MAWAZO NINAYOWAWAZIA NINYI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Marafiki wanapokutana na kujikuta wanapenda kufanya jambo fulani huleta furaha zaidi. Ilikuwa furaha sana kukutana sisi wanne (Ray Ufunguo wa RAJO Productions), (Tumaini Swai wa RAJO Productions), (Fabian Mushobozi wa Holy Trinity Studios) na rafiki yetu mpendwa Lawrence Kameja.Kwa pamoja tukagundua yafaa kumwimbia Mungu kwa wasaa tuliokuwa nao. Nasi tukafanya hivyo kama marafiki. Hili sio kundi au kikundi rasmi cha waimbaji, bali ni marafiki tunaopenda kumwimbia Mungu. Tunawakaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu uliotungwa naye John Mgandu+ mnamo mwaka 1995. Wimbo wenye maneno matamu ya kumtukuza Mungu.Tunaposikiliza na kutazama,
    Tunamshukuru rafiki yetu Kelvin Boniface Bongole kwa kufanya sting music arrangement. Mungu aendelee ku mimina neema katika maisha yetu, neema za Mungu zikawe katika maisha yetu.#miminaneema #bwanaunibadili #kwayakatoliki #manenomatamu #rajoproductions #holytrinitystudios

ความคิดเห็น • 508

  • @josephlugembe2930
    @josephlugembe2930 3 ปีที่แล้ว +67

    Umri wa nyimbo ilipotungwa (1995) ni umri wa mtu mkubwa kabisa kwa sasa lakini wameutendea haki kama unakubaliana na mimi like hii comment

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว +4

    Huu wimbo sichoki kuuskiliza,kaka zangu mmeimba powa kweli ujumbe ndousiseme.mngekuwa hamjaowa ningeomba Mungu mpk aniskilize mojawapo anioe

  • @dennisharry-tx8ig
    @dennisharry-tx8ig ปีที่แล้ว +9

    This is the song that got me in touch with gospel music from Kenya. Melodious voices from all the four guys.Keep it up brothers in Christ

  • @franciscambatha9353
    @franciscambatha9353 ปีที่แล้ว +3

    Wherever you are John Mgandu Mungu akupumzishe kwa amani..your songs still hit since 1995 up-to-date

  • @user-tv8ts3lt8c
    @user-tv8ts3lt8c 10 หลายเดือนก่อน +2

    I like how ray ufunguo anavyoimba mungu ambariki kwa kweli❤❤❤❤❤

    • @rajopro
      @rajopro  10 หลายเดือนก่อน

      Be blessed.

    • @user-tv8ts3lt8c
      @user-tv8ts3lt8c 10 หลายเดือนก่อน

      Naipenda katoriki zaid kupitia ray ufunguo imbaaa jamooon mpaka uzeekee I wish nkuoneee .

  • @consolatandinda8887
    @consolatandinda8887 ปีที่แล้ว +4

    For I know the plans I have for you,” declares the Lord, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future." This verse comes from Jeremiah 29:11
    awww ❤🎉 this song is sooo nice 👍 I just find myself here almost all the time

  • @MariaYusuf1
    @MariaYusuf1 3 ปีที่แล้ว +5

    Good voices kaka zangu ongera

  • @fransisoroni9903
    @fransisoroni9903 3 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana dah yaaaaani mmenikosha sana

  • @josegideon4298
    @josegideon4298 4 ปีที่แล้ว +27

    I don't know which language.... But it is very peace to hearing this song...God bless you all.... Wonderful job which you did....

    • @michellemuyama9144
      @michellemuyama9144 4 ปีที่แล้ว +4

      I will translate for you.Lord says the thought I have for you are thoughts of peace and not of bad plans.You will call me and I will listen to you and I will restore all that is lost...

    • @josegideon4298
      @josegideon4298 4 ปีที่แล้ว

      @@michellemuyama9144 Thank you brother..... God Bless you.....

