Ameen mtumishi wa Bwana mungu akupe maisha marefu Kwa ajili ya mafundisho mazuri ya kuwafanya watu wamjue mungu ipasavyo. Mungu wa mbingu na nchi atusaidie tuwe waombaji wazuri.
Bwana yesu Asante kwa kunena nami Kwa kua umeniona nmekua mtu wakulalamika na kwa kujua na kutojua nikakutenda dhambi na cku ya Leo nakushukuru mungu kwa neno lako takatifu kupitia mtumishi wako.
Bwana yesu naomba unifundize namna ya kuomba mbele zako kwa njia sahii
napenda kuomba lakin siwez kuomba vzur🙏🙏🙏
Mungu akupee neema yake utajua
Bwana yesu naomba unifunndishe namna ya kuomba yale yakupasayo wewe
Bwana Yesu sijui jinsi ya kuomba yawekana naomba KWa kulalama na kunung'unika naomba nifundishe njia sahihi ya kuomba mbele zako.
Ameen
Eee Bwana Yesu nipe nguvu ya kuomba kuliko kawaida
Ameen
Ee roho mtakatifu nifundishe kuomba vizuri mbele za Mungu
Ameen
Mungu wangu uliyeumba mbingu na Dunia, nisaidie nifundishe namna nzuri ya kuomba,nijue kupigana zaidi rohoni ,kuliko mwilini,AMEN
Mungu nipe njia ya maombi mungu
Ameen
Ameen
NAOMBA UNISAIDIE MAOMBI NDOTO ZA SHULENI NA NIKIWA NYUMBANI KILA MARA😭
Eee mungu nibariki niwe muombaji mzuri,🙏🙏🙏
Ameen
Bwana yesu ww ndio mwalimu wangu na rafiki yangu wa karibu nifundishe kuomba
Amen somo ili limenigusa Mungu azidi kukutunza kwajili ya kazi yake
Ee MUNGU naomba niwe mwombaji mzuri Ili niweze kupata niyaombayo kwako🙏
Eee Mungu naomba unifundishe jinsi ya kuomba🙏🙏🙏🙏
Bwana Yesu endelea kusimama na mwanangu .
Ameen
Ee Bwana nipe nguvu ya maombi
Ameen
Darasa zuri sana.. Mafundisho mazuri yanayotakiwa mno na Kanisa la leo. Uinuliwe zaidi Mtendakazi wa Bwana
Hili ni ombi langu kwa Mungu. Ee Mungu nipe neema ya kukujua sana, niishi makusidi yako na unipe mwisho mwema hapa duniani amen 🙏
Amen kubwa mtum8sji wa Mungu nakutakiya mwisho mzuri
Ameen ameeen
Eee mungu nibariki niwe muombaji mzuri na kujua namna ya kuomba naujasiri wala sikwa kunung'unika bwana
Nimesikiriza hii nimetamani kuingia kwenye maombi naomba Mungu nisikie kuomba kwangu usinyamaze
Mungu nifundishe jinsi ya kuomba 🙏🙏🙏🏾
God bless you sir
Ameen
Eeeh Mungu wangu naomba nifundishe kuomba🙏🙏
Ee YESU wangu nifundishe kuomba
Mungu wangu naomba unielekeze na roho wako mtakatifu wakati ninapoomba,,,
Ameen mtumishi wa Bwana mungu akupe maisha marefu Kwa ajili ya mafundisho mazuri ya kuwafanya watu wamjue mungu ipasavyo. Mungu wa mbingu na nchi atusaidie tuwe waombaji wazuri.
Eee BWANA Yesu cijui kuomba naomba unifundishe na niweze kwenda kwa ukamilifu mbele zako
Barikiwa sana mtumishi
Ameen
Bwana yesu Asante kwa kunena nami Kwa kua umeniona nmekua mtu wakulalamika na kwa kujua na kutojua nikakutenda dhambi na cku ya Leo nakushukuru mungu kwa neno lako takatifu kupitia mtumishi wako.
YESU KRISTO ASIFIWE SANA BWANA naomba nipe kuomba kwa maombolezo 🙏🙏
Ameen
I m the first one to connect holy spirit locate me in your mercies🤲🤲🤲
Ameen
Ee MUNGU nifundishe kuomba ipasavo
Mungu akubariki
Ameen
Amen🙏🙏. Barikiwa na Bwana Mtumishi
Roho Mtakatifu nifundishe kuomba sawasawa na mapenzi ya MUNGU
Nimebarikiwa sana na wew mtumishi
Ameeen Bwana wa huruma naomba msaada katika kuomba kwangu niweze kuomba sawa sawaa nawewe MUNGU wangu
Roho mtakatifu nisaidie niweze kuomba kama apendavyo Bwana.
