Big up sana sky 💪💪💪 mimi napenda sauti yako kwenye Story 👌 nimeanza kukufatilia 2017 nikiwa Nairobi kenya 🇰🇪kwa sasa niko Belgium 🇧🇪 hadi leo niko na wewe 👌
Alianzia VICTORIA FM ya Musoma Mara bdye RFA na kuendlea huko kwingne lakin mara ya kwanza nimemsklza vfm 90.6 Musoma mwaka 2004 maisha yanatoka mbali sna aiseeeee
Big up sana kwa mke wake.n kweli mwanamke akijitambua akatambua mission ya partner wake,n rahis sana kutoboa. Support ambayo tunahitaji kutoka kwa wake n usikivu wa Kichwa na sio kuletewa mahangaiko.
Pia ukimpa mwanamke hio nafasi wanaume wengi hawapendi kushauriluwa na wake zao kwa kujiona ni wakamilifu na wao ndio wanafaa kuwa waamuzi wa kila kitu na hawataka kushauriwa na wake zao
Nimefunzwa kuongea kidogo tu.... naikumbuka nymbo yko hiyo enzi hizoo,bila kumsahau Kidbway(weekend fever) pamoja na Zubery Msabaha(Boringo time).Salaam za pongezi toka Zoo🐟
Sorry wahenga huyu ndo yule SKY WORKER wa RFA ya mwanza enzi hizo msuli wa 4M4 2004/2007 mpaka Adv 2008/2010 alitukamata sana Friday Weekend fever 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Millard hii interview kubwa sana kaka ilibidi uifanye mwenyewe, sijapenda namna mmeifanya simpo namna hii kwa content muhimu kama hii, yan mpaka mkono umuume SKY kwa kushika Mic?? ...oooh Men
Me nampenda huyu kaka ana Hekima mpaka raha❤
Napenda anavyotambua uwepo wa mke wake kwenye mafanikio yake..such a gentleman
Msukuma huyu wa tofauti mana msukuma hadi arecognise uwepo wa mwanamke sio kawaida
Millard Ayo ndio angemuhoji Mtu mbad Sk 🔥👌
Kabisa,next time Millard mkimuita mtu kama Sky it’s respect kumuhoji wewe.
Sure
From Rwanda : Huyu Baba Namkubali sana, Anajua na ana Karama ya Anacho kifanya. 💯👑 Anani inspire Sana. 💪👌
Huyu jamaaa huwa namkubali sana ila nilitamana ahojiwe na Millard Ayo mwenyewe
Sure
Kabisa, huyu ni legend kabisa. Alistahili kuhojiwa na legend Muyenjwa mwenyewe.
Anaweza sana
For sure
@@godfreykeita9804Interview ingeenda sana.
Daah jamaa yuko vzr saana mashaallah mziki anauelewa vyema kbs,sky nakukubali sana kaka 🇶🇦
INSPIRATION, Much respect to you and your team at SNS.
Mungu azidi kukuinua mwanangu yaani nimekuwa nikipata baraka sana kupitia Sns,Yaani ulicho nacho ulipewa na Mungu.
Kipaji cha mungu kabisaaa
Big up sana sky 💪💪💪 mimi napenda sauti yako kwenye Story 👌 nimeanza kukufatilia 2017 nikiwa Nairobi kenya 🇰🇪kwa sasa niko Belgium 🇧🇪 hadi leo niko na wewe 👌
🔥🔥🔥
Hi
Hatimae na yeye kafanyiwa Interview leo so far ❤❤❤my brother
Toka R,F, A. Mwenyezi Mungu akulinde zaidi.🇹🇿🇹🇹
Mambo vp upo Trinidad?
