Aisee masoud Mimi ni Mkubwa k wako ila baadae ya kumuona Malcolm na wewe ulivyo mbele ya jamii nimegundua wewe ni strong kuliko mimi! Big up Sana masoud mungu uendelee Ku!kupa ujasiri!zaidi!
Huyo brother kwangu his so special kutokaka na mzunguko wa maisha kwa sasa ni ngumu kunifahamu. Namkumbuka sana kwa kipindi cha Wak up show, wakiwa Dada mmoja aliyeitwa Fina Mango. Kiukweli nilikuwa shabiki namba 1 wa kipindi hicho. Mungu akutie nguvu baba la baba.
Watu wanaopenda kukaa peke yao endapo watatumia vizuri raslimali muda na mawazo yao, ndio wanaofanya mambo makubwa sana… wakati mwingine wanaweza kukuonesha ukubwa wa jambo lililopo kwenye kitu kidogo. Hongera Sana Kiongozi Masoud
Masjid, Jazaakallah umenijibiya vizuri, vizuri,vizuri saaaaaaaaana pale ulipojibu swali la Kampuni yako ya MAVAZI. ALLAH azidi kukuongoza. TAWHEED imefanya kazi.
Masood, Jazaakallah, umejibu vizuri,vizuri, vizuri saaaaaaana ulipo jibu swali la Kampuni yako ya MAVAZI . Allah azidi kukuongoza TAWHEED imefanya kazi In shaa Allah
tupo pamoja ktk kutimiza malengo yako Malcom pole kwa yote yaliokukuta kikubwa nikuwaombea wazazi wako ambao ndio majemedari pekee ktk kuhakikisha unakuwa na furaha muda wote pia ningependa viongozi wa serikari wakuunge mkono kununua t-shirts hizi ili uweze kufikia malengo yako
BARUAN MUHUZA .. zimekuwa dakika zaid ya 45 nzuri mno.. umefanya nifahamu mambo mengi ambayo nilihitaji kuvisikia toka kwa Masoud Kipanya . Asante kwa kuwasilisha maswali
I normally skip some interviews but for this one have honestly failed..eating my mb's without regretting...Bravo both of you for the very composed interview..
Masoud ww ni zaidi ya shujaa 🙏 mungu awabariki sana plz makampuni mpeni ubalozi kwenye mkampuni yenu mbalimbali atengeneze pesa anajumu zito sana huyu mtu
Masoud you are such a supper dad to Malcom! I never thought that you can be such a tough dad! Very rare to find a man of your personality. Keep up taking good care of our supper handsome boy Malcom, he is a blessing to your family. I love his (Malcom's) character; charming, confident, intelligent, covered with a bright smile, above all he is always grateful to the Almighty God!! May God shower him with wonderful blessings!
masoud upo vzr sana mm in mfuatiliaji sana was kz zako angalizo langu usifanye vt kwa matakwa ya wana siasa kwa kuwa siasa c fani kwa hiyo wanaweza kufanya baadhi ya watu wachukie kz zako
BM huwa nafatilia hosting system yako na kuanzia upo RFA na kipindi chako cha uliza ujibiwe, na vingine kwa kwel nakukubal huwa najifunza baadhi ya vitu kwako I wish ntaonekana cku moja kwenye tathnia ya utangazaji. God is Great
sheikh wangu mm nipo jeddah saudi arabia lakini mtanzania mwakani na Kuja tz nita Kuja nikuone uko kipindi chako na fatilia sana na kipenda tupo pamoja
Sio unaamini hivyo @masoud, lakini ukweli ni kwamba tabia yetu tuozaliwa mwezi june. Ni Watu wenye misimamo mizito,logic sana, na wabishi kwa maana ya kutetea na kulisimamia jambo katika usahihi wake. Sifa kuu zaidi ni Watu wavumbuzi sana wa masuala mbalimbali na wabunifu pia, lakini mapungufu yetu ni kuacha constant vitu vidogovidogo muhimu sana na kudeal na vitu vikubwa sana. Bahati nzuri tunafanikiwa sana kwenye vitu vikubwa kuliko vidogovidogo
Dah ukiacha kuufatilia live mpira kwenye internet hiki ndio kipindi nilichokiangalia kwa muda mrefu zaidi youtube. Sijarukisha hata Nukta. Yote sababu napenda saana kumfatilia masoud na kazi zake. Mungu akujalie zaidi...
