JINSI YA KUWA SALAMA MBALI NA MASHAMBULIZI YA ADUI Sehemu ya Kwanza - Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024
  • JINSI YA KUWA SALAMA MBALI NA MASHAMBULIZI YA ADUI Sehemu ya Kwanza - Innocent Morris
    Watu wengi wamekuwa wakishambuliwa na adui, na mashambulizi hayo yamekuwa yakishika. Sasa leo katika somo letu tutajifunza namna gani tunaweza kuwa salama hata pale adui atakapo tushambulia.
    Yaweza kuwa huwa unashambuliwa ndotoni na mashambulizi hayo yanakupata, au unashambuliwa kazini kwako, kwenye biashara yako, kwenye ndoa yako, kwenye masomo yako, kwenye afya yako au sehemu yoyote ile. Njoo leo tujifunze jinsi ya kuwa salama mbali na mashambulizi ya adui.
    "Zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu."
    Waefeso 6:16
    Somo hili litakusaidia kupiga hatua katika maisha yako ya kiroho.
    Ubarikiwe sana.
    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    TH-cam Link:
    / holyspiritconnect

ความคิดเห็น • 81

  • @BARIKIANAUMALI
    @BARIKIANAUMALI 25 วันที่ผ่านมา +2

    Ameen ameen ameen

  • @Husmesco-z7j
    @Husmesco-z7j 4 วันที่ผ่านมา

    Eeeh Bwana YESU nisaidie nikae kweny e uwepo wako siku zote za maisha yangu

  • @NancyKivindyo
    @NancyKivindyo 20 วันที่ผ่านมา

    Eee mwenyezi Mungu NA kuomba uniongoze kwa chochote nifanyacho kiwe kinakupendeza wewe. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @IraneShirindo
    @IraneShirindo 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni saidie niwezeshe kua na Ngao ya imani ili wezeshwe kua salama mikononi mwako 🙏🙏❤❤

  • @DorcusSaul-wv9rd
    @DorcusSaul-wv9rd หลายเดือนก่อน

    Mungu niongoze nikae ndani ya uwepo wako,,, THE PRESENCE OF THE LORD,,,, ahsante kwa mafunzo...

  • @SuhailaSintamei
    @SuhailaSintamei 3 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu nisaidie nisiwe mbali Na uwepo wako,,,, amen 🙏🙏🙏

  • @frolencialupilya6209
    @frolencialupilya6209 4 หลายเดือนก่อน +3

    Amen, Mungu nisaidie nikae kwenye uwepo wako siku zote.

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  4 หลายเดือนก่อน

      Ameen

    • @BlessingsPeace-c4f
      @BlessingsPeace-c4f 4 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana mtumishi

    • @Mary-c5c7d
      @Mary-c5c7d 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@holyspiritconnectmtumishi Bwana apewe sifa naomba nipate namba zako za simu kuna mengi natamani nikushirikishe

  • @vumiliawambula1716
    @vumiliawambula1716 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen mtumishi ubarikiwe Sana kwa mafundisho mazuri

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 3 หลายเดือนก่อน

    Roho mtakatifu awe nawe siku zote 🙏🙏

  • @JoyceSakey
    @JoyceSakey 3 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen
    Mungu nisaidie ngao ya imani katika jina la YESU

  • @floradavid5216
    @floradavid5216 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba unipe neema ya kukaa katika uwepo wako

  • @peteroderobarasa5205
    @peteroderobarasa5205 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @aganolwanda5707
    @aganolwanda5707 3 หลายเดือนก่อน

    Ee MUNGU nisaidie nitembee kwenye uwepo wako 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @marcellamachio316
    @marcellamachio316 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina pastor Amina

  • @BonareriDoreen-p8b
    @BonareriDoreen-p8b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nisaidie nikae next na uwepo

  • @AdrianaProsper
    @AdrianaProsper 3 หลายเดือนก่อน

    Ewe Yesu uwepo wako uwe nami sikuzote za maisha yangu

  • @tatubanadi4710
    @tatubanadi4710 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana Pst.Mungu akulinde na kukutunza .
    .

  • @mkungawakiroho859
    @mkungawakiroho859 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mno mtumishi wa MUNGU kwa somo hili zuri

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Barikiwa Sana 🙏

  • @leonardanzurunipombi2499
    @leonardanzurunipombi2499 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen Asante mtumishi Mungu azidi kukutumiya kwajili ya Kazi yake

  • @NeemaJohn-y1r
    @NeemaJohn-y1r 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 barikiwa sana asante kwa somo zuri

  • @Edinahnyaboke-b9o
    @Edinahnyaboke-b9o 3 หลายเดือนก่อน

    Asate Mungu 🙏

  • @goldermeirshoo1228
    @goldermeirshoo1228 3 หลายเดือนก่อน

    Ameeen barikiwa saana

  • @maggieathanas1789
    @maggieathanas1789 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu kwa neno lako limenibariki

  • @Neemahenery
    @Neemahenery 3 หลายเดือนก่อน

    AMEEN

  • @Elizabeth-ds7yk
    @Elizabeth-ds7yk 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🎉

  • @dorcaslundumen4370
    @dorcaslundumen4370 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah Mungu akubariki sana.

  • @RukiaYusuph-u4j
    @RukiaYusuph-u4j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana kwa somo

  • @SamuelWanyama-z1h
    @SamuelWanyama-z1h 24 วันที่ผ่านมา

    Amen amen💥💥💥💥💥💥💥

  • @Geofdefasha003
    @Geofdefasha003 4 หลายเดือนก่อน

    Amen, Mungu akubariki sana Mtumishi

  • @emmabanda6175
    @emmabanda6175 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeen 🙏🙏🙏

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri 4 หลายเดือนก่อน +1

    HALLELUJAH HALLELUJAH

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu shuka utupambanie mwenyewe sisi wenyewe hatuwezi bila yako ewe bwana yesu

  • @faithe4063
    @faithe4063 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen and Amen

  • @Elizabethmuronji
    @Elizabethmuronji 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen

  • @clarasima5447
    @clarasima5447 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  4 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏

    • @McTabasam
      @McTabasam 4 หลายเดือนก่อน

      Amina mtumishi🙏

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen

  • @christineadhiambo3496
    @christineadhiambo3496 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu nisaidie nikae kwenye uwepo wako siku zote

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @Jefferson_Gospel
    @Jefferson_Gospel 4 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏

  • @SuhailaSintamei
    @SuhailaSintamei 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu nisaidie nisiwe mbali Na uwepo wako,,,, amen 🙏🙏🙏

  • @Elizabeth-ds7yk
    @Elizabeth-ds7yk 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @NeemaJohn-y1r
    @NeemaJohn-y1r 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @TajiriMeeli
    @TajiriMeeli 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @IbrahimSamwel-r9k
    @IbrahimSamwel-r9k 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @rachelshadrack2896
    @rachelshadrack2896 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen

  • @puritynkirote5097
    @puritynkirote5097 4 หลายเดือนก่อน +3

    Amen

  • @yvetteasabwa3152
    @yvetteasabwa3152 27 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen

  • @olivasimkoko1436
    @olivasimkoko1436 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @floradavid5216
    @floradavid5216 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @aganolwanda5707
    @aganolwanda5707 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @DeboraChelelo
    @DeboraChelelo 2 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @BahatiMuhindo-c2f
    @BahatiMuhindo-c2f หลายเดือนก่อน

    Amen