"MUME WANGU AMETEKWA SASA NI MIAKA MITATU" MAKONDA ACHUKIZWA NA HABARI YA HUYU MAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 74

  • @nuruelmada2877
    @nuruelmada2877 8 หลายเดือนก่อน +3

    Inauma Sana dah!

  • @flaviankiria8251
    @flaviankiria8251 8 หลายเดือนก่อน +7

    Makonda Mungu akubariki sanaa mama Samia hajakosea angetafuta watu watatu kama wewe hiikazi ingekuwa nyepesi dah!

  • @MohamediHaruna-d8d
    @MohamediHaruna-d8d 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akipenda njoo kigoma wilaya ya uvinza kijiji cha ilagala gereza la kilimo ilagala limewapola kiholela wananchi eneo Lao hivyo wananchi hamenyanganywa maeneo yao hivyo wananchi hawana imani tena na chama njoo kigoma uwasaidie wananchi

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 8 หลายเดือนก่อน +7

    Nimesikia kulia Ninavyo ona watu waonewaaa.
    Muenezi Mungu Akubariki sana.na Mungu akuongoze kwa kila safari zako zote maana wapo watu wasio penda kuona unavyo fanya.Nitaendelea kukuombe ktk fursa hii.❤

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ameen..

    • @humphreybilly7437
      @humphreybilly7437 8 หลายเดือนก่อน

      @@aaa64sa13
      Amen.

    • @danielsamweli6766
      @danielsamweli6766 8 หลายเดือนก่อน

      Vivaaa Makonda viva,viva mama Samia viva

  • @ismailsalumu1112
    @ismailsalumu1112 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi kaka yangu alikiwa Askari Polis alivamiwa na majambazi nyumbani kwake mwaka 2013 na kuuwawa lakini cha kushangaza Jeshi hilo hilo ambalo mtumishi wake ameuwawa halikufanya uchunguzi wowote na wala wauwaji hawajawahi kukamatwa na kuchukuliwa hatua nalishangaa sana Jeshi la Police Tanzania

  • @samirasarmanis4949
    @samirasarmanis4949 8 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda mdogo wangu pinga kazi mungu yupo nyuma yako tunajua wabaya ni wengi ila mungu yupo

  • @yohananchimbi1756
    @yohananchimbi1756 8 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo bashite hawezi kutetea utekaji,na yeye alishateka sana,hayo ni maagizo

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 8 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa ni comedian...yaani yeye ndo master wa hayo mambo ya utekaji eti anajifanya kulia kulia hapa😂😂 makonda mnafiki mno

  • @geofreyidebe1216
    @geofreyidebe1216 8 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda n Jeshi, Saaf sana, hapa Mama aliupga mwingi kutuletea huyu mwamba

  • @GraceMhoja-zc7yg
    @GraceMhoja-zc7yg 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mhhhhhhhh jamn pesa ni kila kitu ukiwa maskin Chochote kitakukuta Mungu tulinde

  • @RaphaelMasaite
    @RaphaelMasaite 8 หลายเดือนก่อน

    Haya mambo yasikiye tu kwa jirani ila likitokea ndani mwako ni maumivu sana. Inauma sana Mungu ibariki nchi yangu. ipo siku na hiyo siku yaja, wote wanaofanya mambo haya machafu hakika watalipa juu ya damu hizi zinazolia.

  • @RosemaryKigoma
    @RosemaryKigoma 8 หลายเดือนก่อน

    Pole Binti mungu akusaidie

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 8 หลายเดือนก่อน +6

    Unge kua rais unge kua na maamuzi magumu kama kipenz chetu JPM siku laumu watu wana sahau kama hapa dunia ni njia 2 ukiwa huna pesa haki pia huna😢😢

    • @mkanzakazeni6752
      @mkanzakazeni6752 8 หลายเดือนก่อน +1

      Nchi haingozwi kwa maamuz magumu inaongowza kwa mujibu wa Sheria.

    • @salimalaquimane3077
      @salimalaquimane3077 8 หลายเดือนก่อน

      @@mkanzakazeni6752 sheria inge kuwepo vp wenye haki wana kosa haki vp masikin hana haki hiyo ndio sheria sio

    • @tintatz5109
      @tintatz5109 8 หลายเดือนก่อน

      Mweleweshe akili kisoda huyo

  • @yeshrunmimo-ph6dx
    @yeshrunmimo-ph6dx 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie

  • @mwajumaanthony5470
    @mwajumaanthony5470 8 หลายเดือนก่อน

    Aisee 😢😢

  • @AmedeusMbanda-gh4rj
    @AmedeusMbanda-gh4rj 8 หลายเดือนก่อน

    Jaman🙆

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hapa kesi ya mbuzi imeletwa kwa chui mtaalam wa utekaji

  • @JacobNocodemo-oy2ec
    @JacobNocodemo-oy2ec 7 หลายเดือนก่อน

    Kamanda kidumu chama Cha mapinduzi.nakuombea siku Moja update nafasi ya juu sana serikalini ili upiganie eanyonge tunaoonewa.

