Kaka mpambanaji your story is admirable vijana wengi wajifunze toka kwako Mungu huwa anakupitisha kwenye majaribu to success na wewe ulikuwa njiani tu na mpk hapo ulipofikia ni safari ya maisha. Huna moyo wa kukata tamaa Mungu akubariki na familia yako🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Asee, I've been watching mostly of your interview sister , BUT THIS ONE. Oh my GOD,Its more than really.. ASante sana Brother for being very honest and open kwenye Talk hii, nimependa.(Kuna mahali nimecheka siyo poa)😂😂 Hope I will get in touch with you soon, Blessings.
Asante sana kwa safari ngumu ya maisha yako. Mungu ni mwema ameona magumu uliyopitia. Ubarikiwe sana na familia yako. Niliwatch clip ya mke wako na ilikuwa inasikitisha sana.
Alhamdulillah MashaAllah hii story imenibamba sana akiih I wish namih siku moja ita happen niende USA big up bro hakuna mazur yapatikanayo kwa urahisi ✊✊
Nimejifunza vingi interview nzuri sana naona sister sas hiv umekuja na ubunifu wa kimavazi au ilitokea ghafla tu😀 kama ni ghafla take note on next sessions it’s gonna add some values on your sessions. Good work hongera msamy umepambana👏🏽
Nimejifunza mengi saana hapa na story ya michakato yako inafanana sana na Yangu struggling na nimekubali hakuna kukata tamaa dunia hii,mradi afya ipo uzima upo na kutoka kama vile ambavo dini yetu inatufunza mguu wa kutoka siku zote una baraka zake,tokeni mlipozaliwa baraka mtaziona
Naona watu wa Chanika tumetajwa😂😂😂. Hongera kwa struggle brother. Degree in Tanzania zinatusaidia kukua kiakili na jinsi ya kupambana upite wapi ufanikiwe na sio ajira. Mie pia I have degree in computer science engineering but nimeamua kufanya biashara maana hizo kazi hazipo
NAKUMBUKA SECONDARY MOJA TUU ILIKUWA PALE RUVU. ( RUVU SECONDARY) HIYO ILIJENGWA CHINI MUUNGANO NA WACUBA. NA SASA HIVI WAMEIBADILISHA WAIFANYA SHULE YA WATOTO WATUKUTU. YAANI UNAWEXA KUAMONI HIYO?. TANZANIA HIYOO.
Shena naomba link ya clip ya yule kaka alisafiri kwenda US kupitia boda la mwitu to mwitu from south Africa, Brazil, Ecuador hadi kufika huko na kuna episodes sikuziona naomba link nimetafuta sana siioni tena ile interview
TikTok Msamy: www.tiktok.com/@msamywaseattle
+1(253) 961 0608
Video ya Lastborn:
th-cam.com/users/liveJAx3VDhcu8w?si=CTW36oPb2Qdzofum
Maisha ni kupambana kwa kweli. Big up kaka
Kaka mpambanaji your story is admirable vijana wengi wajifunze toka kwako Mungu huwa anakupitisha kwenye majaribu to success na wewe ulikuwa njiani tu na mpk hapo ulipofikia ni safari ya maisha. Huna moyo wa kukata tamaa Mungu akubariki na familia yako🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Inshallah kheri @Msamy Mungu Akubariki Sana wee mtu Safi Sana...labda Mungu amekuleta uko kama daraj LA kusaidia watu.
Mungu akubariki sana Kwa kujitoa wengi hukaa kimyaa au hutoza Hela kubwa, God bless you
Kwa uaminifu wako... Mungu atakuinua zaidi na zaidii. Hongera sana kaka.
Asee....
Hahahaha The Best Interview very touching. Haya ndio maisha wanaoishi vijana wengi.
Asee, I've been watching mostly of your interview sister , BUT THIS ONE. Oh my GOD,Its more than really.. ASante sana Brother for being very honest and open kwenye Talk hii, nimependa.(Kuna mahali nimecheka siyo poa)😂😂 Hope I will get in touch with you soon, Blessings.
Appreciated 🙏
Asante sana kwa safari ngumu ya maisha yako. Mungu ni mwema ameona magumu uliyopitia. Ubarikiwe sana na familia yako. Niliwatch clip ya mke wako na ilikuwa inasikitisha sana.
Alhamdulillah MashaAllah hii story imenibamba sana akiih I wish namih siku moja ita happen niende USA big up bro hakuna mazur yapatikanayo kwa urahisi ✊✊
Yaani huyu Msami nimecheka sana aki 😂😂.Mzee Yusuf abarikiwe kwa kukufuturisha na Mungu ambariki sana bi mkubwa wako!
Daah Msami wanao tunalisongesha Mazimbu ESM nimefurahi sana Ume ni inspire sana Mr🎉
Nimejifunza vingi interview nzuri sana naona sister sas hiv umekuja na ubunifu wa kimavazi au ilitokea ghafla tu😀 kama ni ghafla take note on next sessions it’s gonna add some values on your sessions. Good work hongera msamy umepambana👏🏽
Story yake imenilizaa sana mama amepambana mkumbuke mama Jamani ❤
Yani kuna muda huwa nimekata tamaa kwenye hustles zangu, ila kuna story nikisikia hapa huwa naamka kupambana.
❤❤ much.
