Bismillah mashaallah. Allah amuhifadhi, amlinde na ampe umri mrefu pamoja na mama yake,ajaaliye aendelee kutimiza ndoto zake ili na mama yake ale matunda ya kijana wake Amiin Allahuma Amiin. Mama umemlea kijana wako vizuri
Ndugu yangu hizo ndoto za kufungua chuo cha urubani kwa hapa TZ haiwezekani itakuwea ngumu tu kwa namna yeyote ile utabambikiwa mikodi wewe hadi ufe, yaani hapa kwenu ni pagumu. Nakushauri tu ndugu yangu hayo mambo fanyia hukohuko Canada, sisi huku tutumie tu hela ya mboga ya mama yetu huyo aweze kuishi kwisha habari. Hayo mengine fanyia huko isije huku tukakuroga buree mtoto wa watu. Mwenyezimungu akupe maisha marefu na utimize ndoto zako zote. Ila usimsahau aliekiwezesha hayo kwa maana ya mungu wako na pia usimsahau baba yako, pamoja na yote aliyokufanyia lkn still ni baba yako usiache kumfanyia wema ili upate radhi zake. Hayo ya mama yako waachie wenyewe wewe kama mtoto hayakuhusu, cheza nafasi yako kama mtoto kwa baba yako.
Maashallah mtoto arudi kwenye dini, ingawa niisiangalie physical appearance lkn kwa maelezo ya Mama alimpambania kwa Mungu. Honger mama na kijana mwenzangu
Mungu ibarik familia ya huyu Mama Ila asirudi kabisaaaaaaaa labda akistaafu Canada anaweza staafu hata miaka 40 , ajitafute kwanza huku pagumu saaana labda Uwe kwenye familia za Siasa
Masha Allah Masha Allah...Mungu akujaliye kijana upate mke mwema..mulee mama vzr ln shaa Allah...usije kupata mwanamke akakufitinisha na mzazi wako....
Duh! machozi ya furaha yamenitoka mama mwenzangu amenitia moyo sana nilitaka kukata tamaa kusomesha kwakua sina saport kupitia huyu mama fahad najikuta kupata nguvu mpya Asante milad kutuletea kipindi hiki
Hongera sana sana Hongera sana Mzazi,ni kwa hakika ni story inayobeba hamasa kubwa sana kwa wazazi vinana wa leo na vijana wanafunzi wanaotafuta mwanga bora katika maisha,beyond kuwa rubani story inaonyesha msingi mzuri wa malezi na kumsimamia mtoto,end product inakuwa nzuri na yenye kuhamasisha jamii. Hongera Sana na Mungu azifanikishe njozi na ndoto zako Ni fahari kwako na ni fahari kwa mzazi,na pia inatoa somo zuri kwenye mitaala yetu ya elimu na namna ya kufanikisha ndoto za Mtoto
Maelezo ya huyu mwamba ni logic tupu, hata swali la muulizaji likiwa ni lakawaida yeye analitolea maelezo yaliyonyooka! Big up kwake na familia yake kwa ujumla! Hii inaonyesha ndoto ya mtu ikitimia ndio mambo yanakuwa hivi 💪💪👌👌
Alhamdulillah🤲, mimi binafsi nakuombea sana kwa Allah, azidi kukulinda wewe na Familia yako, azidi kukupa subira na Afya njema na watoto wako pia. (Asante sana Hadija Seifu. kwa maelezo yako murua) Allah ☝Atazidi kukusimamia Inshaallah.
Nakwambia kweli mwanamke ukiamua kuwa mtu wa maana inawezekena sana tu. Na ukiamua kuwa wa ma connection ya kipuuzi pia inawezekana sana. Cha ajabu story yenye motivation kama hii haipewi kipaumbele sana. Ongera dada yetu
Hongera sana kijana mdogo kwa kutimiza ndoto na pia uko very eloquent kwenye kujibu maswali.... Hongera sana kwa wazazi, hasa mama kwa kuheshimu ndoto ya mwanao na kuipambania
Hakuna mwanamke anaweza kukurupuka akasema katelekezwa,tunamaumivu mengi sana miyoyoni wanawake,na kama wanaume hamjajua niwakati wakujirudi muombeni mungu msamaha maana nafasi aliyowapeni mmeitelekeza machozi yetu hayatawaachen salama
Hakuona wa kuomba msamaha kwani ukiambiwa masuala ya kifamily ujue yapo mengi sana, ninyi wanawake mmepewa uwezo wa kuelezea sie tukielezea yetu hii Dunia huenda msikae
Kwani huyo mtumishi Ezekiel ndio mungu ? Mama anajiombea mwenyewe na mwenyezi mungu anajibu. Wacha upumbavu wako na huyo Ezekiel wako , mnadanganywa na ma pastor .
