NKASI - RUKWA KIMEUMANA! MAKONDA AMBANANISHA MKURUGENZI - ''MTAOTA NYWELE MWAKA HUU''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2024
  • NKASI - RUKWA KIMEUMANA! MAKONDA AMBANANISHA MKURUGENZI - ''MTAOTA NYWELE MWAKA HUU''...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 66

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 หลายเดือนก่อน +1

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @2003hintay
    @2003hintay 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana mwenezi kwa kazi yako nzuri unawahangaikia wananchi. Hapa viongozi wengine waoni jinsi wananchi wanavyodhulumiwa na watendaji tu halafu lawama kwa Rais mbaya sana

  • @user-ql3le2ve9g
    @user-ql3le2ve9g 5 หลายเดือนก่อน +5

    libarikiwe tumbo lililokuzaa Na Yesu akutunze Makonda

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 5 หลายเดือนก่อน +4

    Big up Makonda. Hebu Viongozi wengine muone aibu kwa ujinga mnaoufanya.

  • @jafariramadhani3264
    @jafariramadhani3264 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka makonda Kwa kazi inayo ifanya mungu akupe maisha malefu

  • @SalumuWawa
    @SalumuWawa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda mungu akubariki sana kwa unavyo Saidia wananchi wa Tanzania

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 5 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda upewekibali na allaah

  • @victoriamkilya928
    @victoriamkilya928 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutunze Makonda!

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubaliki makandonda

  • @AbidoniSingano
    @AbidoniSingano 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera kwa maamuzi magumu akatafute usafiri

  • @jumakubili1512
    @jumakubili1512 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mweshimiwa Makonda pole sana kwa kazi ngumu, ili taifa ni kichwa Cha mwandawazim maana Kila sekta ni shida

  • @richdivah2562
    @richdivah2562 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda MUNGU akuweke❤❤❤❤❤

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 5 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda hakika una msaidia mama

  • @samsonmwaipaja4839
    @samsonmwaipaja4839 5 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Makonda songa mbele ninakuombea

  • @user-pb8nz3nv6v
    @user-pb8nz3nv6v 5 หลายเดือนก่อน

    Teacher wangu umeniangusha sana.

  • @victoriamkilya928
    @victoriamkilya928 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani hao huku manispaa ni shidaaa

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaka huu baadhi ya viongozi mtanyolewa nywele 😅😅😅😅

  • @sankawila2689
    @sankawila2689 5 หลายเดือนก่อน +2

    uyo mkulugenzi tapeli tena sanaa

  • @everlisamsyananah1867
    @everlisamsyananah1867 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hatareeee

  • @robertchugu7932
    @robertchugu7932 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu alie msema polc ata teseka sana 😂😂😂😂😂

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis 5 หลายเดือนก่อน +1

      Aisee Mungu amlinde, eti mm namchukia huyu 😂😂😂😂

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 5 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you makonda

  • @lucaschipanga4466
    @lucaschipanga4466 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unge kuwa Rais ungefukuza watu wengi sana sema huna mamrakaa omba kimbari kwa mama ufukunze wengine wanaasiri maiha yawatuuu

  • @yohanasimbeye6239
    @yohanasimbeye6239 5 หลายเดือนก่อน

    Nkasi oyeeeeee

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kero ni nyingi ! Nchi ni kubwa !
    Mh, Makonda ni mmoja ! Ktk hali kama hiyo atafanyaje ?

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Makonda Allah azidi kukuongoza 6:04

  • @astrinomgesi-np5xv
    @astrinomgesi-np5xv 5 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaa

  • @DavidMalimbegu-dq8tp
    @DavidMalimbegu-dq8tp 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ningeomba msiishie hapo tu iwe endelevu Mweshimiwa Makonda

  • @eliachacky7562
    @eliachacky7562 5 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali ni zuri ila wasaidizi wa rahisi wanamfelisha rahisi

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 5 หลายเดือนก่อน

    Tz hatuwezi kusonga mbere kwa roho mbaya iz tunazofanyiana wenyewe kwa wenyewe mtu hanafanya kaz haki yake hapewi Yan viongozi wahovyo sana wanajijari wenyewe tu na matumbo Yao bahadh Yao wanaribu sana utaratibu wa kaz wao wanachukua pesa wanakura

  • @user-nr2ud1dm3y
    @user-nr2ud1dm3y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watumishi wanao wasumbua wadai haki zao. Mungu awape haki yenu mnayostahiri.

    • @BawiliMustapha
      @BawiliMustapha 4 หลายเดือนก่อน

      Muheshimiwa uje uone madudu Hadi kwenye kata za mwambaoni kuna shida

  • @nancyronaldmasawe8625
    @nancyronaldmasawe8625 5 หลายเดือนก่อน +1

    Juakali

  • @kassimyassini
    @kassimyassini 5 หลายเดือนก่อน +1

    Piga kazi namkumbuka maguful mzee wangu ndio mapigo yake aya ❤

  • @user-ws2uw5rd8i
    @user-ws2uw5rd8i 5 หลายเดือนก่อน

    Nchi ilioza wananchi wanakelo wapi wazipelele wanaishi kama hawapo kwenye nchi yao tunamshukulu mungu kutuletea makonda

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Mkurugenzi hafai enzi za Magufuri angeondoka leo leo.

