Kuna wazuri wako huko nje wanahangaika hawana waume,endelea mchukulia poa mumeo - Ukht Fatma Mdidi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 101

  • @saidindizeye2206
    @saidindizeye2206 7 หลายเดือนก่อน +4

    dah! ukhty maada nzuri saana twakuomba angalau kwetu BURUNDI kwa maana ndoa zaangamia balaaa... wa jazzakallah kheir

  • @rukiamashaka7577
    @rukiamashaka7577 7 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah nakupenda Mungu akulipe akujengee nyumba peponi in shaa Allah

  • @user-ei1cz9dv7i
    @user-ei1cz9dv7i 7 หลายเดือนก่อน +1

    Maashallah dada kwakweli tukiyasikia mawaidha yako tunaimarika saana na pia tunapata kujiamini

  • @zaerajuma9159
    @zaerajuma9159 8 หลายเดือนก่อน +5

    Karibu kwetu Burundi 🇧🇮

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asante dada yangu mwenyezi mungu akusaidiye rakira raeri dada yangu masharraa

  • @user-kn5bv3qj8p
    @user-kn5bv3qj8p 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera saana ukhty, Allah akuzidishie ufahamu na uzidi kutuelimisha nasi kwa upana na marefu zaidi.

  • @user-yi9to2lv7b
    @user-yi9to2lv7b 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akupe umli mlefu

  • @fatmahussein1238
    @fatmahussein1238 7 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah ukhty Allah akuzidishie hikma una nasaha nzuri sana❤❤❤

  • @user-np5jo4wv5f
    @user-np5jo4wv5f 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana ukht pammana sana usikate tamaa huu ni ulimwengu ulio kosa taaluma bora yeye niko zanzibar

  • @user-qg4hg4hz6y
    @user-qg4hg4hz6y 6 หลายเดือนก่อน

    Kazakallahu khaira😊 darasa hii nzuri sana ukht maashaalla

  • @hassanalhusein1819
    @hassanalhusein1819 6 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum
    Daaaah kweli ni msiba ata mm ninapata elimu ingali naona vijana wengi wanapigana kisa mke kanunua nguo lakin hajawahi uliza mkewang anaendaga wap anarudi mudagan kajisitiri vp na wengine ata ibadat ningumu anategemea familianjema kupitia familia ambayo aifwati Mungu, toa ilimu dada yangu Mungu anakuona atakama sisi atukuoni bimana shetan ametekauma huu wahii kaum

  • @feiswalsalim2117
    @feiswalsalim2117 6 หลายเดือนก่อน

    Mim na mkee akuqe maaidizi wamalengo na mwelekezi wa maisha yetu ndio sababu yakuowa mkee mqema

  • @GHOSTWORKER19
    @GHOSTWORKER19 8 หลายเดือนก่อน +2

    Following closely from Kenya 🇰🇪. ALLAH BARIK.

  • @user-yh3gk4fg1b
    @user-yh3gk4fg1b 5 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda kwa ajili ya allah

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 7 หลายเดือนก่อน

    MashaALLAH tabaraka LAAH, salute kwa khudba njema yenye maadili mema nakupa kongole

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asalaam aleikum warhatullah wa barakatuh hajath mawadha mazuri sana maisha Allah

  • @nuruhabibasally
    @nuruhabibasally 7 หลายเดือนก่อน

    Asante usthadha kwa mawaidha insha'allah mwezi mungu atujaliee kheri ya dunia hata akhera insha'allah 🤲🤲

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 7 หลายเดือนก่อน +2

    Namtafa mwenye dini na tabia njema mwembamba mrefu umri 20-25 rangi si tatizo iwe ni ya asili kwa ajili ya Allah

  • @a.856
    @a.856 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallah khayran

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 8 หลายเดือนก่อน +3

    Yani ni kweli kabisa kuna watu wengi sana wanazini na wanajua wako kwenye ndoa.

    • @TatuRajabu-cz6jz
      @TatuRajabu-cz6jz 8 หลายเดือนก่อน

      Kunasababu,na subira inahitajika pia,huwezi kutoka bila sababu

    • @ishaerly5675
      @ishaerly5675 7 หลายเดือนก่อน +3

      @@TatuRajabu-cz6jz hakuna sababu itakayo fanya mtu azini nje ya ndoa,ikitokea kama mwanaume ana tatizo mwanamke ana haki na kushauriana na mumewe ili watatuwe hio tatizo na ikishindikana mke ana haki kuomba talaka ila kwa kuzini hio sio sababu.