Mimi nimefurahi kuwa mtanzania wa kwanzaa kiona kijana huyo mwenyeimri wa miaka 22 ametimiza ndoto zake za kurusha ndege. VIJANA KAMA HAO NI LULU & NI ADIMU. RAIS WETU MSIKIVU KWA UNYENYEKEVU KABISA MSAIDIE KIJANA HUYU ILI AWEZE KUFIKIA MALENGO YAKE NA MWISHO WA SIKU AWEZE KURUDI TANZANIA AWE ICON YA TAIFA...❤❤❤❤
@annahngururi6595 Mwengine Mtanzania yupo hapa Canada chuo cha Montreal yeye cha urubani ni shemegi yangu but alikua anaishi Dubai na yeye kaja kusoma chuo juzi tu wazazi wake wameondoka kuja kumuona na yeye saivi anasomesha wanafunzi wenziwe na yeye ana umri mdogo tu kama huyu.
Maasha Allah hongera sana mwanangu Allah akuhifadhi na hongera sana mama mwanamke mwenzangu umepambana na Allah akuimarishe zaidi na zaidi...Aamiyn 🤲 ❤
Alhamdulillah rabbil'aalamin.hongera kwako mamabkwa namna ulivyompigania mtoto hadi hapo Mungu alipomfikisha na hata huyo baba aliyekutelekeza(sababu zibaki kwenu)hongera sanaaa kwa kijana kuelewa changamoto lakini pia kutokata tamaa hadi ume archieve.umri wake akimtegemea Allah Swt kumpa umri na Siha bilashaka anamengi ya kuchangia katika tasnia ya anga. Mungu awabariki
Ingekua nikipindi cha makufuli asikie kuna kijana wakitanzania yupo kannada anafundisha angeagiza ndege nyingine na ungekuja nayo angesema kuna kijana wetu anafundisha wazungu Canada tunamrudisha home afundishe nduguzake😅😅😅
Kule atakua analipwa kama $50 kwa saa (minimum), hivyo ana mshahara wa kama $400 kwa siku. Tafadhali mwacheni huko kwanza ajijenge na asaidie kulipa mikopo
Akisema aje afanye kazi Tanzania kajiroga na yeye ndio atakuwa mchawi wakwanza kwa mwanae Tanzania kunawachawi na mchawi wakwanz wa hili Taifa ni selikali yako ukithubu kumrudisha kwisha habari
Well done..kijana kajieleza vizuri sana na amenifurahisha kuongea ukweli kuhusu stages za kufikia ndege kubwa za abiria. Mwingine angetia uongo kuwa tayari anaweza kuendesha Airbus au Boeing za abiria kumbe vyote hivyo vinafuata mlolongo wa masaa ya kuwa angani na uzoefu.👍🏾 .
Hongera sana mama umepambana, na Mungu amekusaidia , nyota aliyokuwa nayo kijana ilibidi iangaze ktk mataifa. Congratulations keep it up, na mtangulize Mungu ktk kila jambo unalofanya
Hongera sana mtoto kwa kutimiza ndoto yako, pia hongera pia wazazi . Baba na mama pia. Baba nae pia lazima hapate hongera yake kwakua nae alianza vizuri ila akatoka kwenye mstari.
Bismillah ma sha allah mwenyezi mungu akuongozee uongozo wako na akuepusha na hasada. Big 🎉 kwa mama mzazi kwa jitihada na dua usichoke kumuombea kijana wetu kwani dua ya mama hairudi chini Allah anaipokea ❤
Hongera sana best,mama mpambanaji mungu akutie nguvu na hongera sana sana tyuu,ni fundisho Kwa wamama tulio Baki baba akiondoka,mama kumbatia watoto wako hata Kwa kipati kidogo watie moyo wape malez mazuri hata kama Kwa shida,mungu anajibu kama hivi.👍
Hongera sana kwa kutimiza malengo yako, nchi za ughaibuni hua hazipendi maendeleo ya waafika na huwashawishi vijana wenzetu kulowea kwenye ulevi wa vitu mbalimbali pindi wawapo masomoni, lakini wewe umeyashinda yote! Congratulations!!!🎉🎉
MashaAllah hongera pia mlikuwa na uwezo kimaisha pia mm wangu yupo daimond anasema ipo siku nitakuwa rubani mama namkatisha taamaa kutokana na maisha ya huyu mama naimani ipo siku na mm mungu atajibu maombi yangu mwanangu afikie lego lake haki imenitowa machozi 😢na nimejifunza kitu
Kijana, kumbuka mamako, kajitahidi kufanikiwa kwa msaada wa Uwezo wa Mwenyezi Mungu mmoja tu☝pekee ALLAH. Ujana usikupoteze ukasahau kumuabudu Muumba mmoja pekee, ukapotea na kuabudu Viumbe vya Muumba. (FANYA IBADA NA DUWAA KWA KUMSUJUDIA MWENYEZI MUNGU PEKE YAKE) Ushauri wa bure.
