MBUNGE AKERWA NA ZIARA ZA MAKONDA | MAKONDA ATIKISA BUNGE BALAA | ANAFANYA MAJUKUMU YASIO YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 497

  • @FedyKafyulilo-iz2nw
    @FedyKafyulilo-iz2nw 7 หลายเดือนก่อน +28

    Yote Kwa yote makonda anafanya kazi nzuri sana mungu ambariki sana

    • @fundimitambo4158
      @fundimitambo4158 7 หลายเดือนก่อน +2

      ila nilichojifunza hapa Watanzia wengi ni wanafiki
      sana aisee

    • @LagalaligalaHamisi
      @LagalaligalaHamisi 7 หลายเดือนก่อน +1

      Safi

    • @hamiduchingi2672
      @hamiduchingi2672 7 หลายเดือนก่อน

      Unafikili nikwanini yesu alikimbia naakawachia neo nitafufuka au nitaludi aligunduwa awa niviumbe shaifu nawanafki wanaangalia fulaha yaotu,MIMI nafikili sasa ndiowakati wanyie munao ogopeka,kwauchawi,kwaugnga,namengineyo,Wekeninguvu kumlinda uyo muheshimiwa kwasababu bado tunamuitaji Sana,sio munatusumbua majumbani usiku NK,tumieni izo nguvuzenu kumlinda Mh,wetu makondo,kwasababu hivita sio yawachawi Wala waganga Nivita yawaujumu uchumi Yawatumishi wazembe,Yawatumishi matapeli,Yawatumishi wanao jilimbikizia mali,NK,tunawaomba nyie waganga na wachawi Mumlinde Mh, makonda Natumaini sasaivi wenyepesa namali zao wanawasumbua Sana,kwaajili ya msimamo Wa Mh,makonda,

    • @EmanuelyEliya
      @EmanuelyEliya 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

    • @HawaSwaleheh
      @HawaSwaleheh 7 หลายเดือนก่อน

      Mimi ni mganga lakin mtu akinijia anatala kumuroga makonda nakula pesaro nitampatia dawa ya kufanya ampende zaidi makonda😅😅😅😅😅

  • @tinkybellah6634
    @tinkybellah6634 7 หลายเดือนก่อน +12

    Kumbe kunawabunge kichwani hamna kitu akilini
    Dawa inawaingiaa vizuriiii aisee

  • @JOHNKKULULINDA-pc6gy
    @JOHNKKULULINDA-pc6gy 6 หลายเดือนก่อน +4

    WEWE MAMA YANGU AU BINTI YANGU. ELEWA ZIARA YA MAKONDA SI YA MAKONDA NI MKUU, HIVYO UNAMKOSOA MKUU. TAFAKARI MAMA.

  • @OscarMlewa
    @OscarMlewa 7 หลายเดือนก่อน +17

    Sasa amfanyi majukimu yenu mlitaka makonda afanyeje muwe na haibu uwo uchonganishi makonda ubarikiwe kwa kaziyako na namgu akufikishe mbali Sana na pia uwe na moyo huwo huwo🎉

    • @oliverqueenkileo9745
      @oliverqueenkileo9745 7 หลายเดือนก่อน +1

      Makonda anafanya halali kama kiongoz bora

  • @samwelngao3201
    @samwelngao3201 7 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu Mbunge ni takataka sana yaan ni mwanamke asie kuwa na akili Fala huyuuu ko ulitaka makonda afike asifie ujinga wakati wananchi wanateseka

  • @JustinMelanie
    @JustinMelanie 7 หลายเดือนก่อน +14

    Mupongezeni Makonda kwa kazi nzuri anayofanya

  • @shaabannurdin5848
    @shaabannurdin5848 7 หลายเดือนก่อน +11

    Yaani una ongea wew aibu naskia mimi😅

  • @Thejordanministry
    @Thejordanministry 7 หลายเดือนก่อน +3

    Msomi mzima kaongea kupinga anacho fanya Makonda kisha anamuunga Mkono Makonda na anamsifia dah ajatulia kabisa uyu Mbunge sio.