Hakika wewe ni baba bora,na sio bora baba,pmj na mkeo ni strong womans kwakweli kwa mtihani huu wa Malcom hkk M/mungu hazidi kuwadumishia ushikamano juu ya mtoto wenu inshaallah
Maaoud bwana Ni mkweli Sana Na Mara nyingi Sana nqpenda kazi au hata maelezo yako muda wote hasa ktk power breakfast na ukwwli ukipungua huwa sijisikii vizuri Sana
Kitu ambacho nimejifunza na kumuelewa kp ni mtu anaeishi maisha halisi sana ...yupo real sana. Kuna watu wanaeleweka kwa ujanjaujanja wao ila huyu ili umuelewe inabidi uwe makini tuu ...yaani ukweri hauna mbwembwe kabisa na ndio alivo kp
Nakumbuka saaana kuhusu kipindi cha PB mtu 3 kama billion 3. Na nakumbuka kipindi kilichobamba zaidi mlivyoingiaga conflicts na waziri wa elimu na utamaduni kipindi kile..., hadi Shigongo nae akaingilia. Na hata siku mnafanya kipindi cha kumuhoji balozi nilikisikia ingawa kwa shida shida kweli matangazo yalikua yanakatika na mliahidi kurudia kesho yake. Ila baada ya siku kama 3 hivi tukaona ziiiii..., iliniumaga saaaana baadae akawa anasikika Gerrard peke yake. Nilitamaniaga saana mngerudiaga tena kufanya kipindi mkiwa wote wa3. Nilikuwaga mshabiki wenu mkubwa mnooo na kipindi kilikua hakinipiti. Safi saana masoud KP.
@@bestman8182 kaka kubeti ni kamari na kamari hainanafasi ktk ulimwengu wa kiroho yaani dini zote zinazoamini mungum1 kamari niharumu Lakini kwamasikitiko makubwa waliowengi hawajui!!
Mahojiano mubashar kati ya watangazaji halisi au asilia kwa maana ya kile ambacho mwenyezi Mungu akiwajalia ktk uumbaji wa binadamu na vipaji au vipawa. Hakika Baruan na Massoud Mungu aliwapa hiki kipawa ili mumtukuze yeye kwa kudhihirisha uumbaji wake usio na makosa. Ni rahisi kuwatofautisha na wengine wengi walioko kwenye tasnia kwa mapenzi yao binafsi,na wala si kwa vipaji alivyowajaalia muumba wetu. Binafsi niwapongeze lkn niwakumbushe kuangalia nyuma kuwasaidia ,wengine wenye vipaji kama nyie ,ili mkitoka kurudi mlikotoka ,vipindi kama hivi visiondoke nanyi kwenda huko mlikotoka, kwani sote tupo na kuna siku hatutakuwepo hapa duniani ,Nawaombea Mwenyezi Mungu awape maisha marefu .A men.
Aisee masoud Mimi ni Mkubwa k wako ila baadae ya kumuona Malcolm na wewe ulivyo mbele ya jamii nimegundua wewe ni strong kuliko mimi! Big up Sana masoud mungu uendelee Ku!kupa ujasiri!zaidi!
Moja kati ya interview nzuri za mwaka 2019 masoud yuko peace sana na huwa ni mkweli hamumunyi Maneno
Good
Mungu akuzidishie IMANI my bro Malcom ni zaidi faraja ktk familia
Huyo brother kwangu his so special kutokaka na mzunguko wa maisha kwa sasa ni ngumu kunifahamu.