    • @mohamedmussa7258
      @mohamedmussa7258 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@TatuRajabu-cz6jz unachukuliaje Jambo la kizini??? Hakika ni Jambo baua kabisa muislam kizini. Na kwasasa imekuwa ni Jambo la kawaida mpaka mtu unasema kunasababu!!!! Allaahul mistaan

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 7 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@TatuRajabu-cz6jz kuwe na sabb kusiwe na sababa dadangu zinaa imekatazwa ni dhamb kubwa sana Mwenyezimung ajasema katika ndoa mkiwa na sababu zenu mutoke nje ya ndoa sheria zipo zimewekwe ikiwa hakuna maelewan mazur kwenye ndoa unafata sheria na utaratib wak ...Dini yetu rahis sana ila ss tunaifany kuw ngumu Allahuyaalam

  • @OpokaKasim
    @OpokaKasim 7 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah mama

  • @user-sc2yg9vr6y
    @user-sc2yg9vr6y 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allwah akubaariki dada yang

  • @thedon8467
    @thedon8467 6 หลายเดือนก่อน

    Jambo zuri hili

  • @tembeleyamungu3230
    @tembeleyamungu3230 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mungu akufanyie wepesi amiin.

  • @user-rn6ui9vs7u
    @user-rn6ui9vs7u 6 หลายเดือนก่อน

    Maashallah tabaraallah ❤

  • @user-uk5fp5sx7g
    @user-uk5fp5sx7g 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 8 หลายเดือนก่อน +6

    Hii ni kinyume, tukikaa hatucheki bali tunalia.😭😭😭😭😭 yaa rabbi tujaalie waume wema na wake wema. Ila mwanamume akiwa mwanamme kweli na mwanamke anakua mwana mke kweli.

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 8 หลายเดือนก่อน +1

    Masha ALLAH

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 7 หลายเดือนก่อน

    BarakaAllah

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 7 หลายเดือนก่อน

    Musisahau kupitia na kwangu wapenzi watazamaji ❤❤❤

  • @user-dp3kv2bj8o
    @user-dp3kv2bj8o 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah tabarakaallah Allahuakbar 😘🥰

  • @abuhudhaifashomary4988
    @abuhudhaifashomary4988 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @user-mr7gl5ox6u
    @user-mr7gl5ox6u 7 หลายเดือนก่อน +2

    Pia mnapenda kuhukum mtu cjui watu wapoje me wananiuz kwakwel na mnatafsir dini vibaya et saut sasa saut what?

  • @vbffgh4106
    @vbffgh4106 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @JohnAlmasi-hd9lf
    @JohnAlmasi-hd9lf 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah 😂😂wambie ukeli wamabo ndoa ni mzuri sana Bora uvumilie

  • @hamadbakar7091
    @hamadbakar7091 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yani nyinyi munao kosowa nyinyi wanaume tena acheni ubwege huoo

  • @user-yo8md2tc6f
    @user-yo8md2tc6f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kaeni nyinyi basi mtoe ayo mawaidha si wanaume nyinyi

  • @user-tn8wl1jz8t
    @user-tn8wl1jz8t 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaaallaah

  • @user-jp3gi1pr2i
    @user-jp3gi1pr2i 8 หลายเดือนก่อน

    Walykm salm

  • @alifayadh9005
    @alifayadh9005 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sema ukweli mama that's the truth Allah akuhifadhi wenye ku complain na hii daawa nikia uko weak na ndo wako aidha mume or mke ndio haikufurashi ukweli

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama yangu Allah akulipe walinganiye

  • @hamadbakar7091
    @hamadbakar7091 7 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi wengine kwanza nendeni mukasome maana inaonekana munakasirika kwa kulinganiwa washenzi nyinyi na chaajabu wengi muliokosowa ni wanawake na nyinyi wanaume ni mabwege tuu inaonekana mumezoweya kufanyiwa hayo majanga na munaridhika nayo

  • @user-zf9ee1us6p
    @user-zf9ee1us6p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah, safi

  • @user-rm3vd6yi8f
    @user-rm3vd6yi8f 6 หลายเดือนก่อน

    Waislam acheni kutoa maneno yasio maan acheni watu wafike ujumbe hawa hawaiimbi nyimbo

  • @yia73
    @yia73 8 หลายเดือนก่อน +1

    Assalam alaikum wako wapi madada tuka lete uposa InshaAllah

  • @NsanzabahiziRehema
    @NsanzabahiziRehema 7 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu Burundi 🇧🇮❤

