MAKONDA AKASIRIKA na KUVUNJA MKUTANO! INJINIA APATA UGONJWA wa MOYO KISA MADENI na ANAIDAI SERIKALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 351

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 หลายเดือนก่อน +19

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @AliMkumbukwa
    @AliMkumbukwa 8 หลายเดือนก่อน +63

    Vote for president to be makondaa
    Kma waungan NAMI piga like Kwa niaba ya makonda

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 8 หลายเดือนก่อน +117

    Mungu hatokaa kimya kwaajili ya wanao mpinga makonda , tena mipango yenu mibaya juu ya makonda ,haitafanikiwa Mungu atamlinda vyema kwani nikiongozi anae lia na wanao lia , wanao muombea makonda na tuungane tumuombee , weka like zakutosha,

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 8 หลายเดือนก่อน +3

      Ndio aombewe raisi wa Sasa kafeli makonda ndio anatakiwa awe raisi

    • @Mimi.Official
      @Mimi.Official 8 หลายเดือนก่อน +3

      Mimi sio mtanzania ila napenda uongozi wa makonda

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@Hussein-gx4qukabisaa!nchi Kama haina Rais sijui huyu Mama afikiria nini haijahi UoNgozi mmbovu Kama kipindi hiki miririko dhulunma kila Siku ! Mungu akulinde Sana Makonda

    • @Soudbako
      @Soudbako 8 หลายเดือนก่อน

      That true

    • @martinsimtenda5990
      @martinsimtenda5990 8 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli Mungu ni mkuu na hatanyamaza kabisa

  • @josephatraymond4902
    @josephatraymond4902 7 หลายเดือนก่อน +6

    Umeniliza kwa busara zako. Pole mzee na Mungu anakutia nguvu sababu ya kujipa moyo ungeshakufa na pressure

  • @ChristinaElias-e8v
    @ChristinaElias-e8v 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akupiganie mheshimiwa makonda akunyanyue zaidi unatufaa sana

  • @MoseSolongo-n8d
    @MoseSolongo-n8d 8 หลายเดือนก่อน +45

    Mimi niko Marecan Mungu zidi kumurinda Makonda tena sana kama kunamichango yawanyonge niko tamari kuchanga asant 🎉

  • @shamtemandai7221
    @shamtemandai7221 8 หลายเดือนก่อน +20

    Hongera mhe mkuu wa mkoa nakupa pongezi ya kutaka kujua kero za wananchi kwa watumishi wetu yako mengi pambana mungu akutie nguvu usichoke kazi ndio imeanza tusonge mbele

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 8 หลายเดือนก่อน +10

    Masikini baba wawatu anaonekanaa mpoleee na mnyenyekevu, poleeee sanaa Mungu atakurudishia kila ulichopoteza

  • @LucasMalima-i9b
    @LucasMalima-i9b 8 หลายเดือนก่อน +23

    Kaka pole hata Mimi lukas nimetokea na machozi dada inauma ila nakuomba usikatwishe moyo na wenye dhuruma mtangulize mungu nimwema utapata majibu amina

  • @ally1702
    @ally1702 8 หลายเดือนก่อน +15

    Yaani jana nilikuwa naifatilia live nikajikuta machozi yananitoka tu leo nimeirejea tena ni vile vile nikaamua kupitia coment dah nazo ndo zimeliza pia mungu saidia wonyenge wasio na sauti na walipie haki zao zitoke kwenye mikono ya hao hao waliowazulumu nao wazilipe kwa maumivu makali kama waliosababishia wenzio amin amin amin

    • @samkoka3
      @samkoka3 8 หลายเดือนก่อน

      Tunalia wote aisee mm mpaka nashindwa kuangalia simu

  • @selestinamchira6156
    @selestinamchira6156 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutetee shemeji yangu..haki yako ipo mpendwa wetu...

