One of the best interview.. Yametemwa madini Sana, nmependa ubunifu, kuanzia kwenye intro ya uyo dada, ilo beat na utulivu wa show...Kikeke toka aondoke BBC sifatilii tena Dira ya Dunia.
Wewe ni mtangazaji nguli sana! Kongole kwa kazi ambazo unafanya! Mungu akupe heri na kukufanikishia yote! Big up sana Salim Kikeke Umeonyesha uzalendo kurudi nyumbani kurudisha na kuchangia katika taifa lako!! Pongezi sana kuonyesha muhimu na dhamani ya kazi yako. Kuwepo nyumbani tu inaonyesha na pia inawapa nguvu wale ambao wanadharau kazi kama yako!! nenda na msimamo huo wa kuonesha na kuelimisha jamii na wengine kuhusu dhamani ya kazi yako na pia mabadiliko ya mwajiri na mwajiliwa. Karibu sana nyumbani.
Nakupongeza sana Mr Salimu Kikeke kwa uamuzi wa kurudi nyumbani. Wengine hudharau kwao kwamba Ulaya ni bora. Wewe ni mfano wa kuigwa. Karibu sana Tanzania tujenge wote nchi yetu.
Wajat sijaja ulaya nilimuomba Mungu sana nipate kazi uku ila tangu nifike ulaya namuomba Mungu sana nilud Tanzania sema mkataba unanibana Yan ndugu zangu wote kila siku nawambia jmni Tanzania ni kuzur mno maisha ya uku ni magumu cjawah kufurahia kuish uku
Vizuri sana Salim, kuna vitu viwili kwetu vinatupa utambulisho mbaya sana sana kwa watu wengine 1.Kujali 2.Kuthamini Washahili yapaswa tujizoeze kuja muda, kuja makubaliano, kujali fulsa. Pia kuthamini kitu cha mtu, kuthamini utu wa mtu, kuthamini chako na cha mwenzako. Mwisho kutambua!
Amejitahidi sana awe hazungumzib kwa kutumia maneno ya Kiingereza, na akitamka neno kwa Kiingereza basi amesahau maana yake kwa lugha ya Kiswahili. This is fantastic, tofauti na watu wetu wengi, Kiingereza kingi na hawakijui
Ukimwambia mtu aliyeko afrika kwamba ulaya kuna upweke anaona unaongea nini wewe??mi napata pesa yangu nzuri sina muda kuwaza upweke😂😂😂😂😂😂usilolijua ni kama usiku wa giza
Yani mwanadamu ukiwa Africa unapachoka ukienda ulaya unapachoka ukila sana ni shida, ukiwa na njaa ni shida ,,,raha pekee na amani na tulizo lipo ndani ya YESU KRISTO tu
Wasanii na watu mashuhuri kuna cha kujifunza hapa; Salim licha ya kukaa Uingereza miaka 20 bado anatumia lugha moja kwenye mazungumzo. Sijasikia popote akichanganya Lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Kuna kubwa la kujifunza hapa. Hongera Salim.
“Voluntary Redundancy” kwa muda aliotumikia BBC kuna malipo ambayo mwajiri anamlipa mwajiriwa au unalipwa pale tu mwajiri anapokubali ombi lako. Na malipo yanategemea na umri wako na muda uliotumikia, kwa Iyo Kikeke hajarudi mtupu kuna Maokoto yake mfukoni yanamsogeza sogeza katika muda huu alioamua kuja kupambana nyumbani, Well done Kikeke
Karibu nyumbani. Naipenda nchi yangu. Nami ni mmoja wa wake wanaopenda nyumbani. Hata hapa Tz maisha mazuri yanapatikana na furaha na mengine mengi Mungu aliyotupatia au kutupendelea sisi wakushi. Mungu fundi. Mungu ibariki Mungu ibariki Tanzania. Usiogope maisha yanaenda tuuuu
Upo vizuri sana kaka salim, binafc nmeanza kukuckiliza Redion ukitangaza ktk idhaa ya BBC, ulinifanya nikawa siachi kutembea na karedio kadogooo, ilimlad tu nikuckilize ukitangaza mpira wa wingereza, pongezi sana kaka🎉
Huwezi kutulia lazima uzurule ujifunze, huwezi kujirundika sehemu Moja. Nilianza kuzurura( Europe na kuishi USA)nikiwa na umri wa miaka 29 nikararudi nikiwa na 39. Nimerudi naninafurahia kuzurura kwangu. SASA nina 68. Nakubaliana 100% na S. Kike, there is "No Free lunch"! Kuna ups na downs za maisha mahali popote duniani. Lakini katika maisha " seeing is believing"/ " kuona ni kuamini".
