Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano yasiyokuwepo"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 346

  • @abdulahmed7111
    @abdulahmed7111 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +249

    Wanaomuunga mkono mwenye kitu mpya Ajae Lissu tugonge like hpa tupate Uongozi mpya

    • @Kigamboni10
      @Kigamboni10 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mti wenye hupigwa mawe
      Matunda

    • @robbyligima156
      @robbyligima156 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Kigamboni10 mti wenye mawe hupigwa matunda 😅😅

    • @BabaFarzan-ml4er
      @BabaFarzan-ml4er ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mjomba wa Taifa ❤

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +83

    Kuanzia leo mimi ni team Lissu

  • @maximillianmcharo9628
    @maximillianmcharo9628 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +77

    nimemsikiliza lissu machozi ya furaha yananitoka wangapi machozi ya furaha yamewatoka gonga like za kutosha

    • @michaelelliac7273
      @michaelelliac7273 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Punguza mihemko kijana unaelekea kubaya!!

    • @maximillianmcharo9628
      @maximillianmcharo9628 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@michaelelliac7273 nimerusha jiwe gizani limekupata nini mimi mkorofi sana

    • @mtei1104
      @mtei1104 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unalia kwajili yanni mhuni wwe katafute hela

    • @emmanuelnjelekela6299
      @emmanuelnjelekela6299 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pumbafu sana kumbe wewe pimbi😂 unataka kua daraja la mmtu sio?

    • @NuruNswebe
      @NuruNswebe 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaaah jamani MTU asifuraie kuhusu lisu​@@michaelelliac7273

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +67

    Asanteni sana BBC kwakutuleteeni sehemu ya pili 🤝❤

  • @pastorjoseph476
    @pastorjoseph476 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Kama unamwelewa lisu vyema tia like ya nguvu

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +36

    LISSU ✅✅✅ WANAOAMINI HII LIKE HAPA.

  • @anthonylema007
    @anthonylema007 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +75

    Now I understand Lissu 100%

    • @edwardleonard8039
      @edwardleonard8039 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hata mimi nimekuelewa mkuuu

  • @MkaliMlanzi
    @MkaliMlanzi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +35

    Lissu hachoshi kumsikiliza...huwezi kutoka bila jambo jipya kwenye mahojiano yake

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +22

    Mungu akutangulie Lissu tuko naww ad uwe mwenyekiti

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +24

    Asanteni BBC kwa hii, ile haikuwa na sauti nzuri.

  • @ZaynWalad
    @ZaynWalad 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +44

    A man with his Integrity

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +26

    wapiga kura chagueni Tundu Lisu

  • @nestor384
    @nestor384 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +24

    Mimi upande wangu ni wa Tundu Antipas Mughw’ai Lissu

  • @jumannerizimbura6750
    @jumannerizimbura6750 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +22

    Uliyopitia, Mungu hakukupatia nafasi ya kuishi bila sababu. Keep on moving

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Kwakweli hata kwenye matatizo kuna kusudi, Mungu huwa hakosei

  • @songombingo108
    @songombingo108 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +23

    Lissu: The humble Man

  • @AlfredNgaila
    @AlfredNgaila 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Asante sana kiongozi

  • @novatusmwikola742
    @novatusmwikola742 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +20

    I love you lisu

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +21

    Well done Lissu!

  • @DrDaniel-w5y
    @DrDaniel-w5y 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +24

    Leo kala sana bando langu jamaa achoshi kusikiliza alafu leo kama kachukua busara za mboe confidence ya magufuri na saut ya samia hahha kudos Lisu

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Tunashika on trending no 1 jambo pia on trending 2 BBC ❤❤❤❤❤✅✅✅✅✅✌️✌️✌️✌️✌️✌️🇹🇿✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️🇹🇿✌️

  • @husseinyusufu5498
    @husseinyusufu5498 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +18

    Dah point sana!!

  • @josephmabhenga
    @josephmabhenga 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Pole lissu hawezi kukunja mguu wake kisa chadema

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Yaani Hadi huruma
      Lkn mwenyewe hata hajari😢😢

    • @RobertMshiko
      @RobertMshiko 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Iseee had huruma

    • @paritsaruni5019
      @paritsaruni5019 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Haimuumi kwa sababu yeye ni mwanamapunduzi ya kweli!