  • @starmz428
    @starmz428 8 หลายเดือนก่อน +24

    future presidents of Tanzania paul makonda

    • @mathiaslyamunda2526
      @mathiaslyamunda2526 8 หลายเดือนก่อน

      Hii nchi inahitaji Kiongozi atakayetuondoa kwenye Mazoea

    • @FranklinMtei
      @FranklinMtei 8 หลายเดือนก่อน

      Sitashangaa

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha 8 หลายเดือนก่อน +25

    Kweli hivi serikali inafanya kazi kila kona nivilio na ukivisikia na wewe unaanza Lia Makonda Mungu yupo pamoja nawe

  • @marryngaiza2061
    @marryngaiza2061 8 หลายเดือนก่อน +5

    Inatisha pole engineer. Mungu atakulipa haki yako

  • @ElisanteNjau
    @ElisanteNjau 8 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda asante asante tena,,Mungu akutunze hakika

  • @ibahatimoses6431
    @ibahatimoses6431 8 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sanaa Eng Shelutete kwa kupitia changamoto yakutokulipwa hakizako tunaamini MUNGU kupitia kiongozi makini MH.Makonda kiongizi makini atahakikisha hakiyako inapatikana.

    • @basharahamtzhalisi6871
      @basharahamtzhalisi6871 7 หลายเดือนก่อน

      Kumbe huyu ndo Engineer Shelutete, Mungu amfanyie wepesi, kumuongoza na kumlinda.

  • @JacksonZakayo-tt3jg
    @JacksonZakayo-tt3jg 8 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda hujawahi kuniangusha brother kazi zako Mungu azidi kukulinda nakuku angazia kilasiku

  • @IreneLaizer-rs9bv
    @IreneLaizer-rs9bv 8 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda Sijui niseme Nini Juu yako....ulinzi wa Mungu uwe Juu yako baba🙏

  • @estameryngogo594
    @estameryngogo594 8 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda Msalaba mzito Sana unao wa kuwawezesha wananchi walioonewa na kudhulumiwa kupata haki zao, Mungu akusimamie.

  • @veronicathomas9422
    @veronicathomas9422 8 หลายเดือนก่อน +19

    Yaan unaweza sema mbona huyu ni engineer mkubwa lakin watoto wake familia wanalia shida kumbe ametenda wema jaman. Imeniuma jasho la mtu kweliii Mungu akufanyie wepes

  • @DenaDuu
    @DenaDuu 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli ukijiona umepoteza mshukuru mungu mana kuna walopoteza zaidi yako bro makonda isikate tamaa komaa ivo ivo naamini mungu yuko pamoja na ww na sisi tunakuombea

  • @HOOFCLANMEDIA
    @HOOFCLANMEDIA 8 หลายเดือนก่อน +20

    Very painful inauma sana tena sana

  • @AlphonceJumanne-y1y
    @AlphonceJumanne-y1y 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda yupo vizuri sana kwenye uongozi 🎉🎉🎉🎉

  • @upendombise8113
    @upendombise8113 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimelia nimelia nimelia Tena 😭😭😭 Eeeeeee mwenyenzi Mungu akubariki mnoooo mnoooo Mh makonda ubarikiwe mpka mshangaeeeeee

  • @halimamsafiri288
    @halimamsafiri288 หลายเดือนก่อน

    Nipo Unated Arab Emirates napenda kusikiliza makonda kuliko bunge ❤❤❤

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 8 หลายเดือนก่อน +20

    Alafu ñdiomnasema asizalilishe wanawake.Kwahivi kweli mnataka mtu awafanyajenye hwa watu wenye dharau namakusudi makubwa hivi.Tena kwarohoo katili kbisa hawana huruma,yeye awahurumie kwalipi.Makonda mungu atakuzidishia.