Safi Kikeke ila mandevu hayo hayapendezi kabisa yanachukiza sana. Hebu naomba uyakate kisha hiyo canter uiweke kichwani kwenye nywele. Ni ushauri wangu kakangu nakupenda sana hasa ulivyokuwa ukitangaza big up!
hongera sana mtangazaji unayehoji maswali, hakika unauliza maswali kwa umakini na utulivu sanaaa. hakika una utulivu wa kiuandishi. fanya hivyo kwa wengine hadi kwa makamu wa raisi.
Kwanza Mr Salim Kikeke wewe ni mfano wa kuingwa na unaroho nzuri sana unaroho ya kusaidia wenzako na Allah Subhanallahu wa Taala anakuwezesha tunamshukuru kwa kutunuku hilo na tunamuomba aendelee kukujalia kila la kheri. Na wa Tanzania viongozi wa juu tambueni umuhimu wa huyu mtu muhimu kwetu aweze kupata nafasi ya kudumu ya juu hapa kwetu aweze kuwezesha watoto/wajukuu wetu kupata alicho nacho
Sababu sio za msingi sana .ila kwa kuwa kaamuwa .kila pahala watu wanaish life style yao kila eneo dunian.maisha ya ulaya na marekan kama unapata kaz utakiw kuwa mvivu..maana muda wa kupumzika n mdogo sana ..na BILLS za kutosha .hakuna kukwepa kwepa kama huku .
Kheri zaidi mtu kuenda nje kwa ajili kupata msingi wa kipato na mabalozi wanastahiki kuwa saidia wananchi wa tanzania wanapokwenda nje ya nchi kuwasimamia kupata ajira kwa wale ambao wanapata tabu ktk suala la ajira ili unapofika mda wa kurudi baada miaka wawe wameshapata misingi ya kimaisha kama mzee kikeke apo na wengneo
Millard Umetisha sana Huyu dada anayeongea Voice Over yuko vyema sana, nadhani maskio yangu ndio mara ya kwanza namsikia Mwanamke akireport katika Media yako. Kongole sana
Yani ningekua nimeshakusanya ela nyingi ningerudi Tanzania maisha ya ulaya no ya upweke sana, kikubwa ningebaki tu na Access ya kwenda na kurudi tu kwa ajiri ya kutibiwa tu na vacations
Yupo vizuri sana natamani ningekuwa na kituo changu ningemleta huyu mwamba lkn kwenye zile 5G daaaaah kaumia kweli lkn kasema ukweli kwamba Simba walizidiwa
Presenter apewe maua yake, fantastic interview 🔥🔥🙌💯
Siku zote mkataa kwao no mtumwa Mimi nakuku Bali Sana Kaka Salim like mungu akulinde nafitna za wanadam karbu nyumbani kk
One of the best interview..
Yametemwa madini Sana, nmependa ubunifu, kuanzia kwenye intro ya uyo dada, ilo beat na utulivu wa show...Kikeke toka aondoke BBC sifatilii tena Dira ya Dunia.
Hata mm kabisa, BBC sifatilii tena
He is one of the best swahili broadcaster in the swahili region.....Great love from Kenya.
Nyie huyu Jamaa anayemhoji Kikeke Anajua 🔥🔥
anajua na anajua tena😊
AyoTv inshort ipo vizuri kila sehem anzia kwa wafanyakaz wake, (chunguza)
Kumhoji professional wa habari ni kzi lzim ujipange so ayo alitafuta best presenter ili kumhoj kikeke
Wewe ni mtangazaji nguli sana! Kongole kwa kazi ambazo unafanya! Mungu akupe heri na kukufanikishia yote! Big up sana Salim Kikeke Umeonyesha uzalendo kurudi nyumbani kurudisha na kuchangia katika taifa lako!! Pongezi sana kuonyesha muhimu na dhamani ya kazi yako. Kuwepo nyumbani tu inaonyesha na pia inawapa nguvu wale ambao wanadharau kazi kama yako!! nenda na msimamo huo wa kuonesha na kuelimisha jamii na wengine kuhusu dhamani ya kazi yako na pia mabadiliko ya mwajiri na mwajiliwa. Karibu sana nyumbani.
Nakupongeza sana Mr Salimu Kikeke kwa uamuzi wa kurudi nyumbani. Wengine hudharau kwao kwamba Ulaya ni bora. Wewe ni mfano wa kuigwa. Karibu sana Tanzania tujenge wote nchi yetu.
Wajat sijaja ulaya nilimuomba Mungu sana nipate kazi uku ila tangu nifike ulaya namuomba Mungu sana nilud Tanzania sema mkataba unanibana Yan ndugu zangu wote kila siku nawambia jmni Tanzania ni kuzur mno maisha ya uku ni magumu cjawah kufurahia kuish uku
Hongera sana Salim Kikeke.
Kazi nzuri mtangazaji, mahojiano mazuri.
Milard Ayo una watangazaji professional ' Huyu kaka ni mtangazaji wa Kimataifa' Yani ni 🔥🔥🔥
Huoni anaiga sauti ya zuhura yunis
Hongera Bwana Kikeke kwa interview iliyojaa weredi na mvuto wa kipeke. Nimefurahi kusikia kwamba mkono (5) unakuhusu!
One of the coolest interviews
Big up mwandishi
MashaAllah 🎉🎉🎉huyu kaka is very well spoken.
No wonder tunampenda,
Vizuri sana Salim, kuna vitu viwili kwetu vinatupa utambulisho mbaya sana sana kwa watu wengine
1.Kujali
2.Kuthamini
Washahili yapaswa tujizoeze kuja muda, kuja makubaliano, kujali fulsa.
Pia kuthamini kitu cha mtu, kuthamini utu wa mtu, kuthamini chako na cha mwenzako.
Mwisho kutambua!
Amejitahidi sana awe hazungumzib kwa kutumia maneno ya Kiingereza, na akitamka neno kwa Kiingereza basi amesahau maana yake kwa lugha ya Kiswahili. This is fantastic, tofauti na watu wetu wengi, Kiingereza kingi na hawakijui
Ukimwambia mtu aliyeko afrika kwamba ulaya kuna upweke anaona unaongea nini wewe??mi napata pesa yangu nzuri sina muda kuwaza upweke😂😂😂😂😂😂usilolijua ni kama usiku wa giza
Yani mwanadamu ukiwa Africa unapachoka ukienda ulaya unapachoka ukila sana ni shida, ukiwa na njaa ni shida ,,,raha pekee na amani na tulizo lipo ndani ya YESU KRISTO tu
Yote Ni ubatili mtupu
Amen UBARIKIWE zaidi 🙌🙌🙌
Hakika, yote ni ubatili mtupu pasipo *Yesu Kristo*
Fact kabsa,
Yesu ndo nani??? Nyie hapa duniani hakuna maisha bora tufanye ibada tukaishe maisha ya milele
Kaka Salimu you are a great man mtu wa mfano long live ila nilianza kuchukia dira ya dunia ulivoondoka ndo hvyo hvyo nimeanza tena upya
Wasanii na watu mashuhuri kuna cha kujifunza hapa; Salim licha ya kukaa Uingereza miaka 20 bado anatumia lugha moja kwenye mazungumzo. Sijasikia popote akichanganya Lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Kuna kubwa la kujifunza hapa. Hongera Salim.
kaangalie akiwa anatangaza vitu vya utalii anavyoongea english tupu
@@waltergilbert3967hio ni utalii umeshasema😅
@@waltergilbert3967 umeshasema, " UTALII" af hapo anahojiwa ni tofauti na kutangaza
Hapo tungesikia yes yu nooo nyoko nyoko
@@irenesethmara actually usually ndo kingereza chao😂
“Voluntary Redundancy” kwa muda aliotumikia BBC kuna malipo ambayo mwajiri anamlipa mwajiriwa au unalipwa pale tu mwajiri anapokubali ombi lako.