@@baddestgames2784 ndiyo
Big up sana brother SKY I’m ur biggest fan from NY💯🏆🙌🏾
Mashaalah ata mm nampongeza sana wifi kwasababu ukiona mwanaume anakusifu ujue unathamanu sana
Mkubwa Sky Nakufuatilia Sana Sababu Nipo Inspired Sana Na Unachofanya Pia Ni Mwalimu Wa Vijana Wengi Mkuu 🙏🙏🙏🙏
Yaani naipenda sana sauti ya huyu mwamba, Stori zake sichoki kusikiliza❤
We kama mimi
Tuko pamoja
Mungu azidi kumbariki #fredrickbundalaskywalker🙏🙏🙏
His voice is Magic 🦅
Alianzia VICTORIA FM ya Musoma Mara bdye RFA na kuendlea huko kwingne lakin mara ya kwanza nimemsklza vfm 90.6 Musoma mwaka 2004 maisha yanatoka mbali sna aiseeeee
SKY ndo mtangazaji wangu bora wa muda wote
I Always respect You Brother 💯
Anamkubali harmonize huyoo 😂❤ Anyway na mi nampenda pia
We need more men like him in Tanzania
He is so perfectly
Absolutely💯
Najisikia vizuri kusoma comment nzur zinazomhusu kaka angu Frederick SKY
Big up sana kwa mke wake.n kweli mwanamke akijitambua akatambua mission ya partner wake,n rahis sana kutoboa. Support ambayo tunahitaji kutoka kwa wake n usikivu wa Kichwa na sio kuletewa mahangaiko.
Pia ukimpa mwanamke hio nafasi wanaume wengi hawapendi kushauriluwa na wake zao kwa kujiona ni wakamilifu na wao ndio wanafaa kuwa waamuzi wa kila kitu na hawataka kushauriwa na wake zao
@@pikanaauntzuu1466 ni kumsaidia,ukiona hasaidiki achana nae tafuta ambae atakusikiliza na kutambua nafasi ya mke ktk familia.
Love him his so cool man ❤
Sky unasauti expensive sanaaa 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥sauti adimi kama kina miradi adam mchomvu rillomi djaro walungu niwatu nao wakubali sanaaa
Sana
Kazi nzuri ongezeni makala za kutosha watu tujifunze mengi
I Always respect You Brother 💯 ❤❤
From 🇺🇸 Big up Always chase your dream 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌💪
Nampenda saana sky❤❤❤❤❤😊
Sky upo smart sana hongera kwa kazi nzuri. Mwenyezi Mungu akufikishe mbali
Isee kwa mara ya kwanza ninamuona. Ninamkubali saaana. Hao ndo walikuwa mwamba wa RFA akiwemo Samweli Joseph Devis Kihama, KidBway. Iseee noma sana
Nampenda sana uyu kaka sauti yake❤❤
Big up sana bro, wewe ni gwiji katika utangazaji Sky , kama ni kipaji basi unacho
Hii interview angefanya Millard ingeenda saana!
Wengine tunakujua kama Sky wa radio victoria fm ya Musoma
I’m from Zanzibar unguja bigup I can’t go TH-cam without go SNS 😮
Jamaaaa anajua sana big up sana we are going to sns only for him
Nampata tangu akiwa RFA.
Long way to go buddy!🎉🎉
Jmn mimi nitakuwa biggest TH-camr kushinda wote leo ni jumatatu tarehe 27nov-2023
Kaka Sky Fanya mpango uwe na Ma reporter mikoani 🇹🇿
Ikiwezekana pia All of East Africa
Nimefunzwa kuongea kidogo tu.... naikumbuka nymbo yko hiyo enzi hizoo,bila kumsahau Kidbway(weekend fever) pamoja na Zubery Msabaha(Boringo time).Salaam za pongezi toka Zoo🐟
Nakumbuka mbali sana' R.I.P Zuberi Msabaha
This guy is my role model love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Ntuzane hano Austin wanyu 😂😂
Muraho neza
@@samwelrobeth7763muraho muraho 😂
@@tamimbinaltan1325uriya ntakinu kirimo kbs 😂😂
17:12 mmesikia sky kanitaja haya mje mni support kijana mwenzenu 😅
😂😂 nimeona bana. Amedema unakutana na media ambaxo hujawahi kuzisikia NDIZIMEDIA 😂😂😂
Wooow' SKY WORKER❤️❤️❤️❤️❤️
Hakuna kama SKY hapa Tanzania
Nakukubali sana sky❤❤❤🎉🎉🎉
Sky kazi nzuri sana, nakufatilia kutoka 2018 mpaka leo na kukubalisana from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Muda mrefu sana huyu jamaa nimeanza kumsikia✅✅
Sky bana weeh... huyu ni beast.from kenyan to dar tz.namhenzi sana.alafu zile real story broo...pale SNS zirudii🎉Millard Ayo💯🔥💎💪💪
Mtangazaji wangu number Moja 🔥
Bro fred much love from 🇺🇸 big salute i follow your channel every day.