Safi Sana dogo..kwakweli umetupa somo la kujifunza.. Hongera kwa mama kwani haukukata tamaa.. Pongezi nyingi kwa Ayotv kwa kuendelea kuibua vipaji vilivyojificha
Manshaallah warahaula warakwata illah bilaah mungu akusimamie na akupe moyo wakukumbuka ulikotoka na umjali sana mom hongera strong women somo wa my mom
@@saidbakari2408ugomvi wa baba na mama cyo kumkomoa mtoto,Mungu huwa anampa kila zuri mtoto aliyetelekezwa na baba ili baba apate kuaibika na kudhani bila yeye mtoto hatoendelea
Kutoka katika hii interview nimejifunza kwamba WALIOTENGENEZA SYLABUS ZA ELIMU YA TANZANIA, HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU URUBANI. nilikua napenda sana urubani, nikakata tamaa baada ya kuambiwa Eti LAZIMA nichukue PGM, na mm ma physics na mathematics nilikua sizikubali dah
Hongera sana mama kwa kumpambania mwanao. Ushaur wangu ni kwamba mwanao asioe Tanzania tu maana hawashindwi kumtyonkola akili alafu mwisho wa siku abaki kama sisi tuuu.. na asidanganywe kuja kuajiliwa huku maana watamchakaza sanaaa alafu aishie KWENYE kujuta na kuanza ulevi wa madawa ya kulevya
Si ndo mlivyoaminishwa afu mvaa suti ndio mtu wa maana, mnaishi na falsafa za miaka 100 iliyopita watu wanaangalia nini kipo ubongoni sio unaonekana vp
My dear Habari naomba Kama umepata namba za huyo mama naomba tafadhali hata Mimi mwanangu anahizo jdoto hapo ni mdg Sana lkn kuhusi urubani humwambi kitu
Hongera sana Mama kwa kupambana...kwanza, Pamoja na yote! Mchango wa Baba unaonekana kwa kukuchagua wewe na kukupa zawadi Watoto wenye vipaji usiache kushukuru Mungu. Pili, harisa ya kupambana zaidi huenda imetokana na kutokuwajibika kwake moja kwa moja pindi ulipohitaji msaada wake...hiyo pia ichukulie chanya(+) na itakuingezea kupambana zaidi. Tatu, jitahidi kuwashauri vijana wasiwaze wala kuweka mipaka ya mawasiliano kama ipo lakini na Baba yao kutokana na tofauti zetu. Kila jambo hutokea na lina sababu zake. Hongera sana kwa mara nyingine.
Ni mihemko tu imekuingia na ukajikuta unadhani wote wana moyo wa huruma. Wanaume wengi wanapambana sana kugharamia baadaye za watoto ila hawana kiherehere cha kuongea kama wanawake. Kumbuka pia wanawake wangapi wanatupa au kuua watoto wao ili waendelee na umalaya?
@@bcozhenry2698ndugu yangu wanaume wanatelekeza sana watoto asilimia kubwa sana wanawake tunateseka mfano mzuri uko kwangu baba wa watoto wangu hajali hana huruma hanisaidii kwenye swala la kulea
Hongera sana kijana kwa kupambania ndoto yako, na pongezi nyingi kwa Mama kutimiza ndoto ya kijana wako.
Asante.
HONGERA KWA KIJANA WETU PIA 👏🏽 👏🏽 👏🏽 😊
Congratulations my brother, coz its not easy kufikia hatua ya kufundisha hasa nchi za wenzetu. Its so amazing and it will inspire many people. ❤
Nimelia😢...hakuna kama upendo wa mama....hii interview imenitia moyo kupigania ndoto ya mwanangu...❤
Big up kijana
Hongera sana mama kwa kusimama na mtoto wako Allah amuhifadhi mtoto wako amkinge n husda amfanyie wepesi katika kazi zake ameen
Ameen
Mashaalah
Shukran 👏🏻
Bismillah mashaallah. Allah amuhifadhi, amlinde na ampe umri mrefu pamoja na mama yake,ajaaliye aendelee kutimiza ndoto zake ili na mama yake ale matunda ya kijana wake Amiin Allahuma Amiin. Mama umemlea kijana wako vizuri
@@moa4122 Amiin
Ndugu yangu hizo ndoto za kufungua chuo cha urubani kwa hapa TZ haiwezekani itakuwea ngumu tu kwa namna yeyote ile utabambikiwa mikodi wewe hadi ufe, yaani hapa kwenu ni pagumu. Nakushauri tu ndugu yangu hayo mambo fanyia hukohuko Canada, sisi huku tutumie tu hela ya mboga ya mama yetu huyo aweze kuishi kwisha habari. Hayo mengine fanyia huko isije huku tukakuroga buree mtoto wa watu. Mwenyezimungu akupe maisha marefu na utimize ndoto zako zote. Ila usimsahau aliekiwezesha hayo kwa maana ya mungu wako na pia usimsahau baba yako, pamoja na yote aliyokufanyia lkn still ni baba yako usiache kumfanyia wema ili upate radhi zake. Hayo ya mama yako waachie wenyewe wewe kama mtoto hayakuhusu, cheza nafasi yako kama mtoto kwa baba yako.
