Mimi kuishi Unguja siwezi najua nitafilisika kwa sababu kila kitu ghali. Nikiwa Tanzania naenda zangu Pemba kupumzika. Mimi nilipata mwanamke kwenye date site nimepata, nimemfuwata Indonesia na wazee wake wakanipokea na mpaka leo tupo pamoja na tuna mpango wa kwenda kuishi Pemba in sha Allah
Hongera sana kaka kwa kufunguka ,wewe kiboko 😂😂😂 nimependa kuna sehemu umesema "sikuwa muaminifu, NIKAACHIKA" Hili neno wengi wanasema mwanamke tu, wakati hii inahusu wote tu.
Kwahiyo Zanzibar ukiwa na binti wa kizungu bakora ila mzungu akienda na binti wa kiafrica hakuna shida. Hatari sana. sema kwenye kusuka na kuvaa mahereni kwa mtoto wa kiume naunga mkono hoja hata vitabu vitakatifu vinazuia
Kijana kafunguka kwakweli mwenye maskio na askie kaka sio mchoyo katoa mbinu zote alizotumia kupata mzungu na ushauri katoa sasa kazi kwetu wananzengo kujiongeza tu asante sana shena kwa kijana Patrick kumleta leo katupa nondo za kweli😂
Hallo, kujana wangu nimefurahi sana kusikia uko Slovenia. Mimi nimeshawahi kutembelea huko mara nyingi sanaa. Na napenda sanaa wine yao, na masoseji. Huwa nafikia hapo Maribo. Kunafamilia hapo . Nimeshaenda kule baharini PIRANI, POTOROZIE. NA I AZALIKA. YAANI WEWE UNAKAA NCHI NZURI JAPO NI MBALI SANA.
Nikweli Zanzibar ninjia pia yakupata mzungu mimi rafkiangu kashaondoka juzi na mtoto mzuri upo USA yeye nimzaliwa wa kigoma alikua hotelia hapa home Zanzibar
Na mm n mtanzania pleas niunganshe jina langu naitwa yusuph samwel hapa nmetmia simu ya shangaz yangu pleas niunganshe au unipe utaratibu dada Yang ahsante
Nilikuwa nasikia Wazungu wanakuja Afrika kutafuta wanaume kumbe kweli...kumbe pia kuna watu Afrika nao wanaenda sehemu kusaka Wazungu..,tunajifunza na hii mitandao ya kijamii...kila la kheri
Watanzania wengi wakishafika ulaya wanajidai, majisifu mengi mno na hawana msaada wowote isipokua kujidai na wengine wanawasababisha watu kufungwa. Pia tuache tabia ya kuwasifia wazungu ni wabaguzi sana. Apo alipo patrick hana mdomo anakokotwa na kulelewa tu na msichana (yeye mwenyewe anapenda shortcut asiwaseme vijana wa tanzania buana na Africa kwa ujumla.
Nilikuwa na Ndoto hizi😅 Sasa sio Ndoto Tena Naishi Maisha halisi hapa States ila wangu nilimpata hapa States. Bongo niliwahi kupata na kupendwa ila haikufanikiwa sababu nililuwa sijui tabia zao. Na tamaduni zao.
Naishi Marekani. Watoto wangu Baba yao anatoka Slovenia. Nimewahi kutembea mara mbili. Watoto wanaenda kwao mara nyingi tu. Baba yao amefika Kagera na kuzunguka kijijini. Slovenians wanapenda sana Africa. Wa Slovenian wana roho nzuri sana. Wanaishi Radovljica. Nikiena nitakutafuta. Baba yao ndo amerudi Marekani. Nitakutafuta.
Kaka una Vision nene bado ndoa changa na Mungu anaona moyo wako na una hekima sana. Siku za mwanadamu hazifanani mtajaliwa mali na watoto wa kutosha. Point noted Africa tuna roho za koroshoooo!!!
Mungu ni wa ajabu sana unachokipenda ndicho anachokusogezea mfano ww unataka kununuwa Noah voks sasa kila unapopita njiani utakutana na noah voksi hivo yaani ndo maana uliona wazungu wanakutaka taka tu ni kitu ulichopenda
Ni vizuri sana kuweka mipaka katika maisha. Tena ni muhimu. Je unakaa sehemu gani. Usiniambie unakaa rubulana. Sababu sipapendi mimi napenda vijijini.