Namkumbuka sana kwa kipindi cha Wak up show, wakiwa Dada mmoja aliyeitwa Fina Mango. Kiukweli nilikuwa shabiki namba 1 wa kipindi hicho. Mungu akutie nguvu baba la baba.
Dah safi sana nampenda sana masud
Watu wanaopenda kukaa peke yao endapo watatumia vizuri raslimali muda na mawazo yao, ndio wanaofanya mambo makubwa sana…
wakati mwingine wanaweza kukuonesha ukubwa wa jambo lililopo kwenye kitu kidogo. Hongera Sana Kiongozi Masoud
Maa shaa Allah, Allah akufungulie zaid na zaid......u always think out of the box.
Big up brother Masoud.
Bonge moja la interview. Namkubali sana huyo jamaa.
Yeeeeh Baba ile ndege ya juzi umeua bro .Masoud yupo vizuri sana.
Hongera sana masud kipanya kwa kutimiza miaka therathini kwenye kazi yako ya uchoraji######
Masjid, Jazaakallah umenijibiya vizuri, vizuri,vizuri saaaaaaaaana pale ulipojibu swali la Kampuni yako ya MAVAZI. ALLAH azidi kukuongoza. TAWHEED imefanya kazi.
Masood, Jazaakallah, umejibu vizuri,vizuri, vizuri saaaaaaana ulipo jibu swali la Kampuni yako ya MAVAZI . Allah azidi kukuongoza
TAWHEED imefanya kazi In shaa Allah
tupo pamoja ktk kutimiza malengo yako Malcom pole kwa yote yaliokukuta kikubwa nikuwaombea wazazi wako ambao ndio majemedari pekee ktk kuhakikisha unakuwa na furaha muda wote pia ningependa viongozi wa serikari wakuunge mkono kununua t-shirts hizi ili uweze kufikia malengo yako
Nikikutana najambo lolote linalokuhusu masood inanichukua mudamwingi kulifuatilia maana ktk ww najifunza vitu vingi ktk maisha big up brow.
BARUAN MUHUZA .. zimekuwa dakika zaid ya 45 nzuri mno.. umefanya nifahamu mambo mengi ambayo nilihitaji kuvisikia toka kwa Masoud Kipanya .
Asante kwa kuwasilisha maswali
Nimependa sana hi interview
Mungu awabariki nyote waandaaj wakipind
Masoud kipanya ni kioo bora kabisa cha jamii. Nime enjoy sana kuona interview hii
john jackson ni kweli kbs
Masoud yupo smart sana kiukweli nimeenjoy interview
I normally skip some interviews but for this one have honestly failed..eating my mb's without regretting...Bravo both of you for the very composed interview..
Masoud ww ni zaidi ya shujaa 🙏 mungu awabariki sana plz makampuni mpeni ubalozi kwenye mkampuni yenu mbalimbali atengeneze pesa anajumu zito sana huyu mtu
Masoud you are such a supper dad to Malcom! I never thought that you can be such a tough dad! Very rare to find a man of your personality. Keep up taking good care of our supper handsome boy Malcom, he is a blessing to your family. I love his (Malcom's) character; charming, confident, intelligent, covered with a bright smile, above all he is always grateful to the Almighty God!! May God shower him with wonderful blessings!
Nimejifunza kitu kikubwa sana kupitie entervew yako na Malcom's pia nimefarijika sana namuombea Malcolm's kwa Mungu ili aweze kutimiza ndoto zake
Masoud, good
Interview hii inakufanya ufikirie kila unapoitazama na si kufurahi tu kila unapoitazama, Kazi nzuri!
“...Ukiwa ni mwenye kufikiri na kutafakari utapendelea kuwa peke yako zaidi...” KP. Quotable quotes. Hongera kaka. Tunakukubali sana
Best interview ever....