  • @user-lq7bv9pb3h
    @user-lq7bv9pb3h 7 หลายเดือนก่อน

    Unaziniwa,,na,,waumeambao,,siwaumezako jitazamekwanzawewe mzimamowakonisahihi huonikwamba unatoka,njeyandoa,kwakujirusha,mtandaoni nakama,,unafikira,,jitoemtandaoni

  • @usrahismail3196
    @usrahismail3196 6 หลายเดือนก่อน

    Ila wanamtandao wamefanya kosa kuweka picha za wasichana kuwaanika

  • @feiswalsalim2117
    @feiswalsalim2117 6 หลายเดือนก่อน

    Aslm dada hata mwanayo wakiume anaezakuwa mlinzi na mkinga viwangi husishwa

  • @hashimsalim1203
    @hashimsalim1203 8 หลายเดือนก่อน

    Mm nko tayari halali ndio tunataka dada wko wpi

  • @AbdulWahab-rm9ei
    @AbdulWahab-rm9ei 8 หลายเดือนก่อน

    Nataka bibi Niko tayari

  • @hafidhalikitutu-hq1dt
    @hafidhalikitutu-hq1dt 7 หลายเดือนก่อน

    Assalaam alaykum warahmatullah acheni hasadi kwani anaimba

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie 6 หลายเดือนก่อน

    Napata vip namba za ukhty fatma plss

  • @user-mr7gl5ox6u
    @user-mr7gl5ox6u 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wananiuz much know et uislam umekataza mwanamke asitoe elim mtandaon enz hizo mtandao ulikuwepo pia hadi afanye darasa hapo hakujua hilo mnajifanya waislam sana et asitoe elim hadharan mnataka atoe elim chumban piten kule tunamsikiliza na yanatusaidia sana na tunaxid kumuombea heri every day

    • @user-ec8rf2bp3b
      @user-ec8rf2bp3b 7 หลายเดือนก่อน

      Anatuelimisha sisi ambao hatijapaya muda wa kuhudhuria dars hizo

    • @user-ec8rf2bp3b
      @user-ec8rf2bp3b 7 หลายเดือนก่อน

      Kama ww unaudhika tuachie cc tunaofaidika na mafunzo haya

  • @Mariam-od8ok
    @Mariam-od8ok 7 หลายเดือนก่อน

    Faida unatoa ila kpz chg saut ya mwanamke ni stra unavojianika mtandaoni sio maadili ya uislam kwa mwanamke

    • @user-kn5bv3qj8p
      @user-kn5bv3qj8p 7 หลายเดือนก่อน

      Faida yako nn,kama uko elimu na hutaifundisha,,,,,,mwenzako anaifundisha wee wasema anajianika mitandaoni....Acha husuda wewe..

  • @JohnAlmasi-hd9lf
    @JohnAlmasi-hd9lf 7 หลายเดือนก่อน

    SI hiza Malaki ya mapesa munigawiee

  • @mohamedmussa7258
    @mohamedmussa7258 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa hizi darsa za wanawake kwann mwazirusha TH-cam??? Hakika ni haramu mwanamke kupaza sauti yake mbele za wanaume.
    Halaf nahuyo cameraman mbona anawarecord audience??

  • @user-lq7bv9pb3h
    @user-lq7bv9pb3h 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli unatoa,,elimu,,lakini,,,uko,n'nje,ya,,stara,,sautiyako,,na,,surayako hutakiwi,,kuonekana,,na,,waume,,ambaosiwaumezako kama,unaaminihivyo,,jiepushena,mitandao

  • @AmriAmri-hy6sg
    @AmriAmri-hy6sg 7 หลายเดือนก่อน +14

    Acheni ujinga hamna wema hata elim yenu ni finyu huyu mama anaongea nawakina mama wenzake kosa lipowapi? Hakuwaita muingie k chaneli yake acheni wenye akili wafaidke na mawaidha

    • @user-kn5bv3qj8p
      @user-kn5bv3qj8p 7 หลายเดือนก่อน +1

      Umesema kweli,,mm mukenya lakini natamani saana mawaidha ya ukhut.

    • @alifayadh9005
      @alifayadh9005 7 หลายเดือนก่อน +1

      Swadakta mama Allah akuhifafhi duniani na akhera

    • @alifayadh9005
      @alifayadh9005 7 หลายเดือนก่อน +1

      Akuhifadhi

    • @fahamimiraji2338
      @fahamimiraji2338 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mashallah allah akulipe mama

    • @user-gj4lw8rh3h
      @user-gj4lw8rh3h 6 หลายเดือนก่อน +1

      Bora wachukue maan mume mwenyewe ukimwambia kusukuvaa Ana dai nguo zenu ziko gali lkn yuaomba mungu ampe pesa aongeze mke aya uyu nae utamwambia nn wakati dera moja limemshi je mawili ata weza wangu naende iliakapate amlete ndoani ayaone vzr

  • @josephkalwani
    @josephkalwani 8 หลายเดือนก่อน

    Hata kwetu kwenye ukristo hatufundishiwi hivi mabinti kwaajiri ya ndoa

  • @user-yo8md2tc6f
    @user-yo8md2tc6f 7 หลายเดือนก่อน

    Acheni mambo ya kijinga nyinyi kwaio asitoe mawaidha au?