    • @josegideon4298
      @josegideon4298 4 ปีที่แล้ว

      Let me know this song which language....?

    • @benedictojanuary5222
      @benedictojanuary5222 4 ปีที่แล้ว +3

      @@josegideon4298 this is Swahili language mostly used in Eastern part of Africa mostly in Tanzania and Kenya.

    • @patriqjingu9418
      @patriqjingu9418 4 ปีที่แล้ว

      It is swahili Language, a national language for the country named Republic Union of Tanzania in East Africa.

  • @beatusidama6233
    @beatusidama6233 4 ปีที่แล้ว +11

    Binafsi ninashangazwa na hizo thumbs down 2. Loh! Wimbo sio tu umewasilishwa vizuri bali uimbaji uko bora sana na roho ya uinjilishaji inatia uhai kwa wote waitazamao hii video.
    Msikate tamaa RAJO!

    • @rajopro
      @rajopro  4 ปีที่แล้ว +3

      Neno kama hili la nguvu kutoka kwa mtu kama wewe linatia moyo sana kaka. Tunamshukuru Mungu.

    • @csato9415
      @csato9415 4 ปีที่แล้ว +2

      Hao watu wa 👎 huwa wapo tu.
      Hongereni kwa wimbo mzuri.

    • @mwalimujerrymathew9403
      @mwalimujerrymathew9403 4 ปีที่แล้ว

      Kuna wale hawaelewi 👍na ile nyingine.. Wimbo mtamu, kazi safi

    • @beatricemalisa6984
      @beatricemalisa6984 4 ปีที่แล้ว +1

      @@rajopro jitahudini muweke translation ya kiingereza itapendeza kwa wale hawajui kiswahili kuelewa na kuinjilishwa...na hao ndio wanaodislike video maana hawaelewi kinachoongelewa

    • @theresiakaruhanga1169
      @theresiakaruhanga1169 4 ปีที่แล้ว

      @@csato9415 na hupaswi kuwalaumu maana uwezo wao wa kufikiri uko hivyo, la muhim ni kuwaombea

  • @noeliacharles7123
    @noeliacharles7123 4 ปีที่แล้ว +23

    This song makes me feel like I have no worry in Jesus since his plans for us are those of peace... 🙏🙏🙏

  • @guygerardmaindo6678
    @guygerardmaindo6678 2 ปีที่แล้ว +5

    Depuis Kinshasa que j'ai écouté cette belle mélodie. Que Dieu vous bénisse abondamment.

  • @siscosamson3960
    @siscosamson3960 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunashukulu sana warim wetu kwa kutuijilisha kwa wimbo huo( bwana asema uliotungwa na baba waimani John mgandu, mungu ailaze loho yake mahari pema/ na mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa Amani/ Amina.

  • @jamesfesto1178
    @jamesfesto1178 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweli nmeipenda hii mmbarikiwe Sana ndugu

  • @veronicamakoye4102
    @veronicamakoye4102 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri sana,kila siku nausikiliza. Big up,kazi iendelee.

  • @aviaarchard5856
    @aviaarchard5856 3 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo wenye kuniweka katika tafakari ya upendo wa Mungu kwa kwetu. Mbarikiwe sana

  • @brysonnyembele5481
    @brysonnyembele5481 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzur sana , lakn tujiulize ss vp nyimbo zetu tunazozitunga baada ya miaka 20 au 30 zitakuwa na ubora kama za hawa wazee wetu wa enzi ,nimpongeze bwana mmoja abaitwa shaneri komba ,nyimbo zake zitadumu kama za mzee mgandu , pia R I P mwalimu sasita naye alikuwa bora sana

  • @user-xl2px6mh6d
    @user-xl2px6mh6d 5 หลายเดือนก่อน

    Natamani niwe Africa namimi nijiunge Nanyi sababu nyimbo zenu ni nzuri sana zinatia mtu moyo

