa faida ya wengi in shaa Allah
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh. Amiiyn thumma Amiiyn, Baraka Allahu fiiQ. Je nikisali Rakka mbili za ishraq naruhusiwa kusali tena kabla ya adhana ya dhuhuri? Kwamfano ishraq nisali Rakka inne kisha kabla ya Adhuhuri nisali zingine nane ao mbili ao sita.
Jamani uislam mtamu jamn
9:44
Asalam alaykum we he dhuha tunaweza kuiswali jaman a ?
Ni rakaa zote za mwisho au ile yamwisho husali tena
Sheikhe naomba unisaidie dua au maneno kusema ktk sijida maana nasikia kwa kiswahili haitakiwi
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh
Ni upi muda wamwisho wakuswali sala ya dhuha
????
Waalaykumu ssalaaamu warahmatullahi wabarakaatuhu.
Dakika 15 kabla ya swala ya Adhuhur
Yani Baada ya kuchomoza Jua Kaa dakika 15 basi hapo ndio mwanzo wa Sala ya dhuha, inaisha dk 15 kabla ya swala ya Adhuhur.
Allah Ni Mjuzi Zaidi
Salaam Alaykum. Huu ukumbusho ni mzuri lakini hayo mafundisho ya kusema yaa Basit kwenye sijda ya mwisho yametoka wapi???? Je, imethibiti kwenye Sunnah? Au ni huu ni utenzi wa Mashekhe??? Nyongeza nyongeza kwenye dini zimekatazwa na Mtume wetu rehma na amani zimfikiye. Hao wanachuoni wakusanywe wooote bado hawatokuwa wabora zaidi ya Mtume .
Shekhe kasema unaweza fanya naukiona kwa elimu yako haifai basi waachie wanao ona inafaa basi na hakuna mjadala
Kuongeza Sio dhambi na Wala hajahalalisha . Kasem ukiw unawez au unatk fahamu lugh yko kk
Atokee mtu aliandike hilo neno tupate kulishika vizur inshallah
Yaabasit ,yaabasit ×40
Alhamdulillah Allah akuzidishie Ilmu. Tunafaidika Sana. Shukran.
Assalam shekhe je swala dhuha haiswaliwi raka 6?
Ukisali mbili Sawa ,nne Sawa ,sita Sawa mpaka 12 ,lakini hauzisali kwa pamoja ,unasali mbili unatoa salamu ,unasali mbili nyingine unatoa salamu kama haujaelewa niambie nikutumie namba yangu ,au tafuta jirani anaejua umuulize Inshaa Allah
Jazakallah khair
Wlkm slm wrhmtlh wbrkth sheikh,
Niko na swali....
Swalatu dhuhaa na swalatul ishraaq ni sawa???
Au ni swala moja tu???
Ni moja tu..ishraaq na dhuha ni iyoiyo..!!
Hizo ni swala mbili tofauti masheikh zangu
Hata mm najua hivyo @shamisahmed
Lkn may b kuna ikhtilaaf ya wanazuoni
@@abubakarsalim6297 Ndio twambie tofauti zao
Kwanza walimu wengine wanasema ishirak aipo
Baraka llaahu fikum
Assalaam Aleykum, Sheikh Walid, Inshaallah Allah S.W. Ninamuomba akujaaliye umri mrefu wenye Afya njema na akuzidishie Elimu yako mimi binafsi nayaelewa mafundisho yako na ninaelimika sana.
Shuqran Allah atupe kheri zake
Mashallah shekhe wetu umetumia neno sahihi kabisa LUBRICANT Allah akuzidishie umri na elmu
Naam shekhe