Mbona vyuo vya aviation Kwa PPL mbona vipo tuache kuwa na negative thinking
Hongereni Milad Ayo kwa kufuatilia maswala ya maendeleo na ya kijamii. Hii ni interview nzuri kuelimisha na kuwatia moyo Wanawake kupambana
Washauri watoe msaada sio kuwahoji watu bila kujitolea chochote
Kabisa tunapitiya mengi wanawake
Mungu azidi kukuinua umtunze mama na mdogo wako.. Una tia moyo sana ...Hongera sana kwa kipaji hicho
Maashallah mtoto arudi kwenye dini, ingawa niisiangalie physical appearance lkn kwa maelezo ya Mama alimpambania kwa Mungu. Honger mama na kijana mwenzangu
Mungu ibarik familia ya huyu Mama Ila asirudi kabisaaaaaaaa labda akistaafu Canada anaweza staafu hata miaka 40 , ajitafute kwanza huku pagumu saaana labda Uwe kwenye familia za Siasa
AminA, sana sana saaana,,,
Umesema kweli Huyu asirudi,maana NCHI YETU HAIPENDI WASOMI NA. WATAALAMU.WATAALAM MAPROFESSA WAMEJIINGIZA KATIKA SIASA.
Amiin
@@hafidhnzota2142😂
sasa kwa asiruditruu It's
Masha Allah Masha Allah...Mungu akujaliye kijana upate mke mwema..mulee mama vzr ln shaa Allah...usije kupata mwanamke akakufitinisha na mzazi wako....
@@RahmaIddi-s2s Ameen
Hongera mwanangu mzuri ❤❤ mwanamke mwenzangu wewe ndio halisi ya MWANAMKE WA SHOKA 💪💪💪💪💪💪
Mungu Awabariki kina mama wote Duniani
Amina❤
Ameen
Ameeeen
Kabisa
Duh! machozi ya furaha yamenitoka mama mwenzangu amenitia moyo sana nilitaka kukata tamaa kusomesha kwakua sina saport kupitia huyu mama fahad najikuta kupata nguvu mpya Asante milad kutuletea kipindi hiki
Hongera sana sana
Hongera sana Mzazi,ni kwa hakika ni story inayobeba hamasa kubwa sana kwa wazazi vinana wa leo na vijana wanafunzi wanaotafuta mwanga bora katika maisha,beyond kuwa rubani story inaonyesha msingi mzuri wa malezi na kumsimamia mtoto,end product inakuwa nzuri na yenye kuhamasisha jamii.
Hongera Sana na Mungu azifanikishe njozi na ndoto zako
Ni fahari kwako na ni fahari kwa mzazi,na pia inatoa somo zuri kwenye mitaala yetu ya elimu na namna ya kufanikisha ndoto za Mtoto
Shukran 👏🏻
Mama ni mama hta iweje hongera sana❤❤
Maelezo ya huyu mwamba ni logic tupu, hata swali la muulizaji likiwa ni lakawaida yeye analitolea maelezo yaliyonyooka!
Big up kwake na familia yake kwa ujumla! Hii inaonyesha ndoto ya mtu ikitimia ndio mambo yanakuwa hivi 💪💪👌👌
Hongera sana dada kwa ujasiri komgole, ila mawazo yakumrudisha TZ acha hapa kwetu siasa nyingi kule atakusaidia kulipa madeni hayo. BIG UP MAMA.
Kweli kabisa🎉
Nami sikubaliani na wazo la kurudi Tz haraka. Ngoja ajijenge kule afanye maendeleo yake nyumbani. Kama ni training watanzania waende kule awatrain
Mwanangu Mungu akuinue zaidi uje Tanzania umfundishe mwanangu mama hongera sana kwa ushindi mkuu
Amiin
Waooooo mama umenifanya ipate nguvu ya kuzidi kulea watoto wangu kwa nguvu tena
Sımama na watoto wako👏🏻
Hongera sana kwa skill ya urubani. Tuomba mawasiliano yako kwa ajili ya kuwafundisha vijana wetu wanaohiaji kurusha ndege. Asante
Alhamdulillah🤲, mimi binafsi nakuombea sana kwa Allah, azidi kukulinda wewe na Familia yako, azidi kukupa subira na Afya njema na watoto wako pia. (Asante sana Hadija Seifu. kwa maelezo yako murua) Allah ☝Atazidi kukusimamia Inshaallah.
