KIREDIO ALIVYOWAIBUKIA STUDIO COUPLE YA MEET US, TAZAMA TIMBWILI LILILOTOKEA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2024
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Huyu demu atakuja kupigwa na kitu kizito sana emu km umepigwa na kitu kizito gonga like hp
Ata Kuja kwetu sisi mafisi
Tena mimi nilipigwa chakutosha😂
Jaman jamanii wanaumee
Achana nae uyu haelewi
Kitamurambaaa😂
Kiredio wewe ni wetu na tupo pamoja...fanya kazi yakoo❤❤
Tuko nae mpaka wamvunje kiuno 😅😅😅...
@@msagatijulius😅😅
Kabisa 👍👍👍👍
Wanalazimidha interview kujisafisha. Kiredio fanya kazi yako
Huyu demu ndo amependa, na hana pa kwenda akiachika. 😀😀😀 mwanamke anateseka sana huyu
Kiredio tuko pamoja naww 😅✌️
Tunasubiri tupo pamoja 😂😂😂
Huyu dada apewe ulinzi😂😂😂
Ni kweli uyo mkaka ni Muong kiredio yupo perfect
Una uhakika😂😂😂 yan wabongo bn
Kiredio n wetuu......pambana brooo tunakukubalii sana
Dada jiandae kulia pole sanaa
Uyu dada atapigwa na kitu kizito the guy hayuko real
Alf huyu dada anaonekana hana raha
Hata ndoa badoooo mambo yameshakuwa moto!! Tutafika kweli?...🤠
Kiredio Hana lengo baya
Kabisa yan
Huyu jamaa aise anamna kuna jambo linaendelea kwakweli ktk mahusiano yake.
The guy anaonekana kabixa Yuko na fear kweny muonekano wake hayuko stable nimuongoo masikin we dada 😭😭💔 utakuja kumia vibaya
Dada anajikuta kakolea, bt nimemsoma huyo dada sio mjinga😢😅😅
His body and facial language speaks alot
😂😂😂dida hakwepeshi uwiiii😊😊 ila huyo dada atakuja kupigwa na kitu kizito 😂😂😂
Wanaume waooo😊
Huyu jamaa amepanick thats means ni kweli alichofanya
kupanic sio kipimo cha kusema hlo jambo n kweli, hali hyo hutokea katika jambo lolote usilolitarajia
Dada kaza wew ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe japo wanasema hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja wasikuvurugie furaha yako kipenzi nawapenda sana inshaallah mwenyezi mungu awape maisha marefu na yenye furaha endelevu
Ai laik that dear ❤😂
Baunsa mwenyewe juma 😂😂😂😂😂 nyieeee
Hahaha 😂😂😂"lazima hili penzi liharibike huyu anamdanganya huyu dada" kiredio😂😂😂
Yaan nataman siku nije nijue ukwel zaid ya huyo 🍭🍭🍭🍭🍭🍭🍭
Huyu dada mpuuzi sana, Unatia huruma mwanaume unaweza lala nae ukamka nae na bd akakusaliti fatilia
Tatizo hamna mwanaume ambye acheat lkn akikuhexhm nakukutunza xhukuru mungu
Jidanganyee 😅😅😅😅 Wanaume sisi tunafanana 😂😂😂
Kabisa yan
Hawa viumbe hawaaminiki kbsaaa wapuuzi woteee🙌🙌🙌🙌
We fala Sana
Amna mapenzi hapo,
Wanaume hoyeeeeeee🙌🙌🙌🙌🙌 nawasalie mie huwa najua kitu kimoja chamsingi heshima na kutoa rahana
Ugombanishi tu😊
Huyu dada awajui wanaume vizuri jamani mh namuonea sana huruma mwanaume wake mwenyewe macho juu juu.
😂😂😂😂bora angelala nyumbniiiii.........maaan hawajui kbsa
Kuweni makini na wanaume weupe😂
@@user-sd8cq3ds7ntumefanyaje mkuu
Uyu dada atalia vibaya mnooooo😂😂😂😂😂😂😂😂
Dadeki
Anajiendekeza😂
Namba uliyoisevu unaweza kuiblock then utaikuta very simple. Ila huyu Dada inaonekana ni mgeni kwenye mahusiano.
