UGUMU WA MAISHA WAWALIZA WATU PEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 155

  • @Mondir-g2r
    @Mondir-g2r 8 หลายเดือนก่อน +1

    mwenyezi mungu wasaidie wazee wetu wabadilishiye maisha yao ishaallha kwa rehma zako usitutupe waja wako tunasubir rehma zako amini 🤲

  • @muhammadiabassi656
    @muhammadiabassi656 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awajalie wepesi katika kila jambo ammen Allah awahifadhi Allah awajalie wepesi awape subira awajalie baraqa za zirki Kwa wepesi اللهم آمين آمين آمين يارب العالمين

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 4 หลายเดือนก่อน

    Subira, mama yangu, hii ni punje moja tu ya suke ya mahindi, Mungu akipenda☝☝🤲🏼🤲🏼☝☝

  • @RajabJr-r6y
    @RajabJr-r6y 9 หลายเดือนก่อน +6

    Subuhannaallah, maisha ya mpemba ni magumu sana watu familia zinaishi km wakimbizi waliotelekezwa na serekali yao na kosa lao kubwa ni siasa za kibakuguzi zilizota miziz zanzibar kupata kaz zanzibar ni ngumu kama sio mwanachama wa chama fulani ,watu wanakula kasa sio kw ulafi hapana ni njaa tu ikifika kipindi cha uchaguzi utaona vifaru na magari ya kivita na jeshi km kuna vita mitaani au ndio jibu la mapinduzi daima wkt watu wanatubu kw ugumu wa maisha

    • @feyxalbarry4595
      @feyxalbarry4595 9 หลายเดือนก่อน

      Astaghafirullah usikufuru mungu ,hicho kijiji Cha Tanga mjimbini chaajabu wakaazi wa hapo ndio wavuvi ambao wanauza dagaa na samaki maeneo mengine ni jambo la kustaajabu sana na istoshe maisha haya si kijiji Cha Tanga tu vijiji vingi sana Zanzibar pamoja na bara hayo ndio maisha si wao tu

    • @feyxalbarry4595
      @feyxalbarry4595 9 หลายเดือนก่อน

      Kuna watu mijini wanashinda njaa

    • @SleepyBabyPenguin-oh7fb
      @SleepyBabyPenguin-oh7fb 9 หลายเดือนก่อน

      Inshalllah ALLAH atawafanyia wepesi, kwn yeye ndie mueza wa kla jambo

  • @ZalkhaRawahi
    @ZalkhaRawahi 9 หลายเดือนก่อน +7

    Wallah viongozi ALLAH anawaona kuwajali wafanyabiashara kuliko wanyonge lkn wallah tutafunga inshallah nguvu za ALLAH nyinyi fungeni kuleni na cc tutafunga tutakunywa inshallah

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 9 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah poleni sana Yarrab wafungulie waja wako riziki.

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 9 หลายเดือนก่อน +5

    SubhanAllah 😭 awafanyie wepesi

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 9 หลายเดือนก่อน +2

    Miaka 60 ya mapinduzi viongozi wakijisifu kua Zanzibar uchumi umekua wakubwa wanakula Raha na wapendwa wao Allah anakuoneni hayo yote yametokea kwa Sera chafu za CCM

  • @halimaomarmbarouk4017
    @halimaomarmbarouk4017 9 หลายเดือนก่อน +4

    Subhanallah Allah awafanyie wepesi wenzetu manaake maisha ni magumu kote lkn kwengine kumezidi

    • @YasmeenKhalifa-zq1zk
      @YasmeenKhalifa-zq1zk 9 หลายเดือนก่อน

      Mtihan sana

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn 9 หลายเดือนก่อน +2

      Subhanallah 😢😢😢 lnnalilih lillah wainnaillayhi raji'uun 😢 pemba kulikuwa na neema wallah 😢 tupunguze maaas

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@Muslim-gs6rntufafanulie maasi ya wale watu ili wajirekebishe nayo