Shukran 👏🏻
Hongera sana mama Alfahad mwenyezi Mungu akulindie kijana aweze kukutunza nawe pia
Amiin
Nakwambia kweli mwanamke ukiamua kuwa mtu wa maana inawezekena sana tu.
Na ukiamua kuwa wa ma connection ya kipuuzi pia inawezekana sana.
Cha ajabu story yenye motivation kama hii haipewi kipaumbele sana.
Ongera dada yetu
Jitahidi na Wewe uwe hivyo hahahw
@@trophywilson7211
Tajitahidi nikishindwa hata dada yangu ao mwanangu niwashauri wawekeze katka nidham. Hata wewe pia waweza kuwa mfano mzuri
Kweli!
Hongera sana kijana mdogo kwa kutimiza ndoto na pia uko very eloquent kwenye kujibu maswali.... Hongera sana kwa wazazi, hasa mama kwa kuheshimu ndoto ya mwanao na kuipambania
Mashallah may Allah blessing you ❤
Milardayo naipenda sanaaaa Media yako una wafanyakazi wazuri sanaaaa wanajua kuhoji Mungu aibariki sana Media yako
No kweli!
Ni kweli wapo vizuri
Hakuna mwanamke anaweza kukurupuka akasema katelekezwa,tunamaumivu mengi sana miyoyoni wanawake,na kama wanaume hamjajua niwakati wakujirudi muombeni mungu msamaha maana nafasi aliyowapeni mmeitelekeza machozi yetu hayatawaachen salama
Kweli kabisa haya. Mmungu si khiyana sio selfish. Nawaona waja wake wanyonge. Mmungu ana miujiza juu ya Ma Mama. Hongera Mama mwenzetu
Asante kunielewa 👏🏻
Hakuona wa kuomba msamaha kwani ukiambiwa masuala ya kifamily ujue yapo mengi sana, ninyi wanawake mmepewa uwezo wa kuelezea sie tukielezea yetu hii Dunia huenda msikae
Congratulations 🎉mum for standing up with your son
Thank you dear
Hongera, kwa kumu elimisha mwanao hadi katimiza ndoto yake, na kutu inspire sisi kuwa hamna kinachoshindikana.
Uyu mtangazaji anajua kuhoji vzr sana
Hila pia anautambulisho mrefu sana anatakiwa amwache mtu ajitambulishe mwenyewe.
Sahihi
Sana ametulia
KWELI sana background nzuri Hadija Seifu amejieleza hana tambo
@@nyoe1394KWELI intro ndefu ya mama inaboa
hongera mama kipenz kwa kumpigania brother wetu,nakupenda bure mama
Thank you 🙏🏻
Mtangazaji hongera unaijua kazi yako..mama shujaaa hongera..mungu akajibu haja za mioyo ya familia hiyo..na kwa ushauri maombi kwa mtumishi ezekiel..
Kwani huyo mtumishi Ezekiel ndio mungu ? Mama anajiombea mwenyewe na mwenyezi mungu anajibu. Wacha upumbavu wako na huyo Ezekiel wako , mnadanganywa na ma pastor .
Mimi nimefurahi kuwa mtanzania wa kwanzaa kiona kijana huyo mwenyeimri wa miaka 22 ametimiza ndoto zake za kurusha ndege.
VIJANA KAMA HAO NI LULU & NI ADIMU.
RAIS WETU MSIKIVU KWA UNYENYEKEVU KABISA MSAIDIE KIJANA HUYU ILI AWEZE KUFIKIA MALENGO YAKE NA MWISHO WA SIKU AWEZE KURUDI TANZANIA AWE ICON YA TAIFA...❤❤❤❤
Hatutaki arudi Tz afanye kazi huko huko
@@Kibaadvocateyote sawa
@annahngururi6595 Mwengine Mtanzania yupo hapa Canada chuo cha Montreal yeye cha urubani ni shemegi yangu but alikua anaishi Dubai na yeye kaja kusoma chuo juzi tu wazazi wake wameondoka kuja kumuona na yeye saivi anasomesha wanafunzi wenziwe na yeye ana umri mdogo tu kama huyu.
@@Kibaadvocate😂😂😂😂😂 umejibu kama.mzazi wake kabisaaa
Maasha Allah hongera sana mwanangu Allah akuhifadhi na hongera sana mama mwanamke mwenzangu umepambana na Allah akuimarishe zaidi na zaidi...Aamiyn 🤲 ❤
Allahuma Amiin
Hongera sana mama nimefurhai hadi nimetoa machozi na umebarikiwa kupata Watton wenye akili sana. Endelea kuwaombea wanao kila siku
Amiin
Hongera sana sana mama Fahad na Fahad, Mwenyezi Mungu amtunze kijana huyu
Kwani mungu asipo mtunza itakuwaje
SubhanaAllah kila mtu anahitaji kutunzwa Na Allah Atuepushe naShetani kwani wewe umeelewaje
Acha Roho ya kichawi Zwazwa wewe@@JamesJastin-bg1rx
Ameen
Thanks God 🙏 😮
Morning
Alhamdulillah rabbil'aalamin.hongera kwako mamabkwa namna ulivyompigania mtoto hadi hapo Mungu alipomfikisha na hata huyo baba aliyekutelekeza(sababu zibaki kwenu)hongera sanaaa kwa kijana kuelewa changamoto lakini pia kutokata tamaa hadi ume archieve.umri wake akimtegemea Allah Swt kumpa umri na Siha bilashaka anamengi ya kuchangia katika tasnia ya anga.
