Wafahamu waandishi na watangazaji wa BBC Swahili
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2016
- BBC Swahili inasherehekea kutimiza mashabiki milioni mbili Facebook. Hatungefika hapa bila wewe shabiki wetu mpendwa. Familia yote ya BBC inasema ASANTE!
Hawa hapa ni watangazaji, wahariri na waandishi wa BBC Swahili. Sikiliza ujumbe wao. Uliwafahamu wote? BBCSwahili/?...
Mzanzibari halisi Suluma kassim Mashaallah uko poa mama
Nimefurahi kumuona Suluma Kassim.Wawoooo
Sloma Qassim, Abubakar Famau, Iddi Seif, Alex Mureithi na Mariam Ommar nami nawakumbuka sana katika sauti za kiswahili katika muvi ya Yesu.
Aseee ndo waloingiza sauti😲😲
Alex Murezi ni kweli ana sauti ya kuzaliwa na sio ile ya kujiigiza... Mashallah!
nampenda xanaaaa Alex molzi nampenda xanaaaa mzeee huyo anaongea vizuri mungu ampe maixha malefu
Tears in my eyes... Am so happy to have seen this
You are great people
Suluma Kassim is also one of the best, naona wote hawa wawili wanazeeka sijui baada ya hapo kama ntakuwa napenda kusikiliza bbc swahili
Nawapenda sana BBC Swahili ❤️
Naipenda sana BBC Swahili. Nyinyi ni mabingwa wa utangazaji na mmechangia pakubwa ukuaji wa taaluma yangu ya utangazaji na uandishi. Asante sana BBC.
Asante sana BBC, huyu ni shabiki wenu tangu nikiwa mtoto wa shule ya msingi (1978), Enzi za kina Aisha yahya-Erick Munene-mpaka wakati huu wa kina Salim Kikeke, Daiyo Yussuf na wote hapo studio ya Bush House mpaka huko ''mashinani''. Inshallah nitazitembelea studio zenu na zile za VOA Enzi za (Emanuel Muganda), Sauti Ya Ujerumani Enzi za kina (Umul Kheir, Ahmed Mohamed, Erasto Mbwana na sauti yake safi kabisa)-, Radio Moscow-Sawhili, Peking International--Enzi za ''vita baridi'' kati ya mataifa makubwa. mechangia sana elimu yangu ya kimataifa.
Shukran
Shaban Ndege, Salin kikeke,Zuhula yunus. Nawapenda sana..🙏🙏🙏🙏
Yaan saut Alex na shabani ni saut ambazo ninavutia nazo sana kiujumla BBC naipenda kusikiliza kwan napata habari zote dunian hongereni sana
Alex Mureithi sijui kama hiyo sauti ulizaliwa nayo ama ulifanyia mazoezi.
Tunawapenda tunawaombea mungu awalinde muwepo daima kutuhabarisha
Alex Muriethi one of my favourite reporter plz may i get ur clips, just wanna hear ur voice
Masha Allah BI zuhra Allah akupe umri mrefu wenye faida pia Na nyoote kwa ujumla mmeelimisha kweli
Alex Muridhi, Zawadi Machibya 👍🏾👍🏾👏🏾👏
Nimependa sana hasa caroline
Ngoja kidogo, video hii imenirudisha miaka ya tisini kwa maana nilisikia sauti za watangazaji ambao nimeona nyuso zao leo mara ya kwanza. Mungu ni mwema, nyote mbarikiwe. Kutoka Nyeri, Kenya
Tears Down My Cheeks, Voices I Dream To Meet 1Day.
Nimefurahi sana husuusan kuwaona kwa mara ya kwanza Nguli wa hapo BBC akina dadangu Suluma Kassim na wengineo woote.
Saut ya Alex ni nomaaa kwenye kuripoti
Julius Angelo na Chama Omar Matata
Uyo mzee ni noma
Aninikoshaga Sana chama Omar Matata nae anavitu adim pia
Huyo mzee ni noma
Kabisaa
Big up sana Bbc swahili mungu awabarik(ali vyombo)kutoka tiwi
Nawashukuru wote kwa News BBC 👏👏
Mm nampenda Sana Ares molezi iv anatokea taifagan
Kenya
Omari Mkambala hongera sana broo
Team soloma kassim
abdinoor Aden masha Allah
Mm!+254722209176.inbox.whatsup
Uko sawa
hongereni sana kwa kuwajua nyote
Nampenda sana Munira Hussein
Salmu kikeke na timu yako hongereeni sana kutoka londan.Kutoka Tanzania mwanza mimi ni Chris Mbut nawatakia Kazi njema kutupasha habari zinazotokea duniani kote asante.
mpeni hi sarim & zuhura na wengine woote Love u bbc swahili
Dickisoni ryoba please follow me on Twitter IreneJiggerKeny
joseph chacha wa moro nawapenda wote mko vizuri sana bbc.
hongereni sana
Mariam Abdallah nakupenda sana kama hujaoelwa naoma unicheck tafadhali....
nawapenda wote BBC
Mmmmhu!
Dina gahamanyi heshima kwako mamy
Nawapenda wafanyakazi wote wa BBC mwenyezi mungu akuzididhieni uzima .
