Kinachowafanya watu wa kigoma wafanikiwe. 1. Ni uvumilivu 2. Kutokuchagua shughuri ya kufanya. 3. Kutokuwa na aibu ya kazi wanayotaka kuifanya. 4. Kujituma 5. Kujishusha 6. Heshima 7. Kutojali kudharauliwa 8. Uaminifu 9. Ucheshi 10. Kuthubutu hata kama wataonekana dhalili. Nk. Ndio maana waha wameteka soko la nchi hii mpaka nje ya mipaka ya nchi hii. Muha mtafutaji sana, hana aibu ktk kazi yake. Wewe mcheke, mdharau lakini mpaka afikie ndoto yake. Hongereni sana WAHA.
Kaka yangu ninajutakia maisha marefu sana sana. Kwa ajili hiyo ninakupigia magoti ufanye mazoezi uache vyakula vya wanga kabisa iliuzito upungue ufurahie maisha yako bila kuwa na kisukari au Bp Na stroke. Kaka yangu unatuendeleza na unatupenda sana.Uwezo wa kula chakula kizuri unao,km mboga nyingi za majani za matunda,maharage ,nyama isiyokuwa na mafuta Sukari na ,vyakula vitamu mikate na vyakula vyote vya wanga achana navyo Ndizi za kupikwa sawa kaka yangu. Ninamuomba Mungu uishi miaka 100 na zaidi.Tunakupenda❤ Ahsante home boy
Kwenye hii interview nimefurahi sana kwani kwenye hiyo nyumba wakati inajengwa binafsi nilinufaika sana kwa kujipatia ujira, hongera sana kwake hakika ameleta mabadiliko makubwa kijijini kwetu, hata millard ayo kufika kijijini kwetu yeye ndo amekuwa wa kwanza kuwa mfano katika jamii yetu✊🇹🇿🤝 hakika yeye ni mtu wa watu , mfano wa kuigwa katika kijiji chetu cha Titye, Mungu amjalie afya njema na katika kufanikisha malengo yake maana amekua chachu ya maendeleo kijijini kwetu🙏
tuache kudharau watu jamani hiyo tabia siyo nzuri.Binafsi nakupongeza sana una ubinadamu sana na kuonesha njia ya mafanikio kwa sisi vijana Mungu akubariki
huyu jamaa nilisoma nae chuo mtwara kipindi anafanya kazi ardhi ni mtu poa sana sanaaa , huyu mwamba alianza kujipata vizur pale ambapo bank ilivyo kodi nyumba yake ya kibada kwahyo mkwanja ambao analipwa na bank ni mrefu sanaaaaa kwahyo kupitia huo mkwanja ndo akawa anafanya hayo maendeleo na bado atarndelea kufanya maendeleo , na mwenyez mungu aendelee kumbariki kwa huu uwekezaj maana jamaa ni mtu poa sanaaa sanaaa ila kama watu wa jimbo lao huko kigoma watagundua mapema huyu jamaa wangempambania awe mbunge tu kwanza elimu anayo saiz na pesa anayo na anapapenda kwao naamin atawasaidia sana but kama unahasira na maisha huwez mwelewa jamaa utafikiria ni frimason na upumbavu mwingine huyu jamaa ukikutana nae nakulezea mwanzo mwisho pesa zake anapataje ni mtu poa sana mwamba mpeni ubunge nyie waha
Anaweza asiwe tajiri sana lakn kwa maisha ya watanzania wengi assets zake zunatosha kumuita mtu aliyefanikiwa. Pili. Kwa sisi wanakigoma huyu ni shujaa kwa sababu kawekeza nyumban na kuwafumbua macho watu kwa sababu kuna watu walizipata mpaka wamekufa hawana hata kibanda kwao na vjjn washasahaulika. Mtu kwao
Mzee ni tajili,vijana tafiteni pesa acheni majungu mwenzenu ana utajili wa million 250 we unae msema umevimbiwa mihogo unawaza kumkimbia mwenye nyumba wako.mzee ni tajili sio amejipata
Jifunzeni kumsikiliza mtu na kumuelewa nyie mnaobeza alijenga nyumba ya mama yake kabla hajajipata ulitaka amjengee gorofa wakati wengine tunamiaka kibao dar na hatawahi hata kujua bei ya uwanja.
