NILILALA STENDI SIKU 7 KUSUBIRIA VISA | NILIKUA FUNDI GEREJI NA SAIDIA FUNDI WA UJENZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 115

  • @deusalberttibendelana2867
    @deusalberttibendelana2867 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awajalie mnatusaidia kujua fursa ❤❤❤

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana kwa kuanza maisha mapya Romania,pambana sana utafika mbali,hongera sana Shena kwa interview nzuri

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 2 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😂😂😂 aiseee daaaah cosmasi hakucheza na mda kabisa aisee.

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 2 หลายเดือนก่อน +4

    Very smart young man, atafika mbali ,

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 2 หลายเดือนก่อน +3

    dadaangu shikamoo, daaaah nakupenda sana unavyotuli anatiririka hadi rahaaa story inakuwa tamu sana, duuuuh aiseee na lile swali lako lakizushi aise nalipenda sana.

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 2 หลายเดือนก่อน +12

    Umenikumbusha mbali sana na Mimi SeaCliff ni njia moja wapo ya hustle zangu ktk mafanikio, ikifika siku yangu ntakuja ktk interview pia nitapike kila kitu😅😅😅🙌🏽

    • @MAISHAYACROATIA
      @MAISHAYACROATIA 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mcheck ss sstr hp

    • @Jeff_Tz
      @Jeff_Tz 2 หลายเดือนก่อน +1

      @MAISHAYACROATIA Bado Mkuu, ikifika muda nitamcheck

    • @MamaLio475
      @MamaLio475 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@MAISHAYACROATIAnaweza pata email yako

    • @rehemadearing3380
      @rehemadearing3380 หลายเดือนก่อน +1

      Same😅

  • @pmpaga1063
    @pmpaga1063 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kijana ameenda kwa kunyooka sana.. Inafurahisha
    Mmefanya vizuri sana hongereni ❤❤🎉

  • @EstherBao-z8y
    @EstherBao-z8y หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana cosmas uko vizuri

  • @Mwakaismsociety
    @Mwakaismsociety 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sista shena,and keep it up Mr cosmas.more good will come.

  • @LinconLopez
    @LinconLopez 2 หลายเดือนก่อน

    Dah aseee hyo ya Corona imenikumbusha Sana pindi nipo training royal hotel nungwi Zanzibar much respect kaka

  • @ProperGandatv-b1p
    @ProperGandatv-b1p วันที่ผ่านมา

    Interview imetulia Sana.

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 2 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Yesu

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 2 หลายเดือนก่อน +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 Daah nimevunjika mbavu baada ya kukutana na mnyonge wake

  • @dinnahdavid
    @dinnahdavid 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂 hii nzuri Sana jamani nimecheka

  • @kevinmushi8209
    @kevinmushi8209 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sister Mungu akutunze daima

  • @badruahmad4277
    @badruahmad4277 2 หลายเดือนก่อน +2

    Waziri gingo mdogo wangu nakuangalia sana hap

  • @radhiamponda1047
    @radhiamponda1047 2 หลายเดือนก่อน

    Asa da Shena una mshangaa mwanaume wa kingoni siku hiyohiyo kapata mchumba 🤣🤣🤣🤣Mngoni mpe pesa itafika ila mengine aah🤣🤣🤣

  • @BarakabarukNyaura
    @BarakabarukNyaura หลายเดือนก่อน

    Umetisha sana jamaa angu ww umepambana sana kaka

  • @devothasimbi6495
    @devothasimbi6495 2 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka sana ❤❤hakulaza damu kwa binti❤❤

  • @serafinecornel4181
    @serafinecornel4181 2 หลายเดือนก่อน

    Sister habari na hongera kwa interview bora naomba nitumie mawasiliano ya cosmass classmates yangu japo long tumepoteana

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o 2 หลายเดือนก่อน

    Mdogo wangu umenichekesha sana aisee

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 2 หลายเดือนก่อน

    Nice interview da shena na kaka cosmas🔥🔥🔥🔥

  • @kisagentabirage6693
    @kisagentabirage6693 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dada habari sorry naomba namna ya kumpata yule kijana anayeaoma Indonesia Kuna ndg yng anahitaji Kuomba kusoma iko chuo pls dada angu

  • @gabrieltito8458
    @gabrieltito8458 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kijana ndo nyumbani kinyerezi

  • @neemaseiler1122
    @neemaseiler1122 หลายเดือนก่อน +2

    Cosmas ukishajua mazingira ht baada ya miaka 5,amua kwenda nchi jirani,au anza kujifunza online kijerumani,kifaransa..ukija hizi nchi uongeze kipato

