MAMA NA MTOTO HAWAJAONANA MIAKA 20

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Mama alie omba Tumkutanisha Na mwanae Baada yakumuacha kwa baba yake miaka 20 Ilio pita

ความคิดเห็น • 72

  • @user-gl8ij6mn6e
    @user-gl8ij6mn6e หลายเดือนก่อน +4

    naomba unitafute na mimi nahitaji nimpate mdogo wangu nikupe taarifa zake ni mwaka wa thelathini na tatu sasa(33)

  • @ICEELECTRICCOMPANY
    @ICEELECTRICCOMPANY หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye hii move anaitwa bichausiku😅😅😂😂

  • @juliethhenrymasanja940
    @juliethhenrymasanja940 หลายเดือนก่อน +3

    Hata msimtukane huyu mama wanamume wanakera sana.

  • @user-uz7uq5lj5w
    @user-uz7uq5lj5w หลายเดือนก่อน +2

    Una roho ya kitofauti we mama Mmmmmm Atari sana yani wewe 😢😢😢😢😢Atari.

  • @EvanaFelix-cr3hj
    @EvanaFelix-cr3hj หลายเดือนก่อน +1

    Ila huyu mama 😂😂😂😂😂😂😂 aki RIP mama ang 😢 ulihangaik sana mimi bila baba ila ukuwah kuniach

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzr sana bro

  • @rhodangenzi
    @rhodangenzi หลายเดือนก่อน +2

    Tafadhali part 2, kama kweli unathamini, hata yule bint ambaye alikuwa hajaonana miaka 4 hukumlizia kwa nini??

  • @ICEELECTRICCOMPANY
    @ICEELECTRICCOMPANY หลายเดือนก่อน +1

    Wazee wa behind the scenes mko wapi😅😅😅

  • @Jasmeni-ns9dg
    @Jasmeni-ns9dg หลายเดือนก่อน +1

    Kuna siku uliwaleta hapa ukasema hawakuonana kwa mda wa miaka 4 leo tena 20 daaaah kweli kazi ngum 00:24

  • @ZenaZena-vx2ee
    @ZenaZena-vx2ee หลายเดือนก่อน +2

    Mama wanaume wote warivyo rakini inatakiwa mama pambana na mwanao

  • @othmantv2654
    @othmantv2654 หลายเดือนก่อน +4

    Na hiv tushajua video zako ni za uongo....yan hata walie vipi sisi tunacheka tu😂😂😂

  • @SelemaneapassulSumail
    @SelemaneapassulSumail หลายเดือนก่อน +1

    Muito interessante

  • @user-he2pk6io4d
    @user-he2pk6io4d หลายเดือนก่อน

    Nimetotoka sasa hivi Tik Tok 😂😂😂😂😂

  • @JuniorLema-vk8me
    @JuniorLema-vk8me หลายเดือนก่อน +2

    Una rôh ngumu Hui unafki una rôh mbaya

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mama kama hazimoo😅😅

    • @nasrinassor9178
      @nasrinassor9178 หลายเดือนก่อน

      Kiukwel huyu mama akili hamna kabisaaa

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh หลายเดือนก่อน +16

    Sahv hatuamini video zako kumbe unatengeneza na sio really 😢

    • @user-no7pz1bz4y
      @user-no7pz1bz4y หลายเดือนก่อน

      Duh! Basi nitakuwa sipotez bando langu kuangalia tena😢😢😢😊

    • @AraphaCheki
      @AraphaCheki หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 ila ww umeamua kumsema leo

    • @user-hn3tw5bu7y
      @user-hn3tw5bu7y หลายเดือนก่อน

      Hata mm sitaki tena 😂

    • @evelinepatrick6517
      @evelinepatrick6517 หลายเดือนก่อน +1

      Kwel kabisa video zake ni movie tuuu

    • @kmoreboyofficial8283
      @kmoreboyofficial8283 หลายเดือนก่อน

      Anatengeneza kivp?

  • @user-vv2jy6gx6n
    @user-vv2jy6gx6n หลายเดือนก่อน +2

    Kwel story ya kutengeneza hii

  • @user-tp3ct2vq5h
    @user-tp3ct2vq5h หลายเดือนก่อน +1

    mr uky plz utuwahishie part 2

  • @IssaAthuman-ur7zp
    @IssaAthuman-ur7zp หลายเดือนก่อน +2

    Video za huyu jamaa ni uwongo tupu..... huyu mama nimuigizaji 😅😅😅😅😅😅😅😅. .... Tunaomba uwe kama kiredio brother acha kutudanganya

    • @PhanieKahindo
      @PhanieKahindo หลายเดือนก่อน

      Muhim ume comment😅

  • @Aisha-qg5mj
    @Aisha-qg5mj หลายเดือนก่อน +1

    Ovyoo ata ainamaana iviuliona wapimtoto mdogo ukatupie babaake ulijua utamkomoa mwanga mkubwaa

  • @user-vh7gw3we5z
    @user-vh7gw3we5z หลายเดือนก่อน +1

    uyu mama halima ni mwigizaj wa tamthilia ya siku mbaya

  • @jacobmvanga4564
    @jacobmvanga4564 หลายเดือนก่อน +3

    Mama wew hunahakiri kabisa mung nisamehe Yani wewem wanaoumutelekeze kisa usihangaike😂😂😂😂 ningekua mim ungenitekeza ningeongeza miaka ya kuku tana nawew mana duuuh 😂😂😂😂😂