  • @IsayaBugoro-zj8nu
    @IsayaBugoro-zj8nu 7 หลายเดือนก่อน +10

    Nywele za marehemu wahindi

    • @EmmanuelLupoja
      @EmmanuelLupoja 2 หลายเดือนก่อน

      Kumbe umeziona na ww

  • @KhalphanSalumu
    @KhalphanSalumu 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mzungumzaji, nywele zinamchanganya Mh Makonda anamchanganya

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 7 หลายเดือนก่อน +11

    Ndo mchukue mfano toka kwake sio kuka ofsini

    • @JoyceSarufu
      @JoyceSarufu 7 หลายเดือนก่อน

      Ndyo

  • @AishaMlowe
    @AishaMlowe 7 หลายเดือนก่อน +9

    Acheni kukaa ofsi fanyekazi wananchi wanateka munasaidiwa kuwa kazi ndio hivyouwaina fanya makonda ❤❤❤❤❤❤

  • @YohanaMogope
    @YohanaMogope 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mkishaga chaguliwa mnawasaliti wananchi kwataalifa yako MAKONDA ndoanaeweza kumsaidia RAISI kiukweli tunampongeza sana MAKONDA napia Tunamwombea sana lazima mwogope Ziara yake make nyie mmekuwa kimya mwenzenu amejitoa kumoyo mmoja kutusaidia wanyonge hata URAIS akigombea tunampa kabisaa natunataka Agombee MAKONDA 2025

  • @moyogems
    @moyogems 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yamaza mh hLi ni mbaya sana tena sana mwacheni makonda ni kioo chenu arudia tena hali ni mbaya zinapigwa kila kona we we watu sio wazalendo kabisa waziri mkuu amezunguka ameona haya namshu,uru mh rais na ccm kumuweka makonda mpongezeni namsimkatishe tzmaa

  • @gatuna6
    @gatuna6 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiona mbunge mbuke anali na makonda polisi wakamkague au taka kuru. Mamegeuza kazi ya ubunge kama kazi yake. Hawa ndiyo walio unga mkono bandari I uzee.

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mmmmmmmh comment nyingi zinaonyesha hatuna uelewa"
    huyu mbunge yupo sahihi kwa wanaoelewa mfumo wa serikali.

    • @JoyceSarufu
      @JoyceSarufu 7 หลายเดือนก่อน

      Amna bhana wabunge hawajuw wajib waoooo

    • @mtpafrica
      @mtpafrica 7 หลายเดือนก่อน

      Daaah afadhari ww umeelewa wengi wetu wanampinga kumbe yupu sahihi

    • @EmmanuelMwanja-i3y
      @EmmanuelMwanja-i3y 7 หลายเดือนก่อน

      wewe ndo huelewi

    • @TashwillKaroolse
      @TashwillKaroolse 7 หลายเดือนก่อน

      Una akili?
      Nauliza hivi: una akili timamu ww?

    • @williammbuzimai5744
      @williammbuzimai5744 7 หลายเดือนก่อน

      @@JoyceSarufu hapo alikuwa anakazia kwamba makonda kayakuta madudu mengi sana yasiyotatuliwa na watumishi

  • @BeliveMalekela
    @BeliveMalekela 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi we mama unataka nani statue hayo matatizo Ivi wasomi mnamatatizo Gani? Kama kazi anafanya vizuri wewe unaumia nini? Wakuu wamikoa unaowasema, wawilaya na wakurugenzi wameshindwa kazi unataka wananchi waendelee kuteseka?
    Hapana tufike watanzania tuache kulinda vyeo vyetu tunacho hitaji kazi kama na wewe unadhambi ulizifanya unaogopa atazifichua au ?
    Kwahiyo mnaacha kudiscuss mambo ya muhimu bungeni unataka muanze kudiscuss makondo acheni huo acha huo ujinga we mama.
    MAKONDA PIGA KAZI IKIWEZEKANA UFIKE KWENYE MKOA WAKE TUONE

  • @IbrahNdengo
    @IbrahNdengo 7 หลายเดือนก่อน +8

    Binafsi mh mwenezi Paul makonda piga kazi mbinguni tutatoa hesabu

  • @Ruyembe
    @Ruyembe 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru TH-cam kwa kuweka tangazo lililositisha nisimsikilize huyu Long Colored Attached hair.

  • @NasraMohamedi-e8m
    @NasraMohamedi-e8m 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sijui Jimbo lake lipo mkoa Gani ,,huenda anayake huko,,au katumwa? Makonda hafanyi hivyo for nothing,,,Wala hakurupuki kihivyo

  • @PetroThomasMwandu
    @PetroThomasMwandu 7 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi mnauwakika huyu dada ni mbunge???

