Mshuhudie Paul Makonda Uone Kitakachotokea Hapa!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amepiga marufuku watendaji wa serikali wa mkoa huo kutoka nje ya mkoa bila kutoa taarifa kwake. Makonda amepiga marufuku hiyo wakati wa kongamano la tathimini ya hali ya miundombinu ya barabara za mkoa huo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Posta jijini Dar.
    Kauli hiyo ya Makonda imekuja baada kukosekana kwa watendaji ambao walitakiwa kuhudhuria kongamano hilo kwa madai kuwa wako nje ya mkoa kikazi huku waliobakia wakishindwa kueleza kuwa wapo kwa ajili ya kazi gani.
    ” Kuanzia sasa hakuna mtumishi wa mkoa huu kutoka nje bila kutoa taarifa hata kama ni kazi ya wizara gani lazima mtoe taarifa, kumekuwa na tabia ya watu kujitengenezea tu safari ambazo hazijulikani wakati hata rais wetu alishazikataza,” alisema Makonda.

ความคิดเห็น • 501

  • @eugenmgaya6623
    @eugenmgaya6623 7 ปีที่แล้ว +5

    hongera sana makonda....!!!! chapa kazi. nataman wakuu wote wa mikoa wangekuwa wachapakaz wa aina yako.......!!!!!

  • @ndagijimanakibibi7381
    @ndagijimanakibibi7381 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera baba makonde mungu aendelee kukulinsa nakumbuka babawetu magufuli mungu amulazepahalipema

  • @dharesfadhil2236
    @dharesfadhil2236 6 ปีที่แล้ว +1

    Wallah m natokea KENYA but nafatilia sana habari zako muheshimiwa makonda.kazi yako safi. Mungu akulinde

  • @benadethamartin1168
    @benadethamartin1168 7 ปีที่แล้ว +5

    unataka barabara nzuri au unataka vyeti?wwe unataka vyeti utatembea juu ya vyeti?🙌piga kazi makonda wangu👏

  • @stellahfulgence8803
    @stellahfulgence8803 7 ปีที่แล้ว +3

    makonda nakukubali sn unachofnya hua wa5anzania wengi hawan huo ujri play ure part makondà

  • @mwandumazaoidrossa1702
    @mwandumazaoidrossa1702 7 ปีที่แล้ว +31

    tuache kufcha hili limakonda liko vizuri lina travailler bien vraiment

  • @ericksanga9175
    @ericksanga9175 7 ปีที่แล้ว +15

    Kati ya watu wa muhimu katka Taifa la Tz ni huyu mkuu wa mkoa, blessed mkuu

  • @modestersalmon7764
    @modestersalmon7764 2 ปีที่แล้ว +1

    Ulikuwa vizur baba k tunakukumbuka ati wengine ufe ndo wakusifie jaman mungu akuongeze baraka na family yako

  • @husseinshabani3306
    @husseinshabani3306 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana makonda mama akurudishe tena uwe wazirii mkuu 2025. Ila ungemsikiliza huyo muheshimiwa ndyo umuhukumu hata kama alijaribu kukurubuni mpe nafasi ajieleze. Ila upo vzri next prime minister.👏👏🙏🙏

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 7 ปีที่แล้ว +4

    Asante Sana makonda

  • @magangamajariwamaganga4321
    @magangamajariwamaganga4321 6 ปีที่แล้ว

    nampenda sana makonda piga kazi baba tuko nyuma yako hiyo kauli ni nzuri sana wanaotaka kujipasua vichwa wajipasuetu we songa mbele

  • @JJ-bw5jw
    @JJ-bw5jw 7 ปีที่แล้ว +3

    Dah, piga kazi mkuu wa mkoa wangu mimi nakukubali sana kutokana na upigaji kazi wako, hill zoezi liwe endelevu lisiishie hapo tuu.

  • @lvbusinessProm
    @lvbusinessProm 7 ปีที่แล้ว +2

    Swadakta Mkuu wa mkoa!wewe ndie kiongozi tuliekua tunakusubiri kwa muda mrefu。
    InshAllah kwa uwezo wake Allah atatujaalia

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 7 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka makonda piga Kazi waache watu wabaki na majungu yao

  • @catylolo1365
    @catylolo1365 7 ปีที่แล้ว +4

    very nice makonda, ha ha ha ha aaa arongwi mtu piga kazi kaka wenye chuki wapotezee tu.

