MIAKA 16 YA NDOA NA MZUNGU NI MATESO MAKUBWA | STRESS NA KUFUNGIWA NDANI | SIRUHUSIWI KUFANYA KAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2023
  • Ester ambae anaishi Milano - Italy, ameolewa na muitaliano ambaye alitoka jela bila ya yeye kujua na akamchukua kuishi Italy ambapo ndani ya miaka 16 ni mateso juu ya mateso, amekua akipitia kukabwa, kutishiwa kifo na kutoruhusiwa kufanya kazi wala kuchukua watoto wake waliopo Tanzania.
    Amekua akikaa ndani tu na haelewi ni wapi aanzie ili kupata msaada.
    Thanks Ester for allowing this to be online
    www.Oda.international

ความคิดเห็น • 1K

  • @mwanasitidettwiler9254
    @mwanasitidettwiler9254 10 หลายเดือนก่อน +10

    Uko na busara na Akili ndefu ..kujenga nyumba pole pole si kitu rahisi.ongera👏👏👏👏

  • @perucebuhomaosward8512
    @perucebuhomaosward8512 9 หลายเดือนก่อน +6

    Ester Shogaangu pole sana, lkn umepambana vya kutosha. Rudi nyumbani kumenoga tuendeleze maisha yetu kama zamani. Mambo ni 🔥🔥 Najua hutarudi kuanza utarudi kuendeleza. Wewe ni mpambanaji, Mzungu asikupotezee muda.❤❤

  • @mikemlay2297
    @mikemlay2297 9 หลายเดือนก่อน +5

    Pole Dada Esta, najiuliza kama hamuendi Kanisani hata Siku moja. Mwombe Mungu awape Neema ya Wokovu.

    • @neemalema2545
      @neemalema2545 8 หลายเดือนก่อน

      Ushaskia mtu ni mvuta UNGA hapo Kuna kanisani kweli😢😢😢

  • @annamussa185
    @annamussa185 10 หลายเดือนก่อน +11

    Da Estar shukrani sana yani umenifunza vitu nilikuwa nina maswali mengi sana kwenye kichwa changu nakushukuru yote umenipa majibu kupitia story yako Mungu akubariki sana na atakuvusha kwenye hilo

    • @user-wp3wd9dx8z
      @user-wp3wd9dx8z 4 หลายเดือนก่อน

      Mbona ma sley Queen hawalet story kama hizi jamn

  • @adrianochieno6131
    @adrianochieno6131 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sisi wengine tunapenda sana video zako zikiwa ndefu. We get the whole story and we are very happy to listen up to the end🤣🤣🇰🇪

  • @Brightnessyohana
    @Brightnessyohana 10 หลายเดือนก่อน +17

    Huyu dada yuko depressed I can understand her feelings, ukiwa unaishi ugenini halafu mtu wako wakaribu anakutreat kama mzigo hata psychological amekuwa affected. Ningeshauri tu arudi nyumbani halafu asilimia kubwa wanawake wengi walioolewa na waitaliano wanateseka sana especially sicily tribe wabaguzi sana aisee

    • @neemalema2545
      @neemalema2545 8 หลายเดือนก่อน

      Mnoo Jamani yaan niejikuta naogopaaaa,😢😢😢😢😢😢

    • @cleopatrahenry7541
      @cleopatrahenry7541 หลายเดือนก่อน

      Sishauri arudi nyumbani ili asaidie kuachana na huyo bwana ila aende mbali naye kabisa atafute ka,I hukohuko apate hata mtaji ili akisema kurudi asirudi mikono mitupu

  • @sialuke9955
    @sialuke9955 10 หลายเดือนก่อน +28

    Kuna dada apa kwenye interview na Shena sikumbuki jina lake, alisema wazungu wengi wanaokuja Africa kutafta wake huwa wanakuwa wana matatizo uko kwao… hasa criminal record, na hakuna watu wanaotaka kuolewa nao huko kwao, so the easiest way huwa wanaona bora kuja Africa, sab wanajua waafrica ni wakarim… girls be careful…

    • @teddyhenry2579
      @teddyhenry2579 10 หลายเดือนก่อน

      Tunamsikia

    • @teddyhenry2579
      @teddyhenry2579 10 หลายเดือนก่อน

      Aendelee tunamsikia

    • @user-oc7ur4ob1e
      @user-oc7ur4ob1e 4 หลายเดือนก่อน

      Hapana dada endelea tu tunataka live tunajifunza mengi

    • @user-oc7ur4ob1e
      @user-oc7ur4ob1e 4 หลายเดือนก่อน

      Je kwa nini usichike ujitegemee

    • @ibrahimmarwa7599
      @ibrahimmarwa7599 4 หลายเดือนก่อน

      Story huwezi kuifupisha. Kazi iendelee

  • @user-zo2jw7zo2m
    @user-zo2jw7zo2m 10 หลายเดือนก่อน +22

    Rudi dada Tanzania pazuri njoo tupambane wanawake tunaweza

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 10 หลายเดือนก่อน +9

    Pole sana kwa matatizo yasio na mfano. Lakini hongera kwa ustahamilivu mkubwa na akili uloiweka juu yakujijenga ki maisha nyumbani. Mie naona nikuondoka Italy kama unakwenda likizo tu alafu usirudi tena kwa huyo mume. Anaweza kukudhuru apo atakapoona unataka divorce. Ni bora kuepukana nae kwa haraka. Mungu akulinde na kila baya. 😢