  • @bouzartbc5641
    @bouzartbc5641 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ntumieni namba za Paul Makonda nimtumie ela yangu ya akiba,

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wachagiliwa wa mzee maguuu,bila magu nyie mysingepita shukuruni,,,,mwacheni makonda afanye kazi yake

  • @TashwillKaroolse
    @TashwillKaroolse 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada atakuwa yupo karibu sana na wapiga dili huko jimboni kwake
    Ukute Makonda kafukua uozo jimboni kwake kaharibu dili lao
    Serikali imfuatilie sio mtu mzuri huyu m'bunge
    Itakuwa kuna watu wa ovyo yupo karibu nao
    Yani wananchi wanadhulumiwa, wanateswa, wanauawa na kupewa majeraha makubwa na ulemavu na hakuna anaesikiliza kero zao moja kwa moja
    Yeye anakerekwa? Huyu kuna kitu anahusika nacho sio bure.
    Afatiliwe

  • @HusseinKasambwa-gq6zf
    @HusseinKasambwa-gq6zf 7 หลายเดือนก่อน +1

    Aeleze mazur ya rais kama yap?mazuri nihayo anayofanya kutujali wanyonge,we mama nifisad wakuchunguze makonda tunamkubali hatutaki mazur zaid ya hayo anayofanya makonda,bila makonda CCM ingepotea muache makonda we mama

  • @luismchayano4796
    @luismchayano4796 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe kuna wabunge hawajielewi. Sasa hapo anampinga nn Mh. Makonda? Wakati yy mwenyewe anaunga mkondo kazi ya mwenezi. Kazi anayoifanya mwenezi nikufatilia uwajibikaji na utendaji wa waleule wa Mh. Rais.

  • @BarakaWicklifu
    @BarakaWicklifu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaan me hata huyu Mbunge sijamwelewa Sasa makonda kutatua changamoto Kuna tatizo gani nn Maan ya Kiongoz angekuwa hafanyi kilicho mpeleka basi Rais ndo Alimutuma.

  • @queenjacobu212
    @queenjacobu212 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbunge wewe sio wa ccm, makonda yupo kuhamasisha,kufagia njia ilimjempte palaini mtakao omba kulakwenu ko nyamazeni

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kama sio kumpongeza makonda kwa anachofanya sasa tungejuaje km hao wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kua hawafanyi wajibu wao ????..
    Wewe umesema umeona mengi ktk ziara za makonda sasa km asengefanya hayo anayoyafanya ungejuaje ???
    Si Bora uwe km Mimi tu tujue sote hatujasoma wajinga kuliko kuchangia upumbavu

  • @NuruBene
    @NuruBene 7 หลายเดือนก่อน +1

    Akika uyo sijui mbunge wanach wke wamepta asala kubwa akuna kitu apo porojo tu makonda woyeeee dkt Samia woyeeee uyo antakiwa ajtafkali kma ubunge aliyechguliwa bc ktumwa na kzi iyo aiwezi arud shamba kulima mana anaonge vtu avierewk makonda chap kzi mama amekuamin sana CCM woyeeee?

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yani apo mh. Makonda anawasaidia kazi zenu usilalamike mh. piga kazi ikibidi tembea jimboni ondoa kero ndogondogo zisisubir Mh. Rais

  • @bahamemagembe7485
    @bahamemagembe7485 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mtu mwelewa huyu dada kannada vyema, kama kero nitasubiri mwenezi watu wangapi watasaidika, je mfumo wa haki atuna.mmekiri serikali kushindwa kusaidia wananchi?

  • @jafarimbaruku8746
    @jafarimbaruku8746 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hili ni jipu,sasa kama wataule hawafanyi kazi ipasavyo,ebu acha Makonda afanye kazi nyie mmeshindwa kufanya kazi.

  • @BarakaElnest-ox7pb
    @BarakaElnest-ox7pb 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kama viongoz wa afrika ndo wenye akili za hv tunasafar ndefu ya kupata maendeleo vichwa vyetu ni vya kubebea nywele sio akili

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 7 หลายเดือนก่อน +1

    HIZO HAZIWAFIKII WALENGWA PESA ZINALIWA SERIKALI IKO KIMYA MUNGU YUPO ATATUPIGANIA MBONA HAMTOKI KWENDA KUTATUA KERO ZA WANCHI WANADHULUMIWA WANANYANYASIKA BILA MSAADA WA KIONGOZI YOYOTE BUNGE LA HOVYO KABISA HILI.

  • @juliusmwaijumba3324
    @juliusmwaijumba3324 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie si mnavicha madudu??? Mwacheni aumbue machafu kwani rais mwenyewe anasemaje???

