Uyu Dada nampenda sana, najiuliza mbona ckuoni kwenye taarifa ya habar, Kumbe uko TZ, Namuona *Wazir hamsini* na *Salim Kikeke* nawakubali sana team kikeke 😍😘
Muache aendelee kuwakataa waume kunasiku atakumbuka lkn atakua kachelewa kwani haja zake anatimizaje Dunia inamdanganya sana Allah atujalie mwisho mwema Inshallah.
Rama Kazina Kila mmoja anampangilio wake wa maisha, usikalili kwamba kila mwanamke ana haja ya mwanaume maishani mwake, wengine wako tayari kufa bila kukaa na mwanaume, wanaume wenyewe wako wapi! wapo kuwapa stress tu wanawake, huo ni uamuzi mzuri kwake hukumu anaijua Allah na sio wewe.
Ninampenda sana binti kiziwi maisha ni safari akiteleza kakiri kosa kaelimika katumikia kifungo na sasa yuko huru kwa rehema za mwenyezi mungu sisi ni nani tuhukumu,welcome sis binti kiziwi
Mausiano ndio msingi wa maendeleo make kila mtu anafanya kazi sana ili familia zipate mahitaji muhimu,sasa kama hauna anayekutegemea unafanya kazi kwa ajili ya nini?
Majina ya heruf ZU achana nayo kwa msimamo utachok wew yeye yupo pale pale nakupnd san zuhra yunus Allah akuhifadh na kila baya Na akupe mwish mwem amin
Ndio sababu hatuendelei. Utaona tofauti ya kufanya kazi Ulaya na Tanzania. Zuhura katokea huko huko , lakini baada ya kufanya kazi na wazungu sasa unamuona.... hakurupuki tu.
Dada angu zuhra yunus nimtangazaji mzr cn pmj na kaka Salum kikeke nawapenda cn na kila ck napenda nitizame BBC habar kila ck na sipendi nikose kutazama hongera kwa kipaji mlichonacho Allah barik
@@bindawood978 sasa mkuu siku nyingine usimuangalie mtu anavyojistiri ukasema mcha Mungu...wangapi wanavaa mabaibui lakin ni mafox wakutupwa? Hii ni siri yake yeye na Mungu wake..
Hongera sana kwa kuhangaikia maisha ila kumbuka mchumba juani hulia kivulini maskini na watoto tajiri na pesa zake je unategemea mwanao kuwa mjukuu wako
Ulaya hakuna izo za kujuana kama nyumbani. Huku elimu, kujiamini na usmati wako. Single but not available, it is a very smart answer. She doesn’t miss anything you guys don’t you get it? Ulaya hasa Uingereza wanajali sana heshima na dini ya mtu bila upendeleo. Ukitaka utavaa hutaki sio lazima kuvaa hijabu.
Waeleze hao wabongo, hata mie mbongo lakini naelewa. Pia swala la mahusiano nje single au kuwa na boyfriend kitu Cha kawaida Sana. Nyumbani kuelewa dili hata kama hufaidi mahusiano
Watangazaji hawamuachii anae hojiwa kuongea au kujibu kile alichoulizwa. Ukiangalia nakusikiliza utaona kama ZUHURA YUNUS yupo kama disturbed kwenye kile alichomuuliza BINTI KIZIWI. Nilijua walivyo mmpa chance Zuhura kumuuliza chochote kuwa watakaa nakusikiliza bali wao ndo wanajibu. Sometimes stay calm and learn.
Asante sana sio kila mwanamke anataka kuwa na mume na sio wote wametendwa. Asante Zuhura
Nami nimejifunza kupitia zuhura,kuolewa na kuwa na mahusiano ni maamuzi
Hongera sana mama zuhura japo tuta kukumbuka bbc sana tuna kuombea maisha mapia
Watangazaji wanauliza wao , wanajibu wao . Bizura wape lesson vijana za utangazaji
Nampenda sana Zuhura Yunus ni mtangazaji mzuri anasauti nzuri inshalaaa mwenyezi Mungu mjalie afya njema aendelee kutuelimisha ndani ya BBC in swahili
Ana miaka mingapi??
Yaani nampeda Zuhura kasauti kake uwa kananikosha rohoni
Duh fikila za kusema nimechelewa kuolewa nizifute kabisa 😊😊 mungu nipe mume mwema
hongera mama,zuhura yunusu,nisaidie mwanangu anataka kuwa mtangazaji .
😂😂😂 sasa yeye akusaidie nn😂
Namkumbuka Zuhura Yunus, alinifurahisha sana, alivyombananisha Edward Lowasa wakati anamsindikiza Jembe Rais wa Tanzania JPM.
yupo mwanangu Zakia,aniuliza sana zuhura baba ni mtangazaji mzuri,anakupenda sana,aliipenda kazi yako.