  • @annamussa185
    @annamussa185 10 หลายเดือนก่อน +13

    Shena Mungu akuinue juu zaidi ya hapo,zamani watu wenye TH-cam channel walikuwa wanaongea tu kuhusu Visa maisha mazuri lakini wewe Shena umeleta kitu watu wanafunguka kabisa yani mpaka mtu anaelewa yani hata kama mtu hajuwi kusoma basi picha anaona Yani kama Kuna mtu haelewi basi hatokaa aelewe maisha yote🙌

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  10 หลายเดือนก่อน +4

      Ahsante sana
      Dhumuni ni kusaidiana na kufunguana upeo
      Shout out kwa wageni wetu ambao wanakuja kutuambia Situation zilivyo

    • @amanimyolo1478
      @amanimyolo1478 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@OfficialDatingAssistance..African we are beautiful

    • @thomasmuzuma2381
      @thomasmuzuma2381 9 หลายเดือนก่อน

      Yes

    • @thomasmuzuma2381
      @thomasmuzuma2381 9 หลายเดือนก่อน

      Dada umewahi kukutana na watanzania au Wakenya?

  • @user-sg5jl3cg2b
    @user-sg5jl3cg2b 9 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu amekusaidia sana Ester. Mshukuru sana umuombe akupe jinsi ya kurejea kwenu kwa amani. Hao wenzetu hawajawahi kuwa wazuri. Ni waongo wanafiki nawauaji kiuhalisia. Mungu na akutetee Ester

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 7 หลายเดือนก่อน

      Miaka ni mingi sana sepa hata nchi nyingine Ila ulipochapia kutokupata uraia,dada chukua uraia ni rahisi kuishi nchi nyingine.kama utaweza pata uraia😊

  • @ongowi5701
    @ongowi5701 10 หลายเดือนก่อน +10

    Rudi Tanzania my dear Ester. Huyo mzungu mvuta unga ipo siku atakuua ondoka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.

  • @adoranancy9093
    @adoranancy9093 10 หลายเดือนก่อน +6

    Sana sana dada zetu wa bongo kuolewa na mzungu sio kushinda lotto...mnachukuliwa tu virahisi sana....

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 10 หลายเดือนก่อน +6

    POLE SANA Dada ila dada ESTER ungemshilikisha Mungu angekupa majibu mazuri muombe Mungu akuepushe na haya magonjwa iliuzidi kuishi miaka mingi

  • @lucasjoseph1407
    @lucasjoseph1407 10 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera dada Ester kwa kutuwakilisha maana cc wengine tunaogopa kutoka hadharani kuongea yanayotukuta km yako ijapokuwa hali ni mbaya. Hongera tena kwa ujasiri wako
    Umetuwakilisha....!!!👏👏👏

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 9 หลายเดือนก่อน +1

    Your Doing an amazing Job Shena ❤❤❤

  • @africanpolarbear4044
    @africanpolarbear4044 10 หลายเดือนก่อน +13

    Pole sana dada ester 😢 Rudi nyumbani usiogope kuanza upya

    • @marywangari1120
      @marywangari1120 10 หลายเดือนก่อน +2

      Mimi niko rome najua africans wameolewa na wazungu maskini ni rangi wanafuata hapa wengi wanaunza drugs wakitoka jela kupata kazi ni ngumu

    • @user-yo6kf1ve9i
      @user-yo6kf1ve9i 9 หลายเดือนก่อน

      Mungu akufungulie mlango urudi nyumban

  • @rutahalima1400
    @rutahalima1400 3 หลายเดือนก่อน +4

    Pole ndugu yetu ila ningekushauri umuone social worker akupe msaada

  • @glorymasy7687
    @glorymasy7687 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana da Esther Mungu alishakuonya siku ya kwanza kabisa any way Mungu atakusaidia.

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 10 หลายเดือนก่อน +7

    Nampa Pole dada Ester,ila nimependa alivyo jenga nyumba nyumbani,alafu ninaomba umtafute tena ili tujue amefikia wapi atua zake za kurudi nyumbani

  • @ladymacollection
    @ladymacollection 10 หลายเดือนก่อน +5

    Kwenye haya maisha ... uki lose time ukaja ku stuka una 45 halafu umetoka kwenye ramani ni ngum mno ... unazidi kufa kiundani... yaaani Maisha haya ni kuwa na akili na kusoma kujifunza kujichanganya tu

  • @veronicankenja9061
    @veronicankenja9061 8 หลายเดือนก่อน +3

    Dada Ester kwanza nakupa hongera kwa ujasiri. Ila naomba urudi kwetu Tanzania usije akakuua Bure.