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ila inauma kwa matusi anayotupiwa wakati amesacrifice mno kwa chadema

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Tundu lissu angekua msanii tungekua ON trending tundu saivi anashika trending no 1 on TH-cam pia kuna single ingine inashika on trending 2 kwahyo tunashika no1 na no 2 duu kweli watanzania tunakita✅✅✅✅✅🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️✌️

  • @Mtuwawatu1993
    @Mtuwawatu1993 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    LISU LISU LISU Daima mabadiliko

  • @adrianchimoto4
    @adrianchimoto4 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Genius tundu lissu

  • @evaristmagige6072
    @evaristmagige6072 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Nmekosa mimi nmekosa mimi nmekosa sana😂😂😂

  • @GodfreyLuanda
    @GodfreyLuanda 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +19

    Lissu makini sana

  • @isackjacob8127
    @isackjacob8127 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Yaniiiiiii huwezi choka msikiliza lisuuuuuu🎉🎉

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lissu The Master Mind ! Very smart guy.

  • @SulemaniAli
    @SulemaniAli 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +28

    Mama mama mama 😂😂😂😂😂😂😂

    • @ahmedalkithri9208
      @ahmedalkithri9208 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Umemtaja kwa mara tatu

    • @SulemaniAli
      @SulemaniAli 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@ahmedalkithri9208 🤩

    • @samtomkilao6447
      @samtomkilao6447 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kanyooka huyu😂😂🙌

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    LISSU ANAPIGANIWA NA MUNGU PEKEE 🙏🙏

  • @PeterIdd-d3c
    @PeterIdd-d3c 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Kweli Mungu akutangulie muhemiwa Tundu Lisu, pamoja tutashinda

  • @urioxidetz8893
    @urioxidetz8893 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Hitakuwa ni mshike mshike kweli kweli

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Nakupata vizulii kamanda lissu

  • @Simulizitulivuu
    @Simulizitulivuu 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Ila Lissu aishi milele jmn

  • @Jesusisable-t7q
    @Jesusisable-t7q 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Namanga kuja Arusha ni Maama maama mama mama😂😂😂😂

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Et mama mama 💕

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Aisee hayo mabango ya mama yameenea nchi nzima utafkiri kampeni zimeanza hii ni aibu

  • @alfredmjeru3574
    @alfredmjeru3574 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Lissu ni kiongozi imara sana

  • @Msemakweli058
    @Msemakweli058 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Mh LISSU umesema kweli kabisa

  • @alexkabeho5609
    @alexkabeho5609 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Oooh yes Mzee🎉

  • @simeonmazigo5918
    @simeonmazigo5918 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Amenifurahisha sana et kitu pekee tunachokitangaza Kwa ukubwa Inchi hii ni MAMA Inamaana hatuna biashara au rasilimali za kutangaza kuchochea Uchumi wa Inchi?😅😅😂😂

    • @sittandaki2135
      @sittandaki2135 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamaa anahakili sana

    • @ahmedalkithri9208
      @ahmedalkithri9208 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hahahahq

  • @azamhasheer7852
    @azamhasheer7852 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Lisu apewe Nchi

  • @BillyNyantuu
    @BillyNyantuu 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mbowe kanunuliwa na mama samia