Such a touching story, kweli wew na mkeo mmepambana sana hongereni Kwa uvumilivu, especially Kwa mkeo , mwingine angeshaondoka Kwa maisha hayo
Story ya Msami ni nzuri sana hongera sana kwa Last born
Best interview
Mashaalla nimependa sana hongera sana musami
Very inspiring wow wow🙌🏼
Nice interview 🥰🥰🥰
Nime kupenda bule
Maisha yako kama yangu niliyo pitiya tanzania ilaa sasa alhamdulillah ilaa allah ndo mjuzi
Duuuhh kweli hii safari ya maisha, hongereni , pamoja na yote bado mpo.
NICE INTERVIEW
Kka mkubwa umetisha Sana izo ndio nondo na bi mkubwa habarikiwe sn
Hongera sana mr msami ntajoin kwa training
Nimejifunza mengi saana hapa na story ya michakato yako inafanana sana na Yangu struggling na nimekubali hakuna kukata tamaa dunia hii,mradi afya ipo uzima upo na kutoka kama vile ambavo dini yetu inatufunza mguu wa kutoka siku zote una baraka zake,tokeni mlipozaliwa baraka mtaziona
🙏📌📌
Naona watu wa Chanika tumetajwa😂😂😂. Hongera kwa struggle brother. Degree in Tanzania zinatusaidia kukua kiakili na jinsi ya kupambana upite wapi ufanikiwe na sio ajira. Mie pia I have degree in computer science engineering but nimeamua kufanya biashara maana hizo kazi hazipo
Kwenye hii story ya huyu kaka nimejifunza vitu vingi mojawapo nikutokuta tamaaa jaman
Aisee kijana umepambana sana safi sana ,
Big Up big Up big Up from Mohammad zavallah Cape town
Leo mimi niwa kwanza kwa mara ya kwanza 🎉🎉❤❤
❤️🔥
Pia nimefurah sanaaa hii interview
Kipindi kizuri sana 🎉🎉🎉❤
Nkuungu mimi ni Bodda kaka karibu na chama
Mwenyezi Mungu awatangulie daima 🙏🙏🙏🙏🙏
Nimekuwa addicted na vipindi vyako Kuna vitu nimevijua kupitia kwako 🎉
Shukran sana 🙏🙏
Please share na wengine pia
Tupo wengi naamini ipo siku nami ntafika huko na kuja hapa kutoa ushuhuda wangu maana nna mengi katika hii safari yangu ya maisha wallahi
Greetings from UK 🇬🇧 to you all guys 👦 😀 🎉🎉❤❤
Thanks, karibu sana kwa kipindi +4367764790884
@@OfficialDatingAssistance
Asante sana mwanangu ninashukuru sana. 🤲👏🧡
Naomba sana sana, mpendwa wangu,kweli nataka nije marekani
Mwanakondoa mwenzangu
Geography darasa la tano kilimo cha Mahindi Marekani.
Big up mzee yussuf
Hongera msami
Kitu nilichogundua ukiwa na mtoto akili inachaji mara tano kuliko kawaida yake😅😅
sam si ndio mume wa yule dada uliomuoji apo ndio kamvuta mkewe
Hapo kwenye ulinzi , last born bwana
Aah hapa mie nilicheka sana,na bro alishachoka akamtolea nje😅
😂😂😂maisha bongo,daaah😢😢
Maisha ya pweke ndugu zangu ni nchi zote za urope huku Uingereza watu mara kwa mara wanapata depression tena wa Tz ni hatari sana hizi nchi
Oy story tamu saaaana yaan
Generous and kind to all
Maisha kila mtu nimeamini anastory yake dah
Kabisa
NAKUMBUKA SECONDARY MOJA TUU ILIKUWA PALE RUVU. ( RUVU SECONDARY) HIYO ILIJENGWA CHINI MUUNGANO NA WACUBA. NA SASA HIVI WAMEIBADILISHA WAIFANYA SHULE YA WATOTO WATUKUTU. YAANI UNAWEXA KUAMONI HIYO?. TANZANIA HIYOO.
Naomba sana mwanangu naomba aje mwanangu
Shena naomba link ya clip ya yule kaka alisafiri kwenda US kupitia boda la mwitu to mwitu from south Africa, Brazil, Ecuador hadi kufika huko na kuna episodes sikuziona naomba link nimetafuta sana siioni tena ile interview
😊mimi nimeona wearing black only
😂
🔥🔥🔥🇺🇸🇺🇸
Mie pia wa kwanza yeeeeeeeeeeeeee❤
❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉
🔥🔥🔥🔥🔥
Hii story imenigusa sana
Natamani kufika nchi za ulaya ila sijuwi nianze wapi
Sikuhizi nakosa live jamani
Hi
Aisee story ya huyu kaka n sawa kabisa na ya kwangu duh..
Karibu sana kwa kipindi +4367764790884
Pole sana,kaza buti.Mungu ni mwema
Naomba na mimi nitafutie mpendwa wangu ya kulea wazee
nakubal san kak
HALAFU MUNGU ASIKUBARIKI SIKU MOJA..... DUNIA ITASIMAMA🤦♀️ ATAFUTAE ATAPATA.... ME HUAMINI HIVO
Maisha mzunguruko watu wana hasoo
ASANTE MSAMI ASANTE SHENA MUNGU AWABARIKI