    • @helsongressimo3166
      @helsongressimo3166 7 ปีที่แล้ว

      Sasa ww makonda, hapo Mheshimiwa Ruge anakujaje!? Na kama katumwa we umechukua hatua gani!? Taja na hao wengine bac,,, mbona umemtaja tu Mheshimiwa Ruge,,?
      We upo tu kisiasa na Kiki za social media tumekuchoka huna jipya

  • @hemedmbarouck5668
    @hemedmbarouck5668 7 ปีที่แล้ว +3

    inapendeza muheshimiwa Makonda.Endelea utazidi kufanikiwa.Ziba masikio.

  • @aziza9093
    @aziza9093 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaraki makoda

  • @joelshibika9609
    @joelshibika9609 7 ปีที่แล้ว +3

    uko vizur sana makonda duniani huwezi kupendwa na kila mtu hao niwachovu wasio penda maendeleo chapa kazi kakaaa

  • @YunusuKantangayo
    @YunusuKantangayo 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndie kiongozi aliyeteuliwa kupitia mikono ya Mungu PMakonda karibu tunakupenda sana si kwa sura ni kwa Utendaji kazi wako na kuwasaidia Wanyonge Mungu atakulinda chapa kazi

  • @elizabethlujabiko8166
    @elizabethlujabiko8166 7 ปีที่แล้ว

    Piga Kazi MWANANGU MAKONDA achana na wababaishaji .Wasikutishe kwa maneno Mungu ndiyo jibu kwa kila jambo.

  • @georgegonda8891
    @georgegonda8891 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera makonda ilitakiwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani ili uwatumikie watanzania wote hongera kwa misimamo isiyo yumba

  • @alexanderkapinga6060
    @alexanderkapinga6060 7 ปีที่แล้ว +7

    Mi makonda, sijawahi kuona ubaya wake. For me hata kama angekuwa mkulima hana hata darasa la saba kama anafanya kitu kinachohitajiwa na jamii na tunaendelea is better kuliko profesa mwizi mwizi tu na hakuna maendeleo yoyote anayoleta.

    • @marysengo3098
      @marysengo3098 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli Mh. Makonda ni mchapakazi.. Hana Baya..ni mfumo tu

  • @abdallahathuman9493
    @abdallahathuman9493 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda 2024

  • @SimonKiondo-q3v
    @SimonKiondo-q3v 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka Mungu akutangulie upo vzr sana

  • @masanjadani8356
    @masanjadani8356 7 ปีที่แล้ว +2

    Vizur sana makonda.ukweli una mweka mtu kuwa huru.

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 7 ปีที่แล้ว +4

    namkubali sana my brother nikiongozi hasa wakuigwa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ปีที่แล้ว

      Na sifa zote hizo ulizompa leo ameshitakiwa mahakama inamsubiri
      Kazi iendelee hahahahaha hii ndo Tanzania yetu

  • @safinabakari9140
    @safinabakari9140 7 ปีที่แล้ว

    Namuoana Diwani wangu Mzee Haroub wa makumbusho....kazi nzuri sana kiongozi wetu,,,pigana tujengewe barabara nzuri., ila sijakusikia katika issue ya Team Lipumba Vs Team Maalim.

    • @lilianbunjulu1281
      @lilianbunjulu1281 7 ปีที่แล้ว +1

      Kwan waliofukuzwa kwa ajili ya v yeti w alikuwa hawafanyi kazi pumbavu sana uonevu tu

  • @allymliloh1760
    @allymliloh1760 7 ปีที่แล้ว +5

    wanaomponda Mkuu wa mkoa mh Paul Makonda ni Lofa tena ni Mpumbavu tunapambana na kuboresha miundombinu harafu mijinga isiyokuwa na haya inazungumzia Vyeti Naichukia sana mipuuzi haya

  • @ashafikira4860
    @ashafikira4860 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde sana mkuu katika kazi zako.Tenda haki tu.