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 9 หลายเดือนก่อน

      Watu wanapitia magumu hapa duniani, YAA RABI tujaalie nusra kutoka kwako kwani maisha ya ufakiri tunasulubika wazee na watoto wetu,Wallah sura za hawa waumini zinaonyesha wazi wanahitaji misaada ya haraka,zinaonesha kuteseka na kuchoka YAA RABI washushie rehma na neema zitokazo kwako kama ulivyowashushia waliopita kabla yao

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 9 หลายเดือนก่อน

      Enyi watawala tunawaomba ikifika siku za uchaguzi mara hii musituleteeni tena majeshi yenu yakituadhibu tuachieni tupambane na njaa na shida nyingi zilizotufunika haya munayoyaona yanatutosha kuwa bakora kali yenye kuumiza,tunasulubika na tunaumia sana basi haina haja yakutuongezea mfadhaiko,watawala imekuwa ni kawaida ya majeshi yenu kujifundishia shebaha kwa miili ya wapemba na nyinyi mukiwa mumeridhika kwa kisingizio eti niwakorofi kumbe ukorofi wao ni kutokusapoti upande wenu,imekuwa nikawaida kila uchaguzi Pemba waachwe vizuka na mayatima,,,Mungu yupo Mungu anawaona na iko siku.....

  • @halimaomarmbarouk4017
    @halimaomarmbarouk4017 9 หลายเดือนก่อน +4

    Wenye nacho Allah awape nguvu mufike na Kijiji hicho inshaallah

  • @KHALFANSHELA
    @KHALFANSHELA 8 หลายเดือนก่อน

    IMANI YANGU NI KWAMBA VIPO VIJIJI AMBAVYO VINA HALI NGUMU ZAIDI YA KIJIJI HICHO MAANA WENGINE HAWANA HATA WATU AU VYOMBO VYA KUWEZA KUTANGAZA SHIDA ZAO ILA KIUKWELI PEMBA MAISHA YAMEKUA MAGUMU KUPITILIZA HASA VIJIJINI ALLAH AWASAIDIE WENZETU INSHALLAH

  • @omaryahya337
    @omaryahya337 9 หลายเดือนก่อน +2

    Allah atufanyie wepesi kila penye uzito

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 8 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah😢😢

  • @LilaAl-b3x
    @LilaAl-b3x 9 หลายเดือนก่อน +1

    Subuhanallah Laila hailallah😢

  • @kiehbhzh7044
    @kiehbhzh7044 8 หลายเดือนก่อน

    Allahu Akbar tz yetu kama amna serikal😢 yailah wanusuru waja wako hawa na hari zao duni in sha Allah

  • @HalimaSaid-w2j
    @HalimaSaid-w2j 8 หลายเดือนก่อน

    Allah yupamoja na nyinyi na atawasmamia Kwa hili na jengine In Sha Allah

  • @youmemeyou2976
    @youmemeyou2976 8 หลายเดือนก่อน

    Walio wengi piga uwe awe kiongozi . Allah aninusuru familia yangu inatosha .

  • @suleimankhalid5978
    @suleimankhalid5978 9 หลายเดือนก่อน

    Pongezi zako sheikh rashid Allah atakulipa

  • @HassanHassan-sn5cj
    @HassanHassan-sn5cj 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani kama mwinyi hakujiuzulu uongozi huo aloupata kwa wizi analo la kujibu Qiyamani !!
    In sha Allah kwa rahma za Allah nitafika ktk hicho kijini Allah akitia taifiyq!!