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 8 หลายเดือนก่อน

    Dah umeniumiza mno kiongozi kutoa chozi Kwa ajili ya WENGINE safi kabisa Nakuomba Kwa MUNGU AKULINDE WAKATI WOTE maana Kuna wabaya ndani ya Serikali unawaumizi Kwa UKWELI na HAKI unavyosimamia.

  • @GloryPetro-c5f
    @GloryPetro-c5f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Duuu makonda tusaidie sisi masikini😢

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 7 หลายเดือนก่อน

    Ila naomba Sana kuwa makini mana nawewe wasje wakakuuwa tukaja kukukosa bule mkuu mana kwasasa nyota yako ipo kama jua ukiendelea hvyo vyama vyote vyaupnzani vinakufa

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 8 หลายเดือนก่อน

    Inaumiza sana

  • @MaryChalahani-ll4ep
    @MaryChalahani-ll4ep 7 หลายเดือนก่อน

    😊

  • @graceshayo5763
    @graceshayo5763 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu mam namuona analoho mbaya ila km Mungu asikuache salama

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kesi ya ngedele hakimu nyani

    • @tintatz5109
      @tintatz5109 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Kudadeki

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 7 หลายเดือนก่อน

    Yani king makonda Kila ukisimama ndani yako naiona roho ya shuja jpm ikiwa ndani yako

  • @HamisKajala-n2e
    @HamisKajala-n2e 8 หลายเดือนก่อน +2

    Inasikitisha

  • @grecemichael7567
    @grecemichael7567 8 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa mwenezi nakukubali sana mtetezi wa wanyonge naomba namba yako

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 8 หลายเดือนก่อน +1

    Danganya toto drama hakuna jema litakalotokea kupitia ccm chui hawezi kuwa kondoo vile kavaa ngozi ya kondoo

  • @ErickMbuma
    @ErickMbuma 8 หลายเดือนก่อน +2

    Apana japo sijui ila awo wanajua mme wa dada alienda wap

  • @wilsonniwagila9632
    @wilsonniwagila9632 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda achukizwa Na utekaji wa mume was huyu mama au achukizwa Na malalamiko ya huyu mama.?

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija 8 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭💔💔yaraab

  • @RoseMalusu
    @RoseMalusu 8 หลายเดือนก่อน

    MHE. MAKONDA HESHIMA KWAKO! WEWE NDIO UNAFAA KUWA RAIS WETU 2025! MAKONDA HOYEEEEE!!!!!!

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unaswaga weee kijana mmmh,

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 8 หลายเดือนก่อน

      We unaona swaga kuna watu kwao ni faraja

  • @walidisiima9422
    @walidisiima9422 8 หลายเดือนก่อน

    Dah inasikitisha

  • @OtianaSanga-m4k
    @OtianaSanga-m4k 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo mmiliki alishawaonga hao

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh

  • @RoseMalusu
    @RoseMalusu 8 หลายเดือนก่อน +1

    MHE. MAKONDA HOYEEEEE!!! CHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS 2025!!!!! TUNAKUHITAJI!!

  • @JacobNocodemo-oy2ec
    @JacobNocodemo-oy2ec 7 หลายเดือนก่อน

    Niliitwa lukuvi waziri wa ardhi Kwa kejeli enzi ya utawala wa hayati Magufuli.leo walio nikejeli wamekuea chama tawala

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t 8 หลายเดือนก่อน

    Nafsiyangu natamani makonda awe raising watanzania

  • @w4058
    @w4058 8 หลายเดือนก่อน

    Comedian comedian na

  • @RoseMalusu
    @RoseMalusu 8 หลายเดือนก่อน +1

    MHE. MAKONDA HESHIMA KWAKO! CHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS 2025!!!!! TUNAKUHITAJI!! MAKONDA HOYEEEE!!!