  • @user-hz5nf8qp5w
    @user-hz5nf8qp5w 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ester nimesikia maneno yko umenifunza kitu masha allah mungu akupe nguvu❤❤❤

  • @GiantPaul
    @GiantPaul 10 หลายเดือนก่อน +14

    Sometimes money is nothing kama huna amani ya moyo. Imagine 16 years na mtu anataka kurudi nyumbani.

  • @mamalaocruz9616
    @mamalaocruz9616 10 หลายเดือนก่อน +22

    Dada mbona sheria zipo ? Mim niko italy miaka 27? Kuna ubalozi na vyama va watanzania wanasadia ujui nitafute nikupe sheria za italy wanawak awateseki

    • @gladiesgtv2473
      @gladiesgtv2473 10 หลายเดือนก่อน +1

      God bless you my dear msaidie mwenzetu awe free na atafute pesa kurendeleza home.🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @NaumiBaya-wr7ri
      @NaumiBaya-wr7ri 10 หลายเดือนก่อน

      Y

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 10 หลายเดือนก่อน

      Tuelekeze hapa

    • @danielkipeta2355
      @danielkipeta2355 9 หลายเดือนก่อน

      Dada huko ni Italy ogopeni warabu waisram hao namanyag,ao

    • @danielkipeta2355
      @danielkipeta2355 9 หลายเดือนก่อน

      Nchi za Kiarabu na na waisramu niwakuogopa sana
      Nenda UK hapo sawa

  • @renaminamina1240
    @renaminamina1240 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hilo ni kweli kabisa wako hivyo wataliani huwa wanajifanya wazuri wakiwa kwetu lakini mdaa tu ukifika kwao ndio wamekugeuka pia mimi naishi roma Italy hali ni hiyo dada pole sana kwetu nikuzuri tupambane tu kwetu africa ❤❤

  • @evelyinipaja7022
    @evelyinipaja7022 10 หลายเดือนก่อน +17

    Dada Esther amesema kweli maisha mazuri yapo popote pale.

    • @user-yo3yy7fx1i
      @user-yo3yy7fx1i 10 หลายเดือนก่อน +1

      Basi Rudi chanika kuna Maisha MAzuri... Huyu Mjinga 16yrs angejifunza chochote hata ususi WA nywele😢

  • @mafrikanws
    @mafrikanws 10 หลายเดือนก่อน +4

    Dada assistance msaidiye uyo Dada ni vizuri Sana nyinyi ndio watu ambao mnaishi uko mumushauri na kumsaidia vingi Sana sabu naona Dada naye piya akujiongeza njo tatizo naye piya ALICHANGIYA kuwa Katika iyo Ali

  • @paulalove1223
    @paulalove1223 10 หลายเดือนก่อน +22

    Kuna mtu alisemaga sometimes wazungu waloshindikana kwao au ana historia ya matukio hakuna anaetaka kuolewa nao wanakuja huku kutafta sijui nikweli 😢 Mungu akusimamie dada

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 10 หลายเดือนก่อน

      Nikweli

    • @sinzannenmisquee1425
      @sinzannenmisquee1425 9 หลายเดือนก่อน

      Hii ni kweli wa nakuja huku kujifanya wazuri

    • @MolelUpendo
      @MolelUpendo 8 หลายเดือนก่อน +1

      mungu akutoe huko dada ester

    • @zuenajohn8325
      @zuenajohn8325 8 หลายเดือนก่อน

      Aise rudi nyumbani, kikubwa umesha chuma.

    • @evalynembuna4867
      @evalynembuna4867 4 หลายเดือนก่อน

      Dada Esther pole sana. Heri urudi nyumbani tu. Maisha ni popote.

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 10 หลายเดือนก่อน +34

    Nimesikiliza interview yote, nimeogopa sana. Kuna ukweli mwingine hausemwi. Dada Esther amefunguka mno sasa vipi huyo mzungu wake akiona hii interview anaweza kumfanya chochote. Inabidi dada Esther aondoke kabisa kwenye hiyo nyumba yake maana naona mzungu atakuwa mwekundu mno. Pole sana dada Esther na Mungu akusaidie ila ondoka tu. Wewe si wa kwanza wala wa mwisho, utashake kidogo but utaweza tu. Amani ya moyo muhimu mnooooo!

    • @ashleybeby111
      @ashleybeby111 10 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊p
      Ppp
      P
      Pp
      Pp

    • @pelagiahaule7241
      @pelagiahaule7241 5 หลายเดือนก่อน

      Dada Ester pole mpendwa. Ushauri wangu kipenzi rudi tu nyumbani kwetu ni kuzuri sana tu. Ila nimekupenda sana kwa ujasiri.