    • @afropanorama4730
      @afropanorama4730 9 หลายเดือนก่อน

      sasa uyo mwinyi anahusika nini na ugumu wa maisha,dunia nzima hakuna maisha mepesi

    • @HassanHassan-sn5cj
      @HassanHassan-sn5cj 9 หลายเดือนก่อน

      @@afropanorama4730 Anahusika au viongozi wanahusika kwa kila hali.na wanafanywa hivyo maksudi Zanzibar sio kisiwa cha njaa ila mfumo Zanzibar ni tajiri ila mfumo Zanzibar niyakwanza Afrikaans kwa kila kitu ila mfumo ilikua kimbilio kwa bidhaa na mambo mengi ya kijamii ila mfumo naomba sana uuelewe huo mfumo unaowatesa wtz kwa ujumla ukifanya uchunguzi utagundua!!

    • @abduawesu9165
      @abduawesu9165 9 หลายเดือนก่อน

      Allah akufanyie wepes watu wanatekwtea kwa njaa

  • @hassansidibe5208
    @hassansidibe5208 9 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢 Allahu Akbar mbona waislamu wasi toe msaada kwa Hawa waislamu wenzetu,

  • @AbeidRamadhan
    @AbeidRamadhan 8 หลายเดือนก่อน

    Hichi Kijiji kipo Pemba sehemu gani nataka nikatafute mke inshallah

  • @hamismohamed3541
    @hamismohamed3541 8 หลายเดือนก่อน

    Allah Mimi na mtetea Allah hawez kutusabababishia huu umaskini kiukweli hii hali ya umaskini inaletwa na binadamu wenzetu na wana azabu Kali sana mbele ya Allah

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 9 หลายเดือนก่อน

    kwa muonekano tu kijiji kina hali mbaya sana kwa ajili ya ramadhani ndio lakini hebu tupanue wigo katika hali tofauti kidogo katika maisha yao ya kila siku Binafsi nawaza kama ingekuwa inafaa kuwajengea uwezo kwanza kwa kile walichonacho katika shughuli zao za kiuchumi za kila siku na kufanya ubunifu kwa kuwapatia maarifa mapya ya shughuli za kuchumi kama vile kuwapatia ujuzi mbalimbali.
    Muislam usiridhike tu kwa kuwa wewe unatekeleza ibada zote kwa ukamilifu na kusahau ibada muhimu ya kutoa ni wakati sasa waislam kujitahidi kuingiza mafunzo ya dini yetu kwenye vitendo
    Allah awafanyie wepesi

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 9 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭matajiri wanasaidia walonacho wasonacho tupo na Allah

    • @DanstanMushobozi
      @DanstanMushobozi 9 หลายเดือนก่อน

      Allah hawezi kusaidia lolote kwa mwamini wake isipokuwa ahadi za uongo wa ahera. Archana na Allah mtafute masuluhisho ya matatizo yenu kwa akili mliyonayo.

  • @MaulidJuma-e3w
    @MaulidJuma-e3w 9 หลายเดือนก่อน

    Inshallah mungu ndie muenza

  • @ramadhaninassoro7773
    @ramadhaninassoro7773 8 หลายเดือนก่อน

    Na waamrishe watu wako kusali, na uendelee mwenyewe kwa hayo. Sisi hatukuombi wewe riziki, bali Sisi ndio tunakuruzuku. Na mwisho mwema ni kwa mchamngu.

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 9 หลายเดือนก่อน

    Tunamuomba Allah atuwezeshe ili tuweze kushirikiana na kusaidiana kwa pale tunapo hitajika kusaidia amiin

  • @alishaksi4639
    @alishaksi4639 9 หลายเดือนก่อน +4

    Katika maisha tunamitihan ewee mola wetu tusamehe makosa yetu

  • @AhmedHassan-y9i
    @AhmedHassan-y9i 9 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah walhamdulillah Allah awape subra baadal yusri yusraah

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 9 หลายเดือนก่อน +2

    dah yani kiongozi wa nchi unajukumu kubwa sana mbel ya allah hy ni mas`uliya mtihani mkubwa cn matajiri jitokezeni