  • @VeryChrispine
    @VeryChrispine 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mpuuzi wewe kama mnazunguka kwenye viti hamfanyi chochote why asisaidie wananchi

  • @jumambarale699
    @jumambarale699 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mpuuzi mmoja huwaga anataka upuuzi wake uonekane mwema
    Piga kazi makonda ....simamia kucha..,...

  • @robertjoseph4196
    @robertjoseph4196 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mpumbavu wew, una wivu wew! Makonda baba lao chapa kz km ulivyoaminiwa na rais baba makonda, Achana na hyo mnafki

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu pumba maana hatahajuianachopinga, mama kakojoe ukalale. Humshawishi mtu hapa Makonda oyeeeee

  • @eagleeyes4449
    @eagleeyes4449 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa makonda kakosea wap?,mimi ninachomkubali makonda ukisemwasemwa ivi ndo wanampa chachu ya kupiga kazi more.

  • @Mrugurudigitalsolutions
    @Mrugurudigitalsolutions 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe mnajuwa kuwa makonda amekuwa mkombozii sisi hatutaki mbwembwe tunataka kazi hivii mlishawahi kujiuliza kanini magufulii bado anaishi vichwani mwa wananchii wa tanzania, na africa kwa ujumlaa 😂😂😂😂😂

  • @mustaphahassani131
    @mustaphahassani131 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mbunge ni wa wapi mbona anaongea pumba

  • @AishFesito
    @AishFesito 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi wananchi tunampongeza makonda amejua changamoto za wananchi msimuchukie makonda

  • @carolihando6271
    @carolihando6271 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawafanyi chochote, je wewe unaona hiyo ndo sawa? Mbunge unaonaje wengi wafe kwa ajili ya mmoja au mmoja afe kwa wengi? Makonda oyeee!

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe umechanganyikiwa Makonda ndo kila kitu kwa sasa kuwaumbua.nyie mmejawa na wizi wizi.

  • @kababa3017
    @kababa3017 7 หลายเดือนก่อน +1

    Rais ni kosa lake kwa kuteuwa bila kujari hao wateuliwa kama wanao uwezo wa kuendesha wizara hizo. Serikali na CCM wamelala usingizi mzigo na wakuwamusha ni Makonda.

  • @AlexBathoromeo
    @AlexBathoromeo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiwa na upenz unaogemea sehemu moja huwez kumuelewa mchangia hoja huyu lkn km utasimama ktk haki na wajibu utabain kwamba huyu mbunge ana falsafa nzuri

  • @emmanuelpeter5686
    @emmanuelpeter5686 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naona wachangiaji hamjamwelewa huyo mbunge ameongea vitu vya maana Sana Ila taarifa kaharibu.

  • @mhanalevi2886
    @mhanalevi2886 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ungepongeza2 sasa kero za miaka5 iliyopita ndo zinatatuliwa hao wasaidiz walikua wapi

  • @QueenMimi-c2l
    @QueenMimi-c2l 7 หลายเดือนก่อน +1

    Katibu mwenezi piga kazi upo sahihi
    Wewe ndo Magufuli mpya

  • @Presenterramjtz
    @Presenterramjtz 7 หลายเดือนก่อน +1

    kwani nyie kipi kimewauma kama nyie mmmeshindwa kuona na kusikiliza kero za wananchi muacheni makonda wetu atatue changamoto maana wote mmnaoteuliwa ni wahujumu tuu hovyo hii inchi makurumbembe wengi sana upande wa viongozi aseee acheni mwenezi apige kazii

  • @mohamedwwnurumasagcom8171
    @mohamedwwnurumasagcom8171 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kiongozi yeyote anayemchukia makonda achunguzwe yaweza kuwa fisadi hau jizi la mali za umma

  • @MasolarBadru
    @MasolarBadru 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbunge wa kuteuliwa hana machungu na wananchi huyo kenge, anasumbuliwa na wivu kwa kile anachokifanya Makonda kwa wananchi.

