WANACHAMA WAPYA 193 WAPOKELEWA KWA KIAPO CHA CHADEMA KATA YA MKINGA_MH.AIDA KENANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 8 วันที่ผ่านมา

    Dada Mungu akubariki sana

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 15 วันที่ผ่านมา +3

    Aida uko vizuri sana hongera

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 15 วันที่ผ่านมา +3

    Safi sana sasa wtz waanza kujielewa.

  • @hamisimorogoro3732
    @hamisimorogoro3732 15 วันที่ผ่านมา +4

    Chama la Wana safi sana

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 14 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana hongera sana

  • @samuelshunashu7705
    @samuelshunashu7705 15 วันที่ผ่านมา +5

    Kadi za ccm ni makaratasi nani anayataka ? Njoo CHADEMA Up the kadi za KIDIGITAL

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 13 วันที่ผ่านมา +1

    Karibuni Sana Mungu awabariki

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 14 วันที่ผ่านมา +2

    Wapi hiyo

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk 14 วันที่ผ่านมา +2

    VemaaaaaAaaa✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @user-jf2gp7wb9i
    @user-jf2gp7wb9i 15 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 15 วันที่ผ่านมา +2

    Lakini ktk baadhi ya maeneo ccm hawana chao, Mwenyekiti mbowe karibu sana huku Namtumbo songea na Nanyumbu Tuwaamushe hawa walio ktk usingizi mzito.

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h 14 วันที่ผ่านมา +2

    Wananchi wanaokuwa naulewa kama hawa mungu wape uelewa nawengine walioko gizani

  • @walterngowi5835
    @walterngowi5835 15 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo habar imekwisha tiyar 💪💪

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x 15 วันที่ผ่านมา +2

    ✌️🙏🙏🙏

  • @EzekielLaizer-hj3ri
    @EzekielLaizer-hj3ri 15 วันที่ผ่านมา +2

    Na mimi niapisheni jamani @katibampya ni ss

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 14 วันที่ผ่านมา

    ASANTE SANA DADA AIDAN KHENANI

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 15 วันที่ผ่านมา +2

    Msigwa mmoja chadema wamekomba 193 duh

  • @josephwaigama-sb8hz
    @josephwaigama-sb8hz 15 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani njooni mara nyamongo tunawasubili sana chama che2

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mheshimiwa Aida unafaa kuwa Speaker wa bunge.!

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 15 วันที่ผ่านมา +2

    Tokeni huko jehanamu mje tuijenge tanzania Hawa ccm wanawadanganya nyinyi munakonda Kwa kukamuliwa Kwa Kodi wao wananenepa tukatae

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 11 วันที่ผ่านมา

    Hiyo nyoni nooma

  • @user-hy4zb3eg1z
    @user-hy4zb3eg1z 13 วันที่ผ่านมา

    Hayo ni maigizo tu

  • @danielkanso
    @danielkanso 14 วันที่ผ่านมา +2

    Naona Tarime na Rukwa wamefanya vyao kongole kwao

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 15 วันที่ผ่านมา

    Watanzania ni mtihani umsslini umetubadilisha kuwa malumpeni, kila atakaekuja ni boss na anafaa kwa wakati huo 4:17

  • @user-hy4zb3eg1z
    @user-hy4zb3eg1z 13 วันที่ผ่านมา

    Watu wanahtaj kadi za vyama kwa ajili ya ulaji tu

  • @michaelchombo8956
    @michaelchombo8956 15 วันที่ผ่านมา +1

    Watapokea kadi za ccm,ccm imekwisha

  • @user-wl9ev2mb5s
    @user-wl9ev2mb5s 15 วันที่ผ่านมา +1

    Chadema ndio tumaini pekee la watanzania wengi

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 14 วันที่ผ่านมา

      Tuzilinde rasimali zetu kwa wivu mkubwa kwa ajili ya future generations

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 14 วันที่ผ่านมา

    Wote watoto hao hawajui wanachokifanya

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 15 วันที่ผ่านมา

    Siamini huu Ujinga wa kupewa Kadi wengi hata hawajui maana yake maana siku akija SAMIA tuu woote walioapa watapokra kadi za CCM pia.

    • @epimackjohn461
      @epimackjohn461 15 วันที่ผ่านมา +2

      Kama wewe huamini waachie wao ndo wameamua na wana maana wanayoijua wenyewe , SAMIA hasimamii misimamo itokayo kwenye mioyo ya watu .

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 10 วันที่ผ่านมา

    Hapo hawajanunulia igekuwa CCM ujesikia