  • @aminaSuleyman-d6y
    @aminaSuleyman-d6y 8 หลายเดือนก่อน

    Sub Hana Allah

  • @allymohammedothman6593
    @allymohammedothman6593 8 หลายเดือนก่อน

    Ccm oyeeeeeeeeee!!!!???? Innalillahi wa innailaihi rajiun Allah Allah awaangamize ma ccm wote hususan viongozi hivi huu ni uongozi gani usojali watu wake hivi hayo madaraka mnayoyang'ang'ania huwa ni kwa ajili ipi? Ila kama ili uingie madarakani mpaka uwaue watu waliokua wameshakufa kwa dhiki basi huna utofauti na wakoloni dahh kwakweli inasikitisha sana..uongozi ni kipaji ila pia na moyo unahitajika

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kiongozi wa nchi ni Mas ulu mbele ya Allah Mwinyi kusanya pesa zako utumie wanachi wanalalamika hata chai kwao haipatikani ww umekataa tu kwenye kiti hujui kama wtu wanashida wala nini

    • @MulhatOmar-dx7ry
      @MulhatOmar-dx7ry 9 หลายเดือนก่อน

      Sio viongoz hata sisi tunaoohgozwa tunao uwezo wa kusaideana Kwa sababu wapo wenye uwezo

  • @yurasa2551
    @yurasa2551 9 หลายเดือนก่อน

    Pemba kwetu ishaallah mungu ataleta wepesi wetu

  • @pilifarhani6049
    @pilifarhani6049 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi

  • @PoliteKind-df8kw
    @PoliteKind-df8kw 9 หลายเดือนก่อน

    Allah ndo mtoaj na Allah ndo Kila kitu.inshaallah atakufanyia wepes kwenye Swaumu zetu

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 8 หลายเดือนก่อน

    Serikali Ina jukumu kuangalia Wananchi wake

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @fatumamaro8726
    @fatumamaro8726 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo ya kuskitisha 😢😢 mwenyezmungu awafanyie wepesi

  • @MohamedAli-f7k
    @MohamedAli-f7k 9 หลายเดือนก่อน

    hakika ya matajiri wana maswali kwa mungu

  • @WahidaAlharthi
    @WahidaAlharthi 9 หลายเดือนก่อน

    Laa haula wala quwwati ila billah
    Yuko pamoja InshaAllah ALLAH atuwezeshe InshaAllah

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 9 หลายเดือนก่อน +1

    Zanzibar imeshafanyika miafaka yote, suluhisho la Zanzibar ni kuongoza visiwa kimamlaka, Pemba iwe na Serikali yake. Haiwezekani mambo ya Pemba yamuuliwe Unguja wakati hiyo Unguja yenyewe inaamuliwa mambo yake na Tanganyika. Kwangu mimi sio SAHIHI chama tawala Pemba iwe CCM, ni lazima chama kinachokubalika Pemba ndio kiunde Serikali. Wapemba jengeni Pemba yenu acheni kuhamia kwa wengine. Hakuna ataetoka kwao akaja kujenga kwenu!

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 9 หลายเดือนก่อน

    Sahihi ni kazi yake Allah s.w kabisa😢

  • @aliabdallahali6995
    @aliabdallahali6995 9 หลายเดือนก่อน

    In sha allah M/mungu atawafanyia wepesi in sha allah

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 9 หลายเดือนก่อน +10

    Khalafu baas kutwaa kuwasifu hao viongozi km mitume na ukitaka umfaid huyo kiongozi subir afe utasema malaika

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 9 หลายเดือนก่อน +3

      @@Sheba4651 😅😅Khatari nacheka km mazuri vile kumbe yakuhuzunisha

    • @MbaroukMuba
      @MbaroukMuba 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hapana pemba hawana tabia hio zaid ya walio pandikizwa

    • @abdulazizimohamed3093
      @abdulazizimohamed3093 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli kimuonekano wa hayo mazingira hali ngumu sana Allah awafanyie wepesi katika ridhikk zao