  • @geofreywayesu5638
    @geofreywayesu5638 7 หลายเดือนก่อน +5

    Uyu mbunge mbona haeleweki anachangia nini

    • @samwelngao3201
      @samwelngao3201 7 หลายเดือนก่อน

      Hilo ni tatizo ana kichwa kichafu huyuu

  • @katondostudio652
    @katondostudio652 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu n8fisadi balaa makonda endelea kuwahaibisha tu. Tuko nyuma yako

  • @WaziriJuma-m2p
    @WaziriJuma-m2p 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama hao wenye majukumu hawayasimamii ipasavyo makonda wanyooshe viongozi wote wasio makini na kazi yao makonda twamuelewa kuliko wewe

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama mawaziri na wakuu wa mikoa na wakurugenzi hawafanyi kazi mnataka Makonda afanye nini ?
    Viongozi wa nchi hawatimizi wajibu wao sasa Makonda fanya kazi chapa kazi Makonda

  • @aminamwiru7605
    @aminamwiru7605 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ucmzuie makonda kila mtu ana kipaj chake hata wewe mwenyewe ukiita watu hawatakuwa weng kama ndg makonda wananchi wanajua mh rais amefanyakaz kubwa sana na huo ndio mpango kaz kwa sasa wa makonda😊😅

  • @Samson-fk2no
    @Samson-fk2no 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan wwe ujielewi wwe Ani kama yanakaa matumbo ofisn ayafanyi Kaz unategemea Nini kweel watu wema hupigwa mawe yanataka yabak majini tuu

  • @EliasPaul-qs2ib
    @EliasPaul-qs2ib 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hata makonda alimwamini, hivi huyu mbunge mchwara ni wa jimbo gani? Au ni wa viti maalumu

  • @jilatushija8369
    @jilatushija8369 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dada unaongea utumbo mmeshindwa kutatua changamotoo za wananchi mnakula kodi zetu

  • @hajjiramso1937
    @hajjiramso1937 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wakuu wamikoa wameelememewa na kero za wananchi....ila mweshimiwa uko vzur

  • @RadhiaIssa-f4y
    @RadhiaIssa-f4y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anafanya majukum yasiyo yake lakini anavumbua mengi. Kifupi anawaumbua.

  • @SalumRashid-um9wx
    @SalumRashid-um9wx 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wenzake bungeni wanampinga daahh atar mama yetu mama samia suluhu hassan ndio rais yey anaona kila kitu kwnn yey hajaongea kwasababu anaona wananchi wanatatuliwa shida zao na yeye ndio anavotak na ndio maan akamchagua makonda aishi miaka mingi mama etu samia mama wa kizimkazi tunakupenda sana mama wananchi wako

  • @MohamedMjenga-i1w
    @MohamedMjenga-i1w 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo mbunge wananchi walomchagua wamefeli

  • @JeniphaEdward-w2b
    @JeniphaEdward-w2b 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shida wivu narohombaya simlikuwa mmeka amtatatua kelo

  • @GodwinPeter-gb4gp
    @GodwinPeter-gb4gp 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mmama wawap na amepataje madaraka jamani tuwe makini sana kuwapa vyeo hawa watu makonda daima yupo sawah kabisa wale wa milembe lazima wamchukie

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 7 หลายเดือนก่อน +7

    Dada tulia dogo afanye kazi yake, anatekekeza majukumu ya chana na sio majukumu yako, anatutendea haki, umetumwa Wewe.

  • @bundalaizina652
    @bundalaizina652 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wabuge wapewe mhura1 tu hawafanyikazi

  • @Somoeomarysaid
    @Somoeomarysaid 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hao unaowataja wengi wamuaribia rais sasa wewe ulitakaje? Makonda oyeeeeee

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tukisema viongozi walioaminiwa na rais ni mizigo mnasema nyie ni wachochezi

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawawajibiki sasa kule chini wapi? Kwani wewe upo juu au chini

  • @stafordfelician3050
    @stafordfelician3050 7 หลายเดือนก่อน +1

    Je kama hawafanyi kaz na makonda ataeleza nn kwenye machafuko? Nan atamsikiliza?

  • @Bigboy-m2e
    @Bigboy-m2e 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu co mbunge mwenye kujielewa analialibu bunge 2 kama me lais ata bungeni aji ana oja za msingi

  • @mashimbaalloyce1916
    @mashimbaalloyce1916 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe uko upande gani Sasa unadhani wananchi tunachotaka ni uwajibikaji

  • @isackrange2989
    @isackrange2989 7 หลายเดือนก่อน +5

    Dada huelewi unachokiongea huo ni wivu tu😂😂😂😂

  • @JohnTanzanite-rq9bj
    @JohnTanzanite-rq9bj 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yule munaemwita raisi nikivuli tuu dada labda tukwambie hivo

  • @JohnMngande-b8t
    @JohnMngande-b8t 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie kazi yenu kutaja jana samia samia kama amfanyi kazi yeye afanyaje huo ni wivu tu unakusumbua una hoja wewe