Na malipo yanategemea na umri wako na muda uliotumikia, kwa Iyo Kikeke hajarudi mtupu kuna Maokoto yake mfukoni yanamsogeza sogeza katika muda huu alioamua kuja kupambana nyumbani,
Well done Kikeke
Interview Bora sana Broh Rama #TZA umetulia sana maswali ya ukika pia Salim saf sana .....Bonge moja la Interview 🔥🔥🔥
Huyu anayehoji hapa ni genius 🙌
Huyu dada aliyeweka sauti at the beginning yuko vizuri, Vijana wa kileo wanatumia lugha ya kwamba apewe maua yake
Wizara iwatumie watu kama Hawa katika wizara ya habari Ili waikuze sekta ya habari 18:02
Karibu nyumbani. Naipenda nchi yangu. Nami ni mmoja wa wake wanaopenda nyumbani. Hata hapa Tz maisha mazuri yanapatikana na furaha na mengine mengi Mungu aliyotupatia au kutupendelea sisi wakushi. Mungu fundi. Mungu ibariki Mungu ibariki Tanzania. Usiogope maisha yanaenda tuuuu
Salim kikeke interview yako iko makini na ina somo kubwa salute bro
one of the best interview in this year🔥🔥🔥
Anzisha kampuni yako handsome boy wa Taifa Africa mashariki na kati😍😍😍
very professional interview congrats🎉
Kaka SALIMU BBC uliifanya ing'are na hasa kwapenda KISWAHILI. Karibu tunakupenda. MAGUFULI alisema nyumbani kumenoga. Mungu amhifadhi salama.
Kikeke is a star, inspirational and talented
Hii intaview angemuoji mirad ayo ingekuwa bonge moja la intaview ila siyo mbaya kijana upo vizuri🎉❤❤❤
Huwezi kujua baada ya interview hii kijana atakuwa wapi
sio kila kitu afanye Milard maana kuna Vidox nae alikuwa poa saiz kala shavu Clouds Media
Mashaallah Mwenyezi Mungu akujalie kila kheli nakuona mbali sana, Umuhimu wako Unajulika ni jambo la muda tu.
Namkubali sana Mr Kikeke, ur really an inspiration, Unastahii heshima, U have it all brother
Interview imetulia sana big up kwa mtangazaji
Mimi ni mpenzi wa Dira ya Dunia kuodoka kwa S.K kumenifanya niache kuisikiliza.Mungu ampe maisha marefu aweze kutumia kipaji chake kujenga Tanzania.
Upo vizuri sana kaka salim, binafc nmeanza kukuckiliza Redion ukitangaza ktk idhaa ya BBC, ulinifanya nikawa siachi kutembea na karedio kadogooo, ilimlad tu nikuckilize ukitangaza mpira wa wingereza, pongezi sana kaka🎉
Amekaa Uingereza miaka 20 anaongea kiswahili murwaa. Kutana sasa na wabongo movie😂😂😂
hiki ndo nachojiuliza
😂😂😂😂narud ku comments
Mm ni mmoja wa watu ambao nakukubali sana Salim kikeke, endelea kuchapa kazi hata hapa tz tutaendelea kuwa nyuma Yako.
Nyumbani ni nyumbani karibu Mbeya. Tunafurahi kurudi home. ❤
ni mtu wa mbeya?
@@winnerjudith2007 sina hakika sana japo kuna kipindi alikua anahojiwa akasema Mbeya ameishi
@@monicasimpilu6257hamna bana huyu mwamba mpemba zanzibar.
@@winnerjudith2007sidhani asee kama hichi Chuma cha mbeya
Hii chuma sidhani km ya mbeya hii itakuwa kusini huku mtwara mtwara labda
Além de kikeke gostei também de postura de apresentador coloca bem as questões 🇲🇿
Vijana jifunzeni kutulia katika maisha kupitia kwa Bro Salim Kikeke... karibuni
Huwezi kutulia lazima uzurule ujifunze, huwezi kujirundika sehemu Moja. Nilianza kuzurura( Europe na kuishi USA)nikiwa na umri wa miaka 29 nikararudi nikiwa na 39. Nimerudi naninafurahia kuzurura kwangu. SASA nina 68. Nakubaliana 100% na S. Kike, there is "No Free lunch"! Kuna ups na downs za maisha mahali popote duniani. Lakini katika maisha " seeing is believing"/ " kuona ni kuamini".