    • @raymondclaud6026
      @raymondclaud6026 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli mfano hata hapa ujerumani wapo watu wengi sana kutoka Romania

  • @KipazaOfficial
    @KipazaOfficial หลายเดือนก่อน

    Cosmas Njoo Brasov hapa tupige hot wine

  • @linaschannel3769
    @linaschannel3769 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeleza vizuri mno

  • @elizabethkamala9176
    @elizabethkamala9176 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera kwa kupambania ndoto yako

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana ila kijana amepambana sana kiukweli sister hadi amefanikiwa alipotarajia

  • @rosemunisi818
    @rosemunisi818 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongeraaaaaa

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana inabidi iwefundisho kwa watoto wetu 🙏

  • @BarakabarukNyaura
    @BarakabarukNyaura หลายเดือนก่อน

    Dada naomba uniunganishe na cosmas plz mmwambie baraka nikimtafuta na nambake apatikani

  • @maryamomar2034
    @maryamomar2034 2 หลายเดือนก่อน

    Daah kweli ulipata mnyonge wako😅😅😅😅

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 2 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana, nimempenda Cosmas na mentality yake, hakika atafika mbali❤ Mungu azidi kukubariki

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 หลายเดือนก่อน +1

    Safi tunatoka kwenda. Huko ,

  • @mjusi9573
    @mjusi9573 หลายเดือนก่อน +1

    ningependa kumtembelea huko siku zijazo

  • @ZeishaFuture
    @ZeishaFuture 2 หลายเดือนก่อน

    Ameelezea vizuri mungu ambariki ila dada sheina tuletee mtu wa anaefanya kazi za ndani ulaya tujue tunapataje afunguke kama huyu kaka ili tujue tnaingilia wapi

  • @MariaMagori
    @MariaMagori 20 วันที่ผ่านมา

    Jam an I naomba mamba ya huyo kijana ni

  • @nassorowaziri3076
    @nassorowaziri3076 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Cosmas lkn pia Pongezi

    • @nassorowaziri3076
      @nassorowaziri3076 2 หลายเดือนก่อน

      Pongezi nyingi Kwako Dada Shena

  • @JuvinariesNyandoto
    @JuvinariesNyandoto 13 วันที่ผ่านมา

    Dogo umenifanya nicheke kwa konyagi ndogo

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mngoni mwenzangu😅

  • @ElyThut
    @ElyThut 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ndo najua Leo kama niko 🇷🇴 ajawai niwambia

  • @NaomiJoseph-j3n
    @NaomiJoseph-j3n 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kipenzi

  • @JackilineJoeli
    @JackilineJoeli 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hii interview 😅

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 2 หลายเดือนก่อน

    Ana vituko uyu 😊😊😂😂😂

  • @moana4987
    @moana4987 2 หลายเดือนก่อน

    Cosmile mwenyew 😊

  • @MarthaZabron-v9b
    @MarthaZabron-v9b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safiiii sanaaa

  • @yjoo9807
    @yjoo9807 2 หลายเดือนก่อน

    Dada interview nzuri, naomba unikonnect na Cosmas...nitafika Romania mwezi December mimi nipo Italia...nitashukuru ukiniunga na yeye Dada

    • @salhajuma6858
      @salhajuma6858 หลายเดือนก่อน

      Hello dear ni Agent Gani Umetumia My

    • @KipazaOfficial
      @KipazaOfficial หลายเดือนก่อน

      Nipo hapa pia @kipazaofficial

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 หลายเดือนก่อน +1

    Cosmas wewe hufai kabisa😂😂😂
    Nimecheka kama fala. Yani una roho jasiri sana.

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 noma sana

  • @JaneAssey-x2f
    @JaneAssey-x2f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ulaya ile woiiiiiiii

  • @Ngwalithegreattrainer
    @Ngwalithegreattrainer 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂ilibidi ashushie na konyagi

  • @NuruJabu
    @NuruJabu 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅Mnyonge wako😂

  • @mohamedialliy1974
    @mohamedialliy1974 2 หลายเดือนก่อน

    Babu usirudi ytengeneza maisha uko uku uchawi tu

  • @JaneAssey-x2f
    @JaneAssey-x2f 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅 mbona mate

  • @Deedah4
    @Deedah4 2 หลายเดือนก่อน

    Cosmas mtu hatar😂😂😂😂

  • @samirasalim4203
    @samirasalim4203 2 หลายเดือนก่อน

    In shaaAllah

  • @kibokibosho7476
    @kibokibosho7476 หลายเดือนก่อน

    mate tana😅😅 kijana wa moto

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 หลายเดือนก่อน

    Ila Cosmas😂😂😂😂

  • @felistermahugi2902
    @felistermahugi2902 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wakati anaongea aache kufunua tumbo, awe na respective communication skills