Big.up
Kipanya.nakukubali.sana.kipanya.
One among the best interviews ever... hapo kweli mmekutana wazoefu mhojiwa na mhoji
The Interview is very interesting...huitaji kufoward hata second...
I think this is one of de best interviews... The legends...
Big up KP
Hongera sana Masoud umekuwa baba Bora kwa mtoto na familia yako
HII NDIO ITERVEW YAWATU WENYE KUJIELEWA HASANTE MTNGAJ BARUHAN NA MASOUD.SAFI SANA ALLAH AWAHIFADH
Km kuna kipindi nilikipenda basi maisha plus season one kk ulitisha sana nakupenda Sana kk kp natamani nikuone naomba maisha plus irudi tena mkuu
Issa Mohamed
Kazi nzuri sana Ndg. Baruan A. Mahuza.
Hongera sana kaka masud kipanya unajitahidi sana
masoud upo vzr sana mm in mfuatiliaji sana was kz zako angalizo langu usifanye vt kwa matakwa ya wana siasa kwa kuwa siasa c fani kwa hiyo wanaweza kufanya baadhi ya watu wachukie kz zako
Masoud upo vizuri kwenye uchoraji na utangazaji hongera sana
Masoud nimekukubali please njoo tufanye maisha plus Oman
Duuhhh...... Tuliokuwa tunadhani Mussa ni mdogo wake Masoud KP, gonga likes hapaa.......
Baruan anaonekana mzee 7bu anapenda kuchovya sana totoz, kifupi kuchovyachovya kibaolojia kunazeesha sana
Unapenda kuwa peke yako kipanya kwanini unapenda?
Ila ukimuangalia kwa makini wamefanana sana Masoud na Mussa wa Efm ni kama mtu na mdogowe hawa!!
BM huwa nafatilia hosting system yako na kuanzia upo RFA na kipindi chako cha uliza ujibiwe, na vingine kwa kwel nakukubal huwa najifunza baadhi ya vitu kwako I wish ntaonekana cku moja kwenye tathnia ya utangazaji. God is Great
Anaehoji ni Gwiji na anaehojiwa ni Gwiji kwahiyo interview imekuwa Machachari sana...
Ukija Italia fikia kwangu,Mimi ni mmoja wa
Wachoraji katuni maarufu enzi hizo,Mzee Manje,naitwa Simon Mgogo,karibu Sana,mdogo
Wangu
Mzee nataka kufika huko kutembea. Can you help?
Good nakipenda hiki kipind piga kazi baruani Allah akuongoze
sheikh wangu mm nipo jeddah saudi arabia lakini mtanzania mwakani na Kuja tz nita Kuja nikuone uko kipindi chako na fatilia sana na kipenda tupo pamoja
Barwan the great kwa kweli nakupongeza ni mmoja katika wachapa kazi mahiri kabisa keep it up I like your interviews
Yeah, this is skills interview.
Maaoud kipanya Baba malcolm.bigup
Baba malcom Allah awape subra inshaallah
vizuri sana M. kipanya
Nafurahi Sana kuwaona mpo pamoja hivo
Sio unaamini hivyo @masoud, lakini ukweli ni kwamba tabia yetu tuozaliwa mwezi june. Ni Watu wenye misimamo mizito,logic sana, na wabishi kwa maana ya kutetea na kulisimamia jambo katika usahihi wake.
Sifa kuu zaidi ni Watu wavumbuzi sana wa masuala mbalimbali na wabunifu pia, lakini mapungufu yetu ni kuacha constant vitu vidogovidogo muhimu sana na kudeal na vitu vikubwa sana. Bahati nzuri tunafanikiwa sana kwenye vitu vikubwa kuliko vidogovidogo
Samahani Sana kwa swali hili nishawahi kuskia watu wenye msimamo Kama wako eti wana group "O" la damu ?