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 8 หลายเดือนก่อน

      Uone hayo maajabu

  • @Emmanuelmakarata
    @Emmanuelmakarata 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka nakufahamu vizuri wewe ni mpanaji sana

  • @selinpareso137
    @selinpareso137 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana.kipezi cha wanaarusha

  • @Olafkaria123
    @Olafkaria123 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mama samia kuna roho wa mungu alikutembelea ukampeleka huyu mtumishi wa mungu Mh Makonda Arusha ,hii nchi imeuzwa jamani watu wanaonewa sana

  • @khadejarajab844
    @khadejarajab844 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda allah akujalie afya njema inshaallah uzidi kutudaidia wasije wakamkumizai inshaallah

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dah nazani makonda akiingia kulala huwa anaota kesi za watu😢😢

  • @lazarobenjamini8441
    @lazarobenjamini8441 8 หลายเดือนก่อน +7

    Duuu makonda una kazi kubwa ya kufanya ila usiache kumtanguliza Mungu

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 8 หลายเดือนก่อน +5

    Asante Samia kumpeleka makonda Arusha

    • @isakhamisi8923
      @isakhamisi8923 8 หลายเดือนก่อน

      Miaka yote hiyo hao wakuu wa mikoa waliopita cjui walikuwa wakifanya nini kuhudumia wananchi maana hayo matatizo anayokabiliana nayo makonda utafikiri huu mkoa ndio Kwanza update uongozi wa juu. Ahsante makonda.

  • @hasanirajabu3350
    @hasanirajabu3350 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh haya yanapatikana arusha tu je hiyo mikoa mingine watu wanaumia sana jaman daad

  • @estameryngogo594
    @estameryngogo594 8 หลายเดือนก่อน

    Pole engineer Mungu atakufuta machozi

  • @TM.Sullusi
    @TM.Sullusi 8 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli mtu anafanya kaz tena kwa mkataba, halafu anapigwa danadana hadi anaenda kudai kwenye mkutano wa hadhara 😢😢😢. Hii nchi dah

  • @MarryKirway
    @MarryKirway 6 หลายเดือนก่อน

    Pole san

  • @awamiabbas222
    @awamiabbas222 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimejaribu kuwaza hadi chozi limenitoka inaonyesha ni jinsi gani watanzania wengi wanapitia magum kwa kukosa uongozi bora Mungu atusaidie na ikimpendeza zaidi kupitia Makonda watanzania wapate kupona majeraha kwa kumpa kibali cha kuliongoza taifa InshaAllah

    • @denismnubi7001
      @denismnubi7001 8 หลายเดือนก่อน

      Ivi Yule mkuu Wa mkoa alie pewa uenez Wa CCM alikuwa anafanya Nini hapo jameni

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 8 หลายเดือนก่อน +13

    Ukisikia mabweni yanaungua tusilalamike Jamani Jamani Jamani.

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 8 หลายเดือนก่อน +12

    Makonda hiii nchi nimtihani sanaaa ivi viongozi walioko madarakani tuseme 80% niuozo tu kwanini lakini hivi hawamjui mungu au wanaroho za kishetani mungu inusuru Tanzania 🇹🇿 yangu

    • @peterilimwa5754
      @peterilimwa5754 8 หลายเดือนก่อน

      brother hii nnchi mda mwingine nikiwaangalia viongozi hasa rais wa hii nnchi huwa nawashangaa Sana Kaz gani wanafanya

  • @jactonmoris3034
    @jactonmoris3034 8 หลายเดือนก่อน +1

    Watu awaitaji kujua utajiri wako Wala pesa zako wala cheo chako wanachoitaji watu unawajali kias gani God bless you ndug P.C.Makonda

  • @marykirigiti203
    @marykirigiti203 8 หลายเดือนก่อน +19

    machozi ya mkuu wa mkoa hayatapita bure mungu akutie nguvu baba haki inaenda kutendeka mama samia hujakosea mama

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 8 หลายเดือนก่อน +3

    Chapa kazi jembe, ila kazi hiyo ni ngumu sana,, mungu akusimamie duuu.

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 8 หลายเดือนก่อน +5

    Eeeh Mungu lisaidie Taifa hili!

