Njia 3 wanazotumia Mabinti kurudisha BIKRA siku hizi - Dr.Baiya Kissiwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2024

ความคิดเห็น • 102

  • @RamaMohamed-oi9ff
    @RamaMohamed-oi9ff 6 หลายเดือนก่อน +13

    Swadakta...Maneno kuntu, lugha Safi na yenye heshima Kwa Jamii....Allah akuzdshie elm zaid❤❤❤❤

  • @irenestephano1332
    @irenestephano1332 5 หลายเดือนก่อน +9

    Nimeelewa vzr binafsi mi sikuwahi kutoka dam ya bikra hata nilipokutana na mwanaume wakwanza dam haikutoka MPKA leo najiulizaga

  • @irenerwekaza59
    @irenerwekaza59 5 หลายเดือนก่อน +10

    This women is brilliant ,, I love u 😘😘

  • @NeemaAron-o8z
    @NeemaAron-o8z 2 วันที่ผ่านมา

    Asante kwakutoa erim nzuri❤❤❤

  • @msabahkhamis9438
    @msabahkhamis9438 6 หลายเดือนก่อน +7

    Shukran dr.nimeelimika kias kwamba nilikuwa hata abc ya elimu hii cna
    Alhamdulillah
    Allah akulinde na akuzidishie elimu yenye manufaa

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 5 หลายเดือนก่อน +5

    Yes damu na bikra n vitu viwili tofaut, lakn pia mwanaume sio lazima umtoe damu mwanamke wakati wa kumuingilia

  • @salmanassor4589
    @salmanassor4589 6 หลายเดือนก่อน +5

    Maa sha Allah Allahuma baarik Allah azidi kukuhifadhi Aamiin

  • @husnahemedy8376
    @husnahemedy8376 25 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah nimekuelewa sana Allah akulipe kwa elimu nzuri yenye manufaa ulotoaa maana akili yangu kidogo iniruke nawazaga hymen yangu ilienda wap kumbe ni mambo ya kawaida tu

  • @a.856
    @a.856 6 หลายเดือนก่อน +6

    Jazakallah khayran

  • @IzaqCoutinho-op4we
    @IzaqCoutinho-op4we 21 วันที่ผ่านมา

    Asnt sana doctar Kwa kiasi kikubwa nimeelimika. Sana Allah akupe Kila la kheri mm bd sijaolewa ni mwari

  • @user-ye3fy9kk6r
    @user-ye3fy9kk6r 5 หลายเดือนก่อน +6

    Baaraka llahu fik

  • @faridanurdin9635
    @faridanurdin9635 6 หลายเดือนก่อน +4

    Baya mashaAllah ❤

  • @maindachausa3912
    @maindachausa3912 6 หลายเดือนก่อน +4

    Maa sha ALLAH 🥰🥰🥰

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 5 หลายเดือนก่อน +5

    Shukran maneno ya hekma na na mafunzo.mazuri

  • @smilekhan-rn8bn
    @smilekhan-rn8bn 5 หลายเดือนก่อน +2

    Swadakta kbxxxx docta ❤❤❤ love you my momy lovely

  • @user-op1sq9vu8u
    @user-op1sq9vu8u 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashalah

  • @connymapensi5405
    @connymapensi5405 2 วันที่ผ่านมา

    Woow thanks ❤

  • @naimajuma647
    @naimajuma647 5 หลายเดือนก่อน +8

    Damu ya bikra inajulikana na pia bikra inaweza is itolewe ata kwa mara kadhaa kama huyu mwanaume ajui mambo vizuri

  • @AslimLovelyne
    @AslimLovelyne 24 วันที่ผ่านมา

    Asante nimejucunza kitu

  • @nchimbuke7261
    @nchimbuke7261 6 หลายเดือนก่อน +2

    Swadaktaa❤❤❤

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 6 หลายเดือนก่อน +22

    Asante doctor nimekuelewa vizur sana kwa sababu mm binafis haipo hiyo kitu na haijatokea hiyo damu

    • @akimzeli5030
      @akimzeli5030 6 หลายเดือนก่อน +4

      Weee! Usiwe ushafanya yako halafu unazuga KIZINDA hakipo.