  • @nelsonkyaruzi1482
    @nelsonkyaruzi1482 4 ปีที่แล้ว +2

    Aliye imba shairi kamtendea haki mtunzi. Itz very fantastic

  • @sharonsimon2861
    @sharonsimon2861 2 ปีที่แล้ว +2

    good job guys may GOD CONTINUE blessing ur talents

  • @tibetswai104
    @tibetswai104 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kuwainua rajoprodaction naitwa aleluya kutoka kibosho umbwe parokia ya umbwe naomba mtoe albam mpo vizuri. Izosauti kama mapdre au mafrater hivi au mashemasi

    • @tibetswai104
      @tibetswai104 4 ปีที่แล้ว +2

      Rajoproduction nawafutiliaga sana ni Mimi Tibeti au Aleluya kutoka kibosho umbwe kombo sokoni ( parokia ya utukufu wamsalaba ubwe ) 0652528673 napenda sana kwaya mungu awabariki

  • @neemalyakurwa9844
    @neemalyakurwa9844 4 ปีที่แล้ว +3

    Bwana asema mawazo ninayowawazia nyinyi ni mawazo ya Amanii Wala co ya mabaya.....❣️ Akiiii sichokii kusikilaliza hii nyimbo munguh awabariki vijana wa yesu

  • @angiegathoni1620
    @angiegathoni1620 2 ปีที่แล้ว +8

    A year later and am still in love with this song.
    It reminds me that a year ago, i was battling mental health/depression, but Jesus made my story beautiful.
    Thank you for always reminding me how Jesus has better plans for me everyday despite being a sinner. I still love you guys.

  • @consolattagabriel255
    @consolattagabriel255 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba tubarikini kwa wimbo mwingine tafadhali

  • @rachelsimon4275
    @rachelsimon4275 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow, wow, wow, wow
    Mapendo,,,,,,, sichoki kuskiliza huu wimbo,,, mbarikiwe sana, ongezen na zingine na nawashaur muwe na Albam yenu kabisaaa,, keeep it guy's
    Kristo,,,,,,,

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 3 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo wa katikati misa ya kumuaga ya Mazishi Magufuli

  • @solomonmenda6848
    @solomonmenda6848 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda kweli mungu anatuwazia mema

  • @simonsebastian9477
    @simonsebastian9477 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana walimu

  • @lauramushi3299
    @lauramushi3299 ปีที่แล้ว +1

    Bravo RAJO'S PRODUCTION👏

  • @janeakailokopu9829
    @janeakailokopu9829 3 ปีที่แล้ว +4

    nawapenda na sauti zenu kweli mnanipa motisha ya kuishi maisha kikatoliki.mungu awe pamoja nanyi ndugu zangu

  • @dominamsonge3088
    @dominamsonge3088 4 ปีที่แล้ว +8

    Ameen. Huu wimbo nimerudia maradufu💥💯🔥🔥. Huyu sauti ya mashauri umetishaaa. Pumzi ya kutosha. Bass hatarii.
    Mpo vizuri. Mungu awariki kwa utume kwani nimebarikiwa.🙏

    • @lawrencesilas3050
      @lawrencesilas3050 4 ปีที่แล้ว +1

      Amina Dada yetu

    • @rahabumkama8954
      @rahabumkama8954 4 ปีที่แล้ว

      Yaan huyu kaka ana pumzi hatari na bado anadai ha ha haaa wakati mwenzangu na mm hadi jasho limenitoka kwa kweli glory to God hakika Mungu ana vyombo vya sifa

  • @hildaqorro2225
    @hildaqorro2225 4 ปีที่แล้ว +10

    Sauti ya kwanza na ya pili zimenikosha ... kiitikio na mashairi ni balaaaaa ...mko vizuri ...
    ****nami nitawarudisha.....👌👌
    Ila mtu ukishapenda wimbo utapenda kila kitu aiseee ...