  • @BaloonMacheni
    @BaloonMacheni 8 หลายเดือนก่อน +15

    Dah!!! Inauma sana jamani nanikweli alilazwa kwaajili ya moyo mara baada ya tukio hilo na mazowezi tulikuwa tunafanya nae mazowezi kwa kurekebisha Afya yake

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 8 หลายเดือนก่อน +1

      Yni nimejikuta nalia kwakweli hii nchi najuta kwann nimelaxaliwa

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 8 หลายเดือนก่อน +1

      Tanzania inaviongozi wa ovyo sana hii nchi yni waungwana ni wachache waliowengi ni mashetani

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@ElizabethWamchainauma sana

    • @andreamandari7089
      @andreamandari7089 7 หลายเดือนก่อน

      Daaaaa yaani mamb mengine Dunia ni magumu sana sometimes ndo maana wengine anaona Bora kufa maana ni aibu mkandarasi wa wilaya Leo unakosa hadi nyumba ya watoto wako😭😭😭

    • @geraldadolf4928
      @geraldadolf4928 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@ElizabethWamchahiyo ni trela ngoja uone 2030 kwenda mbele vilio vitakua ni vingi yaani unafkiri ni Arusha tu sio Arusha tu ni kila mahali vilio vinarundikana

  • @verynicemonyo8671
    @verynicemonyo8671 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde makonda

  • @miriamalute1540
    @miriamalute1540 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hivii kwadizaini hii watoto wetu watafaulu kwelii jamani kwamachozi haya Mungu atutetee jamani

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 8 หลายเดือนก่อน +13

    Mkuu wa Mkoa Kachoka chezea Wapigaji wewe 😂😂😂

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu ibariki tanzania mungu bariki watu wake

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kiukweli watu wananyanyaswa sana,inaumiza sana hii watu hawana utu hata kidogo imagine wewe ndiyo unafanyiwa hivyo watoto wanalia hii si sawa watu kuweni na huruma na hofu ya Mungu.

  • @stevedossa4966
    @stevedossa4966 8 หลายเดือนก่อน

    Mh MAKONDA naomba MUNGU kila siku,akuinue zaidi ya hapo,kuna kitu zaidi unatakiwa kuwafanyia Watanzania wanyonge

  • @SophiaAlly-ih2ss
    @SophiaAlly-ih2ss 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana makonda changamoto ni nyingi

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi Rais anayaona haya ?yeye kupokea za kijinga kwa wale wanakula sahani moja naye,ni kwamba hatuna Rais kabisaa😢😢😢😢😢!R IP Magufuli atakumbukwa Sana ❤❤❤
    Makonda Mungu akulinde ❤️

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu saidia watu wako....
    Makonda...MUNGU AKUTIE NGUVU....

  • @BudaMbuta
    @BudaMbuta 8 หลายเดือนก่อน

    Ila arushaa,mhmhmh,mungu anaawaonaaaaa,

  • @philipokusekwa7395
    @philipokusekwa7395 8 หลายเดือนก่อน

    Daaaah Tanzania Tanzanian kweli tumefikia hatua ya kuzulumiana wazi wazi 😢😢😢

  • @TumainiSawee
    @TumainiSawee 8 หลายเดือนก่อน

    Nimegundia kitu watu watachomwa moto kweli mmmmm🙆😭😭😭

  • @MaliusMaliuskagumisa
    @MaliusMaliuskagumisa 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka kaka kaka kaka kaka kaka yangu makonda aiseeeee kiukweri mungutu akusaidie akupe mbinu zakuchanganua hiii mitiani

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 8 หลายเดือนก่อน +7

    Duh!anasema ukweli kutoka moyoni Mungu atakusaidia bro

  • @REHEMAMAFALO
    @REHEMAMAFALO 8 หลายเดือนก่อน

    Pole kk haki Yako haipotei Mungu Yuko na wewe utalipwa usiogope Mungu anafuta machizi yako

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 6 หลายเดือนก่อน

    Huruma sn hawajamtendea.vzr kbsnpole sn mungu atakuponya

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 8 หลายเดือนก่อน

    Nchi ya Tanzania ngumu sana sana watu wana teseka sana system mbaya sana.....hali ya biashara tete 😢😢