    • @tintatz5109
      @tintatz5109 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe nguluwe pori tulia acha kelele

  • @festovenas502
    @festovenas502 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lakin haws CCM ukikaa vibaya utadhan wako serious 😅😅😅😅

    • @alexanderdustan8872
      @alexanderdustan8872 8 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli ata Chadema nao unaweza ukawaona kama wako serious kumbe hakuna

    • @festovenas502
      @festovenas502 8 หลายเดือนก่อน

      @@alexanderdustan8872 anacho kifanya makonda ni maigizo maana wajiriwa ote wapo chin ya chama tawala Wana uwezo wa kutenda haki wanao maana wanajifanya kufata amki ya makonda hii ni kampeni zimesha Anza 😅😅😅🙌

  • @DelightfulBabyPenguin-qw2rw
    @DelightfulBabyPenguin-qw2rw 8 หลายเดือนก่อน

    Daa mungu sina msaada na hiii dunia

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding 8 หลายเดือนก่อน +1

    Haki ya maskin Ni mateso

  • @rashidhamis-fe8jq
    @rashidhamis-fe8jq 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda jeshi lapolice linatia aibu mtu anatekwa police wapo mkuu wamkoa yupo na aliemteka mtu huyo yupo serekali ipo da kweli simchezo makonda kazi unayo

  • @SpoonlyPastries
    @SpoonlyPastries 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu atakua ameuwawa akatupa mbali hakuna kitu hapo

    • @danielsamweli6766
      @danielsamweli6766 8 หลายเดือนก่อน

      Basi waonyeshe mifupa ilipo akazke bas

    • @SpoonlyPastries
      @SpoonlyPastries 8 หลายเดือนก่อน

      @@danielsamweli6766 Syo rahisi hvy Mimi naona kesi za shamba na siasa ni hatar mno Wanakupoteza fasta wewe hufikirii mty miaka mitatu atakua hai tyy hakuna kitu 😭 nakwambia nakumbuka Yule mbunge wa chadema alikua anaitwa saa nane alipotezwa sasa ni miaka saba kama sikosei sasa atakua hai kweli mchi ya tanzania imejaaa ukatili wa hali ya juuu kwa vile hawatangazi kila kitu

  • @HalimaAbdalah-i7g
    @HalimaAbdalah-i7g 8 หลายเดือนก่อน

    MAKONNDA SHINYINGA

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo 8 หลายเดือนก่อน

    Katibu mwenezi anashangaa kabisa. Uonevu wa walala hoi, mtu kapotezwa, mtuhumiwa kahamisha file liko kwa DPP. Makonda unaimarisha chama-ccm au unaiaibisha serekali ya ccm ? Uonevu wa kutisha umekutana na serekali iliyooza ya kifisadi ya chama cha ccm. Makonda usishangae litolee maamuzi. Si ndiyo kazi uliyotumwa kufanya?.

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 8 หลายเดือนก่อน

    Bro piga kazi tujali HAKI Mali zipo binadamu tunapita

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 8 หลายเดือนก่อน +1

    Rpc niyule yule 2:41

  • @DeoKimbe-gt4op
    @DeoKimbe-gt4op 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda sikuzote uwa namombeea kwa mngu

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 8 หลายเดือนก่อน

    Mh

  • @RehemaKhamis-k8s
    @RehemaKhamis-k8s 8 หลายเดือนก่อน

    Tumbua

  • @OtianaSanga-m4k
    @OtianaSanga-m4k 8 หลายเดือนก่อน

    Umaskini nikazi

  • @anoldyshabani
    @anoldyshabani 8 หลายเดือนก่อน

    Tumbua hao wanatuonea wananch

  • @alexsimon5576
    @alexsimon5576 8 หลายเดือนก่อน

    Hahaha,

  • @RoseMalusu
    @RoseMalusu 8 หลายเดือนก่อน

    MHE. MAKONDA HESHIMA KWAKO! CHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS 2025!!!!! TUNAKUHITAJI!! MAKONDA HOYEEEE!!!

  • @RoseMalusu
    @RoseMalusu 8 หลายเดือนก่อน

    MHE. MAKONDA HOYEEEEE!!! CHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS 2025!!!!! TUNAKUHITAJI!!

  • @RoseMalusu
    @RoseMalusu 8 หลายเดือนก่อน

    MHE. MAKONDA HESHIMA KWAKO! CHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS 2025!!!!! TUNAKUHITAJI!! MAKONDA HOYEEEE!!!

  • @RoseMalusu
    @RoseMalusu 8 หลายเดือนก่อน

    MHE. MAKONDA HESHIMA KWAKO! CHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS 2025!!!!! TUNAKUHITAJI!! MAKONDA HOYEEEE!!!