Hongera Zuhura inaonyesha wazi umelelewa na wazazi vizuri Mungu. Akupe maana maswali ya wa siojua maadili umeyajibu vizuri
Happy birthday Mama samia tunasherekea siku moja mwezi mmoja na mwaka pia ni huo huo ,Hongera Mama
Uyu Dada nampenda sana, najiuliza mbona ckuoni kwenye taarifa ya habar, Kumbe uko TZ, Namuona *Wazir hamsini* na *Salim Kikeke* nawakubali sana team kikeke 😍😘
Watangazaji wetu bado sana wapo nyuma mno!!karibu Tanzania dada zuhura yunus hao ndio watangazaji wetu wape shule mpya
“SINGLE BUT NOT AVAILABLE”simple but tactical answer.Only genius can catch it 🤞🏼
AMMY CARDO you don't need to be genius to catch that shit bro
Edson Tennie yes I don’t need coz am genius already 😃😃😃😃#
Basi wataolewa wakiwachwa
I like so much this girl.. Zuhra yunuss ...Allah bless you
Zuhura Yunus namkumbuka sana katika BBC Swahili Service MashaALLAH
Musa hussein maswali yako!! Hongera zuhura!! Bint kiziwi pole kw matatizo vizur umejua makosa yako maisha yaendelee!!
Mashaallah mashaallah dada zuhura nakupenda kwaajili ya Allah, nakuombea Dua Allah akupe mume achana na mawazo hayo
Zuhura Yunus, tutaku miss kweli, nakukumbuka khasa ktk Mwezi wa Ramadhan nakutakia kila la kheri na fanaka
Hongera sana zuhura Yunus kwa umahili wako ulionao wa utangazaji
Maashallah Zuhra Yunis kwel ni mtangaji anayenivutia sana.Allah akuongoze zaidi.Amiini
Na like ukiwa na Salim kikeke Kwenye matangazo fantastic
Mama zuhra Kama hujabahatika kupata mme Bc Allah akufanyia wepesy inshaAllah
Insha Allah
Hajasema hajabahatika, kasema HATAKI na hayupo available elewa basi. Sio kila mtu anatamani ndoa
Muache aendelee kuwakataa waume kunasiku atakumbuka lkn atakua kachelewa kwani haja zake anatimizaje Dunia inamdanganya sana Allah atujalie mwisho mwema Inshallah.
@@ramakazina170 sio kila mwanamke anahitaji kuolewa wala kuwa na watoto
Rama Kazina Kila mmoja anampangilio wake wa maisha, usikalili kwamba kila mwanamke ana haja ya mwanaume maishani mwake, wengine wako tayari kufa bila kukaa na mwanaume, wanaume wenyewe wako wapi! wapo kuwapa stress tu wanawake, huo ni uamuzi mzuri kwake hukumu anaijua Allah na sio wewe.
Ninampenda sana binti kiziwi maisha ni safari akiteleza kakiri kosa kaelimika katumikia kifungo na sasa yuko huru kwa rehema za mwenyezi mungu sisi ni nani tuhukumu,welcome sis binti kiziwi
MTU mzima hatafuniwi dawa,Dada Zuhura inshalah kujisitiri na kuzingatia maadili na utamaduni wa mtanzania na Mwafrika
Huyo dada mtu mzima ana akili zake sasa huwezi ukamfungukia bila kuonana nae lazima nionane nae je kaolewa au ana mtu
Our teacher used a listening material today, the anchor is Zuhura and I saw this video about Zuhura today.
Maswali ya watangazaji wetu kwa Zuhura yanaonyesha kiwango kilivyo kidogo. Mmekazia mahusiano!.
siangalii habari tv yoyote zaidi ya Zuhra Yunus Wallah naipenda sana
Waandishi wa kibongo aisee wanapenda sana kuhlji vitu vya mahusiano sana kuliko mambo mengine ya kimaendeleo zaidi
Mausiano ndio msingi wa maendeleo make kila mtu anafanya kazi sana ili familia zipate mahitaji muhimu,sasa kama hauna anayekutegemea unafanya kazi kwa ajili ya nini?
Hapo ndo tunapofel vitu vya msing awahurzi
Angalia interview za zuhura akiwa anahoji mtu mpaka mtu unataman kukimbia waoo wana deal na uhusiano tu
Majina ya heruf ZU achana nayo kwa msimamo utachok wew yeye yupo pale pale nakupnd san zuhra yunus Allah akuhifadh na kila baya Na akupe mwish mwem amin
Zuhura nakukubali Sana,na binti zangu Karen (7)na Given (10)wanakupenda sana,na wameanza kuipenda taarifa ya habari ya BBC.na lejendary Salim Kikeke.
Sister Zuhura uko vizuri nakubal iitikadi zako .. hongera.