  • @user-xb2qd6ik6d
    @user-xb2qd6ik6d 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Ester kwa kupambana hadi kujenga nyumbani

  • @RoseMalamala-vu9rd
    @RoseMalamala-vu9rd 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa vitisho hivo mpendwa Bora urudi nyumbani ndugu yangu huyo bwana atakuzuru siku Moja, mwenyezi mungu akutetee

  • @markmushi8940
    @markmushi8940 10 หลายเดือนก่อน +10

    Mimi naishi italy nina miaka 20 huku.dada esther ana moyo sana anastahili pongezi.mimi miaka 20 yenyewe nimeowa mtanzania mwenzangu mke wangu ni mchagga. Maisha huku ni magumu nyumbani ni bora kuliko huku tu.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  10 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera sana, natamani nipate interview na wewe
      Tupate kusikia maisha ya Ughaibuni na wote mkiwa watanzania
      Kama hutojali Naomba tuwasiliane +4367764790884

    • @badruahmad4277
      @badruahmad4277 หลายเดือนก่อน

      Safi

    • @bettyruhaza2856
      @bettyruhaza2856 16 วันที่ผ่านมา

      Pole Mark

  • @user-wz9uf8yd1w
    @user-wz9uf8yd1w 10 หลายเดือนก่อน +11

    Daaaah nimeumia, imenikumbusha story yangu, acheni tu anayoyasema huyu dada ni ukweli na unaweza dhani labda anatunga au labda hayuko making kutafuta solution ila ni mjanja kwani amejijenga ,wengine hata kujijenga hatukuweza, ila Mungu alituponya kama Daniel kwenye Tundu la simba

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  10 หลายเดือนก่อน

      Pole sana, Naomba nifanye interview na wewe tupate somo.. ni wengi wanateseka lakini hawajui pa kuanzia wala kumalizia +4367764790884

    • @gloriamwanjali9371
      @gloriamwanjali9371 10 หลายเดือนก่อน +1

      High level of GBV. Welcome home

    • @eliyanyuteni1276
      @eliyanyuteni1276 9 หลายเดือนก่อน

      Habari​@@OfficialDatingAssistance

    • @faustahaule2293
      @faustahaule2293 7 หลายเดือนก่อน

      53:07

    • @veronicajustus4507
      @veronicajustus4507 หลายเดือนก่อน

      yaan dada ester hii ni story yangu kabisaaa😂😂😂😂

  • @user-nevistours
    @user-nevistours 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana dada Ester upo open sana nimekupenda

  • @estherriley982
    @estherriley982 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana kwa kujiongeza umejenga nyumba na biashara kidogo.
    Mwanaume humuelewielewi
    Dai talaka rudi nyumbani uangalie watoto wako.

  • @missbena9452
    @missbena9452 10 หลายเดือนก่อน +4

    Pole dada Esta karibu nyumbani na hongera kwa kujiongeza

    • @HopeMasika-es3ik
      @HopeMasika-es3ik 4 หลายเดือนก่อน

      Anaingia na kutoka na hasikiki vizuri

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 10 หลายเดือนก่อน +7

    Nakupenda Sana ❤❤

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana da Esther kwa unayopitia…Mungu atafanya njia yatapita tuu na kila kitu kitakuwa sawa tena.

  • @friesmillermashimba8782
    @friesmillermashimba8782 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana...
    Mimi Nashauri uondoje hapo kwake ukaanzishe maisha sehemu Yako.
    Utafute kazi upate kipato chako.😊

    • @emmatryphone6921
      @emmatryphone6921 3 หลายเดือนก่อน

      Nenda ustawi na asome kwenye motandao na aingie kwenye magroup y watanzania huko

  • @annastaziamsasamazu2926
    @annastaziamsasamazu2926 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wazo la kwanza siku zote huwa sahihi-nafsi ikiwaaza kituu hata ukiipotzea hutokea tu.Nakumbuka nilichowaza pindi naanza mahusiano nilimweleza mpenzi wangu but miaka mitatu badae kilinitokea

  • @fatmaalbeity9097
    @fatmaalbeity9097 10 หลายเดือนก่อน +29

    Tafauti ya wa Kenya na Tanzania wakipata fursa za kuishi ughaibuni wakenya huchukuwa fursa ya kujiendeleza kimasomo na kujiendeleza kimaisha kwa kufanya kazi iliajitegeme tofauti na watanzania japo siote wao hutafuta tuu hela ya mzungu ... sasa kisa cha huyu dada nitchakusikitisha nikama anaujinga nauoga mana anatumiwa tu na hao waume alio wapata hakupata funzo akiwa zanzibar sasa baada ya kujulishwa kuwa huyu bwana ni muhuni jambazi vipi hutafuti njia yakujitowa kwenye mahusiyano ya vitisho kama hivyo ..huyu bwana keshamsoma kuwa nimuoga ndio anastasia hivyo niafanye tuu marina ya kumrekodi pale anapo mtishia huko niuwe naushahidi tuu utasaidika akienda polisi huko ni bora uwe na ushahidi wakutosha napia atafute watanzania kwenye mtandao walioko huko italia.

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 10 หลายเดือนก่อน +4

      Malaya wengi kutoka Tanganyika wanakwenda Zanzibar kutafuta kuolewa na Wazungu.