@@Proches-wu8ii Aende Kariakoo, Au afanye reference ya Ajali ya Ghorofa iliyoanguka, Misiba Mingi ilikuwa Nyanda za juu kusini; Wachagga wana Historia nzuri na biashara ila kwa time hizi mambo ni tofauti
Hapo ninavyofaham nikwamba mzee kafanikiwa ila nimwongo kama kauza vocha wakati simu zimekuja tz 2004+ sasa kauzaje nakaingia mda gani serikalini hadi kustafu?
😅😅Wapo wauni wameuza maembe na Machungwa miaka 50 , hivi mnatuonaje nyie Bakhereza na yeye alisemaga alianza kushona viatu😅😅 waambieni vijana Ukweli mnapataje pesa nyie
Sio kila kazi itamtajirisha mtu. Kuna watu wanalipwa milion 20 kila mwez na bado wakistaafu wanarudi kuwa masikini wa kutupwa. Akili ya maisha na uthubutu ndio vitakufanya uwe tajiri na sio kiasi cha pesa unachopata
Acha ujinga HeLa ipo kwenye mipango na kuwekeza na kuzuia matumizi mabaya ya fedha.. Na kuwa na miradi mingi ya kuingiza HeLa sasa kama unapata HeLa huna mipango na kuongeza miradi utabaki hapo hadi kifo chako mm nimekuja mjini kama konda wa dala dala na Leo ni gar mbili za kutembelea duka LA simu na baba shop na nyumba na sijui hata njia za kwenda kwa waganga men's ni mipango tu so jiwekeze na kwingine usigande hapo 😂😂😂😂
MTU HADI ANAPATA KAZI SERIKALINI HALAFU MNASEMA KAHANGAIKA.... ACHENI UJINGA BWANA...KUNA WATU WANAKULA MSOTO NA SERIKALI HAIWAJUI...LEO HII MTU KALA SHAVU SERIKALINI NA HADI KASTAAFU HALAFU MNAMUITA MHANGAIKAJI? AISEE MNASIKITISHA SANA..
Mwandishi kashindwa kumuuliza kwa kina Huyu Mzee wetu. Kulikuwa na mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwake. mwandishi anauliza swali ndani ua majibu kunacontent nzuri anaziskip😢 Mfano kasema anampango hadi wakujenga Zahanati mwandishi kaipotezea, Biashara ya mbao na milango ilikuwa fursa nzuri kuiongelea mwandishi kapotezea, Anyway kazi nzuri. Mungu aendelee kumfungulia huyo mzee 🫡🙏🙏
Kinachowafanya watu wa kigoma wafanikiwe. 1. Ni uvumilivu 2. Kutokuchagua shughuri ya kufanya. 3. Kutokuwa na aibu ya kazi wanayotaka kuifanya. 4. Kujituma 5. Kujishusha 6. Heshima 7. Kutojali kudharauliwa 8. Uaminifu 9. Ucheshi 10. Kuthubutu hata kama wataonekana dhalili. Nk. Ndio maana waha wameteka soko la nchi hii mpaka nje ya mipaka ya nchi hii. Muha mtafutaji sana, hana aibu ktk kazi yake. Wewe mcheke, mdharau lakini mpaka afikie ndoto yake. Hongereni sana WAHA.
Hakika tupo vzur umenena
@@SudyKamonongo kweli kabisa kaka
Kigoma Oyeeeeee
Amin amin❤
Weweee tupo!!
Kaka yangu ninajutakia maisha marefu sana sana.
Kwa ajili hiyo ninakupigia magoti ufanye mazoezi uache vyakula vya wanga kabisa iliuzito upungue ufurahie maisha yako bila kuwa na kisukari au Bp Na stroke.
Kaka yangu unatuendeleza na unatupenda sana.Uwezo wa kula chakula kizuri unao,km mboga nyingi za majani za matunda,maharage ,nyama isiyokuwa na mafuta Sukari na ,vyakula vitamu mikate na vyakula vyote vya wanga achana navyo Ndizi za kupikwa sawa kaka yangu. Ninamuomba Mungu uishi miaka 100 na zaidi.Tunakupenda❤
Ahsante home boy
Kwenye hii interview nimefurahi sana kwani kwenye hiyo nyumba wakati inajengwa binafsi nilinufaika sana kwa kujipatia ujira, hongera sana kwake hakika ameleta mabadiliko makubwa kijijini kwetu, hata millard ayo kufika kijijini kwetu yeye ndo amekuwa wa kwanza kuwa mfano katika jamii yetu✊🇹🇿🤝 hakika yeye ni mtu wa watu , mfano wa kuigwa katika kijiji chetu cha Titye, Mungu amjalie afya njema na katika kufanikisha malengo yake maana amekua chachu ya maendeleo kijijini kwetu🙏
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hongera kukumbuka nyumbani na unatufundisha sana kurudisha fadhili kijijini
Kaka abi upo janani jilani yangu titye
Hapo karibu na kijiji kwetu murufiti.. watu wa titye wengi wamejenga kwao.. safi wa muhila
Tupo
Kwaukweli Mungu Ni Mwema Kwetu Sisi Tunao Jielewa! Big UP Kaka; Na Maisha Mrefu Kwako!..
