MAOMBI YA KUOMBEA UFAHAMU by Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • MAOMBI YA KUOMBEA UFAHAMU by Innocent Morris
    Haya ni maombi ya kuombea ufahamu wako au ufahamu wa mtu mwingine ili Mungu aufungue na kuuweka huru.
    Hakika ni maombi yenye nguvu sana.
    Ubarikiwe sana.
    Contacts: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    TH-cam Link:
    / holyspiritconnect

ความคิดเห็น • 80

  • @user-mh6lv2tt9x
    @user-mh6lv2tt9x 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu naombea ufaham mme wangu ufaham wangu ufaham kwa watoto wangu ufaham wangu ameen

  • @GAlice-cn5zh
    @GAlice-cn5zh 4 วันที่ผ่านมา

    Naamini ufahamu wangu umeachiwa katika jina ya Yesu Kristo!

  • @wallenmaulisa-me4ik
    @wallenmaulisa-me4ik 11 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu fungus ufahamu wangu na wa mtoto wangu na wadogo zangu na wazazi wangu nafamilia yangu kwaujumra

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ ameeeeeen Bwana Yesu Kristo fungua ufahamu wangu ohoo Yesu alelluyah

  • @jzgzvxbvz2025
    @jzgzvxbvz2025 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu fungua ufaham wangu, fungua ufaham wa watoto wangu,ufaham wa ndugu zangu faham za wazazi wangu kwa jina la yesu kristo

    • @user-mh6lv2tt9x
      @user-mh6lv2tt9x 4 หลายเดือนก่อน

      Bwana yesu fungus ufaham kwa watoto wangu😂

  • @user-tj3wu4jw2p
    @user-tj3wu4jw2p 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu nirudishiwe Ufahamu Wangu nami🙏

  • @user-yr3vn5ql8s
    @user-yr3vn5ql8s 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu fungua ufahamu wangu, fungua ufahamu wa baba mtoto wangu hamis ally kokote alipo fungua familia yangu wazazi wangu kwa jina la Yesu 🙏

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu Cristo funguwa ufaham wa toto

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Bwana Yesu kwa kufungua fahamu zangu & WATOTO, wakukuu na ndugu zangu.
    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.

  • @jescakerubo3953
    @jescakerubo3953 ปีที่แล้ว +4

    Bwana yesu fungua ufahamu wangu na watoto wangu katika jina la yesu kristo 🙏🙏🙏

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu fungua ufahamuwangu

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu Cristo funguwa ufaham wangu

  • @everyne.illankunda8292
    @everyne.illankunda8292 11 หลายเดือนก่อน

    Amen amen namimi napokea kwajina la YESU asante saana Mungu

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu fungua ufahamu wangu

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Namuru kila pando lilopandwa kwenye ufamu wangu ondoka

  • @patricknaftaaly1115
    @patricknaftaaly1115 ปีที่แล้ว +1

    Asante MUNGU asante yesu asante roho mtakatifu asante malaika wangu asante muhubiri asante ulimwengu asante sana

  • @joycevitalis
    @joycevitalis 8 หลายเดือนก่อน

    Fungua fahamu zangu kwa damu Yesu kristo ❤❤❤❤

  • @GervasProsper
    @GervasProsper 26 วันที่ผ่านมา

    Mugu funguwa ufamu wangu baba

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ ameeeeeen hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏

  • @frolencialupilya6209
    @frolencialupilya6209 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Bana Yesu fungua ufahamuwangu

  • @Nancy-xz9rn
    @Nancy-xz9rn 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu baba mpe my dtr ufahamu anapoenda kufanya mtihani wake

  • @frolamponda840
    @frolamponda840 9 หลายเดือนก่อน

    Yesu fungua ufahamu wangu

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana
    Mtumishi Mungu Kwa maombi yako maziri, yakufungua Fahamu zetu.
    BW Akubariki
    Sana.

  • @GeorgeMugo-dc2jn
    @GeorgeMugo-dc2jn ปีที่แล้ว

    Mungufungua katika jina layesu

  • @LucyMoraa-tj1wj
    @LucyMoraa-tj1wj ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏

  • @user-du2we2jl5v
    @user-du2we2jl5v 11 หลายเดือนก่อน

    Bwa na yesu fungua ufahamu wangu leo

  • @AmaniRamathani-ti7fh
    @AmaniRamathani-ti7fh 24 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @sudiadiane
    @sudiadiane ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @lennyfrank
    @lennyfrank ปีที่แล้ว