Pole sana mbwa wewe😃😃we wanaume hautujui vizuri
😅😅😅😅
❤❤❤kiledio
Pia block list unaweza kumtoa mtu asie jua kutoa anipigie nimpe maelekezo kiredio yupo sawa
Utamtoa mtu number itarudi but kwenye iOS hata uki unblock number bado inabaki kwenye block list
Futa halafu nenda kwenye block list utaikuta ipo imetulia😂
😂😂😂😂😂kiredio ndugu yangu we noma yan ona sura yake haina nuru ni kweri kabisa huyo dada hana ile nuru kabisa yan ila huyu dada atakuja kulia kweri
Wanajuana hawa
Pamoja kiredio
Pole Dada wadada tunatakiwa kupenda mwisho asilimia 50,80 zote hizo za nn utalia mumy na aibu juuuuuu
We nd mm
Huyu dada anajikaza tu lkn usikute hana amani ya moyo 😂😂 na pia blacklist unaweza kuifuta usikute jamaa alifuta tu kule
Kiredio Songa mbele achana nanhao watu Upendo unanguvu sanaaaa hawawezi kukuelewa leo
Mmmm 🎉🎉🎉🎉❤❤
Kiredio watakuua 😂😂😂😂
Mdada ataumia vibaya mno 😢😢
Yaani alivyosema mtoto tutalea hiyo anaumia sana
Tena snaa anumia wanaume hawaaminiki kabisa yan kipenzi
Mmejisumbua kuangalia block Kwan kabla hajaja hapo haja futa namba Wala ku unblock?
Pole saan dada angu hap utakuj kulia huelew nn hapo
Wanaumeeeeh
Mwenye maneno mengi siku zote ni muongo🙌
Daaaah jamaaaaa katupigaaa 😅😅😅😅😅 kiredio watete tyuh wanawake
huyu kaka bn kwann utengenezewe stor wew
Uyo raheem tapeli
HASWA
Sannaaa😂
Hawa ndo wale wanajifanya kwenye social media Wana enjoy lakini ukija kwenye real life inaonekana kabisa huyu dada anajifanya ana amani lakini hana amani
Kabisaaa jama kweli wengine tunaoneokana mayatima dada dida mweeeww😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Kiredio tunakupenda baba wweeeeeeeee
Mwana umme anamuaa mwana umme mweziee duuh
Huyu candy inaonekana yeye Ndio kapenda na hanauhuru wa kufganya vitu maana adi kuongea anazuiwa ila litakuja kumkita jambo kunakitu hakiki saw ahapa
Humu nimempenda mama Dida nimesema mamaa bicoz miminimtoto kwake japo hajanizaa but hua akusemaa kitu jua nikweel💯👁️
Simsimamii yeyote but huyo Rahim mshamba , blacklist namb inafutwa vzuri tu . Na huy dada mwanaume so wa kumwamin kias icho apo anakuona kajinga flani tu 🤣🤣
subir kimlambe hakijamramba bado
@@ashaahmad720 Yetu macho🤣🤣
Mimi na block kila siku na ukianblock unaifuta vizuri
@@paskaziasholla7471 Yaa ndo ivo
Mambo niyapendayo 😅😅😅😅😅nyiee simuamin mtt w mama mkwe😂😂😂😂😂
Kimwanaume kizinzi
Kiredio hana point 😢😢😢
Yaani kiredio kakasirika kabisa
Kiredio nitakutengenezea sanamu no one can do what u can do na kama akitokeaa kuna vitu vidogo vidgo ata kosaaaa upewe maua yakoooooooo
Dida nakupenda bureeeeee ❤❤❤
😃
Mwanangu bado haujaishi usiwaamini sana wanaume hata baba zako wametutenda sana cendi mwanangu usiwaamini utajajuta
Jmn mam unaongea Kwak uchungu
Rahimu kujisifia sifia ndo zake😂😂pole sana candy
Ila kiujumla watu wanapenda mahusiano ya watu yavunjike.Watu hawapendi watu wakipendana.Kama huyo dada amemridhia huyo kaka pamoja na infidelity zake ni sawa tu.