tuache kudharau watu jamani hiyo tabia siyo nzuri.Binafsi nakupongeza sana una ubinadamu sana na kuonesha njia ya mafanikio kwa sisi vijana Mungu akubariki
huyu jamaa nilisoma nae chuo mtwara kipindi anafanya kazi ardhi ni mtu poa sana sanaaa , huyu mwamba alianza kujipata vizur pale ambapo bank ilivyo kodi nyumba yake ya kibada kwahyo mkwanja ambao analipwa na bank ni mrefu sanaaaaa kwahyo kupitia huo mkwanja ndo akawa anafanya hayo maendeleo na bado atarndelea kufanya maendeleo , na mwenyez mungu aendelee kumbariki kwa huu uwekezaj maana jamaa ni mtu poa sanaaa sanaaa ila kama watu wa jimbo lao huko kigoma watagundua mapema huyu jamaa wangempambania awe mbunge tu kwanza elimu anayo saiz na pesa anayo na anapapenda kwao naamin atawasaidia sana but kama unahasira na maisha huwez mwelewa jamaa utafikiria ni frimason na upumbavu mwingine huyu jamaa ukikutana nae nakulezea mwanzo mwisho pesa zake anapataje ni mtu poa sana mwamba mpeni ubunge nyie waha
Proud to be "Ha" all the way from mwandiga but living sinza Dar.
Hongera sana mzee wangu mungu akuzidishie neema
Mzee wangu hongera sana kwa kutuheshimisha leo tunapaona nyumbani kupitia millard ayi
Safi sana. Maisha hayahitaji kukata tamaa. Hata ukidharauliwa au kunyanyaswa usikate tamaa. Ni funzo kubwa kutoka kwa huyu baba
Huyu Jamaa wa kigoma ua yupo Smart sana na kitu ambacho ua anakifanya bora aletwe palm village Nampenda sana🎉🎉
Safi sana nimependa hii interview. Mzee yuko vizuri.
Anaweza asiwe tajiri sana lakn kwa maisha ya watanzania wengi assets zake zunatosha kumuita mtu aliyefanikiwa.
Pili. Kwa sisi wanakigoma huyu ni shujaa kwa sababu kawekeza nyumban na kuwafumbua macho watu kwa sababu kuna watu walizipata mpaka wamekufa hawana hata kibanda kwao na vjjn washasahaulika.
Mtu kwao
My young daddy Mungu akubariki Sana, fanikiwa Zaid
Glory Sungura hongera sana kwa hoja yako.Umesema ukweli kabisa🎉❤
HongeraHongera sana sana kaka yangu
Home boy.Wewe ni mpambanaji na funzo kwa vijana❤
Jamaa bingwa kubali kataa hongera sana dogo
Ase TIYTE Kalibu na kijiji chetu NYENGE HAPO DUH ❤👏👏👏👏👏
Wa nyenge nipo hapa😅
😅😅😅😅au rungwe mpya
Huyu ndo role model wangu namkubali Sanaa
Watu wataongea mengi ila cye tumeona jitihada zako japo ndo tulikua tunakua Mtaani Mzee tunajivunia wewe Hongera Baba
Naomba waha tujuane hapa kwenye hii comment
Tusikate tamaa🙏🙏
Orakomeye?
Tuko p1
Wachaga mnaindwa na mfumo
Muha anabaguliwa na mfumo toka zamani
Bila hivyo mchaga asingeingia hata kidogo
Acheni duarau eti kagari jamani, ww unako hatakama unako zaidi ya Hy jitahidi kuwa na adabu.