  • @MaadhiAbduRutajwaa
    @MaadhiAbduRutajwaa 9 หลายเดือนก่อน +1

    Walisheni masikini Ni Agizo la Uislam. Pia kuwapa uwezo ktk kilimo hasa cha umwagiliaji na uvuvi kwa mkakati maalum. Pamoja kuwasaidia ni muhimu kuwapa uwezo wa kujitegemea pia ili wawe imara wengi wao

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm oyee tunataka nchi yetu Sasa tumechoka tafrani hii tafrani hii

  • @salmasule1427
    @salmasule1427 9 หลายเดือนก่อน

    Viongozi haya yote mtakwenda kuulizwa mwisho wa siku😢

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wanojiita wakubwa wanamajumba mia miya na magari yasoisabika na masherehe yasokwisha kufakamia pesa za wazanzibari inauma sana 😢

  • @hassansidibe5208
    @hassansidibe5208 9 หลายเดือนก่อน

    Wana siasa na matajiri ulimwengu mzima wata ulizwa siku ya kiama,mbona wenzetu uarabuni Wana kosea kuu kosea kuu saidia waislamu wenzao ile wako mbele na mambo ya Dunia...

  • @Dachboy-f3v
    @Dachboy-f3v 9 หลายเดือนก่อน

    Allaah atafanyia wepes pamoja nasisi Imsha Allah

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 9 หลายเดือนก่อน

    Kz ya viongozi ni kujikushanyia vipato wao sio kuwajalii wanyonge, Allah akufanyieni wepesi

  • @hassankaduara436
    @hassankaduara436 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu atafanya wepec ishallah

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 9 หลายเดือนก่อน

    Subbuhanallah. Allah awahifadhi ndugu zetu

  • @AjmalSlonina
    @AjmalSlonina 9 หลายเดือนก่อน

    Serikali ya Zanzibar hiyo.
    Na Mungano ila tunapita tu kwa uwezo wa ALLAH atalipa

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 9 หลายเดือนก่อน +3

    Yamekithiri maasi mpaka neema zimekwisha

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn 9 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢kabisa hata tusiwalaumu serikal au viongoz 😢 viongoz wanatoa lakini wapokeaji ni dhaifu wanajar familia zao tu hasa pemba wanainyima kila kitu😢

  • @saidymohammad2921
    @saidymohammad2921 8 หลายเดือนก่อน

    7:17

  • @suleimankhalid5978
    @suleimankhalid5978 9 หลายเดือนก่อน

    Wakiambiwa watavimba wapige watu au wakifungie kituo

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 9 หลายเดือนก่อน +1

    Me asaa nashangaa Yani viongozi xjuw wapo kwa ajili gani mi ccm mishetani imelanika wallah Iko razj wauwe watu kw madaraka watu maisha magumu wanajenga viwanja eti ujinga mtupu wallah hasira kwa kweli kisiwa kidogo wanashidwa ata kusaidia watu

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 9 หลายเดือนก่อน

    Subhan aallah wallah mung anawaon viongoz jaman machoz yanitok

  • @KHALFANSHELA
    @KHALFANSHELA 8 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 9 หลายเดือนก่อน

    Subra In Sha Allah

  • @saidymohammad2921
    @saidymohammad2921 8 หลายเดือนก่อน

    Mmi nauliza hiki kijiji kipo wapi kwa pemba

    • @Mamy199
      @Mamy199 8 หลายเดือนก่อน

      Kipo kangani mkoani pemba

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 9 หลายเดือนก่อน

    Yallah tusaidie wasaidie wajawako

  • @NassorShaban-x1u
    @NassorShaban-x1u 9 หลายเดือนก่อน

    Subhaana Allah subhaana Allah

  • @ahmadjuma-xx5nd
    @ahmadjuma-xx5nd 9 หลายเดือนก่อน

    Allah awafanyie wepes inshaa allah

  • @ShehaHassan-ev7st
    @ShehaHassan-ev7st 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi zao viongizi ni kusifiwa ktk baadhi ya vyombo vya hbar 2 tena wanasfiwa ujinga 2 kwa ajili ya maslahi yao wkt wananchi wanyonge wanaumia yani dah yanauma tena yanauma sana lkn ah sw YAJAYO YANAFURAHISHA.