    • @severinadaimon9069
      @severinadaimon9069 6 ปีที่แล้ว

      anaetaka cheti. aje achukue hapa kliniki vimejaa sana

  • @beshamsemo6897
    @beshamsemo6897 7 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mh makonda

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndiye makonda tunayemhitaji kuwateteawwanyonge tumbuwatumbuwa iendelee🇹🇿

  • @saidimeshack6315
    @saidimeshack6315 7 ปีที่แล้ว +1

    nashukuru kwa kunitusi ndugu yangu mimi nimelelewa vyema na famili yangu wewe tu ndio umelelewa kishetani umezea mitusi kwa wakubwa hiyo ni moja ya laaana kwako

  • @emmanuelimaxxaka754
    @emmanuelimaxxaka754 6 ปีที่แล้ว

    hongera sana mkuu wa mkoa piga kazi hakuna kuangalia sura.

  • @fabianmwile2960
    @fabianmwile2960 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana mukuu wee ni jembe hapa kazi tu hao wakandalasi inatakiwa waende kwa viboko

  • @baltasartemu2153
    @baltasartemu2153 7 ปีที่แล้ว +2

    Kazi ipo...

  • @calvinmorgan66
    @calvinmorgan66 7 ปีที่แล้ว +17

    Mi ni ukawa lakin utendaji wa mamb kama haya kwa mh makonda namsapot bila kujali mapunguf mengine cz asiposemwa kwa mabaya mtu atasemwa kwa mema

  • @kilimanjaro.n.v.sober-hous1416
    @kilimanjaro.n.v.sober-hous1416 6 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana

  • @jaysonsanga8389
    @jaysonsanga8389 6 ปีที่แล้ว +1

    Kaz kaz makond

  • @mselimsuya6952
    @mselimsuya6952 6 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna kitu muhimu kama performances kwenye kazi. Elimu bila performance ni bure, lakini performance bila elimu ni nzuri zaidi. Lakini vyote viwili ni muhimu, na Mh Makonda anavyo. Big up!

  • @leaheddy3533
    @leaheddy3533 7 ปีที่แล้ว +13

    piga Kazi kaka mkubwa ufi Wale ulogwi. Mungu yu upande wako

  • @ashatadei5639
    @ashatadei5639 7 ปีที่แล้ว +4

    piga kazi mimi nakuelewa sana mkuu wa mkoa makonda mchana watasema usiku watalala walio soma wenyewe badala yakutusaidia wanataka mpaka tuwape rushwa kwanza ndio wafanye kazi inauma sana yani

  • @kavulatikivurunzi
    @kavulatikivurunzi 11 หลายเดือนก่อน

  • @kashindmohamedi7701
    @kashindmohamedi7701 2 ปีที่แล้ว

    Hapo ulikuwa sawa kabisa

  • @mtahogarashid8488
    @mtahogarashid8488 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni Rais ajae Ndugu yangu aisee kwa sasa naweka bando baada ya Mzee wangu Magu aisee Kwa sasa wewe ni Mwenezi na Kazi unaupiga mwingi sana

  • @husseinshabanhusseinshaban1705
    @husseinshabanhusseinshaban1705 6 ปีที่แล้ว

    Sana mweshimiwa makonda piga kaziiiiiiiiiiii

  • @deomagele8393
    @deomagele8393 7 ปีที่แล้ว

    Makonda mi namkubali Sana anajua jinsi ya kuongoza respectful mister wabongo mnataka mafanikio kilaisilaisi ndomaana tunaibiwa hata na madini kwakupenda slope

  • @mabulamalimi5270
    @mabulamalimi5270 7 ปีที่แล้ว +2

    Makonda Fanya kazi yako

  • @masnondofundi5637
    @masnondofundi5637 7 ปีที่แล้ว +6

    Pambania hali zetu tuna pata shida sn wakazi Wa airpot Barbara zate mashimo mashimo had kero usiombe mvua inyeshe

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 7 ปีที่แล้ว +23

    Makonda ni jembe sana,watu tu waTanzania hawana shuklani ya kile wanachokitaka.huyu ndugu ni mtenda kazi mzuri sana,anatenda vyema

    • @msaniimpyaBMW
      @msaniimpyaBMW 7 ปีที่แล้ว +2

      Inaonekana hivyo.

    • @hassanmatete4245
      @hassanmatete4245 7 ปีที่แล้ว +4

      Japo swala LA vyeti limebaki gizani,pia nimeskia kwenye daladala eti unajituma ili awamu ijayo uteuliwe uwaziri mkuu,nasema Kazi njema.