Huyu jamaa kama jina langu. Nahisi tunafanana Kila kitu. Kasoro umbo tu.❤😅😅
Mungu yupo na Kila mtu anaejituma tufanye Kaz jaman
Hongera sana kka kwa atua nzuri
First view ,comment,and like
Big up baba Kirahumba kigoma mjini mzima
Hongera san baba mungu ni mwma
We kakaaaaa nakukumbuka sana pale wizara ya ardhi nje
Mzee ni tajili,vijana tafiteni pesa acheni majungu mwenzenu ana utajili wa million 250 we unae msema umevimbiwa mihogo unawaza kumkimbia mwenye nyumba wako.mzee ni tajili sio amejipata
Jifunzeni kumsikiliza mtu na kumuelewa nyie mnaobeza alijenga nyumba ya mama yake kabla hajajipata ulitaka amjengee gorofa wakati wengine tunamiaka kibao dar na hatawahi hata kujua bei ya uwanja.
Kwakweli kaka umenitia nguvu🎉
Home boy yupo smart sana
Hongera sana mzee wewe ni bosi
Eti wachaga wanaiga Muha😮 du nimasikitiko haitatokea wala kuzaliwa hiyo siku hata tulale miaka kumi bila kufanya kazi unatujua unatusikiaa😊
Shemeji makasiriko ya nn, waha ni hustlers sana kuliko wachaga sema nyie promo iliwabeba🤣
Wachaga tumuige muha duh sio kweli
@@Proches-wu8ii Aende Kariakoo, Au afanye reference ya Ajali ya Ghorofa iliyoanguka, Misiba Mingi ilikuwa Nyanda za juu kusini; Wachagga wana Historia nzuri na biashara ila kwa time hizi mambo ni tofauti
Mungu ni mwema kikubwa afya tuu
Kweli
HONGERA SANA BROTHER UMETUWAKILISHA VIZURI WABONGO WA VIJIJINI. ONDOA HOFU WACHAWI WALISHASHINDWA PAMBANA SASA UKIZEEKA UTAKULA SAMAKI MCHEMSHO.
Inatakiwa mtu awe smart
Congratulations muha
Hongera sana kaka
Hongera sana 🎉
Acha watuzarau Ila nasisi iko siku yet inshallah
Baba nimependa interview yako nakuomba kwa eshima Yako upunguze ulaji nyama nyekundu ili upadate kuwa na apya nzuli ili uendelee kufanya mambo mengi
Big up sana wachu umenifunza kitu
Huyo jamaa ni mfanyakazi wa serekeli huko dar, tena yuko ardhi
Kajiendeleza Kisha kapata kazi wizarani - wizara ya ardhi si mchezo
2009-2021 alikuwa serikalini kwenye ajira alafu 2013 alikuwa anauza matunda na vocha mtaani cjaelewa kwakwl 😁
Amesema 2019 sio 2009
Alisema 2003
Kasema 2003 ndo alikuwa anauza matunda
😅😂😂😂
Acheni dharau kwenye comment zenu.Tafuteni pesa roho za korosho haziwasaidii.
Asante sana🎉
Watu wengi wanadharau kwao wakishakupata,
Amina
Ingomba ilike kusa😂😂😂😂😂😂😂
Tatizolako unakula sana miaka 50 unaonekan mzee punguza kula bro
Waha ni chapakazi🎉
Mimi waha siwaamini kama wanatafta ki halali Hawa watu nihatari 😂😂😂😂
Ni tajili anasitahili kuhojiwa
kweli baba
Kajitaidi sana tumpe hogera .sio kumkashifu
Safi sana
Jaman jaman waha bado sanna yan kama nitilen nile ya magogo ila kwa waha una weza
KIGOMA❤
Naomba naomba namba zake
Point kila mtu ajenge kwao sisi tutajenga kazuramimba. Mwijaku ametukimbia lakini hakuna shida sisi tutajenga tu
Hongera shem mpambanji mungu aendelee kukubariki
Apo kwenye wizara ya ardhi sina hakika sana kama viwanja vya watu vili😮😮😮😮😮😮
Acha kurudia maneno,nyooka Kama wenzako,unazingua,Acha ujinga
Ila watu Wa TITYE 😂😂 sawa lakini niho atanwa kubhaka nakazi gasole
Anasema ukweli
Maelezo marefu sana bwana
Hapo ninavyofaham nikwamba mzee kafanikiwa ila nimwongo kama kauza vocha wakati simu zimekuja tz 2004+ sasa kauzaje nakaingia mda gani serikalini hadi kustafu?