    • @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
      @kwayayamtaloisgonzaga-kiga60 4 ปีที่แล้ว

      Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html

  • @joymo2799
    @joymo2799 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice song still here on July 13 2021
    Nabarikiwa sanaa

  • @elizabethemmanuel4167
    @elizabethemmanuel4167 ปีที่แล้ว

    Wimbo niupendao unao nitia faraja amani pindi ninapokuwa na huzuni mbarikiwe sana

  • @sr.donathanyiramanagerard9782
    @sr.donathanyiramanagerard9782 4 ปีที่แล้ว +2

    Nafarijika sana kila nisikilizapo huu wimbo. Asanteni sana sana ndugu katika Kristu kwa kutuinjilisha. Mungu awabariki.

    • @naomibenjamini2088
      @naomibenjamini2088 3 ปีที่แล้ว

      Miss u sr Donatha miaka 11 tangu nikuone. Nakutakia kila jema ktk utume wako. Milima haikutani binadamu hukutana ipo siku tutaonana our Champika

    • @sr.donathanyiramanagerard9782
      @sr.donathanyiramanagerard9782 3 ปีที่แล้ว

      @@naomibenjamini2088 Asante sana.

  • @manassehjoseph3438
    @manassehjoseph3438 3 ปีที่แล้ว

    Mawazo ndio mawazo yangu ni ya aman wala.si ya manaba MUNGU nipe nguvu Mimi nitambue mawazo yako

  • @gabrielchelehani5119
    @gabrielchelehani5119 4 ปีที่แล้ว +1

    Hogeleni sana kwa kuzingatia maadili babu j

  • @Rafaeljay76.
    @Rafaeljay76. 3 ปีที่แล้ว +2

    Mabogo in action congrats,injili isonge mbele...fid vibes 👌🔥

  • @catherineshayo656
    @catherineshayo656 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana, yani nashindwa niandike nini niache nini,
    Huu naupenda mno na unafariji sana, na unatuonya , naomba msiishie hapa tu mtuletee na nyingine .

  • @anesiasalvatory7327
    @anesiasalvatory7327 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki

  • @SirJames065
    @SirJames065 4 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo hainotoki kwa kichwa. .

  • @merryngowi6607
    @merryngowi6607 3 ปีที่แล้ว

    Kweli bwana anatuwazia mawazo mema hivyo tumkimbilie yeye Amina

  • @brendamoraa6400
    @brendamoraa6400 2 ปีที่แล้ว

    Indeed atatuzikiliza may good loybless you people yaani mnanibariki Wacha tu

  • @delvineondari9204
    @delvineondari9204 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri mnayoifanya kueneza injili may God bless you abundantly.

  • @graphphoto705
    @graphphoto705 3 ปีที่แล้ว +4

    Nawapenda sana tumtukuze mungu daima amiinaa

  • @victoriasiay4218
    @victoriasiay4218 ปีที่แล้ว

    Jamani huu wimbo hauchoshi kuutazama na kuusikiliza mliutendea Haki endeleeni kubarikiwa

  • @magrethmosha9626
    @magrethmosha9626 3 ปีที่แล้ว +4

    Nice song guys 🙏🙏

  • @angelistashayo8925
    @angelistashayo8925 3 ปีที่แล้ว +2

    Mko vizuri hongereni kwa mziki mzuri

  • @phillipmbuligwe7946
    @phillipmbuligwe7946 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mwl Tumaini Swai, Lawrence, na rafiki zenu. Mungu Amewajalia talanta kubwa. Endelea kuitumia kumwimbia Yeye.