    • @gladiesgtv2473
      @gladiesgtv2473 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe nawe boga hata wakenya wengi tu wapo hivyo ndio maana wanadhalilika mitandaoni. Umesikia Ester amesoma huko na anatafuta kazi mume anazuia una masikio kweli na unamsikiliza huyu dada vizuri? Kwa maelezo yake amepoteza fursa ya kazi zaidi ya mara tatu mwanaume amem cage she is not free at all. Watanzania sio wavivu ni hard workers sio ofisini wala mashambani. Fuatilia chanel yangu. Utajifunza sasa mtu alishafungwa ni mwenzio huyo? Mmezoea kushambulia watanzania wakenya mbadilike.🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @EDWARDELIABAGWIZA
      @EDWARDELIABAGWIZA 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@allthingdranabeauty Edward elia. ni kweli dada ester. kwa nini asingeweza kujifunza kutoka na tikio la Zanzibar?ila pia mapenzi hayana macho.vumilia hayo ni majaribu katika ndoa

    • @valenakomba9218
      @valenakomba9218 9 หลายเดือนก่อน +1

      Eti miaka yoote hiyo mtu hujuongexii?.😂😂😂. Watakutisha mpakaa usiogope tenaa.

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@EDWARDELIABAGWIZA kwa kazi Tanzania sio wavivu kwanza ulaya kam ulaya huwezi kukaa kam ni mvivu atakama ni ndoa lazima ujishulishe kinachofanya watanzania wengine wanaofu ya uoga na dini nikimwacha mume itakuwaje ndoa tunaeshim sana

  • @mariamtumwebaze389
    @mariamtumwebaze389 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana darling kwa maelezo yako

  • @user-ig1ds2eq4d
    @user-ig1ds2eq4d 4 หลายเดือนก่อน +1

    This woman is very wise all she needs is spiritual strength

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 10 หลายเดือนก่อน +4

    What I like about shena video unagonga pote yani unaelimisha watu kabisa kila mtu mwenye akili ataelewa ...sio tu ulaya pazuri wazungu ..

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  10 หลายเดือนก่อน

      Kila kitu Kina uzuri na ubaya
      Ni bora watu wajue ili wakiingia waingie na plan nzuri tusaidiane

  • @SalimaNzeyimana
    @SalimaNzeyimana 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeipenda sana

  • @miriamkwembe
    @miriamkwembe 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shoga angu msimuliaji utakonda kwa kukosa upendo. Embu jiangalie vizuri aisee!
    Muda nawe hana!
    Hayo malengo yako haujafikisha bado huko nyumbani?
    Nice video @Shena

  • @rogerssimon9517
    @rogerssimon9517 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dadangu ester mungu anakupenda sana pia alikupa taarifa kuhusu huyu jamaa ilitakiwa ufanye maombi Kwanza ila ukatumia akili yako mwenyewe huyo mtu sio ni shetani msaada mkubwa na wakweli upo kwa mungu so piga goti fanya maombi ya siku 3 mugu atakufanyia njia na majibu pia majibu yote ya maswali yako atakupa mludie mungu bado anakupenda.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน +6

    Never ever take medication without drs advice

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  10 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio funzo hilo
      Kuna watu wanawaamini wapenzi wao mpaka wako tayari kwa lolote Kumbe ndio mtihani mkubwa wallah

  • @marrypius576
    @marrypius576 10 หลายเดือนก่อน +13

    Dada usirud home wew chukua uraia alafu tafut divorce

    • @marywangari1120
      @marywangari1120 10 หลายเดือนก่อน +2

      Am a citizen not easy kama huyu mzungu wake alikua hata jela ni ngumu kapata good conduct yake itaonyesa na kama ufanyi kazi uwesi pata nilipata sababu nilikua nafanya kazi na ni karudi kenya kuchukua good conduct

  • @aishahamis1609
    @aishahamis1609 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dada shena vidio ziwe ndefu tunajifunza sana asante

  • @nishamwenendi-vh4wk
    @nishamwenendi-vh4wk 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mh pole sana jamn mungu akusaidie tu dada urudi nyumbni tz binadamu wapo tofauti wazungu nao ni watu kama sisi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hello My dear.Huyo MTU NI narsisti mbaya sana.Inabidi kuwafuata watu wa social.Huenda Dawa hizo zilikuwa contraceptives.😢

  • @magrethpeter6049
    @magrethpeter6049 10 หลายเดือนก่อน +3

    Story ndefu ndiyo mzuri

  • @noelanyamiti2596
    @noelanyamiti2596 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dada Esta kwa fundisho kubwa,

  • @LucasMetili
    @LucasMetili หลายเดือนก่อน

    I like this, big up Shena

  • @ummumohd18
    @ummumohd18 9 หลายเดือนก่อน +6

    Mm cjaona tatizo cos mwanamme anampenda na anapenda atokea nae maana ni km wanawake tu wakizanzibar kwa waume hauruhsiiwi kufanya kaz km umepata mume mwenye dini saana au anawivu lkn mm cjaona shida,bt km unauwezo wa kurud tz unakaa mda mref mwanaume anakuachia why umerud tena uko uko,na ukifika sehem km izo kuna wtz why ulipata mda kufanya interview ukose kuwasiliana na wenzako walioko uko,wakakupa ushaur km unahitaji divorce,m2 akusomeshee watoto ambae sio wake uku tz nani anafanya ivo? Tunapenda attention sisi wanawake sometimes,cos km ww umeshaona anashida why usirud home?