Mungu awabariki
Amiin
Ingekua nikipindi cha makufuli asikie kuna kijana wakitanzania yupo kannada anafundisha angeagiza ndege nyingine na ungekuja nayo angesema kuna kijana wetu anafundisha wazungu Canada tunamrudisha home afundishe nduguzake😅😅😅
Huyu mtangazaji,very brilliant and calm
Inshaallh Mola akataimize ndoto zako na akuongoze usimsahau mama yko kwanamna yoyote ile amiin
Amiin
Usifanye makosa ya kumwambia mtoto arudi Tanzania mwache mtoto afanye kazi Canada alipie madeni
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯 aache AFANYE KAZI ULAYA akichoka alale tu Huko ULAYA ila SI bongo , huku talent nyingi zinapotezwa na kuuwawa ,amwache Huko huko
Kule atakua analipwa kama $50 kwa saa (minimum), hivyo ana mshahara wa kama $400 kwa siku. Tafadhali mwacheni huko kwanza ajijenge na asaidie kulipa mikopo
Uko sahihi saana Siasa zinaharibu kila kitu hadi vipaji
😂😂
Akisema aje afanye kazi Tanzania kajiroga na yeye ndio atakuwa mchawi wakwanza kwa mwanae Tanzania kunawachawi na mchawi wakwanz wa hili Taifa ni selikali yako ukithubu kumrudisha kwisha habari
Well done..kijana kajieleza vizuri sana na amenifurahisha kuongea ukweli kuhusu stages za kufikia ndege kubwa za abiria. Mwingine angetia uongo kuwa tayari anaweza kuendesha Airbus au Boeing za abiria kumbe vyote hivyo vinafuata mlolongo wa masaa ya kuwa angani na uzoefu.👍🏾
.
MaAshallah hongera sana umemuheshimisha mzazi pmj na Taifa lako❤
Hongera sana mama umepambana, na Mungu amekusaidia , nyota aliyokuwa nayo kijana ilibidi iangaze ktk mataifa. Congratulations keep it up, na mtangulize Mungu ktk kila jambo unalofanya
Amin
Hongera sana mtoto kwa kutimiza ndoto yako, pia hongera pia wazazi . Baba na mama pia. Baba nae pia lazima hapate hongera yake kwakua nae alianza vizuri ila akatoka kwenye mstari.
Huyo baba mnampongeza nini wakati wenzie wanadaiwa milioni mia tano
Maasha Allah jamani hongera dada hadi raha Allah atupe nasie pesa tutimize mdoto za watoto wetu
Hongera sana mama big up wa mama tunaweza kupambana tunajua hata mkitukimbia .
Mkiendelea kujifanya vichwa maji mbona mtanyooka tu 😂
Mungu atambariki huyu mama hodar sanaaa ni fundisho kwa mama wengine tuwe mahodar na tusirudi nyuma
Bismillah ma sha allah mwenyezi mungu akuongozee uongozo wako na akuepusha na hasada. Big 🎉 kwa mama mzazi kwa jitihada na dua usichoke kumuombea kijana wetu kwani dua ya mama hairudi chini Allah anaipokea ❤
Hongera sana best,mama mpambanaji mungu akutie nguvu na hongera sana sana tyuu,ni fundisho Kwa wamama tulio Baki baba akiondoka,mama kumbatia watoto wako hata Kwa kipati kidogo watie moyo wape malez mazuri hata kama Kwa shida,mungu anajibu kama hivi.👍
Shukran dear
Asante mamafrika kwa juhudi zako kwa mwanao 😊😊
Shukran sana
Hongera sana mama na hongera sana mwana. Mungu aendelee kuwaheshimisha. Usiondoke tz bila kwenda kumsalimia baba pia 🙏
Hongera sana mama Mungu hamtupi mja wake
Hongera sana kwa kutimiza malengo yako, nchi za ughaibuni hua hazipendi maendeleo ya waafika na huwashawishi vijana wenzetu kulowea kwenye ulevi wa vitu mbalimbali pindi wawapo masomoni, lakini wewe umeyashinda yote! Congratulations!!!🎉🎉
MashaAllah hongera pia mlikuwa na uwezo kimaisha pia mm wangu yupo daimond anasema ipo siku nitakuwa rubani mama namkatisha taamaa kutokana na maisha ya huyu mama naimani ipo siku na mm mungu atajibu maombi yangu mwanangu afikie lego lake haki imenitowa machozi 😢na nimejifunza kitu
Mtangulize Mungu kwa kila hatua na umpe moyo mtoto kuwa siku moja ndoto yake itatimia Inn Sha Allah
Katobwe😂😂😂😂
Masha Allah Mungu amtunze ampe afya njm mama endelea kumuombea Mwanao na mwache Huko Canada hasad zimejaa Tele
Kijana, kumbuka mamako, kajitahidi kufanikiwa kwa msaada wa Uwezo wa Mwenyezi Mungu mmoja tu☝pekee ALLAH. Ujana usikupoteze ukasahau kumuabudu Muumba mmoja pekee, ukapotea na kuabudu Viumbe vya Muumba. (FANYA IBADA NA DUWAA KWA KUMSUJUDIA MWENYEZI MUNGU PEKE YAKE) Ushauri wa bure.