Uyu kijana ni comedy nimecheka sana ameniongezea siku😀😀😀
😁😁🥰
anachekesha pia naona kwenye account yake ya insta yeye na mzungu wake
Nimefurahi sanaa kuwaskia wote kwakweli❤❤❤🎉🎉🎉
Huyu kijana n honesty and absolute ameeleweka 🤣🤣🤣huyu nia comedian
Yani yuko amazing
@@OfficialDatingAssistancenitakutafuta niko 🇺🇸
Asante sana nimefurahi sana naming nipo Paje nimefurahi asna
🥰🥰
Namimi ni je huko
Mimi pia
Hongera Sana ndugu Yangu Msambaa mwenzetu
Yani broo umeongeya kweli tu wazanzibar tuko ivooo❤❤❤
Hiyo kali ati beach ⛱️ boy kaletwa hotel hapa tushaletewa mwizi bora tuwafukuze wote
Woooowww nimependa interview ya kaka...congratulations ❤
He is amazing
Umejenga tanga kaka umeupiga mwingiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤ yaani una akiri saaaana
Kwakweli Patrick unasema ukweli mtupu mimi nilisha mwambia mumewangu sitaki marafiki wengi wanapenda mtu anguke wamcheke
Mimi kuishi Unguja siwezi najua nitafilisika kwa sababu kila kitu ghali. Nikiwa Tanzania naenda zangu Pemba kupumzika. Mimi nilipata mwanamke kwenye date site nimepata, nimemfuwata Indonesia na wazee wake wakanipokea na mpaka leo tupo pamoja na tuna mpango wa kwenda kuishi Pemba in sha Allah
MashaAllah
Nakukaribisha kwenye kipindi 🙏
+4367764790884
@@OfficialDatingAssistance ahsante sana
😮@@OfficialDatingAssistance
@@OfficialDatingAssistance😮😮
Beautiful story haki imenigusa❤love from 🇰🇪🇰🇪
Shukran 🙏
@@OfficialDatingAssistance q
@@OfficialDatingAssistance.....Reka huyu😂
Nimekusikiliza sana ila nimeona ww hapo upo kimaslai Zaid maana ww hapo ulimtafuta mzungu unataka utajilike ondoa hiyo
@@OfficialDatingAssistancedada naomba mawasiliano ya huyu Patrick kama akiridhia, nataka kwenda kufanya kazi huko Ulaya au America
Patrick uko vzr na very focused, hongera
habibt shena nimependa sana hii storry kijana mdogo lakili katulia akili yake mungu ambarik
Nimefurahi sana ,God bless you broo
🙏🙏
Ya interview 🔥🔥
Hongera sana kaka kwa kufunguka ,wewe kiboko 😂😂😂 nimependa kuna sehemu umesema "sikuwa muaminifu, NIKAACHIKA" Hili neno wengi wanasema mwanamke tu, wakati hii inahusu wote tu.
He is amazing 🥰😁
Ebwana nzuri sana dada yetu Asante kwa kazi nzuri...
Dada uko vizur Sana kweny interview
Kwahiyo Zanzibar ukiwa na binti wa kizungu bakora ila mzungu akienda na binti wa kiafrica hakuna shida. Hatari sana. sema kwenye kusuka na kuvaa mahereni kwa mtoto wa kiume naunga mkono hoja hata vitabu vitakatifu vinazuia
Nimependa full interview inafundisha sana maisha,pia source wako anajieleza vizuri sana.
Safi sana mwamba pambana Jenga heshima ya TZ
Kijana kafunguka kwakweli mwenye maskio na askie kaka sio mchoyo katoa mbinu zote alizotumia kupata mzungu na ushauri katoa sasa kazi kwetu wananzengo kujiongeza tu asante sana shena kwa kijana Patrick kumleta leo katupa nondo za kweli😂
Yani kaka katoa nondo na nondo
Hahaha dia nitumie ling
😅😅😅😅
Jaman naomba mniambie hizo Application za online dating🎉🎉
Kaka Patrick hongera sana nimekuelewa
Yani katoa bonge la darasa
Hi dada I would like to sheer my story with you guys I am from Zanzibar and now living to Europe poland
Please contact me WhatsApp +4367764790884
Uko vzr kaka mungu awatangulie katika ndoa yenu
Hawa wazungu watatoa watu rohooo jaman mhhh mungu awasaidie wadogo zetu
Malengo ni zaidi ya utumwa tuishi HUMO
Nimependa sana Patrick alichosema amefunguka real, niongee kitu kwa vijana mzungu nilazima akuone mara kwa mara
Hizo sheria za zanj Uwe na cheti cha ndoa Hao ni wabaguzi wao ndo wanzinzi no 1. Hiyo znj niya kitalii nawatalii wanapenda kuona culture.