    • @wincheslausmunguazilazemaa3385
      @wincheslausmunguazilazemaa3385 7 ปีที่แล้ว

      wakalishe kt moto

    • @leilaachimpota4329
      @leilaachimpota4329 7 ปีที่แล้ว +1

      Co kama co mchapa kaz wachapa kaz wako weng zaid yake na wametolewa

    • @khalfanialiy4229
      @khalfanialiy4229 7 ปีที่แล้ว

      wanafunzi wachaf

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 2 ปีที่แล้ว

    Jeuri yako Mungu amwalipia, sasa imekula kwako.

    • @mandalorian_4.11
      @mandalorian_4.11 11 หลายเดือนก่อน +1

      Boss, Njoo unijibu: jamaa karudi kwasababu ya"SALA YA TOBA" au sisitimu ndo mpaka mwamba katoboa?

    • @CharlesMassunga
      @CharlesMassunga 8 หลายเดือนก่อน

      sasa sijui bado yuko hai arudi ajibu tena kija.karudi.mzigoni❤😂

  • @graceenno4859
    @graceenno4859 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekupenda bure makonda simamia kazi vzr watu wanaotesha vitambi hawawajibiki

  • @shaabanmminge2606
    @shaabanmminge2606 6 ปีที่แล้ว

    Pastor chria

  • @nyandapastory9420
    @nyandapastory9420 2 ปีที่แล้ว

    Mpambanaji Mungu atakulinda

  • @allysharifu4810
    @allysharifu4810 5 ปีที่แล้ว +1

    nimekukubali Baba Uko Vizuri Sana

  • @leonardkukudi7783
    @leonardkukudi7783 7 ปีที่แล้ว +2

    Twanga KAZI Mh.Makonda

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 7 ปีที่แล้ว +7

    Daaaaah, what a personality!!

    • @fabianpius7423
      @fabianpius7423 7 ปีที่แล้ว

      Makonda Piga Kazi Achana Na Wanafiki

    • @saidymtima4701
      @saidymtima4701 7 ปีที่แล้ว

      duuh nishidah san han ata lestning skill and jugmnt anlysis koz anaingilia spech ndyo maana kam wanazozona vle hiii ni 0 brain

    • @allymabiso6600
      @allymabiso6600 7 ปีที่แล้ว +1

      Watu awaitaji mapenzi ,watu tunaitaji mtoto,chapa kazi makonda wangu Allah atakulinda kwa jicho la 3

    • @devothayun1586
      @devothayun1586 7 ปีที่แล้ว +1

      Piga kazi babangu piga kazi ww ni jembe la nguvu Nataman sana had mikoani watumbuliwe maana madiwani mikoani wazembe sana Chapa kazi babaaa nakupenda sana

  • @Ev.Daniel_Ikoja
    @Ev.Daniel_Ikoja 6 ปีที่แล้ว

    Mungu wajalie Hekima nabusara viongozi wote Tanzania,

  • @geofreymgeni2668
    @geofreymgeni2668 7 ปีที่แล้ว +17

    Wasomi wanapigwa maswali na mtu asiye soma na msomi hanamajibu
    Hiv hapo nani kilaza sasa

  • @georgefaustini5679
    @georgefaustini5679 7 ปีที่แล้ว +2

    hao wanaosema huna vyet ndio waliotufikisha huku na vyet vyao.mafisad wakubwa hao piga Kaz makonda

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 11 หลายเดือนก่อน

    Woote

  • @hamzaseleman5604
    @hamzaseleman5604 3 ปีที่แล้ว

    Nataman awamu hii ya pili ya Jpili Magufuri apate nafasi tena maana mchapakazi sana kma upo sawa na mm gonga like twende sawa

  • @kataninyido401
    @kataninyido401 2 ปีที่แล้ว

    Kazi yako nzur Sana jaman

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 ปีที่แล้ว

    WATANZANIA ELIMU NDOGO SANA WAPO NYUMA KIMAENDELEO WIZI NA DHULMA NO 1

  • @tatunaally1510
    @tatunaally1510 6 ปีที่แล้ว

    sio siri nampenda sana makonda sana kwa utendaji wake wa kz ila sisi watanzania atuna shukurani