Sorry, Kikeke
Yuko vizuri sana mkataa kwao mtumwa namkubali sana Salim sana
Ongela Sana mungu akubaliki🎉🎉🎉🎉
Kikeke nakukubali sana katika kazi zako mungu azidi kukubari
❤❤❤ salim for president
Safi Kikeke ila mandevu hayo hayapendezi kabisa yanachukiza sana. Hebu naomba uyakate kisha hiyo canter uiweke kichwani kwenye nywele. Ni ushauri wangu kakangu nakupenda sana hasa ulivyokuwa ukitangaza big up!
Sunnah hiyo
Facial hair ni pambo zuri kwa wanaume na ni sunnah pia kwa sisi waislamu, kila mtu ana mitazamo tofauti
huyo ni muislam shika adabu yako
Hakika tulizoea sauti zenu na Zuhura mmetubeba sana. Hongereni. Njooni musaidie waandishi vijana Tanzania nao wawe mahiri hasa ktk uandishi wa kiuchunguzi ( Investigative Journalism).
Millard, nunua wireless microphone, unawachosha watu mikono, sikuhz interview hatufanyi na mic za kushika mkononi😅
Mtu anashika lungu hadi anasahau ya kuongea kwer
Pongezi kwake Salmu Kikeke ❤❤❤❤ mkataa kwao ni mtumwaa .hongera.kaka
Salim Kikeke ❤️
Genius man🎉
A very good interview
hongera sana mtangazaji unayehoji maswali, hakika unauliza maswali kwa umakini na utulivu sanaaa. hakika una utulivu wa kiuandishi. fanya hivyo kwa wengine hadi kwa makamu wa raisi.
Namkubar sana salim kikeke noma kweli
Kwanza Mr Salim Kikeke wewe ni mfano wa kuingwa na unaroho nzuri sana unaroho ya kusaidia wenzako na Allah Subhanallahu wa Taala anakuwezesha tunamshukuru kwa kutunuku hilo na tunamuomba aendelee kukujalia kila la kheri. Na wa Tanzania viongozi wa juu tambueni umuhimu wa huyu mtu muhimu kwetu aweze kupata nafasi ya kudumu ya juu hapa kwetu aweze kuwezesha watoto/wajukuu wetu kupata alicho nacho
😊😊😊 nimechoka maisha ya hapa Denmark wa 12 narudi Tanzania
,,,,,😂😂😂😂 mtu uko Mbagala ...tu hapo labda uwende Moshi ... December ukaesabiwe
Njoo upauke pumbu
IGA ufeee 😅😅😅
Uzuri wa ulaya hata kama huna pesa unabidilisha wasenge hii kitu mimi ndiyo maana naipenda.
Sababu sio za msingi sana .ila kwa kuwa kaamuwa .kila pahala watu wanaish life style yao kila eneo dunian.maisha ya ulaya na marekan kama unapata kaz utakiw kuwa mvivu..maana muda wa kupumzika n mdogo sana ..na BILLS za kutosha .hakuna kukwepa kwepa kama huku .
kwake ni sababu za msingi
Kwako wewe ni hivyo Kwa mwingine sio, so sababu alizozitoa ni sa msingi upweke sio kitu kizuri kabisa.
Mungu akubariki sana kikeke kwa maamuzi Yako binafsi yenye hekima na busara
I learn alot
Hongera rafiki yangu, katk radio
Ila emb tu appreciate kazi ya uyu presenter anayemhoji kikeke ametulia na amejipanga mno on point
I love salim ❤
Awesome interview ❤
Inawezekana huyu kikeke pesa zimemtosha
Hata mimi nimechoka sana maisha ya Ulaya. Baada ya miaka 27 Denmark nataka kurudi Tanzania.
Mimi miaka 23 USA 🇺🇸 I miss home
Kaka usitamani huku sisi tunatamani kuja huko njia hakuna
@@chibunews5642 Sasa tuelewane niko dollars laki bili kwenye bank huku tunalipa ma bili nduguzagu Tanzania
@@chibunews5642😂😂😂😂Ukifika huku ndiyo,utafeel hayo tunayo yapitia!