  • @adrianjohn1994
    @adrianjohn1994 4 ปีที่แล้ว +1

    Haya ndio madhara ya kukaa nje ya arusha sasa maana ningekuepo isingenipitaa hii

    • @rajopro
      @rajopro  4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaaa. Bro, there is always "next time"

  • @josphatnzioki1789
    @josphatnzioki1789 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunarekodi.......hahaha ....akhi napenda kazi yenu

  • @floraelias6458
    @floraelias6458 3 ปีที่แล้ว +1

    Wooh mungu awabariki sana uinjilishaji mwema

  • @marthanjeri9227
    @marthanjeri9227 4 ปีที่แล้ว +1

    I like the song hongera wanachoir

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 3 ปีที่แล้ว +1

    Asnteni sana,nimebarikiwa mno

  • @eliseindakidemi7159
    @eliseindakidemi7159 3 ปีที่แล้ว +1

    Maorganist ...safi sana

  • @noelinasaru1496
    @noelinasaru1496 ปีที่แล้ว

    Walimu wetu hongereni sana kwa wimbo mzuri

  • @remnantkikiwa3488
    @remnantkikiwa3488 4 ปีที่แล้ว +1

    Tam sana.
    Mbarikiwe wapendwa

  • @calvinjohn929
    @calvinjohn929 4 ปีที่แล้ว +6

    kwakweli mumenigusa sana pia nimejifunza jambo kuwa umoja ni nguvu mwenyezi mungu awajazie hazina zenu mbinguni na hapa mbinguni kaka swai pambana nilijua ni kinanda tu uko vizuri sana kaka mkubwa

    • @festonayingo2135
      @festonayingo2135 4 ปีที่แล้ว

      Dominika ya kuimba huu wimbo inapokaribia moyo wangu hutamani kuendelea kuuimba hata baada ya Dominika hiyo kupita. Sasa mmenipatia mahala pa kuupata kila nitapohitaji. Ahsanteni sana wimbo mzuri mmeuimba kwa sauti za unyenyekevu kabisa zenye kubariki..

    • @festonayingo2135
      @festonayingo2135 4 ปีที่แล้ว

      Barikiweni sana kwa Kazi nzuri, bila shaka mlifanya kama marafiki tuu, lakini tambueni neno la Mungu haliludi bure. Mmewabariki wengi mimi ni mmojawao, endeleeni kutumia karama zenu vyema kila msikiapo Sauti yenye kuwatuma kutenda hayo bila ubishi.

  • @basilmponzi291
    @basilmponzi291 4 ปีที่แล้ว

    Laurence Kameja hongera Sana kwa Sauti nzuri ya kwanza ubarikiwe Sana wote

  • @meresinantibakakazi1722
    @meresinantibakakazi1722 3 ปีที่แล้ว

    Asaenteni sana kwa kuimba vizuri.kibondo tumewakubari

  • @julianamanimo7850
    @julianamanimo7850 4 ปีที่แล้ว +7

    Mawazo ninayowawazia ni mawazo ya amani, asante Muumbaji wetu kwa vipaji vya vijana hawa

  • @antoniaproty6808
    @antoniaproty6808 4 ปีที่แล้ว +1

    Ooooow nimeipenda sana jamani. Mungu awabariki kaka zangu.

  • @levinadotto4147
    @levinadotto4147 3 ปีที่แล้ว +4

    Congratulations brothers

  • @eddiendungi1571
    @eddiendungi1571 3 ปีที่แล้ว +6

    Greetings in the Lord from Kinshasa, DR Congo. Sounds like male angels singing!!! Formidable!!!

  • @hermansowo3527
    @hermansowo3527 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu amewapa utume mzuri, mwimbieni Bwana maana ametukuka, jina lake lihimidiwe

  • @angiegathoni1620
    @angiegathoni1620 4 ปีที่แล้ว +9

    Wow! Simply incredible.
    Please give us more of this.
    My heart is touched,blessed,and eyes teary.
    Jesus i love you,thank you for loving me so much each second of my life!

  • @queenblancambena9048
    @queenblancambena9048 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo unaoniliza kila siku huu,,wimbo uliopendwa sana na mamaangu wakati wa uhai wake..na ndio alioimbiwa na wanakwaya wenzake wakati wa kumuaga

    • @rajopro
      @rajopro  4 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana Queenblanca. Mungu amlaze pema mama...