  • @johnwilson2969
    @johnwilson2969 7 หลายเดือนก่อน

    Swali Kama ndoa ni lbada kwa nini sasa wakati wakisha ndoa mnasema muone kwa wema namuwachane kwa wema lnakuje kuhusu kuhalalisha kuachana au taraka na hii niIBADA KUU

    • @halimambwanachamosihumans7134
      @halimambwanachamosihumans7134 7 หลายเดือนก่อน

      Ni ubinadamu mkishindwana basi muachane kwa wema na si kutesana au mmoja kuteseka ,

    • @user-kn5bv3qj8p
      @user-kn5bv3qj8p 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@halimambwanachamosihumans7134MashaAllah, dada umepatia jawabu,,mwenye swali kimya.

  • @saidsobongo912
    @saidsobongo912 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hukatazi kusomesha lakn tumia njia iliyo fundishwa kwani kunawanawake wangapi wanaelimu nawanafundisha majumbani badlika dada Kwa Allah pya kuna maswali

    • @haroubhbm5728
      @haroubhbm5728 8 หลายเดือนก่อน +2

      Unapotaka kumkosoa mtu tafuta njia mzuri ya kumkosoa na sio mipasho tumia hekma kwa mfano ingependeza zaidi kutumia burka usionekane sura yako hapo kidogo ingependeza zaidi Allah atuongoze zaid samahani kama itakuwa nimekukwaza kwa kukujibu😊❤

    • @saidsobongo912
      @saidsobongo912 8 หลายเดือนก่อน

      @@haroubhbm5728 umeongea vzr ila ukitazama comment yangu ya mwanzo katka hizo comment mbili nilizo tuma utaelewa kua nimeanza vip kwahvo nashauri hakikisha unajibu kwa kuelewa alicho ongea mtu sorry

    • @mamuamtoto
      @mamuamtoto 8 หลายเดือนก่อน +3

      @saidobongo912&haroubhbm5728:Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Ukhty Fatma anaongea vizuri hakuna mipasho,mm napendelea aelimishe mitandaoni

    • @saidsobongo912
      @saidsobongo912 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@mamuamtoto mimi cjasema yakua hazungumzi vzr bl uisilam hauruhusu mwanamke kutangaza dini kwa njia hyo

    • @ZuberiZuberi-oi9ci
      @ZuberiZuberi-oi9ci 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera dada yetu kwa kuzungumza na wanaweke wenzio na kuwpa elim

  • @saidsobongo912
    @saidsobongo912 8 หลายเดือนก่อน +5

    Faida unatoa ila kazi hii yakujitangaza kama mwanamke au kufanya kazi ya Kutangaza dini kwa njihii umeipata wapi katika uisilam
    Au umesahau allah na mtume yuwasema nini kuhusu manamke kujihifadh kuanzia saut yake na mengne..

    • @silvergibson2656
      @silvergibson2656 8 หลายเดือนก่อน

      Yeye ni mfano wa Bi Aisha

    • @hamisigunguda9715
      @hamisigunguda9715 8 หลายเดือนก่อน

      Miaka 20_35 . anayetaka kuolewa sifa dini, mwili mkubwa, mweupe, mwadilifu

    • @safaamohammed8704
      @safaamohammed8704 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sijamuona km kalegeza sauti hapo
      Au hakuvaa mavazi ambayo hayatakiwi amejistiri alhamdulillah sasa mengne yep
      Tusiufanye uislam wetu ukawa mgumu

    • @OthmanRashidRashid
      @OthmanRashidRashid 7 หลายเดือนก่อน

      No no no no saut hiyo mama

    • @user-mr7gl5ox6u
      @user-mr7gl5ox6u 7 หลายเดือนก่อน

      Mnataka ajifiche ndan mnaopendq kukosoa watu nyie ndo wakwanza kufanya dhamb endelea Uht tunakusikiliza

  • @husnamasoud4989
    @husnamasoud4989 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @mwanahamisiselemani7119
    @mwanahamisiselemani7119 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah