BADO ANA UJANA MWINGI | NIMEZEEKA APIGA MAGOTI | NAMASHAKA NA UMRI WAKE HELLO MR RIGHT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

ความคิดเห็น • 287

  • @user-nh9vf9vm1w
    @user-nh9vf9vm1w 6 หลายเดือนก่อน +134

    Huyo dada kinyago kweli eti macho yake kama ndo yalivyo na ndo yalivyo mbwa aisee weka like hap kam amekukwaza na wew

  • @faridalihondo3322
    @faridalihondo3322 6 หลายเดือนก่อน +29

    He is so handsome jaman 🙌halafu anaonekana mstaraabu watu hawajielewi awa wadada asee

  • @tawhidaabbasi8584
    @tawhidaabbasi8584 6 หลายเดือนก่อน +24

    Hili Eliza halijitambui kabisa macho nd yanayomfany mr right kuzid kua handsome

  • @aysherkhamis3338
    @aysherkhamis3338 6 หลายเดือนก่อน +14

    mkaka mzuri Mashaallah❤ na yuko smart sana mpaka kichwan

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 6 หลายเดือนก่อน +21

    Kaka Handsome huyu👄👄🥰🌹🔥🔥🔥

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 6 หลายเดือนก่อน +29

    Me macho ndo nimeyapenda wao wanamnanga😂

  • @abigaelmosi452
    @abigaelmosi452 6 หลายเดือนก่อน +7

    This man is so good 👍 and straightforward

  • @user-ei2ud7gh5h
    @user-ei2ud7gh5h 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jamn huyu kaka nyieeeeee kaka angu sema nipo mbali na shida dini mm ni muislam nakuombea upate mke sahihi inshaallah ❤nyie wadada mnaacha husband material alooo😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤ kila la khery kaka angu

  • @user-jj9xf7nt9k
    @user-jj9xf7nt9k 6 หลายเดือนก่อน +23

    Mke mwema hana maneno machafu kama hayo eliza kafika juz tu apa ila maneno yake macha kama naww umeeona maneno yake machafu weka laik ap

  • @DanielYusto
    @DanielYusto 6 หลายเดือนก่อน +31

    Kweli Eliza kuna dalili za kuzeekea hapo. Kiukweli naona Eliza hana bahati na hichi kipindi. Kwanza anachagua sana, pili hajui anachotafuta, mwisho atakuwa na tatizo la kisaikolojia. Kingine, nadhani wapo watu mtaani wanamfuatilia, bahati yake inaweza ikawa mtaani. Asiendelee kujichoresha hapo. Na pia anatakiwa kujua maisha hayapo kama anavyo yatafsiri yeye kwenye ubongo wake. Anatakiwa aamue kishujaa la si hivyo mchagua nazi sana huibukia korona. Gara B, Aliya na Lulu najua mnauzoefu mkubwa na suala la mahusiano, muwe na muda wakukaa na hawa warembo kabla hawajasimama kwenye stage na pia kuwe na muda maalumu wa mtu kusima hapo kwenye stage. Mfano mtu akiingia kwenye stage zaidi ya mara tano na hajafanikiwa, mnatakiwa umuulize maswali kuna shida gani? Maana kuna watu wanatakiwa kusaidiwa kiroho na kisaikolojia pia. 😢😢😢

    • @nzeyimanaabdallah131
      @nzeyimanaabdallah131 6 หลายเดือนก่อน +1

      Atoke tu hana lolote

    • @user-ly2mj6od3v
      @user-ly2mj6od3v 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@nzeyimanaabdallah131kujichoresha tu huyo Eliza,na anaonekana ni mtu mzima😢

    • @antiakamala
      @antiakamala 6 หลายเดือนก่อน +1

      Bora aondoke tu la sivyo mwaka utaisha Tena bado yupo😂😂😂

    • @jangwanjaphet9400
      @jangwanjaphet9400 6 หลายเดือนก่อน +1

      Saafi saana, na shida hata mdada nae nishida, yaan mwanaume yupo hapo anekwmbia Kila kitu, sa macho yanahuckaje apo? Nahis kichwani Kuna majivu tu umo!!.

    • @SuzanaMlawa-by2vj
      @SuzanaMlawa-by2vj 3 หลายเดือนก่อน

      Hakika

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mr Right nimekuelewa sana na umejieleza vizuri. Ni sisi wanawake hatujui tunachokitaka bila shaka ndiyo maana tunakuwa nacrush za ovyo na zisizo na kichwa hata miguu.

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 6 หลายเดือนก่อน +12

    Eliza Ana hasira Amelkosa dyudyu mda mrefu lazima awe na hasira

  • @dausonmethod618
    @dausonmethod618 6 หลายเดือนก่อน +5

    Tunaomba kuwa tunasikiliza na cv za madada

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 6 หลายเดือนก่อน +13

    Mtoeni eliza misumbufu sana 😂😂😂😂😂 eti anarembua looh

    • @DanielYusto
      @DanielYusto 6 หลายเดือนก่อน +1

      Eliza hajui anachotafuta.

    • @Zuuh4286
      @Zuuh4286 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@DanielYusto kwaeli

  • @user-fv1ig6to8p
    @user-fv1ig6to8p 6 หลายเดือนก่อน +10

    Ayo mademu mataila kweli kama uyo elza ndy kashaanza na kuzeeka

  • @SweetMoses-b2x
    @SweetMoses-b2x 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kuna wadada wanaringa jmn sas huyo eliza si ataozea hapoo kwanza ana nyodooooo,, jmn she is not serious jmn

  • @elizabethcharles6527
    @elizabethcharles6527 6 หลายเดือนก่อน +8

    Kama uyo Eliza anatakiwa tu kushuka apo 😅😅😅😅😅😅 anamaneno sana yaovyo

  • @tambilainvestment2448
    @tambilainvestment2448 6 หลายเดือนก่อน +4

    wanaokaa hapo zaidi ya week 3 muwe mnawatimua kama hicho ki eliza ambacho hakijitambui

  • @CelinCelineort
    @CelinCelineort 6 หลายเดือนก่อน +2

    yaaani uyuu msengeee ana kejeriii mno mtoeniii jamaniii uwo anapoteza mudaaa tyu mtoeni bn Eliza

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 6 หลายเดือนก่อน

      Sio binti ni mama mkomavu ya maziwa yamelala km kanyoyesha Watt wa5

  • @gresramadhan
    @gresramadhan 6 หลายเดือนก่อน +5

    Eliza na zalish wanaboa , next muwatoe

    • @nzeyimanaabdallah131
      @nzeyimanaabdallah131 6 หลายเดือนก่อน +1

      Uko real sana

    • @gresramadhan
      @gresramadhan 6 หลายเดือนก่อน

      Nawachukia coz,wanaharibu lengo la Mr right ,pia wanawapotosha wenzao kuwa mwanaume anayemchagua Miss right lzm awe na pesa . I hate this girl ,she was very stupid . Ukiwaona sura zmewakomaa!! alafu maalifa finyu.

  • @celinekenedy870
    @celinekenedy870 6 หลายเดือนก่อน +5

    Iki ki Eliza kinajielewa kweli?
    Ovyooo.

  • @Joharibashir.193
    @Joharibashir.193 6 หลายเดือนก่อน +2

    Inshort awa wadada hawajielewi kabisa kaka mpole alafu anajielewa aiseee kubwa Zaidi maokoto yapo 😂khaaa jamani mimwenyewe nimemuelewa et

  • @user-ei2ud7gh5h
    @user-ei2ud7gh5h 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka hb nyieee halafu yuko good kichwanii wow ila wadada bhanaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 6 หลายเดือนก่อน +8

    Hutu mr raight yuko vizuri sana

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani KUWA KWENYE MAHUSIANO NA MTU ALOKUWA NA MTOTO EITHER KIKE AU KIUME NI CHANGAMOTO SANA , SANAAAAA SANAAA

  • @salmaabdallah9598
    @salmaabdallah9598 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeangalia Mr right nyingi mno ila hii imebamba mnoooo 💯💯💯💯 ila jamani tuseme tu ukweli Eliza etaki mweza yupo apo kwaajili ya kutuinjoi... au anataka ustaa kupitia Mr right ... Au km anataka mtu kweli basi atapata uzeeeni mana anaongea mnoooo mh .....😂😂😂😂

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 6 หลายเดือนก่อน

    Jmn yupo smart mpaka raha kashika na kitambaa chake mwenyewe yan very smart asee

  • @mariamitaba3967
    @mariamitaba3967 6 หลายเดือนก่อน +9

    Nimempenda bure Grayson

  • @charlesnyagabona1729
    @charlesnyagabona1729 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo demu fala kweli eti anarembua😂😂😂

  • @kasanaipash9445
    @kasanaipash9445 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kaka ni wa aina yake, he's so straight forward and brief

  • @NasmaBanka
    @NasmaBanka 6 หลายเดือนก่อน +4

    Eliza eti angalia anavo niangalia 😂😂😂😂😂😂

    • @kimberlygitau
      @kimberlygitau 6 หลายเดือนก่อน

      Hahaha kukiendesha hicho kipind it's very hard izo akili zao

  • @magdalenabenedict2089
    @magdalenabenedict2089 6 หลายเดือนก่อน +1

    I like this guy ...very straight ...inshallah na mm nipate mtu km huyu

  • @user-sg5et3yc9w
    @user-sg5et3yc9w 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yeye mwenywe kashaanza kuzeeka afu anachagua et macho yake aloooh

    • @faridalihondo3322
      @faridalihondo3322 6 หลายเดือนก่อน

      Libibi yan humo lenyew ndo lizee

  • @heltrudahbruno2068
    @heltrudahbruno2068 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka mzuri huyu 😢😢cjui Nami nije huko

  • @user-du5hc8we6p
    @user-du5hc8we6p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wanazingua sana awo mademu wanajiona viwango wakati chika mbaya

  • @ellycon7096
    @ellycon7096 6 หลายเดือนก่อน

    Nimepitia comment naona ni eliza t humu😁,ila uyu mdada kajua kukwaza watu wa Tz,n mjuaji sana halaf hajui,sema aina iih y mdem wapo kila mahali siwez shangaa,ila kingne wadada wa humu ndani au sijui n wanawak karibia wote t,hawajuagi wanachokitaka ,na ilo litawapa shida sana kweny uchaguz w mahusiano na ndoa

  • @Dastan-l5w
    @Dastan-l5w 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba

  • @JohnJustine-no1zv
    @JohnJustine-no1zv 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wadada hawajutambui ata kidgo

  • @emnanuelimtui1805
    @emnanuelimtui1805 6 หลายเดือนก่อน +2

    Awa mademu wana pepo la umaskini so buree 😅😅😅

  • @bossykalewa
    @bossykalewa 6 หลายเดือนก่อน +2

    Em watoeni hao wadada hapo leteni wengine......kolo haooo

  • @aika3024
    @aika3024 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 uzuri bila akili ni hatari sana

  • @LaylaSudu-gz2ig
    @LaylaSudu-gz2ig 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kaka nmzuri sana nyie wadada hamjui kuchangua watu niyie bana mtuhani t

  • @FredyMwashitete-f6t
    @FredyMwashitete-f6t 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaha ila Eliza mbwa kweri hebu mchunguzeni pengine amekuja hapa kuwapima tu

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ningekua hapo huyo kaka namchukua mimi 😊

    • @mwajutailor820
      @mwajutailor820 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @terrybenjamini1368
    @terrybenjamini1368 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nap it a 💃🏿

  • @NeemaKomba-f1u
    @NeemaKomba-f1u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hebu Hilo bibi Eliza litoeni kwanza...halijitambui na mashauzi mengii...huyu ni mdangaji asie na bahati!

  • @thebroski9763
    @thebroski9763 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah 😂😂 hao wadada wapimwe akili kwanza

  • @elizabethjohn6628
    @elizabethjohn6628 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka mzuri huyu mashallah

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Eliza na zalish wameshazeeka na hawana maswali yenye tija watoeni wanatia wenzio nuksi,,kwanza mwanaume anayetaka mwanamke wa kufanya nae maisha hawezi mchagua eliza wala zalish bora hata hawa wengine japo nao wanavaa mno nguo za ajabu,.

  • @user-eo3xr2ld3g
    @user-eo3xr2ld3g 6 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo dada mshamba kweli ajui macho yamahaba

    • @SmilingCorgi-pr9bn
      @SmilingCorgi-pr9bn 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂mweleze azeeke apo kwa podium

  • @user-iu7bt8kk3z
    @user-iu7bt8kk3z 5 หลายเดือนก่อน

    Kwn huyo Eliza hapo anangoja nn jamani hebu mtoeni tumemcnoka watazamaji kiukweli yupo hapo kwa ajili ya kukosoa watuna kukatisha wezake tamaa

  • @Treboreramo
    @Treboreramo 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona hii show inaelekea kuitwa “Mr Money “

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂nakwambia

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂nimecheka sana

    • @joyce55727
      @joyce55727 6 หลายเดือนก่อน

      😁😁

  • @user-pg6db8jl2y
    @user-pg6db8jl2y 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona mkaka yupo vzr tu profile zake zote zimenyooka

  • @athumaniamani9905
    @athumaniamani9905 5 หลายเดือนก่อน

    Hawa mademu ni nyoko....madem wenyew ni masikin alafu wnatakaga tamaa pumbavu zao

  • @SalesiaMwalongo-vw3ui
    @SalesiaMwalongo-vw3ui 3 หลายเดือนก่อน

    Ila eliza et anarembua 😂🤣😂😂kazima taa

  • @ElirehemaMbise-zm3pm
    @ElirehemaMbise-zm3pm 6 หลายเดือนก่อน

    Mtoeni uyo Eliza kwanza mwenyewe amezeeka

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 6 หลายเดือนก่อน

    Ila nimemmiss neema jaman cha pili kipenzi aliyah jitaidi kujistiri my love

  • @user-wm6vc2hp5b
    @user-wm6vc2hp5b 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu kaka nimempenda jmn awe mume wangu

  • @ZuenaRamadhani
    @ZuenaRamadhani 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wadada wengine apo wamekaa wizi wizi

    • @faridalihondo3322
      @faridalihondo3322 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂watazeeka kwenye podium

  • @pridencians1227
    @pridencians1227 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂eti yule shtuka mwanangu dah😂😂

  • @jayBabakaila9883
    @jayBabakaila9883 6 หลายเดือนก่อน +1

    Eliza huo msenge mufukuze huo aende kuzehekea nyumbani kwao😮

  • @user-yc9lk3vu7z
    @user-yc9lk3vu7z 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani adi kina Gara B Wamekuchoka Eliza

  • @user-wm6vc2hp5b
    @user-wm6vc2hp5b 6 หลายเดือนก่อน

    Mwambien aje kwangu

  • @halidhemed7524
    @halidhemed7524 4 หลายเดือนก่อน

    Eliza....daah😂

  • @marthesifa-5803
    @marthesifa-5803 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo sijuwi Eliza atafte tu kazi yakufanya yani ajioni kuwa umbri unaenda

  • @Dogs-jg3mg
    @Dogs-jg3mg 5 หลายเดือนก่อน

    Eliza weeeeee pole kesho naja nanitakuwacha hapo chunga 😂😂

  • @DamasiAdam
    @DamasiAdam 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Eliza Bado hatambui nafasi yake kuwa yy n mwanamke TBT zake hwako hvyo

  • @MbarakaSuleman
    @MbarakaSuleman 5 หลายเดือนก่อน

    Wanajiuza Hao madada hawana shida namme..

  • @AntonyMM-tx3yj
    @AntonyMM-tx3yj 4 หลายเดือนก่อน

    Eliza mshiezi sana

  • @vincej9275
    @vincej9275 6 หลายเดือนก่อน

    Kama umependa mtu, dini sio shida kwa sababu Mungi mmoja. Love is stronger than religion, race, tribe and many other things.

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂eliza akapimwe akili

  • @SuzyibrahimkebataKebata
    @SuzyibrahimkebataKebata 4 หลายเดือนก่อน

    Aisee Kuna fala pas fal ndo Hawa wadada wakiongozwa na Eliza huyu kinyago

  • @mwajabudegwa
    @mwajabudegwa 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan hawa wadada wanakera atar😮

  • @user-wm6vc2hp5b
    @user-wm6vc2hp5b 6 หลายเดือนก่อน

    Ningekua hapo ningeondka nae

  • @ZainbZainb-s6f
    @ZainbZainb-s6f 5 หลายเดือนก่อน

    Eliza ata akipata mwanaume apo ata dumu naye ata kidogo kwanza anajisikia anajiona yeye ndo kila kitu alafu anamdomo sana kuliko maisha yake yani anajiona keki 😏😏

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 6 หลายเดือนก่อน

    Fala kweli hili.kwahiyo hapo kwenye danguro ndo ukatafutie mke

  • @poulmbogo1770
    @poulmbogo1770 6 หลายเดือนก่อน +1

    😝😝kwamba anarembua daah

  • @bigboca315
    @bigboca315 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hao madem wengine hawataki kutoka hapo kwenye Tv muda mwengne muwabadilishe wale wazamani snaa

  • @sabrahnibuka1211
    @sabrahnibuka1211 4 หลายเดือนก่อน

    Litoeni hapo hilo lieriza

  • @user-ex3ni4lp9h
    @user-ex3ni4lp9h 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona ana macho mazur sna aje kwangu

  • @EmJesho
    @EmJesho 6 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeeh Mungu wangu uyu Eliza jamani

  • @hawababy120
    @hawababy120 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo Eliza mumuondoe jamanii anakera san

  • @user-lc4ye6mi5u
    @user-lc4ye6mi5u 5 หลายเดือนก่อน

    Hello Mr right mie ciji hapo mana km macho nitatizo na yangu mm yapo km ya huyu Mr right

  • @user-ei4gl1fl8y
    @user-ei4gl1fl8y 6 หลายเดือนก่อน

    Yaan uyo Eliza anakera 2 kama anataka wenye ela yy ana kazi gani anafanya

  • @user-jg9jv3sp1b
    @user-jg9jv3sp1b 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman eliza hana akili cos mwanaume anamacho ya kuombea masamaha i like here

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 6 หลายเดือนก่อน

    Uyo Elisa siyo mikeee mwema anakisowa tuu bila sababu 😢😢 Tena Elisa ana wivu 😅😅

  • @mlasiespe7896
    @mlasiespe7896 6 หลายเดือนก่อน

    huyo hawezi olewa, anachaguwa wanaume, ahoni miaka yake, muhache amesha zoeya vyawakubwa, muhunja honja huwa awezi pata kitamu.

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 6 หลายเดือนก่อน

    Hiii nayo ni njia nyngn ya kuuza dada zetu yn ni ka aina flan ka Umalaya😂 bs tu tuish nao maan nd maisha tuliyo yachqgua😊

  • @guccij6236
    @guccij6236 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hii movie gani?

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 6 หลายเดือนก่อน

    Wengi hapo ni tamaa TU,hawaamgalie mtu mwenye kujenga maisha hao ni tamaa tu

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake hawana akili hata kidogo

  • @user-ek1wi8ly4q
    @user-ek1wi8ly4q 5 หลายเดือนก่อน

    Aiseee jmn kaka kma huyu ana appearance,,ana muonekano mzr mstaarab teba kusoma ifm sio parahis niulizen mm😂😂😂😂🙌afu unakosoa macho wadada tujielewe jmn mtu yupo straight hta kwenye maelezo ake anajieleza vzr

  • @JosephDeogratias-up3im
    @JosephDeogratias-up3im 6 หลายเดือนก่อน

    Mnasema elza hamjazingatia ZARISH😂😂😂

  • @ramadhaniiddbandola1710
    @ramadhaniiddbandola1710 6 หลายเดือนก่อน

    Awa wanaume wanaokuja kutafuta wake apa me hua siwaelewi

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂yani huo eliza mshenzi kabisa

  • @MourineMushie
    @MourineMushie 6 หลายเดือนก่อน

    Apo kwenye kurembuaa😂😂😂😂😂😂

  • @AnneFrank-x7v
    @AnneFrank-x7v 5 หลายเดือนก่อน

    Eliza atoke hapo anazingua Alf amezekaa

  • @renatusthomas2671
    @renatusthomas2671 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba mmfukuze huyo Eliza namchukiaaa sana kwanza anaalibu kipindi aisee

  • @gracemlay
    @gracemlay 6 หลายเดือนก่อน

    Mtoe na uyo Eliza yupo kama kibibi apoooooo😂😂😂😂😂

  • @SifaelpeterSichone
    @SifaelpeterSichone 5 หลายเดือนก่อน

    Kieliz kinajishaua