  • @chrispinesamwel2660
    @chrispinesamwel2660 3 ปีที่แล้ว +2

    SALUTE!!!!!

  • @godisonindunguru6090
    @godisonindunguru6090 3 ปีที่แล้ว

    Godisoni toka nyasa kingerikiti litindo .mko vizur

  • @justineamanyisye7675
    @justineamanyisye7675 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu awatumie ktk viwango na viwango,nimetafakar maneno mazito

  • @wakykundy6016
    @wakykundy6016 3 ปีที่แล้ว +2

    Big up sanaaaa

  • @panyamadaniel9064
    @panyamadaniel9064 11 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri Sana kwa sisi wakatoliki

  • @monicahmutuku5829
    @monicahmutuku5829 4 ปีที่แล้ว +4

    Wow. Sauti zuri. Mungu awabariki na awalinde. Mawazo Bwana awatuwazia ni ya Amani. Swahi nakumbuka ukitufunza huku Kenya miaka Mingi. Barikiweni Sana.

  • @bujunebusanya3966
    @bujunebusanya3966 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwatumia tupate kazi zingine nzurii zaidi. Kuimba ni raha sana. Hongereni sanaa

    • @rajopro
      @rajopro  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana Bujune

  • @amosgerald7763
    @amosgerald7763 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbalikiwe

  • @claudemushimanja469
    @claudemushimanja469 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu zangu, kweli mumenibariki kabisa. Mungu baba yetu awakumbuke kupitia kipaji hiki. Claude / Bukavu-DRC

  • @magrethlaurent2856
    @magrethlaurent2856 4 ปีที่แล้ว +6

    Mbarikiwe sana mmeimba vizuri,,, Mungu awazidishie nimeipenda

  • @speciozaathanas9894
    @speciozaathanas9894 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AWATANGULIE KWA KAZI YENU NZURI

  • @arnoldlaurentfuraha7301
    @arnoldlaurentfuraha7301 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri sana... Hongera sana Rajo Production kwa ubunifu katika kueneza neno la Mungu kwa njia ya uimbaji... Talanta tulizopewa zinapotumika Mungu anahimidiwa na wanadamu tunapata baraka... Keep it up Mwl. Ray Ufunguo👏🏿👏🏿👏🏿

    • @rajopro
      @rajopro  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana Arnold

  • @donnyhhary2223
    @donnyhhary2223 3 ปีที่แล้ว

    Jamani sichoki kuusikiliza huu wimbo.... Mbarikiwe watu wa Mungu

  • @angelmalavanu9723
    @angelmalavanu9723 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sana kaka zangu

  • @mapendoimani2462
    @mapendoimani2462 4 ปีที่แล้ว +6

    Hongereni Mapacha wanne Utulivu 100% na ujumbe safi actually its in good memory of our lenged Composers

  • @anatoriacronery3487
    @anatoriacronery3487 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika sichoki kusikiliza huu wimbo barikiwa sana

  • @fransiscabernard1070
    @fransiscabernard1070 4 ปีที่แล้ว +5

    Pongezi Mungu awazidishie neema ya kibali🤞

  • @mariethamkulo1983
    @mariethamkulo1983 4 ปีที่แล้ว +7

    Daaaaa nimejikuta nikifurahia hongereni Sana mpo vzr

  • @hellenthadeo9526
    @hellenthadeo9526 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mnafanana kwani Ni ndugu

    • @lawrencesilas3050
      @lawrencesilas3050 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahaha ndugu katika kristo

    • @hellenthadeo9526
      @hellenthadeo9526 4 ปีที่แล้ว +1

      @@lawrencesilas3050 Kweli ni ndugu katika Kristo Mungu aendelee kuwabariki.