Masha Allah Da Hadija hongera sana kwa Fahad kutimiza ndoto zake
Safi Sana dogo..kwakweli umetupa somo la kujifunza.. Hongera kwa mama kwani haukukata tamaa.. Pongezi nyingi kwa Ayotv kwa kuendelea kuibua vipaji vilivyojificha
Hongera sana mzee kwa kuwakilisha Tz
Shukran
Manshaallah warahaula warakwata illah bilaah mungu akusimamie na akupe moyo wakukumbuka ulikotoka na umjali sana mom hongera strong women somo wa my mom
Hongera
Congratulations bro, may you glow to the fullest amen.
Amiin
Kanipa elimu nzuri sana kijana,Hakuna Cha form 6 Wala Cha physics naomba Tz tujuwe Hilo.
Hongera sana mama Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kumtunza kijana 🔥🔥🔥
Amiin
Very insipirational msg.Big up mama and your son
Thank you
Kumbari ni valangi wuuu@@hadijaSeif-v6s
Bismillahir Rahmanir Rahiim, Asalam Aleykum mama Afadi mwwnyezi mungu akulinde na akupe afya wewe na mwanao Afadi,ALLAH awalinde na husda Ameen
Amin yarb
Hongera sana mama,Kuna mengi ya kujifunza Toka kwako
Daaaah kumbe inawezekana kabisa!!Ayo tv asanteni kwa kumleta huyu jombaa katupa mwanga wa kufanya visivo wezekana
Hongera mama kwa kumpambania kijana wako mungu akulinde sana
Amiin
Ila mama zetu mnaweza sana kupigania maisha yetu
utaacha Watoto wahangaike
😂😂 WASIFIE PIA WANAJUA SANA KUVURUGA MAMBO SEMA TU WANAUME TUMEUMBWA NA KIFUA CHA KUHIFADHI MAMBO
@@saidbakari2408ugomvi wa baba na mama cyo kumkomoa mtoto,Mungu huwa anampa kila zuri mtoto aliyetelekezwa na baba ili baba apate kuaibika na kudhani bila yeye mtoto hatoendelea
Mtangazaji kongole sana , wewe ni mbobezi sana !
Hongera Halfad , Hongera Mama Halfad pia ! Mwenyezi Mungu aendelee kuwasimamia ! 🙏🏿🙏🏿
Amiin
Dada hongera sana Kwa kupambana hakika Mungu hamtupi Mja wake mwanangu umweshimu sana mama
Mashaallah mama kwa juhudi zote na kwa mtoto mungu akubariki na akufanyie wepesi kwa kila tarajio lako
Amiin
Hongereni sana mama na kijana Mungu aendelee kuwainua
Kutoka katika hii interview nimejifunza kwamba WALIOTENGENEZA SYLABUS ZA ELIMU YA TANZANIA, HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU URUBANI. nilikua napenda sana urubani, nikakata tamaa baada ya kuambiwa Eti LAZIMA nichukue PGM, na mm ma physics na mathematics nilikua sizikubali dah
Homgera mama na mtoto wetu kumhrshimisha.mungu akulinde na kukutunza.
Kweli mama umepambana hongera sana na kweli Mungu amekusaidia sala dua na maombi vinasaidia mbele ya Mungu all is possible!
tuna kariri sana HATUJA ZIJUA BASICS ZA EDUCATION tuna taka master ya kila kitu kila wakati.