  • @magdalenamombe7226
    @magdalenamombe7226 3 ปีที่แล้ว

    Mis you daddy

  • @hajiissa9200
    @hajiissa9200 6 ปีที่แล้ว

    mh kuu wa mkoa .nakupongez sana tupo pamoja kama kijana wako

  • @devothayun1586
    @devothayun1586 7 ปีที่แล้ว

    Sijajutia mb zangu nimepata kitu nzuri endeleen kutupa vitu nzuri nzuri kama hii

  • @sadimasudi709
    @sadimasudi709 6 ปีที่แล้ว

    mh p hufi hurogwi pigania haki mungu yupo nawe mungu akubaliki sana mh P

  • @cutebabyyslimdaddy4110
    @cutebabyyslimdaddy4110 7 ปีที่แล้ว +2

    Kwenye hili la barabara hapo nakusifu ..barabara inajengwa miezi miwili tuh ,mashimo mashimo imeshachimbika yoooote ..kwa kweli wamezidi jamani

  • @rajabjuma2608
    @rajabjuma2608 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana kaka

  • @ARMANIDIORFILMDIRECTOR
    @ARMANIDIORFILMDIRECTOR 7 ปีที่แล้ว +2

    kwani hawa watu mnawatoa wapi mpaka mnawapa kazi?....tanzania mbona inakua nchi ya mambumbumbu tu..dah kweli inaskitisha,inaonekana hawa watu wanapeana kazi bila ufanisi

  • @danielgasaya6720
    @danielgasaya6720 7 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa maamuzi yako makonda mungu akupe afya njema

  • @richardtungaraza7509
    @richardtungaraza7509 2 ปีที่แล้ว

    Dah maisha bhana

  • @MauwaSalehe-cq3if
    @MauwaSalehe-cq3if 10 หลายเดือนก่อน

    makonda bola mungu alivokuteua ww maana Wana zinguwa

  • @rizzyramadhan1156
    @rizzyramadhan1156 7 ปีที่แล้ว +3

    piga kazi mh...... hao wanao dai vyet ivo vyeti ndo vingekuja kufanya yote ayooo......... tetea haki baba

  • @mtahogarashid8488
    @mtahogarashid8488 7 หลายเดือนก่อน

    Kamanda Makonda

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 7 ปีที่แล้ว +5

    Piga kazi!! Makonda.Majungu waachie wanawake

  • @kaizambagwa5128
    @kaizambagwa5128 7 ปีที่แล้ว +2

    Piga kazi mkuuu

  • @jeffkitory314
    @jeffkitory314 6 ปีที่แล้ว

    Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee watanzania ukiwafanyia kazi nzuri utaambiwa anamasifa ila ukiwafanyia kazi bibaya watasema hajuilolote/hana akili
    N:B kaa na akili kaa na maskini

  • @stewartmillanzi7198
    @stewartmillanzi7198 6 ปีที่แล้ว +3

    That's very good my DC. I love you for this.

  • @amirinyakunga5839
    @amirinyakunga5839 5 ปีที่แล้ว

    Makonda kaz yako njema mungu akubariki, mungu akupe hekima na maarifa, endelea kumtumainia yeye

  • @kataninyido401
    @kataninyido401 2 ปีที่แล้ว +1

    Makonda Mungu Akutunze Daima wewe ni Kamanda yaan Bregedia mkuu sarute Sana 🙏🙏🙏

  • @woissopaschal6391
    @woissopaschal6391 7 ปีที่แล้ว +2

    piga kazi kijana. wanaokusumbua ni kama wanakupunguza mwendo. ulishaendesha gari, kama likishamaliza mlima kwenye tambarare linafanyaje?

  • @nsodyaphilimon9153
    @nsodyaphilimon9153 7 ปีที่แล้ว

    good Sana tukiwa na viongozi Kama Hawa Tz itakuwa Bora.

  • @geofreymgeni2668
    @geofreymgeni2668 7 ปีที่แล้ว +12

    Nabii ni nabii hata kama hakubaliki kwao
    Jamaa hajasoma na hana vyeti ilankazi anazo fanya nikama kasoma
    Ahhh kumbe nibora mtu asiye soma tu

    • @stevenntira1835
      @stevenntira1835 7 ปีที่แล้ว +2

      kaz nzur mueshimiwa makonda

    • @disozluoga1267
      @disozluoga1267 7 ปีที่แล้ว

      Haswaaaa makonda. Yukosawaaa haijalishi kma wabaya wake wanadai ishu ya vyeti at I vyeti vinaongozwaaa

  • @magangamajaliwa5056
    @magangamajaliwa5056 6 ปีที่แล้ว

    asante sana mkuu

  • @salomemchewa5187
    @salomemchewa5187 2 ปีที่แล้ว

    Heti inatia kinyaaa, kauri gani ya kiongozi, kweli ulifanya jeuri, hapo ndo mnakosea kukosa ustarabu ziro .