Napenda pia sauti ya ALEX MURIDHI,sauti kongwe
Nyendo Angela,
Yuko vizuri sana
dinah chahali, wa bbc congratulation mamy
Wooow,💓💓💓
Napenda siku moja iwe kweli niwe pamoja na ninyi kama familia kupitia kipaji nilicho nacho cha utangazaji
Heko BBCSwahili... Hatua Nzuri Sana, Kurasa Kupendwa Na Zaidi Ya Watu Milioni, Si Rahisi. Heko Tena. Vipi Sura Ya Maria Omar Haionekani... Maoni Yangu Kama Msikilizaji, Mpange Wasikilizaji Na Wanahabari Wa BBCSwahili Waonane Nikiwemo Ili Tujue Watangazaji Wetu, Si Kwa Sauti Tu Bali Hata Uso Kwa Uso. Heko! Kila La Heri.
Mimi Ibrahim wamala musikilizaji wa Redion BBC kiswahil
mimi huwa naipenda sauti ya regina mziwanda anavotanganza..natamani nikimaliza masomo yangu ya uandishi wa habari nipate bahati yakuonana nae!
Shaban ndege you made my days when you were in national radio
Nawashukuru Sana
Nawaamini Sana
Kazi nzuri mnafanya hongereni
Ushauri kwenye kujitangaza majina yenu ni vizur kukawa na maandishi chini ili iwasaidie wenye tatizo la kutosikia bubu
Nimekupata suluma kassim long time nimekumiss kweli
Mbona Aisha yahya hatujamona kabisa????
Nawapenda sana
Hongera sana
Tuko pamoja sana mko sawa sawa
asante ndungu nadada BBC Swahili
Zuhra Yunus, Ambia Hirsi, Shedrac, Dina Gahamany, Isac Mumena, Sami Awami,
Chama Omary Matata BBC
Sijamsikia chama Omar matata,,, amazing voice,, 💪
Dina gahmanyi mashaallah karibu znz
Nyendo Ángela safi saana
Eh! Mko juu
Nimefrahi sana kuwaona woote hasa Regina mziwnda Shaaban ndege Maryam dodoo abdallah Suluma kassim murelo tereww dayo yussuf wanyam chibusri na wengne woote muko vzurii wallah
Love u guyz wote wa bbc karibu mwanza tz tule samaki
BBC Swahili mko juu!
Nawapenda sanaaa BBC
wow! nilikuwa nikiwaskia tu kwenye Radio, sasa nimeona sura zenu...❤❤🥇
Safiii watangazaji wapo kiwango
Tafadhali anayejua Ali mutasa amwambie frank ochieng anamtaka
Alex Muridhi kwenye usimamizi wa kipindi cha BBC Ulimwengu wa Soka siku za weekend
1:03 Suluma kasimu ametisha
nawapenda sana nyooote BBC SWAHILI
Mnachonifurahisha BBC kila mtu anautofauti wake, sauti yake na namna ya utangazaji wake. Alex Murith Suluma kasimu, Angela nyendo na Mulilo telewa na wengine wengi sauti zetu jamani hunikosha sana . Sikumoja ntafika BBC
I like Ambiya hirsi ♥️
Dinah gahamanyi sauti nzuri duniani
Nmefurah sana kuwaona
Da! Hii raha sana kwa kuwajua hao wote maana tulikuwa tunawasikia tu.Murila telewa namuelewa sana.Mariamu dodo amazing sister......big support jamani
Zuhura Yunusu sauti yakp nzuri
Suluma bila Sauti yako ya khabar sijalala vdhur suluma kasiku...
Suluma khasim aisee wao
aaaaaahkhh!!!! yuwap Aisha yahyaa.
❤❤❤❤❤❤❤
Naikubali sana bbc swahili
Hakuna Asiye jua,hapo,wote mpo imara
Mariam doto ABDALLAH love u
Dullu
whooo, suluma kassim, Marian Dudu Abdallah, Regina mziwanda, Robert kipto, salim kikeke, zuhura yunus, mubal. Nimeipenda sana hii. Vile unatajaga jina lako Mariam Dudu Abdallah inakuwaga poa sana, na nnaposikia "...Hujambo! Mimi ni Regina mziwanda..." nakuwa napenda hicho kipande
Suluma Kasim❤️❤️
Nimemkumbuka charles Hilary BBC ulimwengu wa soka
Sauti tamu kwa swahili
BBC mpo juuu zaidi
Safi sana bbc
Napenda kuandika stor lakn sina elimu yoyot
Hii ni kweli kubwa
Mnanimaliza kwa sauti hizi na nakuwa na kiu kwa masiko
Mbona cjasikia sauti ya mtasaomary
Please watch video of Jim Nduruchi called Andrew re Jigger Victims in Kenya
Suluma kassim...sauti ya ninga!
BBC 👍
sijamsikia Aisha Yahaya
ASANTE SANA
Huyo sulma kassim, nikiwa shule ya msingi, namsikia sana! Wakiwa pamoja na vickie mtetema, jumbe omar Jumbe. Huyo Sulma kassim, ni mkongwe sana!
wanoo dixlaik 000--
Mm mpya nipokeni mdau wenu nawapenda
Abubakar famau nakusalimia Mimi Chacha tulienda nawe Nyamongo
nawapenda sana kwasababu habari zenu nizaukweli siyo zakubahatisha nawafutilia kupitia youtube zuhra yunusi na salimkikeke nyinyi watamu jamani na wengine wote mwaa mtanzania from spein
Nawapenda nyote BBC
Kazi nzuri nayo.munipe kazi.Niko islii Nairobi.+2547 222 09176
Wapi Anord kayanda na Jenson nyakundi
Muda mrefu sana tangu enzi kina John Nene kipindi cha michezo na wachezaji