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 7 หลายเดือนก่อน

    We mama mungu anakuona dhulma hiyoo

  • @meshackeliau8973
    @meshackeliau8973 8 หลายเดือนก่อน

    Arusha imekua shamba la bibi watu wanateseka sana dah😢

  • @fredrickkomba7545
    @fredrickkomba7545 7 หลายเดือนก่อน

    Dah 'Wema Wangu Ndio Ulioniponza' Kiukweli Inaumiza Sana

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nchi itawezaje kupata baraka kwa hari hii jamaani....
    Inauma sana, Machozi ya Mwanamume huyo na machozi ya wengi wanao dhurumiwa ni ACID mbaya kwa nchi yetu
    Mungu hatakaa kimya

  • @StellarmamottoFlowersMam-ms1nz
    @StellarmamottoFlowersMam-ms1nz 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu mkandarasi amefilisika na unauchungu mkali sana😢 Makonda msaidie naye ni baba wa familia asije acha wanae wadogo

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda Mungu akutunze,, nakuomba msaiidie huyo kaka,na Mungu wambinguni akutunz ww na familia yako

  • @blockchain1203
    @blockchain1203 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Mama sijui ni mkurugenzi kazingua hadi Makonda Kakasirika Maana anataka Ajibu siasa ili kulinda Watu tu.. Mpuuzi Kishenzi anataka alete majibu Rahisi Kwenye Hoja Nzito...Pumbavu zake

  • @catherinefoster378
    @catherinefoster378 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli yaani wanadamu wanatisha haswa utazeeshwa kwa hayo matatizwa yetu .

  • @JoackimuGeorge-t8y
    @JoackimuGeorge-t8y 6 หลายเดือนก่อน

    namkubali Makonda

  • @leonardobedi4779
    @leonardobedi4779 8 หลายเดือนก่อน +15

    Mungu mkubwa katuletea Makonda… alafu wanatokea watu waseme ety anawajibu vibaya… watukane kabisa 😢

  • @SalvinaSeif
    @SalvinaSeif 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka kaniliza huyu asee Mungu akutie nguvu inauma sana

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 8 หลายเดือนก่อน

    Pole Mh Makonda

  • @johnrobert48
    @johnrobert48 8 หลายเดือนก่อน

    Pole.mkuu saana

  • @blockchain1203
    @blockchain1203 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna Jamaa alifirisika Kwa sababu Hii ya Kutolipwa hadi aakamua akuachana na Mambo ya Ukandarasi🚶🚶

  • @Goldenbutterfly-hk1hp
    @Goldenbutterfly-hk1hp 8 หลายเดือนก่อน +3

    Roho inaniuma kwaajili y uyu baba😢

    • @jokhajj
      @jokhajj 8 หลายเดือนก่อน

      Na mimi😢

  • @hassanzuber
    @hassanzuber 8 หลายเดือนก่อน +1

    Inatia huruma sana aaaaaaa pole kaka

  • @Haytham-ip3ou
    @Haytham-ip3ou 8 หลายเดือนก่อน

    Mh makonda tunataman kujua sisi watanzania wenzake majibu ya ndugu yetu na mungu anaona unachofanya kaka haki yako ipo kwa uwezo wa Allah

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah nchi hiii😢😢😢

  • @gracekiwelu8869
    @gracekiwelu8869 8 หลายเดือนก่อน

    Nime jikuta nalia tu Maumivu ya huyu baba ni makali sana jamani napenda nikutie moyo mungu Hajawahi mtupa mjawake maisha utafanikiwa tu kaka

  • @saloujohn3639
    @saloujohn3639 7 หลายเดือนก่อน

    Msaidie😭bro uyo mwamba

  • @suleimankapalata7256
    @suleimankapalata7256 8 หลายเดือนก่อน

    kiukweli mkuuwamkoa mimisinauwezo ilakaziyako imetukuka mungu akulinde namitihanikamahiyo

  • @bintimosha9199
    @bintimosha9199 8 หลายเดือนก่อน

    Its pain aseee

  • @MichaelJohn-lb6uu
    @MichaelJohn-lb6uu 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu

  • @ThomasMwarukaKeya
    @ThomasMwarukaKeya 8 หลายเดือนก่อน

    Aiseeeh hata mimi huku nimelia Machozi bila Kujua.!

