HUYU NDIYE BABU ANAYEWASHANGAZA WAZUNGU ZANZIBAR; ANAISHI NA KOMBA ANAOENDA KUWACHUKUA MISITUNI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2022
- HUYU NDIYE BABU ANAYEWASHANGAZA WAZUNGU ZANZIBAR; ANAISHI NA KOMBA ANAOENDA KUWACHUKUA MISITUNI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Mshahara mzuri kwa huyu jamaa angalia shingo yake hongera wasafi
MASHA ALLAH HONGERA SANA
Adela yuko bize na Ubuyu tu! ha ha
Msishangae sana ni kweli mzee anaongea vizuli maana wazungu hupenda kuishi na viumbe vyote vilivyoumbwa na mungu watu wote wa rangi ya kizungu huishi na kila kiumbe ila sisi waafrika huchukia viumbe vingine vilivyo tofauti na binaadamu na ndomaana chuki nyingi kwetu sisi kwa sisi kwakuwa tunachukia kuishi vizuli na viumbe vingine vya mwenyezi mungu
nime penda uyu mzeee safi mpka bs🙌🙌
Babu komba hongera sana
Adela kubwa kwake ni kuuliza kama Babu ana mke !!! Loooh! Wanawake bwana !!!
😂😂
Ao viumbe walevi kumshinda mkude na okra😂😂😂
Sio Mzee wa Mjegeje Huyu 👉👉👉
Wooow Amazing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
komba mzee wa gambe
Sauti yake kama yule mzee wa mjegeja za kichwa
Hata sura mwili amefanana nae
@@mamalamama7010 ndio, hahaa😃😃 kumbe nawee umeona
@@edwarddavid8076 Ndio
Ni kweli kabisa usishangae ni anko wake
Nikweli kabisa mungu amlehem
❤❤❤❤❤❤❤
Hongera
zbc ipo.haijawahi.kuonesha mambo.kama haya
Wasubiri mwinyi kafungua maskani ndio waende
Lemur - King Julien 😄
Vizurisana
😂😂😂😂 uyu nd bab kombaaa
Legend
Muandishi ni sie tu huku wafrica baadhi tuna waogopa wadudu upoo mzungu usikulize unaogopa hawaogopi awoo
Hao ukiwapa pombe imejaa ndoo kubwa wanafuta ndani ya DK 10 tu 😂😂😂😂
Babu komba
Duh
Anajiamini
Umwaaya
Acheni ushamba nyinyi waandishi sio kila mtu mweupe ni mzungu, basi na mm ni mzungu
Kanidhalilisha kweli huyu mhaya..hajui mzungu na asiye mzungu. Huyo dada ni mfilipino siyo mzungu
Are you don’t fear 😂
Aibuuu hiii 😄😄
😂😂😁
👹👹👹👹👹👹👹
Komba kwa kiingereza anaitwa aje?
Google
@@shaninjenje5004 kumbe anaitwa Google🤣🤣🤣
Bush baby
Anaitwa Captain.
@@gibsonjosephat6352 Umenoa..anaitwa bushbaby.
kusema uongo zambi kafanana nao
Dah😄
Awa wadudu wanakelele jmniiiiiiiiii 🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Usiku utaskia kwaaaaa kwaaaaaaaa kwaaaaaaaa kwaaaaaaaa kwaaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