Hawa watangazaji full zongo maswali mabaya heri wangemuwachua Bi zuhra tugelefaidi kutoka kwa binti kiziwi . Bigup zuhura yunus
Ndio sababu hatuendelei. Utaona tofauti ya kufanya kazi Ulaya na Tanzania. Zuhura katokea huko huko , lakini baada ya kufanya kazi na wazungu sasa unamuona.... hakurupuki tu.
Mahojiano na zogo la mziki
Dada angu zuhra yunus nimtangazaji mzr cn pmj na kaka Salum kikeke nawapenda cn na kila ck napenda nitizame BBC habar kila ck na sipendi nikose kutazama hongera kwa kipaji mlichonacho Allah barik
Zuhra Yunnus yuko makini sana na ni mcha Mungu, Maashaallah na pia c mtu wa kuropokwa nimemfahau vizuri sana
Kwakigezo kipi au kwakipimo gani ulicho kipima.
Umejuaje ni mcha Mungu?
Anavyojistiri na namna anavyojistiri na muonekano wake, lakini yeye ndo anajuwa zaidi, hayo ni maoni yangu
@@bindawood978 sasa mkuu siku nyingine usimuangalie mtu anavyojistiri ukasema mcha Mungu...wangapi wanavaa mabaibui lakin ni mafox wakutupwa? Hii ni siri yake yeye na Mungu wake..
@@tumlakimwaitumule Ahsante nimekuelewa.
Kuwahi kuolewa ninkujipotezea muda basi wengine tuliwahi Ila ni Bora kuwa na life yako kabla hujaongia kwenye maisha ya mtu mwingine
Huwa natamani Sana zukhra ungeolewa na Salim kikeke 😍
Zuhura kaoa mzungu na ana watoto pia
Salimu kikeke ana mke
Sijaona maswali ya msingi mlomuuliza legendry wa tasnia ya habari Zuhura Yunusi!! Wabongo bwana!!
Hivi hizi like hua zinapikiwa na chakula gani maana kila mtu anaziomba
Pole Sana Binti Kizi Ajallikazi Nakuombeni Tuu Vijana Acheni Tamaa...
Mi nampenda sababu ni Mwanamke mwenye Stara zake
Pole saaana bint kiziwi, na zuhura yunus. Huaga tunawafuatilia saaaana
Nampenda sana huyu zuhura yunis jaman.
Nimempenda sana huyu dada kuhusu mahusiano nimependa mno ana busara sana nimemuona anavyocheza mziki wow God bless you my sis
salma luhombero aje kwangu
Mm nampenda naomba awe mke wangu nimsalie watoto john Arusha
@@johnmollel8885 Kumsalia mana ake no kumuombea lugha unaiharibu ya kiswahili kaka, sa na za huaga zinabadilisha maana
Assalam Aleykum, dada Zuhura vizuri kua wazi Alhamdulillah Basi mimi ninaujumbe wako naomba namba if you don’t mind please
Majirani zetu mumebarikiwa Alhamdillah.....hongereni sana kama sjakosea Bi.Sluma Kassim pia niwe kutoka Tz.....254 ndio kwe2
Na Aysha Yahya pia ni Mzanzibar
Hongera sana kwa kuhangaikia maisha ila kumbuka mchumba juani hulia kivulini maskini na watoto tajiri na pesa zake je unategemea mwanao kuwa mjukuu wako
Zuhura.tunakuhitaji xna nyumbani hukuhuku wa kukuoa tupooo.!---One love kwa zuhura yunus..........
Mbona hamkumuuliza umri bi zuhura yunus, ila nimependa kipindi big up
Umri na ni kabila gani
Mashaallah upo vzr sana karibu sana
Binti kiziwi mzuri jamani 😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘
Daaaaaah kwl kbx
Mashallah Allahumma baarik laha wajiaal khaira fy hayatiha
Ila jamani Dada Zuhura Ni mzuri jamani
Nakupenda Zuhra jinsi unavyotangaza 💞
Hayo ndio matatizo kuionea Dini yako aibu ni sawa nakuto kuridhia chaguo la mola wako
Ulizeni vizuri maswali bhn... inaonesha kabisa kawaacha mbali sanaa zuhura
Kweli waulizaji kawaacha mbali sana
Mashallah zuhra mtoto wa kitanga
Mtoto wa kizanzibar uyo
@@adambritish435 mzanzibar mwezangu wapemba tunajuana
Nampenda sana....
MUNGU AKUHIFADHI ZUHURA
Mwenyezimungu,akubariki!!uko Mwisilamu wakweri,siyo kama huyu Salima refer wakinyarwanda hataki kujistiri
Ulaya hakuna izo za kujuana kama nyumbani. Huku elimu, kujiamini na usmati wako. Single but not available, it is a very smart answer. She doesn’t miss anything you guys don’t you get it? Ulaya hasa Uingereza wanajali sana heshima na dini ya mtu bila upendeleo. Ukitaka utavaa hutaki sio lazima kuvaa hijabu.