  • @sabrinamwidadi8301
    @sabrinamwidadi8301 9 หลายเดือนก่อน

    😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪ya Allhhhha

  • @Ashahabibu-yr1rn
    @Ashahabibu-yr1rn 9 หลายเดือนก่อน

    Tatizo uongozi mbovu ,lakini kiwalisia pemba ni nusu wilaya ,,kwamba serikali ingeweza kabisa kugawa chakula kwa kila kaya sababu ni wachache sana

  • @Time-ev3dw
    @Time-ev3dw 9 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah

  • @suleimanabeid4945
    @suleimanabeid4945 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akbar amungu awaongoze inshallah

  • @KhamisAli-i4x
    @KhamisAli-i4x 9 หลายเดือนก่อน

    Allah awafanyie wepes waja wake

  • @LeeySeedorf
    @LeeySeedorf 9 หลายเดือนก่อน

    Allah ndio wakuobwa na sio wanaadamu wenzetu.

  • @ussiamini2868
    @ussiamini2868 9 หลายเดือนก่อน +1

    Haa jamani matajiri mutaenda kutowa wapii au kwenye mipira2

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 9 หลายเดือนก่อน +2

      Tatizo wengi vichumo vyao ni vya haraam

  • @hajimuhidini1903
    @hajimuhidini1903 9 หลายเดือนก่อน

    Allah kareem

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 8 หลายเดือนก่อน

    Mwambie BAHRESA asaidie hapo.Diamond upo wapi?sio kuhonga magari tu

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 9 หลายเดือนก่อน

    Allah atutie nguvu matakwa ya mola hayana makosa

  • @TheTickingAges
    @TheTickingAges 9 หลายเดือนก่อน

    Microphone na chakula sio unaleta microphone tupu tu. poleni sana. wazungu na waarabu wananawiri mwafrika mlala hoi

    • @DanstanMushobozi
      @DanstanMushobozi 9 หลายเดือนก่อน

      Hii dini na Allah wake hawana maana kabisa, kiufupi Allah hujificha wakati wa shida

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 9 หลายเดือนก่อน

    Mama samia najua unayaona you. Naomba pesa unazowapa wachezaj kwa magoli ya mama yapelekwe kwa wasiojiweza

  • @NassorShaban-x1u
    @NassorShaban-x1u 9 หลายเดือนก่อน

    Subhaana Allah

  • @omarfauz1877
    @omarfauz1877 9 หลายเดือนก่อน

    Rabbiy wape wepesi wazeee wetu

  • @planetanimals9547
    @planetanimals9547 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kijiji hicho cha tanga kikowapi kisiwani pemba? Tafadhali mkiripoti taarifa km hizi toweni anuani yasehemu husika kwa uwazi kabisa kama vile mkoa wilaya nakata! Allah atubariki wote

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 9 หลายเดือนก่อน

      Ndio pemba number zipo hapo

    • @josegambi7149
      @josegambi7149 9 หลายเดือนก่อน

      Si bora msifunge. Na nyie wakristo na waislamu mlo na uwezo wasaidieni hizo Kaya na huo ndo utumishi

    • @khamisali5978
      @khamisali5978 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@nailaomar4810Namba sio za kijiji,watu wanataka anuani ili mtu aweze kukifikia mwenywe .
      Km unajua ni sehemu gani Pemba plz tuambie

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 9 หลายเดือนก่อน

    Jmn africa yaenda ivi maisha gani haya na watu wasema africa ina kila kitu kweli

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 9 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi Munaongoza Watu wafanyie uadilifu Wewe unakula unatupa unao waomgoza unafutari maji wewe unakula Kwa kufanya fujo Jamani wasaidieni Hawa Maskini za Mungu mutakwenda kujibu siku ya kiama si mbali mutajuta kwa muliyoyafanya

  • @khamissaleh921
    @khamissaleh921 9 หลายเดือนก่อน

    Ndio Mapunduzi Daims,wale waarabu waliifanya pemba ni pepo ya dunia,pesa ilikuwa sio shida.