Mbunge au diwani mtarajiwa
Hiv sahiv ukiwa na pesa kidgo to lazm uhojiwe na milady et😂😂😂
@@ramajuma5620 Hii inasaidia kuwapa ujasiri wale wanaoanza kupambania maisha.
Uko vzl kujenga nyumban una hakili
Warundi wajanja kuliko waha.hata kwa kutafuta pesa.
Huyu njama ameshiba kweli
WAHA JUUUU 😂😂😂
We baba umenikwaza kwani murundi na muha kuna utofauti gani? wote ni mtu mmja baba
😅😅Wapo wauni wameuza maembe na Machungwa miaka 50 , hivi mnatuonaje nyie Bakhereza na yeye alisemaga alianza kushona viatu😅😅 waambieni vijana Ukweli mnapataje pesa nyie
Sio kila kazi itamtajirisha mtu. Kuna watu wanalipwa milion 20 kila mwez na bado wakistaafu wanarudi kuwa masikini wa kutupwa. Akili ya maisha na uthubutu ndio vitakufanya uwe tajiri na sio kiasi cha pesa unachopata
Acha ujinga HeLa ipo kwenye mipango na kuwekeza na kuzuia matumizi mabaya ya fedha.. Na kuwa na miradi mingi ya kuingiza HeLa sasa kama unapata HeLa huna mipango na kuongeza miradi utabaki hapo hadi kifo chako mm nimekuja mjini kama konda wa dala dala na Leo ni gar mbili za kutembelea duka LA simu na baba shop na nyumba na sijui hata njia za kwenda kwa waganga men's ni mipango tu so jiwekeze na kwingine usigande hapo 😂😂😂😂
@@rumdeesonsoa1811Akili kubwa mipango na kuwekeza uko sawa
Usimsahau na rugumi😮😢😅
Wachaga waige waha? Kweli hii kituko.
Woiii hata mm nmeshangaa😂
Point kubwa maendeleo yanaletwa na wazawa wenyewe
2009-2021(upo kwenye ajira)
2013 ulinyang'anywa vocha zako mbona umenichanganya??
Tupo wengi😂
Hapo ni kabla hajaajiriwa hapo amezungumzia maisha ya nyuma huko
Amesema 2003 mkuu sio 2013
Mwandishi uko vzr an kongole
Wahq washqmba me mnyamwezi namtafuta hyu mha anagari kama yangu crossroad mmm muha wewe kweli kiboko ila nataka nkuone mie kwetu urambo
Acha ufara wanyamwez mnajiona af akuna kitu
Uyo kaipa wanafanya kazi ofsi za ardhi ni hatari sana
MTU HADI ANAPATA KAZI SERIKALINI HALAFU MNASEMA KAHANGAIKA.... ACHENI UJINGA BWANA...KUNA WATU WANAKULA MSOTO NA SERIKALI HAIWAJUI...LEO HII MTU KALA SHAVU SERIKALINI NA HADI KASTAAFU HALAFU MNAMUITA MHANGAIKAJI? AISEE MNASIKITISHA SANA..
Kasota mtaani ndio akaanza kusoma QT
Mpambanaji haswaaa
Mwandishi kashindwa kumuuliza kwa kina Huyu Mzee wetu. Kulikuwa na mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwake.
mwandishi anauliza swali ndani ua majibu kunacontent nzuri anaziskip😢 Mfano kasema anampango hadi wakujenga Zahanati mwandishi kaipotezea, Biashara ya mbao na milango ilikuwa fursa nzuri kuiongelea mwandishi kapotezea,
Anyway kazi nzuri. Mungu aendelee kumfungulia huyo mzee 🫡🙏🙏
Zaman na sasa bdo wapo wachawi
Ni vingi tu nimejifunza kupitia hii channel
Huyu mwamba sasa
Muha ana kitu angekisema tu
Ngoja nami nimtafute mwamdishi anihoji..nimefungua saluni 😂
😂😂😂😂 utampa zawadi gani akimaliza kukuoji au free cut
Iwachu
Uyubanamjua. Na hayoanayo yasema nikweri. Minipo kibada
❤
Tuache roho za kwanini
Mnaosoma comment mjifunze kitu msifate umbea tyuuu
Elimu Haina mwisho
Mimi nashindwa kuelewa comment za umu kwani tajiri ni nani maan naona kuna mabishano hahah sielew ndugu zangu