  • @MwakasegeShukuru
    @MwakasegeShukuru 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda,Mungu amekupa uwezo mkubwa sn wa kubuni namna ya kutatua matatizo ya wananchi,yaan unachokifanya hapa ni uponyaji wa roho za watu,tunakuombea sn

  • @miracleChoir-nc1ym
    @miracleChoir-nc1ym 8 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana makonda

  • @vickyadrian1503
    @vickyadrian1503 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kufanya kazi na serikali Uwe na moyo wa mwendawazimu

  • @suleimanmrita1992
    @suleimanmrita1992 8 หลายเดือนก่อน

    dah inaumiza sana tena sana kwakweli awafanyi haki awa viongoz ndomaana makonda anakuwa mkali kwa watu km hawa sio wa kuwafumbia macho makonda kuwa mkali zaidi ya apo na ukiwezekana wafunge hao watu awafai kuwa viongozi kabisa ni wezi

  • @richardmembe2934
    @richardmembe2934 8 หลายเดือนก่อน

    That's sad

  • @azaellivingston7415
    @azaellivingston7415 8 หลายเดือนก่อน

    HILI JAMBO LIMFIKIE RAIS WAPUTISHE SHERIA YAKUNYOGA MAFISADI NA WATENDAJI WABOVU.

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mama UWT na Mama wa haki za binadamu tunawasibiri katika hili mseme neno kwa huyu kaka huu sio udhalilishwaji??

    • @sabinahobe3478
      @sabinahobe3478 8 หลายเดือนก่อน

      Wajinga sana hao mbona sijaona wakimsifia Makonda pale anapowasaidia wanawake? Ni walewale wapigaji tu

  • @Reybeby0648
    @Reybeby0648 8 หลายเดือนก่อน

    Rc. Mh makonda. Mtu wa maana sana wewe!!

  • @mmarycalvin6395
    @mmarycalvin6395 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hapa inaonekana wateule wa Rais hawamsaidii, Arusha ilikuwa na mkuu wa mkoa, miaka 6 hiyo alishindwa kushughulikia, mkuu wa wilaya monduli, mkurugenzi, madiwani, mbunge mtoto wa lowasa, wote walishindwa kusaidia hili mpaka mtu anaenda kwa naibu katibu mkuu tamisemi? Rais ana kazi kubwa kwa wateule wake. Mnyororo wa kufanya kazi umeoza hakuna team work, Sasa Mkuu wa mkoa atafanya kazi ngapi , hao wengine wanachukua mishahara ya nini ? Kama hili alilosema injinia ni kweli shida ni kubwa kwa mikoa mingi.

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mama akiri UoNgozi afeli nikisikia michawa inamsifia wanyonge tusikia hasira 😢

  • @CyprianKunda-ug6ql
    @CyprianKunda-ug6ql 8 หลายเดือนก่อน

    Hata nimelia hapa.dah!Serikali gani hii mbona mnaumiza watu kiasi hiki
    Mama hajui hili Makonda mpema mama haki yake watu wanateseka mno hajakosea kukuleta huku Arusha

  • @hategekimanamariespeciose5701
    @hategekimanamariespeciose5701 8 หลายเดือนก่อน

    Aki namimi ninakosa lakusema 😢😢😢😢😢

  • @petromsangi6856
    @petromsangi6856 8 หลายเดือนก่อน

    Halmashauri nyingi zina laana mm mwenyewe nimezulumiwa kwa stail hiyo hiyo yaujanja janja na walio wengi hawanaga aibu ukiwaona kama watu .
    Lakin ogopa sana jasho la mnyonge mtu asiye na mahali pakusemea ni mbaya sana.
    Kuna sku Mungu atanisemea.
    Kwa ajili ya hiz hiz Halmashauri zetu mm nyumbani kwetu palikua panauzwa ila sahv nalipa madeni Mungu atawabariki ninyi na nyumba zenu sku moja na tabia zenu.

  • @hamadiayossy
    @hamadiayossy 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi mwenyewe nimelia kwakweli, inauma sana