  • @EmanuelMuna-w2q
    @EmanuelMuna-w2q 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huyo Mheshiiwa Mboye anatakiwa aachie kamba haraka sana.
    Ni kweli Mheshimiwa Mbowe amechoka kabsa siasa, lakini yeye bado hataki kuwaachia wengine wenye ueledi zaidi mkubwa wa kisiasa na uongozi wa kiitaifa pia.
    Mr. Mbowe ni mwanaisiasa aliyechoka na sio mwanaharakati wa kukipambania chama chake kwenye dira na dhamira mpya ya chama cha CHADEMA.
    Mr. Mbowe amechoka sana hadi kufikia wakati kuwa hawezi kupambanua tofauti za kisiasa, dira na dhamira ya chama cha CHADEMA. Mr. Mbowe amepotea kabisa kisiasa sawasawa na mtu anayetaka kuoa tena upya, ili aweze kutafuta mwelekeo mpya wa kimaisha wa kutafuta maisha mapya.
    Mr. Mboye siye yule Mwenyekiti tuliyekuwa tunamjua kabla ya kufungwa gerezani na Hayati Dr. John P. Magufuli. Ni kweli kabisa Mr. Mbowe kapotea kabisa, hata kusahau kuwa alipewa kazi ya kutengeneza katiba mpya ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
    Katiba ya sasa ni bado ile ile ya zamani, ambayo ina chama kioja cha kisiasa na siyo katiba ya kidemokrasia. Hiki chama cha CCM kinafahamu kuwa jshi la Polisi Tanzania ni chombo cha chama cha CCM, na siyo chombo cha serikali kuu chenye mamalaka ya kuviongoza na kuvilinda liusalama vyama vyote vya kisiasa Tanzania (Tanganyika na Zanzibar).
    Mr. Mbowe hawezi kabisa kuendela kukiongoza chama cha CHADEMA.
    Kama chama cha CAHDEMA kinataka kuona maendeleo ya chama chao hicho, basi wakati umefika Mr. Mbowe ajiuzulu na kungátuka katika uongozi wa CHADEMA au kugombea uenyekti wa chama cha upinzani, chenye malengo makuu kuibadilisha katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania na kuweka sera mpya za chama na halikadhalika kujenga dira na dhamira mpya ya CHADEMA, yenye malengo ya kukiboresha chama na kukifanya chama cha CHADEMA kuwa chama cha ushindani na siyo chama cha kusema NDIYO, NDIYO tu kwa chama kinachotawala kimabavu na siyo kidemokrasia. Chama kilichoshindwa kabisa kufanya uchunguzi wa kipolisi na kisheria, ni nani aliyetaka kumuua Mr. Tundu Lissu na ni nani aliyemuua Mzee Ally Kibao.

  • @allychilinga1958
    @allychilinga1958 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    T.A.L THE GENIUS 👊

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    huku lissu kule othman masoud lazima utabiri utimie .

    • @aminielyusufu4351
      @aminielyusufu4351 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Uko sahihi kabisa

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisaa yaani patakua pamoto zile siasa za miaka 10 iliyopita zinarudi

  • @innocentjonh1732
    @innocentjonh1732 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mungu akubariki na kukulinda mh Lissu,ukapate kutimiza malengo yako kwa Chama na nchi..

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Lisu oyeeeeeeee

  • @michaelmosha4902
    @michaelmosha4902 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu is so brilliant.

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @MaximeMasinga
    @MaximeMasinga 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    😂😂😂😂😂hapo kweny mabango ya mamamamamam nmecheka sana 😂😂😂😂🙏💪🙏💪

  • @MoudyMuzungu
    @MoudyMuzungu 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Baba yangu mm binafsi nikikusikiliza moyo Huwa unatulia sana vilevile ukipa misukosuko ninapata tabu sana moyoni mwngu nakupenda sana Mkt wangu Mungu akulinde akupe Maisha marefu sana!

  • @sixberthcostantini9290
    @sixberthcostantini9290 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    MH Tundulisu yapo mambo mengi sana yamsingi ambayo nazingatia kwako, jambo lakwanza auna unafki penye ukweli unasema ukweli.MUNGU azidi kukulinda

  • @Simulizitulivuu
    @Simulizitulivuu 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Et mamaa
    Mamaaaa

  • @NasriyDj
    @NasriyDj 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Lisuu❤

    • @SaidZablon
      @SaidZablon 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@NasriyDj alopo lisu nasi tupo

  • @saitotitimoth4590
    @saitotitimoth4590 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Lissu we love you.

  • @hamphumichael7194
    @hamphumichael7194 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Great man

  • @allatha
    @allatha 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Points

  • @AbdallahHuss
    @AbdallahHuss 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Good.lisu

  • @mohamoudali8652
    @mohamoudali8652 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sammy Awami ni mwandishi mwenye taaluma na weledi wa hali ja juu sana. Hongera sana mwandishi Sammy kwa utulivu wako na maswali mazuri na ya msingi uliyo uliza.

  • @JosephatKimoga-z5k
    @JosephatKimoga-z5k 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Jamaa kichwa sana wewe

  • @maprojectalltrends1296
    @maprojectalltrends1296 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ukiachana na Game squad 2 hii nayo ni Move yenye msisimko wa hali ya juuu😂 nasubiri tarehe 21 part 3 itoke 😅

  • @philipomponeja2457
    @philipomponeja2457 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Lissu tunae tunatamba nae

  • @hojamathias9989
    @hojamathias9989 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Watanzania mchagueni Lissu mimi nitampigia kur

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    pole muhishimiwa lisu. sana.