    • @RoseMalamala-vu9rd
      @RoseMalamala-vu9rd 7 หลายเดือนก่อน

      Pole sana Da Esta mwenyezi mungu akupe wepesi

    • @nkonoki7993
      @nkonoki7993 4 หลายเดือนก่อน

      Ila umesema ukweli. Miaka 16? Bado upo tu?😂

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mefanya makosa kukataa kuomba uraia ikiwa anaweza kwa sasa na aombe tu kisha amkimbie bila talakaaje hata uingereza

  • @user-cc1mf2vg4w
    @user-cc1mf2vg4w 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza mengi kupitia da Ester.

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 8 หลายเดือนก่อน +1

    Well said🙏

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mtangazaji hongera kwa kazi mzuri ubarikiwe sana .

  • @kissanjulumi-vt3yl
    @kissanjulumi-vt3yl 10 หลายเดือนก่อน +4

    Nimejifunza mengi kwakweli pole sana Dada yangu mungu akusimamie

    • @estakapufi7582
      @estakapufi7582 10 หลายเดือนก่อน

      Amina kipenzi changu

    • @munirahassan5969
      @munirahassan5969 10 หลายเดือนก่อน

      Wazungu wambea watanzania tunq subiri

  • @lidyateddy6950
    @lidyateddy6950 10 หลายเดือนก่อน +2

    Dada nyumba 2 umejenga ,watoto umesomeshewa na biashara umefungua.sasa si utulie uendelee kula na kipofu😮mi sioni inacholalamika hapo,ukija nyimbani miezi 8 hiyo simamia mambo yako ukirudi italy kusanya kidogo kidogo hivo hivo maisha yaende.ukiona umechoka mwambie unarudi kusalimia hapo ndo moja kwa moja haurudi.shukuru tu hakupigi na unakula na watoto wako anasomesha.

    • @chekachuma2252
      @chekachuma2252 2 หลายเดือนก่อน +1

      Dada usijikakamue kuwàpa.pesa au kujitahidi kumaliza kila tatizo la nduguzo. Fanya kwa kiasi jijenge zaidi. Kubali ubali ubaya kuliko fedheha. Utapofilisika HAWATAKUJALI NA WATAKUCHEKA SAANA. Kama unabisha utayaona japo sikuombei baba.

  • @user-hu5qi4nl1i
    @user-hu5qi4nl1i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante shena hakika unatufunza mengi change changamoto za maisha ni nyingi mno

  • @anifasingh3320
    @anifasingh3320 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa mala ya kwanza acha ni coment apa dada ester pia ulikua mzembe sorry kusema ivi. Mimi pia naishi nje huu mwaka wa tatu. Ila mwanaume. Hawez kunizuia mimi kuijua nchi ninayo ishi not matter what kama anaweza kwenda kazini ule mda unashindwa kwenda kuzulula yani kutembea kuona nchi ilivo ulikua mzembe kwenye hiyo ndoa miaka 16 ni mingi sana umepoteza mda mwingi sana kama una nauli rudi bongo kajipange upya. Kashakupa na tatizo la kushika mimba. Unakunywa dada huumwi unawezaje? Yani anipe
    Dawa tu bila sabbau na siumwi ninywe ? Lol hapana. Ila hamna shida. Bado unauwezo wa kusimama tena. Mungu akutangulie.

    • @berthatz
      @berthatz 10 หลายเดือนก่อน

      Nakubaliana na wewe kabisa.Kwanza mtu anakupaje dawa tu unakunywa hujui za nini??Pili miaka 16 kweli umestuck tu hapana…Sema watu tunatofautiana sana..Mwanaume kama huyo hata kulala ndani unaogopa unahisi atakunyonga..Weee..Mungu ampe ufahamu na ujasiri wa kutoka hapo..😢

    • @anifasingh3320
      @anifasingh3320 10 หลายเดือนก่อน

      Makosa ni me gi sana kafanya dada etu ila ndo ivo hatuwez kumhukumu. Aazne upya maana umri unaenda sana. Angekaa kwa mpango. Mwanaume ambae hataki ufanye kazi kwanza iyo ni red flag ya kwanza kwenye ndoa .

  • @user-up7eo1rr6s
    @user-up7eo1rr6s 10 หลายเดือนก่อน +5

    Uyu mimi kabisa. Sema yake yamezidi ni fundisho tosha.