Waeleze hao wabongo, hata mie mbongo lakini naelewa. Pia swala la mahusiano nje single au kuwa na boyfriend kitu Cha kawaida Sana. Nyumbani kuelewa dili hata kama hufaidi mahusiano
Mashaallah somo yangu nakupenda bure majina ya zuhura wataratibu na wakarimu nasauti mashaallah
Mmmh jamani
Kabsa yaan jina zuhura....ni utajir wa hekma....ubarikiwe sana somo
Napenda sauti yake pia nafikiri ndio maana alipata kazi.
Zuhura nampenda sana hasa pale alipomtia maswali Lowassa na Lowassa akawa akajibu kwa jazba'nitakwenda kuchunga ngombe kijijini😂😂❤❤❤
Watangazaji/waandishi wa Habari wabongo wengi wao mnauliza weak questions mumejawa na maswali ya umbeya tu.
Allah atakujaalie upate mume mwenye kheri na wewe. Amin.
As alykum hbri zako. Dada Zuhra yunus.
Nakupenda sana Zuhura uko makini kwenye kazi yako
Unaomba like uipeleke wapi, mm ctaki like zenu aah
Bi Zuhura inamaana hujpata kweli basi mi nataka.
Kiswahili chako tuu Bi Zuhura...🙌.
Watangazaji hawamuachii anae hojiwa kuongea au kujibu kile alichoulizwa.
Ukiangalia nakusikiliza utaona kama ZUHURA YUNUS yupo kama disturbed kwenye kile alichomuuliza BINTI KIZIWI.
Nilijua walivyo mmpa chance Zuhura kumuuliza chochote kuwa watakaa nakusikiliza bali wao ndo wanajibu.
Sometimes stay calm and learn.
Poleee sanaa binti kiziwi
Mashaallah
Bi.zuhura uko vizuri kweli kwa utangazaji
Nakupendang wew dada
Nampenda sanaa huyu dada... Huyu ndio kanifanya mpaka nalipenda hili jina la Yunus... İ so much love you dada Zuh😍
Maamuzi yako nimeyapenda sana
Gheri sana
Mashaallah, akiridhia nimuoe Mimi na watoto atapata
Duu ikali number aipatikani👊🇹🇿
Uko vizuri dada,
Duh Allah atakufanyia wepesi
Ameen Allahumma Ameen
favourite news anchor!!!
Ana sauti nzuri saana
Mzanzibari huyo!!
😂, halafu pia anasema yupo SINGOOOOOOOOOO
sauti yake ndio
Nani ukizungumzia?
mi namshauri amuogope allah zuhura,
She is so romantic
Arise and shine
Hizo like huwa mnakula?
😁😁😁🙌
🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka Sasa
Like zingekuwa zinaliwa watu wangavimbiwa wa kweli.
😂😂😂😂😂😂😂😂 eti wanakula
Penda Sana Zuhura sauti yako iko njemaa sanaaa!!!
Mimi niko tayari nimpatie mtoto tufunge ndoa
@@allymgosi2851 mfungukie ndugu!! 👍✌️✌️
Nawaomba ndugu watangazaji naomba nikutane nae yuko wapi
Nimependa ZUHURA ulivyosema kuwa ulidhani ni maswali ya kitaaluma zaidi ila wabongo maswali yao ndo ayo
Pole sana binti kiziwi
Zuhura nakuombea Kwa mwenyezi mungu akuongoze ktk njia ilionyooka
nimeipenda
niko tayar akitaka ndoa
Leo umebanwa zuhura umerudi mama akupe kazi inshallah
Daah yani binti kiziwi ni mzuri MashaAllah 😍😘
Zuhura yunuce , nakukubali sana dada uko vizuri sana
Good
Nampenda sanaaaa
Basi tunakuombe na ww inshallah upate mume na ww uanze family panapo majaliwa
Nice one bi zuhura
Bi.Zuhura Yunus bado hajaamua kuweka mahusiano yake wazi, ujue wengine hawataki kuanika mambo ya ndani hadharani!!
HONORY KWAHHAY
Kweri asee
Hawa wamezoea kuwahoji akina hamorapa, huyu ni next leval
Nakumbuka solotheng ndio Mtu wakealikuwa
Honger mama
Me nipo single b.zuhura naomba tuoane me mwislam.Hassanoo Waziri
Mtu Professional utamjua tu ebu ona maswali anayouliza zuhura 😃
Critical sanaa sema watangazaji wa Clouds wanakatiza mno mahojiano sijui ni kwanini non professional kabisaaa
Bizuhura mi nakupenda unavojiheshim na kujistiri vyema mda wote