  • @entrepreneurfigher240
    @entrepreneurfigher240 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ukimsikiliza lisau unaona ndio mtu anafaa kupeleka people’s power mbele.

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Lisu 🎉🎉🎉🎉

  • @lazaroletion
    @lazaroletion 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kumbe ndo maana Lema aliamua kujiweka pembeni kidogo

  • @audifacejosephat7071
    @audifacejosephat7071 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Lissu mkweli sana aiseee

  • @Kayaproducts-m8u
    @Kayaproducts-m8u 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kuddos!... Best enterview ever!!! 🎉

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Super lissu

  • @thobiaspeter3860
    @thobiaspeter3860 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Lisu❤

  • @severinlouis
    @severinlouis ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂 hakuna kuamini nina juaaa This is giant president 🎉

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    😂😂😂😂ETI MAAMA MAAMA 😂😂😂😂

    • @ThomasMwadia
      @ThomasMwadia 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ha ha haaaa

    • @samwelkavwanga4491
      @samwelkavwanga4491 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Bila chega leo 😅😅Safi Lisu

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tundu Lisu nakukubali sana😊

  • @jworld1480
    @jworld1480 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    mwanaharakati hachoshi kumsikiliza

  • @raimajimoto1122
    @raimajimoto1122 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mbowe akiwa tena mwenye kiti chama kinakufa .

  • @ZakariaMhanga-iz8ip
    @ZakariaMhanga-iz8ip 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tundu lissu ❤❤❤❤❤❤

  • @mhubirisamuel5245
    @mhubirisamuel5245 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana LISSU
    Wapiga kura sisi wananchi tunamtaka TAL, tuleteeni

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    WATU WA MUHIMU KAMA LISSU NI WATU MUHIMU NA WACHACHE SANA KATIKA TAIFA, MUNGU AENDELEE KUKULINDA MH LISSU.

  • @JumaLitto
    @JumaLitto 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakukubali sana mwamba

  • @NoelNgonyani
    @NoelNgonyani 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uhandishi habari kwenye ubora wake..Timu nzima ya BBC kwenye haya mahujiano mpo daraja lenu la ubora.

  • @SulePonda
    @SulePonda 36 นาทีที่ผ่านมา

    Lissu yupo sahihi kabisa

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mwandishi mzuri sana. Ana maswali mazuri na hana biases kama Kikeke. Kama anapiga story vile lkn maswali ya mtego sana.

    • @jofreymfugale4752
      @jofreymfugale4752 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Fact mwandishi ni mzur but you don't need to criticise kikeke

  • @PapaaMashana
    @PapaaMashana 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Da lisu natamani sikumoja nikutane nawewe mukombozi watanzania

    • @Dcreature-b4m
      @Dcreature-b4m 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂 unafanya nn

  • @shabanbruno8136
    @shabanbruno8136 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Team Lisu ,mwamba kabisa jamaa

  • @StevenMoses-b4u
    @StevenMoses-b4u 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Miamia lisu ongeza msimamo

  • @EliahLoserian
    @EliahLoserian 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tundu lisu ni mkweli sana

  • @HeriKilatu
    @HeriKilatu 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kila laheri mwamba

  • @Laughters_club
    @Laughters_club 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu✅✅✅

  • @inogelapixels
    @inogelapixels 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    TAML🎉

  • @SaidZablon
    @SaidZablon 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Lisu ni kamanda wa kweli

  • @inumbuboyinumbuboy2580
    @inumbuboyinumbuboy2580 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Namkubali lissu sana

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu ni noma sana

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mungu tusaidie tundulisu ashinde.

  • @sokastreet
    @sokastreet 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mbowe angempisha tu Lisu kwa ridhaa kwasabab hali ni mbaya labda mabadiliko yatarudsha imani kwa wananchi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Simuoni mbowe akibaki chadema kama akishindwa
    Piya simuoni lisu akipaki chadema akishindwa

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio mzm ww kwani we ndio ulimpeleka au

  • @NuruNswebe
    @NuruNswebe 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂 ila lisu eti hakuna kuimbiana habari zamaridhiano😂😂😂😂😂😂😂😂 Yani lisu akiikamata chadema ItakuA kama magu alivokua😂😂😂😂😂😂