  • @kisigomalimi7209
    @kisigomalimi7209 7 หลายเดือนก่อน +1

    Fara kweli aeleze nini uozo mtupu ,kwan kutatua tatzo ni shida imekuwa

  • @danielyombage3983
    @danielyombage3983 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wabunge wa viti maalumu hawana umuhimu wowote wanakula tu kodi za wananchi wanaenda sinzia tu

  • @HamsiHusna-nf3vg
    @HamsiHusna-nf3vg 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ss kwahiyo kero za wananchi nani azitatue na hao wakuu wa mikoa wanashindwa majukum yao makonda anafanya kaz nzur

  • @lucasalexandery
    @lucasalexandery 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uelewèki,,,unasifia huku unakataa,,,wabunge bwana

  • @archiefransis7172
    @archiefransis7172 7 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu dada anang'ata na kupuliza ukiwa unaitazama hii video mwanzo utajikuta unamchukia akifika katikati unampenda akimaliza unamchukia hoja yake ni nzur ila hataki kutoa hukumu kwa wazembe wala pongezi kwa watenda kazi vizur nilitegemea mwishoni angesema ule usemi usemao mnyonge mnyongeni haki yake mpeni na sifa kuu angemwagia Makonda

    • @JOHNKKULULINDA-pc6gy
      @JOHNKKULULINDA-pc6gy 6 หลายเดือนก่อน

      BABU, KWELI NI MWANADIPLOMASIA, WACHACHE WANAOFUATLIA MAMBO YA MSINGI KAMA HAYO. NI KWELI KABISA HOJA YAKE KAMILI UNASHINDWA KUDAKA. HIVYO NI HOJA YA KUTUMWA SI YA KICHWANI MWAKE AMETUMWA.

  • @kilalikanestory3635
    @kilalikanestory3635 7 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda nenda kamfanyie uchunguzi huyo dada ni fisadi huyo

  • @rahma6189
    @rahma6189 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe hujielewi kwahio mnataka mshibetu msitatue kero

  • @HawaBakari-u6q
    @HawaBakari-u6q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yan sisi huku tunajua makonda ndo rais ajae sasa usituvuruge mafile

  • @simonmuhoja149
    @simonmuhoja149 7 หลายเดือนก่อน +1

    Aoni aibu comment nyingi zinamkubali Makonda

  • @LazaroMakunga
    @LazaroMakunga 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kazi ipo mtu anatumwa chumvi anawaletea mchanga mnapokea mnashukuru tu hajatumwa kazi hiyo hongera mbunge kwa akili kubwa Mimi binafsi nimekuelewa. Anafanya kazi za viongozi wa mikoa sio sawa kabisa

    • @JoyceSarufu
      @JoyceSarufu 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama hawajitambui .eb mwche makonda bhana😢😢

  • @lewissvictor8930
    @lewissvictor8930 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ko wewe ulitaka asitatue katatizo ya wananchi we umekosa hoja makonda ooooyyyyyyeeeee

  • @mosesmdemwa5665
    @mosesmdemwa5665 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi mh humuogopi Mungu? Huo ndiyo ukweli Hali ni yeye weweeeee

  • @williumteete2626
    @williumteete2626 7 หลายเดือนก่อน +8

    Makonda piga mlemle👉💪

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 7 หลายเดือนก่อน +3

      hao wanao pinga ndo mafisadi hasa kama hawamalizi kwa kuwa mafisad makonda piga humo humo

  • @annanasoro3007
    @annanasoro3007 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hauna ulichokiongea mbunge kaa chini uditadhimini

  • @SelemanMathayo-d5t
    @SelemanMathayo-d5t 7 หลายเดือนก่อน +1

    Inaonaonekana huyu Dada aliingia bungeni kwa mchongo

  • @DaudiKibina
    @DaudiKibina 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ningekuwa bungeni ningekujibu mama yangu maana sijui uko upande gani

  • @EdwarfMusa
    @EdwarfMusa 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ulitaka makonda aspire Barbara tu bila kuongea

  • @MekitildaKitambi
    @MekitildaKitambi 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mmmmmmm!!!!!!!! Umeona vibaya ss kusaidiwa? MUNGU anakuona na

  • @YohanaMayengelaMayengela
    @YohanaMayengelaMayengela 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bora ungenyamaza kama wewe unaona Makonda hajfanya vzr

  • @simonmuhoja149
    @simonmuhoja149 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna walio mtuma amchafue Makonda.

  • @B23-i8p
    @B23-i8p 7 หลายเดือนก่อน +1

    Malizia mchango wako muda umeenda,daaah Tz