Mungu nisaidie
Asante Yesu
Ameen
😢😢😢😢😢😢😢 ooohhh i'm blessed
Ameen
Ee BWANA unifundishe jinsi ya kuomba mbele zako na unipe nguvu 🙇♀️🙇♀️🙇♀️
I m watching this teaching for the second time , i m blessed may the holy spirit guide me to be a powerful prayer worrior in Jesus holy name🤲🤲🤲
Ameen
AMINA
Ee roho wa bwana nakuomba karibu kwangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Bwana mungu wa daudi sikia kilio na maombi yangu
Ameen ameeen
Ee bwana nifundishe kuomba ipasavo
Nifuze kujuwa ku omba bwana yesu
Eee Bwana YESU Mwokozi wangu naomba kwa Roho wako Mtakatifu wa MUNGU nifundishe kuomba niombe kama apendavyo MUNGU 😥🙏
Bwana nisaidie ni juwe kuomba na kuwa na hamu ya kukutafuta kwa bidii amen
Amen Amen
🙏🙏🙏
Ee BWANA Yesu nifundishe kuomba nisiwe nang'unika mbele. Zako Mungu
Mungu nisaidie na unifundishe kuomba vizuri .kutoka Kenya.mafundisho yako yananisaidia bakubwa sana
Mungu akutunze mtumishi
Huyu pastor mungu amlinde
Amen Amen. Mungu nafanya niwe mwombaji mzuri.Asante sana brother kwa somo nzuru❤❤
Ameen
Mungu akubariki pia
@@holyspiritconnect Amen
Eeeeh Bwana kumbukaaa Bwana kumbukaaa
Ameen
Amen Ubarikiwe sana
Amen, Mungu ww wajua ninayoyapitia, roho wako aniongozi kuomba kwa machozi
More Grace sir watching from German🙏🙏🙏
Ameen
Amen 🙌🙌
Dear Jesus I love you
Bwana yesu asifiwe
Unapatikana wapi mtumish wa MUNGU
Amen Amen🙏🙏🙌🙌
Mungu naomba nipe neema hii yakuwa muombaji mzuri
Mwenyezi mungu naomba unifundishe jinsi ya kuomba vizuri
Mungu nifundishe kukuomba itakavyo kupendeza
Amen poster be blessed and I'm blessed
Ameen
Nifundishe namna ya kuomba
MUNGU Muumba Mbingu na Nchi naomba nisaidie nijue kuomba 🙏🙏
Mungu mkubwa. Mchugaji una fanya ubatizo
Nifundishe namna nzuri ya kuomba bwana yesu
Amen mungu nisaidie niwese kuomba ifao baba nisaidie❤
Aaamen 🙏
Ameen
Nimebarikiwa sana ..nitafanya aje ndoto mbaya zi ishe
Eeh mungu wangu nisaidie kuomba ipasavyo nipe roho mtakatifu ambaye ni mwalimu mwema anifunze ,natamani kuwa muombaji mzuri
Ee Bwana Yesu nisaidie katika kuomba kwangu.
Ameen napata kitu katika jinsi yakuomba
Amen🙏🙏🙏
Ameen
Amen 🙏🙏
Bwana nipe kuomba vizuri kuanzia leo
Bwana nifundishe kuomba vizuri
Mungu naomba imani yamaombi nijifumze kuomba vizuri
Jesus my Lord make me strong
Baba niombee milango yauchumi wangu ufunguke namme alie sahii kwamaisha yangu nimechoka Kila Mme ninaekutana nae kunatokea vizuiz nimechoka nisaidie
Ameeni ❤❤❤
🙏🙏🙏
Amen Amen this what I need in the might name of Jesus Christ
I love you Jesus ❤
Ameen
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Emeni
Ameeeeeeeeeeen🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 😢😢
Ameeen
Amen
🙏🙏🙏
Barikiwa Mtumishi,Mungu azidi kukutumia kwa viwango vyajuu,
Aaamen
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Ameen
Jmn huyu mchungaji anapatukana wap?
Dar es Salaam
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 mungu nipe nguvu za kuomba na kupikana kiroho na sio mwili
God bless you poster watching from Saud Arabia
Ameen
Amen
🙏🙏🙏
AMEN 🙏 🙏
Amen Amen
Amen🙏🙏🙏
Ameen
Amen 🙏🙏
Amen🙏
Amen
Amen 🙏
Amen