Ni kweli kabisa, hlf tunajiamin kuliko na yt ya kher
@@lailahasan2200 😁😁😁😁tuko wengi kumbe
From UAE
Good interview
Dah ukiacha kuufatilia live mpira kwenye internet hiki ndio kipindi nilichokiangalia kwa muda mrefu zaidi youtube. Sijarukisha hata Nukta. Yote sababu napenda saana kumfatilia masoud na kazi zake. Mungu akujalie zaidi...
Fred
y Pastory Utd
Never give up brother
The legends them selves
Nimekuwa nikimfatilia sana Masoud ila kunavitu kama vitatu ivi nilikuwa sivijui kutoka kwake ila leo ndo nimevijua, nimefurahi sana
Masoud 🙌mzee wa kipanya
Masuda Kamara ulivuosema umeamua kuutaguna MKEKA basin waaabie waajili wakes wasikupe kutangaza 3 MZUKAZA ni haram
Mkono kwa mkono Hadi Fildaus
Hongera Sana mtangazaji na Ali Masoud kwa kipindi murua kabisa. I love the humour and smart-honest responses
Kila nikisikia BARUAN MUHUZA,nakumbuka uliza ujibiwe RFA!
#nkumiss__kwa_wakati_huo____hongera kwa kipind kaka
Ali Masoud hakika nakukubali
masody tunakipenda sana kipindi chako cha maisha plass
Dah leo ndio NIMEMUELEWA Masoud Kipanya aseee kumbe kitambo
Hongera xana baruan Bonge moja la interview
Hakika wewe ni baba bora,na sio bora baba,pmj na mkeo ni strong womans kwakweli kwa mtihani huu wa Malcom hkk M/mungu hazidi kuwadumishia ushikamano juu ya mtoto wenu inshaallah
Nakubali masudy
Maaoud bwana Ni mkweli Sana Na Mara nyingi Sana nqpenda kazi au hata maelezo yako muda wote hasa ktk power breakfast na ukwwli ukipungua huwa sijisikii vizuri Sana
Ni moja ya vipindi bora zaid Africa Nyundo. Naipenda kazi yako Baruani
Masoud Upo vizuri sana,
Hii interview naiona leo but ni njema sana,
Kingine upuuzi ndani ya clouds fm usiache kutoa
Bonge la kipindi asnte muhuza asante azamtv
Nakukubali sana Masoud Kipanya """ unavyo mchora JPM!!!!!!!!
Namkubali sana kipanya
Salama
Jaman masood ulitekwa eeee pole sana bora ukae kimya tu usije kufa bure aisee
Cartoons na animations ni carrier nzuri sana
big up brother
Baruan ni mtangazaji mzuri ambae ajawahi kutokea Tanzania
Masoud nilipata warning letter mbili kwasababu ya clouds
Kitu ambacho nimejifunza na kumuelewa kp ni mtu anaeishi maisha halisi sana ...yupo real sana.
Kuna watu wanaeleweka kwa ujanjaujanja wao ila huyu ili umuelewe inabidi uwe makini tuu ...yaani ukweri hauna mbwembwe kabisa na ndio alivo kp
Nakumbuka saaana kuhusu kipindi cha PB mtu 3 kama billion 3. Na nakumbuka kipindi kilichobamba zaidi mlivyoingiaga conflicts na waziri wa elimu na utamaduni kipindi kile..., hadi Shigongo nae akaingilia. Na hata siku mnafanya kipindi cha kumuhoji balozi nilikisikia ingawa kwa shida shida kweli matangazo yalikua yanakatika na mliahidi kurudia kesho yake. Ila baada ya siku kama 3 hivi tukaona ziiiii..., iliniumaga saaaana baadae akawa anasikika Gerrard peke yake. Nilitamaniaga saana mngerudiaga tena kufanya kipindi mkiwa wote wa3. Nilikuwaga mshabiki wenu mkubwa mnooo na kipindi kilikua hakinipiti. Safi saana masoud KP.
