Mungu naomba uondoe kila pando la adui lililopandwa ndani yang pando la kunirudisha nyuma pando la umasikin na pando la wachawi pamoja na waganga naomba Uondoe yesu
Mungu naomba huondoe uchawi katika nyumbani kwangu mm na familia yangu navunja maagano ya giza madhabau ya Mungu yangoe mapando katika jina la yesu kristo Amen 🙏
Ameni amen nashukuru bwana yesu kwakunifungua na kuondoa kila pando vifungo mimi na family yangu amen
AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN
Akisanti mungu akisanti Pasteur kwa maombi
Mungu naomba uondoe kila pando la adui lililopandwa ndani yang pando la kunirudisha nyuma pando la umasikin na pando la wachawi pamoja na waganga naomba Uondoe yesu
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen and amen
Amen Amen
Mungu naomba huondoe uchawi katika nyumbani kwangu mm na familia yangu navunja maagano ya giza madhabau ya Mungu yangoe mapando katika jina la yesu kristo Amen 🙏
Naomba uniondolee kitu ambacho kina zuia manikio yangu