  • @loycep7785
    @loycep7785 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Ester Mungu mwema umevumilia Sasa mimi kwa mawazo yangu
    Muombe huyo mme wako hela ya nauli mwanao akimaliza form six utasema unaenda kwenye Graduation ukirudi Tz hawezi kukuweza ukiweza fanya mchakato hapo Tzili akirudi ukute umejiandaa ndoa yenye shida na hivi mlifunga serikalini serikali inaruhusu kuachana
    Ungekuwa umefungia huko ltaly angeweza kukuwekea ngumu
    Omba Mungu tu atakusaidia
    Pole pia kwa uongo tubu kwa Mungu akurehdmu

  • @yvonnematinyi1376
    @yvonnematinyi1376 4 หลายเดือนก่อน

    This is very interesting to listen and watch. Have learnt a lot from these videos. Kudos to you and these brave ladies🧡

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน +6

    Hata ukiwa DSM watu wa mikoani hufikiria kuwa una hela 😢

  • @mafrikanws
    @mafrikanws 10 หลายเดือนก่อน +9

    Na piya ukiona auta ishi Italy unafanya process za kuamia inchi nyingine ya yurope acha Woga Dada yangu pambania family yako

  • @NeemaSteven328
    @NeemaSteven328 10 หลายเดือนก่อน +1

    Daah pole sana dada Ester 😢 plz rudi Tanzania .

  • @msalice4451
    @msalice4451 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤pole sana dada esta

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 10 หลายเดือนก่อน +12

    Bora hukuchukua uraia wa huko dada angu, maana kama hukufanya kazi ulaya uzee wako utakuwa wa shida sana kumbuka hautopata Rente,nyumbani wanasema pensheni sijui,ungeishi kwa aibu sana,sema una watoto na huyo bwana unge divorce ukapata Uhuru wako wa kufanya kazi na kuendeleza maisha yako,wazungu pia wako wabaya sana na wazuri sana,raha ya ulaya hata ukipata mzungu tajiri ufanye kazi ndiyo utaipenda ulaya,kitu anachokifanya mumeo ni kukutengenezea uoga kichwani, na kwa hali hiyo unatakiwa upate msaada wa haraka maana ukianza kupata Depression kali wataweza kukufunga kwenye hospital wakijua wewe ni mgonjwa wa akili😢😢.

    • @aminathaabubakarmasoud565
      @aminathaabubakarmasoud565 9 หลายเดือนก่อน

      True!!

    • @daimavlog
      @daimavlog 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisa umesema yote.

    • @hawasaid7151
      @hawasaid7151 6 หลายเดือนก่อน

      Ushauri mzuri Sana, inabidi a divorce ili awe na Uhuru wa kufanya kazi

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ukiolewa na wazungu jiongeze especially sisi waafrica jiongeze

  • @elizabethbiseko4882
    @elizabethbiseko4882 10 หลายเดือนก่อน +1

    Story nzuri Sana lakini pole da ester

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Da pole sana dada yangu japo sijaimalizia story

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 10 หลายเดือนก่อน +10

    Dada esta chukua uraia fastaaa alafu omba talaka then hamia sehemu nyingine hata u.k au schengen country yoyote

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  10 หลายเดือนก่อน +1

      Ushauri mzuri

    • @mamalaocruz9616
      @mamalaocruz9616 10 หลายเดือนก่อน +2

      Inategemea uraia kupata km mume akikataa upati?na uraia unapata km unafanya kazi na resident miaka Kumi

    • @user-ek1gv3ip2i
      @user-ek1gv3ip2i 9 หลายเดือนก่อน +1

      Naitwa Catherine ngeleja natamab Cna kuja ulaya Ila dada ester kaniogopesha

    • @user-ek1gv3ip2i
      @user-ek1gv3ip2i 9 หลายเดือนก่อน

      Hatumsikii

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 10 หลายเดือนก่อน +4

    Tupe uhondo.,hakuna cha video ndefu. Wasio na bando wasituvuruge. Story ziendelee,asiye na mda ajigawie mwenyewe mda wakuangalia roborobo.

  • @estherkorigwa3346
    @estherkorigwa3346 10 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada ester

  • @kashindesalha8107
    @kashindesalha8107 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mmy mungu atakusimamia kila kitu kitakaa sawa

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kama story ikiwa ndefu sio lazima umalize siku hiyohiyo kuiskiliza me naskilizaga hata siku tatu

  • @klaussteiner94
    @klaussteiner94 10 หลายเดือนก่อน +4

    ongeza muda wa video ziwe ndefu aisee dadaa,woi mi nikikosa live nasubiri rekodedi halafu kunapahala huwa naenda sehem kama tatu hivi nimehack wifi nainyonya nikimaliza naangalia nikiwa nimetulia😅

    • @angelinakakulu1615
      @angelinakakulu1615 3 หลายเดือนก่อน

      y

    • @angelinakakulu1615
      @angelinakakulu1615 3 หลายเดือนก่อน

      Namuuliza Dada Ester kwani na huyo mwenzake naye anateseka kama wewe?

    • @angelinakakulu1615
      @angelinakakulu1615 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani hawezi kupata usaidizi ubalozini?

  • @ndalusanzekassim5902
    @ndalusanzekassim5902 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada rrudi nyumbani utafanikowa Inshallah! Usinganga'niie kukaa na jambazk huyo utakuja kujuta. Akili yake haiko sawa.