Atakujaaa kuliaa uyooo
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kiredio yupo Sawa siku ya kwanza ulikimbia
Sawa alikimbia yeye kiredio kwanini haoneshi hizo chat za DM
Duuuh!!!!
Siku ile aligoma leo kishaweka mazingira sawa anakubari kirahisi...rahim kicheche na anaonekana tu Katika mazingira ya kawaida dada ana kazi ya ziada na anajua hilo
Sasa kama.hamjui Irene sku ile ya challenge kwa nn akimbie kuonyesha ile blocklist yake kama sio kweli
Niko pamoja na hawa wachumba kwann kuwafuatilia kiasi hiki Kwan shida nn alafu kiredio ni mwanaume kwann anamuandama mwanaume mwenzetu kiasi hiki hapa nahisi kuna kitu tofauti na haya tunayoambiwa
Wanaytak c wametka waixhi kisanii
Dida n hakim mzur anataka ushaidi
Atalia vibaya huyu dada
Uyo dada ni mjinga kweli
Tena hajitambui hata kdg mwanaume maneno meng anamzidi uyo katoa iyo number kwenye block kaifuta
@@dorcaskidoti249 yaaani kimesha nikera icho ki binty aiseeee 🤣🤣🤣kina mwamini mwanaume 🤣🤣🤣mwanaume ni waku mwamini kweli ?🧏♀️🧏♀️🧏♀️🧏♀️🧏♀️🧏♀️🧏♀️🧏♀️🧏♀️
Ata asipo mwamini afanye nn au kuna wanaume waminifu kumzid au
@@vumiliamatchu370lafa uyu😂😂😂
Dida mm mpk chooni nilikuwa napelekwa na nachambwa😅😅😅😅lkn mama uyo dada aweke akiba ya maneno
😂😂😂
Mmmh huyu kaka muongo Ana tetemeka na pressure juu
Dida uyo mwanaume kabla ajawa na usiano na huyo dada akuwahi kuwa na husiano nyuma ?asijifanye mwaminifu huyo tunawajuwa sana wanaume ndani nje
😭😭
Na huyo tambwe mshamba tuu
Wanaume wote baba mmoja
Niliiiwaaaambia mm
Duuuh kiredio had unakeraa
Hahah hii ya moto mbona kama mwenetu wamemweka kitimoto 😅
Asa kiredio mpumbavu kwer asa anapenda mausiano yavunjike ndiyo nin ata mungu apendi kutenganisha bari kupatanisha uyo kiredio mpumbavu afai anatakiwa apigwe
Kaniboa sana
Michezo ya kitoto kikii
Iren njoo uku shogaa angu 😂😂😂
Duuh kiredio umepata aibu 😂😢kweli
NJAU unafurahisha sanaaaa, et hili penzi lazima livunjike😂😂😂😂
Duuh this man 😂😂😂😂 Anjiknyngaa
Yaaanni kiradio kajidhalilisha vibaya sana
Ndyo
Saaaaana.. kazi za kike anafanya yeye
Kapenda vibaya tushaoneshwa mapenzi zaidi ya hyo na mtu anakutenda
Huyu dada Ana wazazi🙄🙌, wanajiskiajeee..!
Huyu kaka amelipa mahari, amemuoaa? 💔 Woiiii
Ki zygote
Mwanaume unaeza ukamfumania live na bado akakataa😂😂
Jmn kiredio waachani watu wa watu....kama wanadanganyana watajua wenyewe
Yaan, cjui huyo kiredio anapata nn......maana amekazana
maigizo
Vita ya wakaskazini 😢😢
Irene c ajee jmn
Akili kimwanaume hakina
yeeee et atalea😂😂😂