Namkubali sana JAMAA huyoo
Hiki nikipindi hua sikos kuangalia 🙏🙏🙏🙏muhuza
Masoud Kipanya ni engine
Kipindi safi
napenda interveu mtangazaji ajielewe na anaefanyiwa awe anajiekewa inapendaza sana haichoshi kabisa nimewapenda nimefurahi sana
Vichwa vilikutana 🔥🔥🔥
Nilitulia kusikiliza hii interview km unapigwa wimbo wa taifa ,penda sana kp
Iko vzr
We Baruan unapenda sana kufanya kipindi na watu wengi wa Kigoma.hebu fanya wastani uone jambo hili
Iko vizuri wote wasomi
Hzi interview wapi huwa wanasahihisha.naona kila mtu anasema hii 1 zngne zikowapi ili tuzione.aahaa wabongo bna.
Nice interview
Yap bila shaka
Asia Zuberi I love you asia
Asia Zuberi I love you asia
Ni mtu wakawaida tu ktk watumaarufu bado ilaajitaidi anaweza kufika huko
Hellow
kha jaman ndio leo nimegundua kua masoud kipanya na mussa kipanya hawana undugu
Good
mmmh yaan hapo ni mmekutana hadi raha..🙄🙄🙄🙄ngoja niendelee kula uroda🍟🍟🍟🍟
My Role Model
Moja kat ya kitu cha ajabu tz,kwamba Musa kipanya hana ndugu na kipanya
Nilipenda sana kipindi cha maisha plus, mtaendelea mwaka gani??
Nice
Masoud alipoulizwa mara nyingi haupo smart... aliguna kana kwamba muulizaji hakuwa sahihi hahaha!
Hawavijana wananikumbusha mbali sana
Brilliant!!
Ndugu yangu Masoud nakuhusia na kuhusia nafsi yangu usije kuingia kwenye mambo yoyote yenye kuhusiana na Betting(Mikeka).
Mikeka ina kasoro gani ndugu yangu niachane nayo...naomba nijuze plz
@@bestman8182 kaka kubeti ni kamari na kamari hainanafasi ktk ulimwengu wa kiroho yaani dini zote zinazoamini mungum1 kamari niharumu
Lakini kwamasikitiko makubwa waliowengi hawajui!!
Naaam
@@saidsalim851 haramu ya betting iko katika kitu gani? Mechi zinachezwa unabet team G kushinda unashinda au unaliwa haramu nini hapo
😂😂😂😂😂😂😂
Afadhali Masoud ungepewa nafasi ya Mlinga utetee jimbo lake!! yule ni kihiyo!
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.
Mahojiano mubashar kati ya watangazaji halisi au asilia kwa maana ya kile ambacho mwenyezi Mungu akiwajalia ktk uumbaji wa binadamu na vipaji au vipawa. Hakika Baruan na Massoud Mungu aliwapa hiki kipawa ili mumtukuze yeye kwa kudhihirisha uumbaji wake usio na makosa. Ni rahisi kuwatofautisha na wengine wengi walioko kwenye tasnia kwa mapenzi yao binafsi,na wala si kwa vipaji alivyowajaalia muumba wetu. Binafsi niwapongeze lkn niwakumbushe kuangalia nyuma kuwasaidia ,wengine wenye vipaji kama nyie ,ili mkitoka kurudi mlikotoka ,vipindi kama hivi visiondoke nanyi kwenda huko mlikotoka, kwani sote tupo na kuna siku hatutakuwepo hapa duniani ,Nawaombea Mwenyezi Mungu awape maisha marefu .A men.
Kweli masud unajua kujibu maswali
masoud kipanya yuko vzr maana yuko open sanaa ila nimejifunza
Wa baba hebu muigeni huyu baba bg up
yote tisa, kumi ni zile airbys ulizochora nyingi!!! zinapishana tu angani.
Nice!!