Hongera Kaka waslovenia ni wanawake wasafi watunza nyumba na wenye wivu kupindukia
Ni kweli kbs, watu weusi sisi furaha yetu ni kuona mwenzio anaharibikiwa,ni tabia mbaya sana, na ukiweka mipaka wanakuona unaringa
Ni bora wakuone hivyo aisee. Piga chini, watu wengi majanga bongo. Ishi kivyako
Hallo, kujana wangu nimefurahi sana kusikia uko Slovenia. Mimi nimeshawahi kutembelea huko mara nyingi sanaa. Na napenda sanaa wine yao, na masoseji. Huwa nafikia hapo Maribo. Kunafamilia hapo . Nimeshaenda kule baharini PIRANI, POTOROZIE. NA I AZALIKA. YAANI WEWE UNAKAA NCHI NZURI JAPO NI MBALI SANA.
Nikweli Zanzibar ninjia pia yakupata mzungu mimi rafkiangu kashaondoka juzi na mtoto mzuri upo USA yeye nimzaliwa wa kigoma alikua hotelia hapa home Zanzibar
Patrick ukija bongo unitafute mimi niko kilwa Dreams beach tunaweza kupeana mawazo ya kujenga Jamii zetu
Hakika nipenda Sana interview yako
Patrick umenivunja mbavu umeweza kuniongezea siku sio kwa coz hiyo ya matusi😂😂
Dada asante nakufuatilia sana
🙏🙏
Daah nimefurah sana
Shena your interviews are very interesting loving your channel❤❤❤
kiukweli kijana ni mkweli sana kajua kupambana mungu amsaidie mtanga tanga raha
Jmn mbavu zangu mimi patrick we noma.
Good story teller🎉
Shina ningependa kupata mawasiliono yake mimi pia na hotel napokea watalia tunaweza kufanya jambo ambayo inatwa kilwa dreams beach resort
Uko vzur Patrick ww ni mpambanaji proud zanzibar and Tanzanians as well
Iman yavunja mlima aisee,
Huyu kijana ni mswahili anaweza kuvunja mbavu
Safi sana Kaka maisha yapo hivyo
Interviews kaliii sana🔥🔥🔥🔥
Kijana wa kisambaa mjanja sana big up ila anaongea ukweli
Nimefaidika sana shukran kakangu
Real storh hixi zangu ukitaka kitu ukipigania kwa kweli
Sana
Huju jamaa namjuwa vizur sana tena sana alikuwa nungwi
Mashalla brother
🥰
Yaaani nimecheka sana story nzuri sana , kaka yangu wakitanga umefunguka haswaa.
Na mm n mtanzania pleas niunganshe jina langu naitwa yusuph samwel hapa nmetmia simu ya shangaz yangu pleas niunganshe au unipe utaratibu dada Yang ahsante
Nilikuwa nasikia Wazungu wanakuja Afrika kutafuta wanaume kumbe kweli...kumbe pia kuna watu Afrika nao wanaenda sehemu kusaka Wazungu..,tunajifunza na hii mitandao ya kijamii...kila la kheri
Watanzania wengi wakishafika ulaya wanajidai, majisifu mengi mno na hawana msaada wowote isipokua kujidai na wengine wanawasababisha watu kufungwa. Pia tuache tabia ya kuwasifia wazungu ni wabaguzi sana. Apo alipo patrick hana mdomo anakokotwa na kulelewa tu na msichana (yeye mwenyewe anapenda shortcut asiwaseme vijana wa tanzania buana na Africa kwa ujumla.
Patrick mungu skufungulie milango
Hongera msambaa mwenzangu
Hello, namuomba Patric anitafutie wanunu wa Mkonge mm niko Tanga
Nilikuwa na Ndoto hizi😅 Sasa sio Ndoto Tena Naishi Maisha halisi hapa States ila wangu nilimpata hapa States. Bongo niliwahi kupata na kupendwa ila haikufanikiwa sababu nililuwa sijui tabia zao. Na tamaduni zao.
Nipe hyo connection ndg Yang mm n gentleman natmia simu ya shangaz yangu
Yani huyu kaka ana chekesha jaman 😂
Na anaongea ukweli juu 😁
Mbona kama wifi kalamba upawa jamaaniii😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kijana wa tanga that y wanajua kuongea sana
@@OfficialDatingAssistancekweli
naomba app ya kupata mzungu
Tinder
Naishi Marekani. Watoto wangu Baba yao anatoka Slovenia. Nimewahi kutembea mara mbili. Watoto wanaenda kwao mara nyingi tu. Baba yao amefika Kagera na kuzunguka kijijini. Slovenians wanapenda sana Africa. Wa Slovenian wana roho nzuri sana. Wanaishi Radovljica. Nikiena nitakutafuta. Baba yao ndo amerudi Marekani. Nitakutafuta.