😂😂😂
Great interview! 👏🏾
Umenifubua Cho my brother Salam zangu kutoka USA I'm coming back home Africa zanzibar
Seriously 😮 binafsi naplan za ku relocate USA.
Legendary
Role model💕🥰
Legendary Kikeke!
Mama ampe kazi tu ata akiongezeka kwenye habari akiwa msemaji mtangazaji wa serikali sio mbaya
Najikuta navizia maswali ya muulizaji..dah huyu anajitaidi sana. Alafu ametulia anapomuuliza Salim..safi sana
Walikupenda na pia kuna kitu kipo ndani yako ndomana walikua wanakung'ang'ania. Hongera sana.
hongera ndg salimu kurejea nyumban maana wachache sana
Nampendaga sana kikeke
Mimi ni Salim Kikeke , alamsiki
Una kitu kaka, Utafika mbali
Interview unasikiliza mpaka mwisho na haukwaziki,yaani anayehoji na anayehojiwa wote mafunzo🙌🙌Akili nyingi Sana.
Hadi raha naam 😊
Hongera sana bwana Kikeke kwa interview iliyojaa weledi na mvuto wa kipeke
tumepata kujifunza mambo mengi kupitia wewe
Jamaa anaongea point xanaa kwa mtu mwenye akili zake anaelewa anaongelea nn!!! Na pia kuna bills nyingi mno
Ni interview lakini kama Dira ya Dunia mpaka Raha🤗
Kheri zaidi mtu kuenda nje kwa ajili kupata msingi wa kipato na mabalozi wanastahiki kuwa saidia wananchi wa tanzania wanapokwenda nje ya nchi kuwasimamia kupata ajira kwa wale ambao wanapata tabu ktk suala la ajira ili unapofika mda wa kurudi baada miaka wawe wameshapata misingi ya kimaisha kama mzee kikeke apo na wengneo
Jamn duuuh tumekumic sana sauti yako bbc❤❤
Jamaa yuko vzr sn mashaallah 🙌🇶🇦
Millard Umetisha sana Huyu dada anayeongea Voice Over yuko vyema sana, nadhani maskio yangu ndio mara ya kwanza namsikia Mwanamke akireport katika Media yako. Kongole sana
Mwanamke gan?
Waziri wa Habari wa miaka ya mbeleni
😊😊😊
Hongera sana kaka nakukubali
Yani ningekua nimeshakusanya ela nyingi ningerudi Tanzania maisha ya ulaya no ya upweke sana, kikubwa ningebaki tu na Access ya kwenda na kurudi tu kwa ajiri ya kutibiwa tu na vacations
Maisha ya ughaibuni ni ya kupita. Lakini kama inawezekana hakikisha unayapitia😃😃
Karibu sana nyumbani Arusha
HONGERA SANA KAKA KURUDI NYUMBANI NQKUEKEWA SANAAAAA❤❤❤
nimejufunza mengi kupitia interview hii AHSANTEN WAHUSIKA
NAKUPONGEZA NDUGIANGU KWA KURUDI NYUMBANI NA KUTHANI UTU WAKO NA TAIFA LAKO KILA LA KHERY INSHAALLAH!!! ❤❤❤
Nampenda huyo baba jmn😢
Karibu nyumba mpendwa wetu
Nakupa heko mtangazaji mahojiano hayaa Ulikuwa smart Sana
Huyu Salimu Kikeke ni mtu rahimu sana na mtu makini sana.
Umetumia akili kurudi ili kuinteract earlier na Jamii waone ulichonacho hukusubiri na hukusita Big up
Yupo vizuri sana natamani ningekuwa na kituo changu ningemleta huyu mwamba lkn kwenye zile 5G daaaaah kaumia kweli lkn kasema ukweli kwamba Simba walizidiwa
Tanzania ukiwa mgenii utaonekana mzuriii wakikuchoka unakuwa hovyooooo hongera kwa kurudii bong kwetu
MTANGAZAJI YUKO SO SMART,ANAULIZA MASWALI STANDARD,AMETULIA,HANA PAPARA...... NAKUONA MBALI..
Anaye muhoji pia ni nguli
Elimu pia zinasaidia sana
Nilikua nawakubali Sana na naipenda Sana BBC ila kwa sasa sio kama mwazo