  • @AnifaHamza
    @AnifaHamza หลายเดือนก่อน +1

    Part 2plz bro

  • @user-fx3ws9lp6g
    @user-fx3ws9lp6g หลายเดือนก่อน +2

    Nimekuja kugundua zipo zakwel na mchezo katikat

  • @user-bi6dc5ui3u
    @user-bi6dc5ui3u หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atakulipa u k

  • @peacermaria2045
    @peacermaria2045 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mpuuzi sana uyo

  • @JoyceSteven-tu2fi
    @JoyceSteven-tu2fi หลายเดือนก่อน +1

    Mm huyu jamaa simuamin tena anategeneza story jau san siyo kwel

  • @leylahmiraji1860
    @leylahmiraji1860 29 วันที่ผ่านมา

    Hiv kwann unastory z kutunga😢

  • @habibaraphael6583
    @habibaraphael6583 หลายเดือนก่อน +1

    Mwendelezo

  • @maryammohd5478
    @maryammohd5478 หลายเดือนก่อน +1

    pole sana

  • @nailamimi20
    @nailamimi20 หลายเดือนก่อน +1

    Mr uky tutaanza ku unsubscribe maana hatujuamini maigizo mengi saiv kuwa km kiredio huyo mama ni msanii 😪

  • @HawaAhmed-yj8wo
    @HawaAhmed-yj8wo หลายเดือนก่อน +1

    Kwani huyo mama akiwa muigizaji ndo haiwezekani kupotezana na mwanae?

  • @user-ul8nf1nw1h
    @user-ul8nf1nw1h หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama di mxm kbs

  • @DatiusAnanias
    @DatiusAnanias หลายเดือนก่อน +1

    Part 2 lin

  • @innocentmassam4846
    @innocentmassam4846 หลายเดือนก่อน +2

    Hamnaga part 2 now days

  • @bayubaheallydelly-rn2zv
    @bayubaheallydelly-rn2zv หลายเดือนก่อน +1

    Mbn Hana sauti

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน +1

    Ok haina shida tuko pamoja

  • @MerinaMihayo
    @MerinaMihayo หลายเดือนก่อน

    Mr uk hiyo story ni yakweli au kma ya juzi ulivyo tudanganya acha kutengeneza story😅😅

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa หลายเดือนก่อน +3

    Haina sauti

  • @user-vg2cm8nw8u
    @user-vg2cm8nw8u หลายเดือนก่อน +2

    Wa kwanza😂🎉

  • @selinakatega6691
    @selinakatega6691 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama anaonekana alikuwa anapenda kuzagamuana...umalayaaaa tuu kulea aaaaaaa

    • @mirriammaombidawahdawat1178
      @mirriammaombidawahdawat1178 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 steve mweusi msemo huu utatuua

    • @selinakatega6691
      @selinakatega6691 หลายเดือนก่อน

      @@mirriammaombidawahdawat1178 mama anapenda kulengaa kulea aaaaaaa😅😅😅

  • @elasmsbpeter6976
    @elasmsbpeter6976 หลายเดือนก่อน +1

    Dah jamani mbona

  • @user-my5di6kx3c
    @user-my5di6kx3c หลายเดือนก่อน +1

    Ciku hizi part 2 uletiiii

  • @Zainab-zf5gg
    @Zainab-zf5gg หลายเดือนก่อน +2

    Mjinga ww mama kosa lako mwenyewe hukuchukua busara wla hekima unajiliza Nini ssa.

  • @rhodangenzi
    @rhodangenzi หลายเดือนก่อน

    UK tafadhali tunataka kujua hatima ya mama na mwana, hatakisa cha Happy hukumalizia, jamani tuna hamu ya kuona part 2, tafadhali sana

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha5905 หลายเดือนก่อน +1

    Alimpeleka na miaka mingapi?

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu หลายเดือนก่อน +1

    Cku hizi unaweka video zako uongo uongo tu😂😂😂

    • @Hajer-be2kh
      @Hajer-be2kh หลายเดือนก่อน

      Umeonaee 😂😂😂tumemshtukia

  • @Lily-rn6xc
    @Lily-rn6xc หลายเดือนก่อน +1

    Bora kiredio walai huyu kazid uongo

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 หลายเดือนก่อน

    Ss hp ndo ulipo kosea nibola ungevumilia n akukea mtt km ulipo vumilia kulea mimba awezi kukutafuta ww mana hp kasha jazwa hbr za ww umemtelekeza ss atakyoenda vp adi akutafute

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @nicholauskapinga2284
    @nicholauskapinga2284 23 วันที่ผ่านมา

    Video za uongo hizi

  • @user-fd5pb1dt4j
    @user-fd5pb1dt4j หลายเดือนก่อน

    Tunasubili pt 2

  • @JuniorLema-vk8me
    @JuniorLema-vk8me หลายเดือนก่อน

    Ni sawa na ulikufa ulipomzaa amina

  • @swabridamshefa6707
    @swabridamshefa6707 หลายเดือนก่อน +1

    Haina sauti