Karibu sana kwenye kipindi pia utupatie elimu ya Slovenia na Marekani +4367764790884
❤❤hongera sana
🙏🙏
Mgosi kafunguka kikubwa kwenye maisha ni kuwa na malengo kila kitu kinawezekana
😂😂😂😂
naomba no zako dada shenna
Kupeana nafasi umeongea vyema.sie wenngine tunapitia hilo nimependa kipindi chako.
😂😂😂😂😂.
Ume nichekesha saanna
Brothers Slovenia is an opportunity ,patoo anaimbiwa nyimbo....😅😅😅 kama Tanga vile 😊
😂😂
Kiufupi patrick waache leo uneongea ukweli mno 🇬🇷🇬🇷🇬🇷🇹🇿
Ina mana wazungu ndio wamefanywa mtaji 😮, duh
Mtihani ikiwa hivi watu watazidi kupotea
Kumbe we Patrick sometimes unaongea point 🙂 maana kule Instagram saa ingine unaudhi mambo yako 😢 wee nunadu
honestly nimeelewa sana sana❤❤
🥰🥰
Kumbe kweli wanavyosemaga ukitengeneza mwili wazungu wa kike wanakupenda heeee makubwaa
😁kila siku ni kujifunza
Zamani
@@OfficialDatingAssistance hakika na Asante dada tunajufunza kweli
Nimefurahi umeongea ukweli japo wapo ambao hawatokuelewa kabisa ❤️
kumbe sio wasukuma pekee wanaopenda wanawake weupe😂😂😂😂
Imenifundisha kujiamn na kuna nguvu kubwa iliyondan yetu kikubwa n kujiamn na kutokujal
wifi mjuba😂😂😂 kaamua kuonyesha uwepo wake kwa msistizo
Kwakeli umepata Wewe Ni kijana mwenye. Akili muhimu umempenda kakupenda
Kweli kabisa wabongo tunapenda kuona aliyefanikiwa kaanguka
Mtihani mkubwa
Hatupendani
Kaka nimekufaham sana Mimi nipo bwenuu wewe umeongea ukweli walio wengi ambao wanawazungu tamaa sana malengo hamuna mwishowasiku wanhalibikiwa wanpoachwanawake wanachanganyikiws hawataki kuniwekeza nahamimi nilikuwa namutaka kwasabu huku najiendereza nakazi yanu jipushi kwanza ndoupushiwe usisubilikupewa bolaulikuwa unajishugulisha ukijazanziba kwamalengounatusua uswemulevimwizi kama ulivyosma mwaminifu Asante nipo Zanzibar bwenuu kwamyaka 24
Mimi nipo bwenuu myaka 24
Namimi nipo bwejuu
Habari, Mimi namuomba Patric anitafutie wanunuzi wa Mkonge Mimi nipo Tanga
❤❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Usiisem vibay Zanzibar kil nnchi zin Sheria Zak ww umekuj umepat lak shkuru
Dada naona unafurahia story😂😂
Kaka una Vision nene bado ndoa changa na Mungu anaona moyo wako na una hekima sana. Siku za mwanadamu hazifanani mtajaliwa mali na watoto wa kutosha. Point noted Africa tuna roho za koroshoooo!!!
Ameen kwake
Mungu ni wa ajabu sana unachokipenda ndicho anachokusogezea mfano ww unataka kununuwa Noah voks sasa kila unapopita njiani utakutana na noah voksi hivo yaani ndo maana uliona wazungu wanakutaka taka tu ni kitu ulichopenda
Well said
Uaminifu upo sahihi
Hongra sana
Mashallah, mtanga mwenzangu.
He is amazing
Nimependa jinsi unavyo jieleza hongera sana wewe ni shujaa 💪💪🙏
Shuja WA kusaka mzungu 😢
Ulikopesha zanzibar 😊😂😂😂😂😂😂
Kijana mtindi kweli 😂😂😂
Asante Sana
Eti kijin ha ha ha ha haaa Patrick jmn
😁😁
Namuona shemeji anapita pita nyuma behind the camera 😂
😅😅😅😅eti amenipenda 😅😅😅unajua kumsoma mtu hakili yake inavo fanya kazi
Kweli kaka watu wengi hawaelewi hilo
Huyu Kaka anahekimasana na nimuelewa Yani nimependa haki
Hahahahaha nimekumbuka zamani sana huyu jamaa kafanya kama babu yangu aliniambia cha kwanza jifunze matusi ya hilo eneo hahahahahah hapo uko sawa
Kaka kafunguka vizuri kabisa
Mnooo