  • @MuhammedAbdullaHassan
    @MuhammedAbdullaHassan 9 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha sana

  • @aliy3303
    @aliy3303 9 หลายเดือนก่อน

    Ushauri wangu Raisi afutari na masikini zanzibar nzima kila cku abadili kijiji kama vile anavyoenda kusali taraweeh .. ajue hali na ugumu wa raia wake hassa ktk mwezi huu wa ramadhan ..fanya hivyo Raisi utapata mazingatio

  • @HadiaAme-x5f
    @HadiaAme-x5f 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani matajiri pia mupo toeni kwa ajili ya Allah munayo maduka makubwa musilaumu viongozi tu dhawabu tunataka sote

  • @TariqAlhaj-r1p
    @TariqAlhaj-r1p 9 หลายเดือนก่อน

    Hii pia Aipate Samia nampendelea kheri atoe msaada

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sio nyie Tu watu wengi hata huko mjini ngambu kote hali mbaya njaa kali

  • @AbdallahFaki-rd5qd
    @AbdallahFaki-rd5qd 9 หลายเดือนก่อน

    Allah amfanyiye wwepes

  • @suhailmasoud7891
    @suhailmasoud7891 8 หลายเดือนก่อน

    Mayatima pemba wamejaa vizuka kibao tunaish kwa uwezo wa allah 'ndugu zangu itembeleen pemba mzima sio vijiji hivyo tu

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sio kijiji hicho pekee, vijiji vipo vingi hali zao ni ngumu mno. Wapo walio na ukosefu wa maji, wapo walio na ukosefu wa mahitaji maalum km barabara, umeme na ukija katika mlo mtu anashindwa kupata mlo kamili kwa siku. Bidhaa kama vyakula zimepanda bei, fedha yenyewe hakuna, ukikuta umeipata kesho yake hunayo tena.
    Wito kwa walio jaaliwa na mali toeni mali zenu kwa kujitakasa na kwa manufaa ya dunia yako na akhera yako,
    Serikali punguzeni utitiri wa kodi katika bidhaa muhimu ya vyakula.n.k

  • @habibiddy8096
    @habibiddy8096 9 หลายเดือนก่อน

    Kisha wenye uwezo na wasiofunga ndio hupewa mialiko

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 9 หลายเดือนก่อน

    Lengo lao wawauwe hao wapemba lakin Mungu yupamoja,

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 astghafirullah shida wapokeaji misaaada 😢 wawadhurum 😢 sana watu na viongozi wanatoa sana😢

    • @khamisali5978
      @khamisali5978 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Muslim-gs6rnUmeongea point hapo kuna biashara ya watu.

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 9 หลายเดือนก่อน

    Ila nyy alfatahi.mnajitolea kweli lkn mbona .hamumbii serekali nyy mnaisifu sn .tuwaelewe vp.??

  • @yussuph-lx7cu
    @yussuph-lx7cu 9 หลายเดือนก่อน

    UTAJIULIZA MENGI,,,,, HILO JIMBO LINA MBUNGE ,LINA MUWAKILISHI LINA SHEHA KUNA KIONGIOZI WA MKOA NA SERKALI KUU HIVI TUSEME HILO SUALA HAWALIJUWI HII NI HATARI KWA HALI HII TULIOFIKIA,HAKIKA INASIKITISHA,

  • @FatmaSalim-do2jk
    @FatmaSalim-do2jk 9 หลายเดือนก่อน

    Inshaallha

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 9 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali ipo wapi jamanii?

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 9 หลายเดือนก่อน

    Wakubwa watchi wanahonga vimada pesa za wananchi