    Ameen Ameen Asante Mungu

  • @magdalenadaglas3334
    @magdalenadaglas3334 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu asante kwa kunifungua ufahamu wangu nawatoto wangu nandugu zangu wote ameen

  • @MaryKisitu-pw4ub
    @MaryKisitu-pw4ub 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeeee

  • @GeorgeMugo-dc2jn
    @GeorgeMugo-dc2jn ปีที่แล้ว

    Kabisa kabisa

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @rebeccabraison8357
    @rebeccabraison8357 ปีที่แล้ว +1

    BWANA YESU ASNTE KWAKUUFUNGUA UFAHAMU WANGU, WATOTO WANGU, MUME WANGU, NA UKOO WANGU AMEN 🙏

  • @everyne.illankunda8292
    @everyne.illankunda8292 11 หลายเดือนก่อน

    IKINIGUSA GUSA NAMAMA YANGU WATOTO WANGU NDUGU ZANGU NAWARAFIKI

  • @user-vx7es3qp3h
    @user-vx7es3qp3h 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwakunifungua

  • @user-fk3wz5mi7g
    @user-fk3wz5mi7g ปีที่แล้ว

    Yesu Naomba Ufungue Ufahamu wangu na Watoto wangu.

  • @nancykageha2199
    @nancykageha2199 ปีที่แล้ว

    Kwa kwali Mimi nimefunguwa ufahamu wangu naomba. Bwana yesu fungua ufahamu wangu Kwa jina la yesu kiristo mutumishi asanty sana mungu akubariki

  • @loicesalano931
    @loicesalano931 ปีที่แล้ว

    Ktk Jina la YESU kila mapande ya kufunga fahamu zetu kwa watoto wetu zingote kwa Jina YESU 🙏

  • @happpyfuraha
    @happpyfuraha ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu fungua ufahamu wangu

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 ปีที่แล้ว

    Halleluyha Jina la YESU Christo aliye hai lipewe sifa Amen

  • @neemametison1477
    @neemametison1477 ปีที่แล้ว

    Bwana YESU,naomba ufungue ufahamu wangu katika jina la YESU

  • @sirielikisetu8706
    @sirielikisetu8706 ปีที่แล้ว +3

    Bwana yesu,naomba unisamehe zambi zangu zoote,naomba Toba na rehema kupitia maombi haya,bwana yesu fungua ufaham wa watoto wangu,na Mimi yesu nifungie fahamu zangu niache kuwaza mawazo yasiyo mema kwa damu ya yesu kristo

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 ปีที่แล้ว

    Bwana fungua ufahamu wangu🤲🏼🤲🏼🤲🏼katika jina la yesu kristu

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri ปีที่แล้ว +1

    AMINA AMINA Hallelujah

  • @blandinamyovela3020
    @blandinamyovela3020 ปีที่แล้ว

    Mungu naomba ufungue ufahamu wangu

  • @naishiyelaizer7843
    @naishiyelaizer7843 ปีที่แล้ว

    Kila jambo lililoshikilia fahamu zangu zimeshindwa Kwa jina a Yesu kristo🙏

  • @frolamponda840
    @frolamponda840 9 หลายเดือนก่อน

    Kila pando lilopandwa kwenye ufahamu wangu naungoa ktk jina layesuuy

  • @rahmaaman211
    @rahmaaman211 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu fungua ufahamu wangu na watoto wangu kwa Jina la Yesu 🙏🏼kristo

  • @blandinamyovela3020
    @blandinamyovela3020 ปีที่แล้ว

    Kila pando lililofunga ufahamu wangu lin'goke kwa Jina la Yesu

  • @Lilian989
    @Lilian989 ปีที่แล้ว

    Mungu fungua ufahamu wangu 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeen man of God

  • @faithe4063
    @faithe4063 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu 🤲

  • @elizabethkhisa4755
    @elizabethkhisa4755 ปีที่แล้ว

    Amen amen 🙏🙏🙏🇵🇰🇰🇪

  • @angelalaizer3895
    @angelalaizer3895 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN AMEN

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @hdhdhdhdhdh3264
    @hdhdhdhdhdh3264 ปีที่แล้ว

    Amen🙏🙏🙏🙌🙌🙌🇱🇧🇰🇪

  • @estawilson9998
    @estawilson9998 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @beatriceomino6266
    @beatriceomino6266 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @linamuche
    @linamuche ปีที่แล้ว

    Yesu fungua ufahamu wangu

  • @LucyMoraa-tj1wj
    @LucyMoraa-tj1wj ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏

  • @chancematabishi9216
    @chancematabishi9216 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @nanapega3908
    @nanapega3908 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 🙏