    • @d15355
      @d15355 6 หลายเดือนก่อน +1

      mwongo wee konki uliyekubuhu halafu unasingizia maumbile.

    • @MisBean
      @MisBean 5 หลายเดือนก่อน +4

      Mimi pia haikutokea hiyo Damu.

    • @d15355
      @d15355 5 หลายเดือนก่อน +2

      haikutokea damu sababu hukuwa na bikra watu walishairarua kitambo,katafute wa kuwadanganya@@MisBean

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 5 หลายเดือนก่อน

      @@d15355 loh pepo wewe ulimrarua wewe😢

  • @mahmoudalawy4931
    @mahmoudalawy4931 6 หลายเดือนก่อน +1

    Fact thanks again and again

  • @salumdavid2128
    @salumdavid2128 5 หลายเดือนก่อน +8

    Je kwa aliyezaa iyo hymen inauwezekano wa kuwa bado ipo

    • @user-sm1zu2mo4b
      @user-sm1zu2mo4b 19 วันที่ผ่านมา

      Sasa alie zaa si kashaingiliwa kaka

  • @nasemkena2603
    @nasemkena2603 5 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤nimepnda mafunzo yako dadangu nigependa uniambiye jina la vidonge la capsules nigani

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 6 หลายเดือนก่อน +5

    Wazee wa zmn ndo mchezo wao kuangali bikra😢

  • @user-gs7gm8ry9c
    @user-gs7gm8ry9c 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mm tangu kuzaa uke wangu nahisi umetanuk nifanye nn ili kurudisha km kawaid😢😢

  • @StephanoWaindi
    @StephanoWaindi 3 หลายเดือนก่อน

    Sawa mpenzi nimekuelewa

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 5 หลายเดือนก่อน +2

    Walykumu msalam warhatuallah wabarakatuh

  • @yusuphmlishidi1247
    @yusuphmlishidi1247 หลายเดือนก่อน +1

    Asant

  • @saumubuku108
    @saumubuku108 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mm pia nlipelekwa oc kupimwa mimba wakati atasijui mume nn sikua nimepata ata hedhi 😢

  • @fatmamussa6134
    @fatmamussa6134 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo kwenye kidonge cha uzazi wa mpango ni kweli ukimeza kidonge chekundu damu inatoka ukimeza cheupe inakata.

  • @jamesjr6086
    @jamesjr6086 2 หลายเดือนก่อน

    Me mmewangu aliniingilia ila damu hazikutoka jamani mpaka mmewangu wangu haamini kua Mimi ndo mwanaume aliniingilia jamani ananitukana nakuniambia uwongo 😢😢huo hua naumia sana

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 5 หลายเดือนก่อน +5

    Wanawake wengi wanajichuwa kujiingiza mikono hakuna bikra.mana usiku kutwa hutizama picha za ngono kupitia simu.pekuwa simu zao utaona

  • @d15355
    @d15355 6 หลายเดือนก่อน +1

    asante sana dr ila una uhakika na hilo unalolisema kuwa kizinda sio bikra? sijawahi kuona mwanamke awe konki wa kuingiliwa halafu akabaki na bikra/kizinda ndo kwanza nakusikia wewe na wala hajawahi kujitokeza mwanamke wa namna hiyo.

  • @naominyaitondi2241
    @naominyaitondi2241 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi ndio Mara yangu ya kwanza kuwatch video yako ila umenikera kwa jambo moja tu! Umekuwa Kama Nollywood wanaandika topic ya movie ukianza kuwatch hio movie haiedani na kichwa cha topic kwaheri

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 5 หลายเดือนก่อน +2

    Elimu mnayo hila waelimishwa ndio hawapo,siku hizi mabinti wengi wanaharibika kwa kutumia mitandao na hata ndoa nyingi tuoe tu ni jambo la kheri hila haki ya kheri hakuna,asabte kwa mafundisho wapo wacheche hila wengi kazi tunayo.na jee vp kuhusu shabu ambazo utumiwa na haohao wanawake kama bikra.