  • @saidimeshack6315
    @saidimeshack6315 7 ปีที่แล้ว +18

    nyinyi mnae dai vyeti mmelaaniwa na washilikina kwani ofisini kwake hamajui wehu nyinyi

    • @charlesased
      @charlesased 7 ปีที่แล้ว

      Saidi Meshack Fuck you

    • @nazarnicholas8865
      @nazarnicholas8865 7 ปีที่แล้ว

      Charles Ased ,hii nimeifuta isiingie kwenye hansard ya social media

    • @disozluoga1267
      @disozluoga1267 7 ปีที่แล้ว

      Fuck u too and toooooo

    • @nuhukihegulo141
      @nuhukihegulo141 6 ปีที่แล้ว

      bila shaka huna hata cha kipaimara

    • @stanslausbukulu7198
      @stanslausbukulu7198 6 ปีที่แล้ว

      Saidi Meshack ok pow

  • @hadijamdege7651
    @hadijamdege7651 2 ปีที่แล้ว

    du 🤔🤔🤔kweli makonda kazi ulifanya kwa weredi na pesa umepiga sana unazo mpaka leo, ila kwenye maamuzi yako kwa wafanyakazi wenzio ulijifanya mungu mtu mwisho wa siku ukavuna ulichokipanda na kurudi mtaani ulikowapereka wenzio, pole sana kwa hilo japo unapesa ila nazani imekuwa fundisho🏌️🏌️🏌️🏌️🛌🛌🛌🛌

  • @jamesmbata8542
    @jamesmbata8542 7 ปีที่แล้ว +1

    LETE CHETIIIIIII BOYA WEWE MFUMULIWA MARINDAAAAAAAAAAAAAAAAA

  • @enockmulaki1001
    @enockmulaki1001 7 ปีที่แล้ว +2

    Zima moto Style, maneno mengi ufuatiliaji wake ni F. Agenda na nia ni nzuri, utaratibu hakuna. Mabadiliko yatakujaje? Maneno yametujaa wabongo kuanzia viongozi mpaka wananchi.

  • @oscarmushi3212
    @oscarmushi3212 7 ปีที่แล้ว +1

    piga kazi muheshimiwa Makonda

  • @antoniompinge6593
    @antoniompinge6593 7 ปีที่แล้ว +2

    duhhh chet tu ndo kitakukwamisha usiwe rais

  • @annamasare9291
    @annamasare9291 5 ปีที่แล้ว

    uko vizur baba ila unavyomjibu hiyo moja kwamoja kuwa huna kazi anaweza akazimia kaka maisha magum

  • @emiliamulaki3600
    @emiliamulaki3600 7 ปีที่แล้ว +5

    Makonda Ni mtendaji. Kazi nzuri sana.

    • @emiliamulaki3600
      @emiliamulaki3600 7 ปีที่แล้ว +2

      Magufuli wa Pili. Gombea Urais. Kura yangu unayo.

    • @esheeshezagary3934
      @esheeshezagary3934 6 ปีที่แล้ว

      Uko vizuri muheshimiwa wangu nakukubali sanaa

  • @eliudymhapu1750
    @eliudymhapu1750 5 ปีที่แล้ว

    Safi kabisaaa

  • @husseinkombe9008
    @husseinkombe9008 7 ปีที่แล้ว +1

    MAKONDA mi sana cha kusema ila unanikonga sana nyoyo! kaza kaza ukicheka Cheka umekwama! tunakuelewa sana, PIGA KAAZIIII

  • @julianlukinga9588
    @julianlukinga9588 7 ปีที่แล้ว

    its not fair boss..ndomana kuna defect liability period la sivyo wakandaras wote wangefukuzwa

  • @salimkichokala5246
    @salimkichokala5246 7 ปีที่แล้ว +1

    Makonda kazi kazi

  • @tesinaelectronics8228
    @tesinaelectronics8228 6 ปีที่แล้ว +1

    Simamia haki ,piga kazi big up