Hongera sana mama umepambana kwa kweli. Hukukata tamaa pamoja na yote. Mungu aendelee kukusimamia na watoto wako❤❤❤
Mashallah allah akuzidishie ❤
Allah amuongoze ktk imani ya dini inshaallah
Vijana jitaidini kusomesha watoto wenu msikimbie family wale watoto wanabaraka zao Mungu awezi kukuacha iv iv
Hongera sana mama kwa kumpambania mwanao. Ushaur wangu ni kwamba mwanao asioe Tanzania tu maana hawashindwi kumtyonkola akili alafu mwisho wa siku abaki kama sisi tuuu.. na asidanganywe kuja kuajiliwa huku maana watamchakaza sanaaa alafu aishie KWENYE kujuta na kuanza ulevi wa madawa ya kulevya
Hongera rasta huku rasta wote wamechezika
😂
Si ndo mlivyoaminishwa afu mvaa suti ndio mtu wa maana, mnaishi na falsafa za miaka 100 iliyopita watu wanaangalia nini kipo ubongoni sio unaonekana vp
Nimecheka sana dah bongo hii eti huku rasta wote machizi😂😂😂😂😂 fala sana ww
hahaha
🤣🤣🤣🤣we umetisha nimecheka
Mashallaah mola akuongoze kwa kilahatua inshallaah❤
Hongera sana kijanà natamani sana mwanangu anandoto kama wewe namwomba mungu ndoto zake zitimie
My dear Habari naomba Kama umepata namba za huyo mama naomba tafadhali hata Mimi mwanangu anahizo jdoto hapo ni mdg Sana lkn kuhusi urubani humwambi kitu
Mashaallah tabaarakallah
Hongera endelea na majukumu yako ukimtanguliza Mungu.
Kuna yule wa South Africa baada ya kumsifia tu mitandao alipata bonge la ajali na kufariki😢😢😢😢
Allah atamlinda kwa rehma zake.
MTANGAZAJI UNA TATIZO UNA UNNECESSARY INTERFERENCES NYINGI SANA, TULIA MSIMULIAJI AWEZE KUFLOW
Hongera sana mama kwa kupambana, MUNGU huwashika waliowake. Ila kwenye swala la changamoto ya ndoa, no comment!
Hongera sana Mama mpambanaji! Mwambie huyo kijana wake wa pili anauwezo wa kupata scholarship hapa Canada naomba Jitahidi tuwasiliane nikupe mwongozo!
Bless u
Mumeshaanza utapeli sasa
😂😂@@lucaspetro324
@@lucaspetro324😂
@@lucaspetro324😂
Hongera sana Mama kwa kupambana...kwanza, Pamoja na yote! Mchango wa Baba unaonekana kwa kukuchagua wewe na kukupa zawadi Watoto wenye vipaji usiache kushukuru Mungu. Pili, harisa ya kupambana zaidi huenda imetokana na kutokuwajibika kwake moja kwa moja pindi ulipohitaji msaada wake...hiyo pia ichukulie chanya(+) na itakuingezea kupambana zaidi. Tatu, jitahidi kuwashauri vijana wasiwaze wala kuweka mipaka ya mawasiliano kama ipo lakini na Baba yao kutokana na tofauti zetu. Kila jambo hutokea na lina sababu zake. Hongera sana kwa mara nyingine.
baba anaweza akakutupa lakini mama hawez, big kw mama woooote na mungu awasamehe makosa yao kwani yeye ndio msamehevu.
Thank you I'm among them
Ni mihemko tu imekuingia na ukajikuta unadhani wote wana moyo wa huruma. Wanaume wengi wanapambana sana kugharamia baadaye za watoto ila hawana kiherehere cha kuongea kama wanawake. Kumbuka pia wanawake wangapi wanatupa au kuua watoto wao ili waendelee na umalaya?
@@nahidaothman7163 you too
Acha uongo wamama wangapi wanawatupa watoto wao kweny makalo ya vyoo......wangapi wanawatupa watoto wao majalala
@@bcozhenry2698ndugu yangu wanaume wanatelekeza sana watoto asilimia kubwa sana wanawake tunateseka mfano mzuri uko kwangu baba wa watoto wangu hajali hana huruma hanisaidii kwenye swala la kulea
Ma Sha Allah. Big up sana dear. Mwenyezimungu akufungulie neema kubwa zaidi. Keep fighting love. You made it. Wajina wangu.❤
Shukran dear
vijana tunaorusha kindege cha Aviator tujuane basi kwa like hapa
😂😂😂
😅😅😅😅
Hongera sana my dear,Hadija na Mama yako kukupa sapoti ya mawazo pia kwa uvumilivu na kujaliwa maarifa kwa kutimiza ndoto ya Mtoto
Thank you 🙏🏻
Jamani umenifundisha. Mwanangu akimaliza form four direct chuo
Wa kwangu yupo form 2 ameshasema hataki five na Six anataka direct Chuo.watoto wa 2000.M'mungu awajaalie na awaongoze katika kheir.
Mashallah. Very good interview Milad. Kijana kawa mfano mkubwa kwa ndugu zake. Mmungu akuondoshee hasada. Mama pia kama mama umesimama vyema.
Amiin
Hongera mama na mtoto❤
Shukran