  • @leotvke.
    @leotvke. 5 หลายเดือนก่อน

    Hello doctor can I get your contact for farther explanation

  • @user-bh2oy6iy4p
    @user-bh2oy6iy4p 5 หลายเดือนก่อน

    Dada tunakupa ulinzi kwa hili darasa

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 5 หลายเดือนก่อน +4

    Damu lazima itoke wewe aaah uchungu ule wote hata sitaki kukumbuka nililia sana😭

    • @bintsalimalbimany287
      @bintsalimalbimany287 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂pole😩🙈

    • @gracewanjiru3593
      @gracewanjiru3593 5 หลายเดือนก่อน

      Ww kapatana na gaidi😂😂

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 5 หลายเดือนก่อน

      Huyo uliokutana nae hakuwa mjuzi Mzuri wa mambo haya
      Hajakuandaaa vizuri
      😂😂😂

  • @user-jn5gr7ik8s
    @user-jn5gr7ik8s 6 หลายเดือนก่อน +3

    Zaman wazee walikua wana pima kwa vidole viwili hii kweli ni salama

  • @user-iu7ky5xs1b
    @user-iu7ky5xs1b 5 หลายเดือนก่อน

    Mung azidi kukupah nguv na afya uendelee kutupa xomo

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 5 หลายเดือนก่อน

    Nimewh kukutan na mtu anauz dawa ili haymen irud tena anasisitiz kweli jaribu bestie utakuj kunishukur. Ila sijawh kujaribu huo ujinga mm

  • @jumamsangazi2872
    @jumamsangazi2872 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dk ungekuwa unaeka Namba ili tuwe tunauliza masuala privately... Na sio public coz kuna masuala mengne ni personal... Ninapataje namba yko?

    • @CatherineUdamwa
      @CatherineUdamwa 4 หลายเดือนก่อน

      Kuna namba hapo kaiweka hujaona

  • @aminrashid991
    @aminrashid991 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂mimi nilikitia ndoo vibaya kamba ya ndoo nikasikia nimeraruka na hapo ndio nilimwaga damu tu kwahiyo sijui uchunvu mimi wa mwanaume na tabia ingine baisikile

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hivi hayo yamepitwa na wakati

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna jirani yetu walichinja kuku wakapaka kitambaa damu asubui wakamtengeza kuku wakala nyama😂aibu

  • @akimzeli5030
    @akimzeli5030 6 หลายเดือนก่อน

    Anhaaaaa, kwa kiswahili ndio huitwa KIZINDA.

    • @ZahraYahya-lh2lb
      @ZahraYahya-lh2lb 6 หลายเดือนก่อน

      Ahahaha kwhy we umeelewa kizinda tu

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 6 หลายเดือนก่อน +5

    Dr:ata uandaliwe vp siku ya kwanza kuumia lazima kaaaah mwili na ndo kwanza unapokea kitu kigeni

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 3 หลายเดือนก่อน

      Wallah

  • @zamratallly4191
    @zamratallly4191 4 หลายเดือนก่อน

    Wazee wetu wakipemba hawawez kukuelewa, watakuona chawa tu😅😅😅

  • @AbdulMajid-pb2sx
    @AbdulMajid-pb2sx 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kizinda kama kizinda😂

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 5 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣

    • @Aidhjuma
      @Aidhjuma 29 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rojajuma8121
    @rojajuma8121 5 หลายเดือนก่อน +4

    NAONA ULICHO ANDIK SICHO ULICHO KIZUNUMZIA WEW UNATUZUNGUSHA TU TUNATAK KUJUWA ZILOTENGENEZWA ZINA KUWA ILA UNATUFAFANULIA TU AINA ZA BKIR WAKT TUNATK KUJUWA ZAKUTENGEZA KM KICHWACHA HABR KINAVO SEM ILA KM NIMETUMIA LUHA MBAYA JUU Y MANENO YNGU SMHN DADA

    • @marykhati1249
      @marykhati1249 4 หลายเดือนก่อน

      True kutuzungushatu

    • @naominyaitondi2241
      @naominyaitondi2241 4 หลายเดือนก่อน

      Hata mm nimemshangaa, amekuwa Kama Nollywood movie haiedani na kichwa ka!