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 5 หลายเดือนก่อน

      Na waliomrangulia nao hawafai? Maana yeye maden kayakuta yana muda mrefu.

  • @OmaryHabibu-gs7ld
    @OmaryHabibu-gs7ld 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweri hapa raisi Kuna wakuu wa mikoa wakugenzi wakifukizwa kabisa mapema

  • @leobalige7069
    @leobalige7069 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko wengi serikali inatudhulumu sana

  • @asumwisyebambengile6535
    @asumwisyebambengile6535 5 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you Mr PCM

  • @user-uw6kp8tu5n
    @user-uw6kp8tu5n 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mgurugenzi amekutana na chuma

  • @user-vp1zu3fb5w
    @user-vp1zu3fb5w 5 หลายเดือนก่อน +1

    MIMI NAJIULIZA HAO VIONGOZI MNAOTULETEA KUJA KULA KODI ZETU IKIWEMO WAKUU WA WILAYA PAMOJA NA WAKUU WA MIKOA SASA HAO VIONGOZI WANAFAIDA GANI ZAIDI YA KUONEWA WALIPA KODI?!

  • @jahnsele
    @jahnsele 4 หลายเดือนก่อน

    hii ndio ina itwa "Unkwepekable" mbele ya Konda Boy

  • @nayopamlimbatv1382
    @nayopamlimbatv1382 5 หลายเดือนก่อน

    Ila wakurugenzi wa Tz sijui wana shida gani jamani

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 5 หลายเดือนก่อน

    Chapa kazi kaka

  • @ShaibWazir
    @ShaibWazir 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba walaji watumbuliwe hakuna kubembelezwa

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 4 หลายเดือนก่อน

    Mm nasikia hasira na hii mi viongozi mi bogus imekaa kula rushwa tu😮

  • @user-yw1rq3xj1q
    @user-yw1rq3xj1q 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mkurugez madeni Atari kimeumanaa😂😂

    • @elizabethmiho9574
      @elizabethmiho9574 5 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂😂😂😂😂😂kabananishwa .kijasho kinatoka.

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda tunakuelewa mafisadi ndo awakuelewi piga kazi 2030 vile vijamaa vitakua vishazeeka Ww utakua president

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 5 หลายเดือนก่อน

    Awa wakulugenzi kwanini wanakua Awawajali WANANCHI wao wanavimba matumbo yao Tu 😂😂😂

  • @mtangag774
    @mtangag774 5 หลายเดือนก่อน

    Saf makonda

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 5 หลายเดือนก่อน

    Mkurugenzi hafai mwizi

  • @mwankenjatv9330
    @mwankenjatv9330 5 หลายเดือนก่อน

    Mambo ni mengi mda ni mchache.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 5 หลายเดือนก่อน

    😪

  • @astrinomgesi-np5xv
    @astrinomgesi-np5xv 5 หลายเดือนก่อน

    Fukuza kazi huyooo

  • @bilid4128
    @bilid4128 5 หลายเดือนก่อน

    Kwamba hizo hela kwa ajili ya kituo cha afya mkuregenzi hakupokea ama ?

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 5 หลายเดือนก่อน

    Wakurugenzi nitatizo kubwa

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 5 หลายเดือนก่อน

    Ukiona hivyo kuna tatizo.

  • @VitusEmmanuel-pe3yi
    @VitusEmmanuel-pe3yi 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika mungu umetusikia baada ya magufuli ni wewe kwanini usipewe urais tu

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi797 5 หลายเดือนก่อน

    Lijualikali😂😂😂

    • @agnesdeogratius7018
      @agnesdeogratius7018 5 หลายเดือนก่อน

      Ahaahaha mkuu wa wilaya ya namanyere uyo Pete Ambrose lijualikali

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 5 หลายเดือนก่อน

    Polisi ni tatizo hawafuati sheria ,wezi,wanyonyaji wanafanya kazi watakavyo nakudhurum wanchi

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda amekuwa mahakama,na hii inamaanisha,hakuna justice huko kwa wananchi.
    CCM hatupaswi kufurahia haya.
    Kwani ni tafsiri ya watendaji na mahakama kutofanya kazi inavyopaswa,
    CCM Makonda anatuumbua na wananchi,wanatudhirishia kuwa huko chini hatupo kazini.

    • @owenmutale8686
      @owenmutale8686 5 หลายเดือนก่อน +1

      Katafute bwana choko ulitaka watu wasilipwe

  • @gefreymtalo5613
    @gefreymtalo5613 5 หลายเดือนก่อน

    CCM NI ILEILE NA MAMBO
    NI YALE YALE AKILI KICHWANI KWAKO