Sorry wahenga huyu ndo yule SKY WORKER wa RFA ya mwanza enzi hizo msuli wa 4M4 2004/2007 mpaka Adv 2008/2010 alitukamata sana Friday Weekend fever 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nampenda sana brother sky mungu amzidishie ❤🎉
.safi.sana bro.kwanini.basata.pia.wasianzishe sho iri kuendelea kusapati music
JAMAA ANANI INSPIRE SANA AISEE NISIWE MNAFKI
Mtu wangu sanaaaaa, namkubali sanaa aisee
RFA mlikimbiza sana...mtoto wa mama sabuni glory Robson Yuko wap..mlikuwa mnakimbiza sana RFA
Daaah asee nimekumbuka ile pisi glory,ile ni pisi asee sijui iko wapi saiv
Tuleteeni na mtoto wa ma sabuni glory Robinson
Ni kheri kuyashinda majalibu ila kufeli nikushindwa kujaribu✊💪
SNS TO THE WORLD🚀🔥
Makini Sana brother SKY
Sky nakukubali Sana
Nakufatilia tangu sitosahau rfa ya ridio Fri Africa sitosahau hadi sns mung akupe maisha marefu kaka
Mke wangu love you sana .from sky voice
Kaka Mathias hongera sana.
Akilii nyingi sanaa Sky 🔥🔥❤️
Hongera kijana, namfahamu Bundala miaka 90+ nss as yeye IQ ilikuwa hatar huenda ni ukoo mmoja. Big up
Never give up. Thanks for the inspiration
Sky walker tangu RFA (sitasahau), bongo 5 na sasa SnS tuko pamoja sana.
Ma Shaa Allah Tabarakallah twakupenda kkangu Sky🙌
Nakukumbuka sana kaka sky tangu
Enzi za show time kule rfa., kipindi kile ulinifanya niwe karibu naredio yangu kila kilipofika kipindi chako.
Top level story teller ❤✌
Binafsi naheshimu sana mchango wake kwenye sanaa 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Napenda huyu jama love from Burundi
Brother so wisdom man 🔥💯🎤🎚️
Such a gentleman God bless you bro Sky
Mungu akuinue zaidi!🤝
Namkubali sana sky una kipaji sana.
Sky skilled person
Good sana endelea kuvumbua vipaji brother
Man is the genius
Mashaallah 🎉🎉
Nakukubali sana sky
ni kheli kuyashinda majaribu ila kufeli ni kushindwa kujaribu this point 🎉🎉🎉
You're the best bro
@Millard hii interview kubwa sana kaka ilibidi uifanye mwenyewe, sijapenda namna mmeifanya simpo namna hii kwa content muhimu kama hii, yan mpaka mkono umuume SKY kwa kushika Mic?? ...oooh Men
Sky na millard ndio namba one kwangu
Love his man so much!! So inspirational and supportive!! By far the most hard working man in TZ Media!! Sky for President!
He is a legend
Respect to you brother🎉
❤❤ nampenda huyu jamaaa ndo ananiipire mno kaka huyu alinishauli mamkubali one day yes
Appreciate 👍
Big up sana sky.
Penda sana kaka SKY
Kumbuka broo ulianzia musoma vfm yahani victoria fm,
SKY talented 🙌
Jamaa noma sana huyu
Nikitaka kipata habari za ukweli huwa naangali SnS na miradi Ayo tu
Nakukubali sana broooh
Sky nakukubali Sana SNS big up