  • @user-kx5ip6ib6o
    @user-kx5ip6ib6o 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa kama mwanaume ako na toothpick, damu ya ubikra itatoka aje?😎😎😎🤗🍆💃🏿😋😥🍷

    • @user-zi7kk3bi7t
      @user-zi7kk3bi7t 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @Winleizerabdy
      @Winleizerabdy 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kama unapenda vitu nono wewe😂😂😂😂

    • @user-kx5ip6ib6o
      @user-kx5ip6ib6o 4 หลายเดือนก่อน

      @@Winleizerabdy 🤣🤣🤣🤣

  • @user-ig4vb5fv6o
    @user-ig4vb5fv6o 5 หลายเดือนก่อน

    Xx

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 6 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni usenge endeleeni uzinzi na mungu anawasubiri

    • @fatmatraashidu8522
      @fatmatraashidu8522 5 หลายเดือนก่อน +1

      Umachekeshaa Kweliii🤣🤣🤣🤣🤣

    • @fatmatraashidu8522
      @fatmatraashidu8522 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani Ziliumbwaa kwaajili Ganii🤣🤣🤣

    • @ReginaBenjamin-ij2ec
      @ReginaBenjamin-ij2ec 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 we ni kibok

  • @user-bl4vy5bo4f
    @user-bl4vy5bo4f 6 หลายเดือนก่อน

    Kizinda ndio nini? Au ndio kuma?

    • @d15355
      @d15355 6 หลายเดือนก่อน

      bikra/hymen

    • @MahraMansoor5969
      @MahraMansoor5969 6 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 5 หลายเดือนก่อน

      Hahaha kizinda ni bikra

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 5 หลายเดือนก่อน

      Ndio bikra yenyewe

  • @user-gz5qu5qy1y
    @user-gz5qu5qy1y 6 หลายเดือนก่อน

    Huu ni ujinga na ni Aibu kufanya hili jambo la kuwapa kitambaa

    • @d15355
      @d15355 6 หลายเดือนก่อน

      ili siri yao ya ufuska isijulikane sio

    • @user-gz5qu5qy1y
      @user-gz5qu5qy1y 6 หลายเดือนก่อน

      @@d15355 ni Aibu kama ikitokeza hana bikra au bikra yake hatoki damu watu watamdhaniaje baaada ya kujulikana na watu kua kitambaa hakikushika damu kwaiyo sio sawa

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna ujinga naona vizur ufuska ujulikane umeqnza mdog mapema kabra yandow😂

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 6 หลายเดือนก่อน +1

      Watu wa pwani hii Tabia hawaach bint akiolewa kitambaa😢

    • @d15355
      @d15355 6 หลายเดือนก่อน

      udange weeee halafu uje kusema nataka kuolewaaa eti bikra si lazima, sasa nani ale makombo ya watu wengine? weka kitambaa tujue bikra nani kapi nani, msitudanganye toka enzi za mitume bikra inatoka kwa kuingiliwa au kuingizwa kitu hoja eti unaweza ukaingiliwa halafu bikra isitoke huo ni uonngo na hamjawahi kutuonesha mtu wa namna hiyo nahisi itakuwa inatokea kwa Dajjal kupitia vibaraka wao freemasons@@MdNasr-jm8pj​

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 6 หลายเดือนก่อน +9

    Walaaniwe wote wanaotaka kurejesha Hymen ili ktk ndoa waonekane ni Mabikra wkt walishaingiliw
    Wezi wakubwa

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 5 หลายเดือนก่อน +3

      Mbn mnaibiwa sana tu tena sikuhiz ndo balaa kwa sisi waislam tunataka tuonekane si wazinifu tusifiwe kwahiyo lazima tuwawekee bikra fake ila ukweli skuhiz bikra hakuna vitoto vidogo vimekwisha yan utashangaa