  • @user-jv4bj5ji8f
    @user-jv4bj5ji8f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wataliano Wana hizo tabia I have a friend also who was treated the same. Phyllis from Kenya

  • @vivianmahoo8611
    @vivianmahoo8611 10 หลายเดือนก่อน +16

    Watanzania mlioko Itali tunaomba mumsaidie dada Ester

    • @mukeshimanataussi6939
      @mukeshimanataussi6939 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi nzpenda iwe ndefu story ndio unaelea ntu

    • @usindemdamo5299
      @usindemdamo5299 10 หลายเดือนก่อน +2

      Sawa nitamcheki

    • @ladymacollection
      @ladymacollection 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi Nipo Milan but mbona kuna changamoto za watu zinaogopesha mno 😢 Yaani Mungu aniepushe

    • @usindemdamo5299
      @usindemdamo5299 10 หลายเดือนก่อน

      @@ladymacollection yaan mwenyezi mungu atuepushie mitihani kwakweli

    • @hamoudsalim26
      @hamoudsalim26 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@mukeshimanataussi6939😮

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 10 หลายเดือนก่อน +3

    Jifunze kutengeneza batiki hata online uuze huko

  • @AnnaLambert-xn1ye
    @AnnaLambert-xn1ye 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sn dada Esta,rudi nyumbani kaa na wanao uzur ushajijenga kwenu

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dada shena kwa kazi

  • @ghelimafilemon9653
    @ghelimafilemon9653 10 หลายเดือนก่อน +4

    Wazungu wazuri wapo ila siyo rahisi kuwa nao sababu wanatuona wagonjwa. Wazungu wanaokuja kuoa Africa wengi wana matatizo kiafya, wanatafuta kampani.

    • @estakapufi7582
      @estakapufi7582 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nimeamini hilo kabisa na sio wote wakorofi

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio wengine sio wakolofi

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @ghelimafilemon9653
      @ghelimafilemon9653 10 หลายเดือนก่อน

      @@fettyrashid9042 wao si wanapimwa akiwa mdogo hivyo anajijua kama ana autism, bipolar, diabetic, sasa akikuangalia usoni tu anagundua huyu mgonjwa sitaki mzigo,

    • @janetmwikali5477
      @janetmwikali5477 3 หลายเดือนก่อน

      Wengine wanatafuta caregivers wakuwatunza uzeeni coz hawataki kupelekwa nyumba za wazee😂it has happened to Kenyan girls wenye wanaolewa na tubabu twa German 😅

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ndio wazungu wana hasira wanapenda kutupa vitu wakiwa na hasira

  • @dinahmmbaga512
    @dinahmmbaga512 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada yangu, yatosha Sasa bora uondoke. sasa

    • @estakapufi7582
      @estakapufi7582 10 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa nandio niko ktk mchakato huo

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bora ss unaongea ukweli maana watu wanahisi maisha ni mazuri ughaibuni

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu dada anasema ukweli.ulays siyo paradiso.Tanzania kunamaisha mazuri kuliko Ulaya

  • @cathypeter
    @cathypeter 10 หลายเดือนก่อน +3

    😢leo adi nimejikuta nalia wanaume awa hapana kwakweli Shena ama umtafute Hani labda atamsaidia

    • @emilyanamnyakongo4378
      @emilyanamnyakongo4378 10 หลายเดือนก่อน

      kwa noni usitafute watu milano wako wangi sana

    • @gracenkembo8318
      @gracenkembo8318 10 หลายเดือนก่อน

      DADA ESTA HUYO BWANA NI MZUR SANA.MPAKA ANA KUSOMESHEA WATOTO.MANENO YA MAMA YAKO MZAZ YANA UKWELINDOA NI UVUMILIVU.

  • @elizmutai9562
    @elizmutai9562 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada Esther

  • @shukuruathumani6939
    @shukuruathumani6939 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada esta ushauri wangu ludi nyumban

  • @MamaSean07
    @MamaSean07 10 หลายเดือนก่อน +7

    This is a Human Trafficking case. Hii inaweza kuingia Kwenye kesi ya human Trafficking !!! Kwa huku ulaya kufungiwa ndani kunaleta msongo wa mawazo “ depression “ akipata human right Lawyer watamsaidia

    • @mamalaocruz9616
      @mamalaocruz9616 10 หลายเดือนก่อน

      Ndio sheria hipo ? Hyu mtaliano kwangu wangefurahi sheria zoote najua ? Nitafute

    • @marigiretongora7889
      @marigiretongora7889 10 หลายเดือนก่อน

      Tunamsikia vizuri

    • @blandinamollo699
      @blandinamollo699 10 หลายเดือนก่อน

      Yes

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 10 หลายเดือนก่อน +3

    Video ziwe ndefu ili tupate story yote tuzidi kujifunza

  • @msalice4451
    @msalice4451 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tumesikia vizuri

  • @marykatunzi2613
    @marykatunzi2613 5 หลายเดือนก่อน

    Mdogo wangu Esther naomba sana usikate tamaa.