  • @gloriasakwari9815
    @gloriasakwari9815 ปีที่แล้ว

    Asanteni Mbarikiwe waimbaji na Rajo production

  • @mgalami
    @mgalami 9 หลายเดือนก่อน

    Leo 19.11.2023 ni Dominica ya 33 ya mwaka A wa kanisa.nami nashukuru sana kwani jana nilijifunza kupitia hawa marafiki wa nne ili nikaianzishe kwenye misa yetu nzuri isiyokua na kwaya.na kanisa zima limeikia.🙏

  • @leocadiajohnbinkuchiloveyo8940
    @leocadiajohnbinkuchiloveyo8940 4 ปีที่แล้ว +2

    Namuona bro lawrence ktk ubora wake congrats to all 🌹🎉🎇👏👍

  • @olivambala3086
    @olivambala3086 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni Mungu amesikia kilio chetu cha ugonjwa wa corona

  • @happytairo5143
    @happytairo5143 4 ปีที่แล้ว +1

    Miaka mingi kwenu ili mzidi kufanya kazi yake zaidi na zaidi Mungu awabariki sana

  • @bundesco
    @bundesco 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana

  • @hongerazabron1759
    @hongerazabron1759 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu yu mwema jamanii na m'balikiwe kwa kaz nzurii hiyoo

    • @marialekey8135
      @marialekey8135 4 ปีที่แล้ว

      Kumjua mungu kuna faida sana hongeren san kaka zangu

  • @jonhsonmsofe9904
    @jonhsonmsofe9904 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa hio tokarajo

  • @globalcitizentv7467
    @globalcitizentv7467 3 ปีที่แล้ว +4

    Congratulations!!

  • @mercykagichu
    @mercykagichu 3 ปีที่แล้ว +3

    Angelic voices!!!! Sichoki kamwe kuuskiza wimbo huu mzuri sana,,,,, twapenda uimbaji wenu kwa sana na siku moja yaani mimi hutamani niwaskize mkiimba kwa karibu👏👏hongera nduguzanguni watanzania

    • @lawrencesilas3050
      @lawrencesilas3050 3 ปีที่แล้ว +1

      Usijal soon tutaku invite

    • @mercykagichu
      @mercykagichu 3 ปีที่แล้ว

      @@lawrencesilas3050 Mwaliko huo naungoja kwa sana......Lakini itabidi kwanza nijifunze kiswahili sanifu 😅 Mwendelee kumshukuru Mungu kwa nyimbo na sauti nzuri......Mungu awazidishie baraka zake

    • @lawrencesilas3050
      @lawrencesilas3050 3 ปีที่แล้ว +1

      Usijal shall teach you proper swahil

  • @hildaqorro2225
    @hildaqorro2225 4 ปีที่แล้ว +3

    My favourite song of all times.... mmenibariki kwakweli.....

  • @anthonykilosa6179
    @anthonykilosa6179 4 ปีที่แล้ว +12

    The more time goes #RAJO PRODUCTIONS become more talented and producing good work with full of skills may the almighty God integrates your skills and knowledge. Amen
    😚😚😚 I like it

    • @rajopro
      @rajopro  4 ปีที่แล้ว +1

      Thank you Anthony. May God Bless you.

    • @anthonykilosa6179
      @anthonykilosa6179 4 ปีที่แล้ว

      @@rajopro Amen

  • @mwalimuaudi8844
    @mwalimuaudi8844 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow! Nimebarikiwa sana. Utunzi huu unavutia sana. Mola na Awazidishie maarifa katika kumtumikia.🎶🎶🎼🎼🎹🎹😍🤗🤩😘

  • @fatmakizimba744
    @fatmakizimba744 4 ปีที่แล้ว +1

    Ee Mwenyezi Mungu asante sana kwa ajiri ya watu wako watumishi wako hawa.walinde,wape maisha marefu yenye afya njema ili wazidi kulihubiri neno lako kwa njia ya uimbaji.
    WIMBO UMENIBARIKI Sana.