    • @abuushady7507
      @abuushady7507 หลายเดือนก่อน

      Hajafunua tumbo amefunua t-shirt

    • @KipazaOfficial
      @KipazaOfficial หลายเดือนก่อน

      Ila wabongo nyokoooooo😂😂 yaani nyie to every solution mnatafuta tatizo😂 acheni hizo😂

  • @hkaniugu
    @hkaniugu หลายเดือนก่อน

    mmefanana kama ndugu

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 หลายเดือนก่อน

    Wooowww

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ หลายเดือนก่อน

    Hongera sana wa Kunyumba mwenzangu

  • @ZachariaMhondo
    @ZachariaMhondo 2 หลายเดือนก่อน

    NKO OMANI MUSCAT NABARIKIWA SANA SOMO

  • @endygwaje3326
    @endygwaje3326 หลายเดือนก่อน +1

    Wabongo tuwe na akili jamani , mnazungumzia Romsnia ? Are yiu serious ? Romania is poor country he was better off staying back home Tanzania . Acheni ujinga mnaishusha grade nchi yetu tukufu na tajiri .Romania siyo kabisa wananchi wao wanakbia nchi.😊

    • @Josejoachim
      @Josejoachim หลายเดือนก่อน +5

      ni poor country lakin huwezi fananisha na bongo yaani mtu aache kwenda kuchukua euro 950 kwa mwezi akae bongo alipwe 3000 kwa siku? acheni kukatisha tamaa watu wewe kama unaona Romania sio deal kwako acha wenzio wakajitafutee wa bongo mnaujuaji mwingi sanaaaa

    • @neemaseiler1122
      @neemaseiler1122 หลายเดือนก่อน +2

      Tunajua Romania ni maskini,kijana kishavuka,tumpe mauwa yake,na ni rahisi kwa baadae akitaka kuhamia nchi nyingine,ye ni kijana na sio mjinga! Endelea kujiongeza utafika mbali🎉🎉🎉

    • @happyhousekeeper
      @happyhousekeeper หลายเดือนก่อน

      Yes ni rahisi kwake watu hawaelewi ni hatua kubwa kapiga​@@neemaseiler1122

  • @luckyokoh227
    @luckyokoh227 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo mlongo ulihitimisha maneno ya mwanaume wa kingoni mpe pesa lkn usimkabidhi mwanamke😂😂😂😂 we kiboko

  • @RealtorZanzibar
    @RealtorZanzibar 2 หลายเดือนก่อน

    Nimepeeeeenda yuko smart and fun

  • @SolomonKomba
    @SolomonKomba 2 หลายเดือนก่อน

    Wangoni kwa wadala

  • @nr8782
    @nr8782 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndio fala wa mwisho eti romania ni ulaya😂😂 nchi maskini bora tu ungebaki bongo...romania wenyewe wapo ulaya wanatafuta kazi...

    • @Josejoachim
      @Josejoachim หลายเดือนก่อน +1

      wewe ndo mshamba so Romania ipo bara gani? Romania ni poor country lakin huwez fananisha na bongo na waromania wao wanaenda tafuta kazi kwingine kwa sababu kwao mishahara ni midogo lakini huwez fananisha na bongo,sasa ukae gereji usubiri kulipwa elfu kumi na tano au uende ukalipwe euro 850 per month plus acoomodation na chakula?

    • @neemaseiler1122
      @neemaseiler1122 หลายเดือนก่อน

      Yaani watu wanajifanya wanajua, muacheni kijana wa watu,ht kuvuta hewa safi ulaya inatosha

    • @KennedyLymo
      @KennedyLymo หลายเดือนก่อน

      Acha wivu babu

    • @KennedyLymo
      @KennedyLymo หลายเดือนก่อน

      ​@@Josejoachimacha wivu msenge ww

    • @KipazaOfficial
      @KipazaOfficial หลายเดือนก่อน

      Nipo Romania na nlikuwaga fala Kama wewe man😂😂 bongo baki wewe…

  • @yahyaali6496
    @yahyaali6496 2 หลายเดือนก่อน

    Shemegi vip wasanifu

  • @jacobsimion5957
    @jacobsimion5957 2 หลายเดือนก่อน

    PIGA KAZI KWANGUVU SANA UEASAIDIE NDUGU ZAKO

  • @JaneAssey-x2f
    @JaneAssey-x2f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Konyagi ndogo aka kischana

  • @SamiraMakame-w9c
    @SamiraMakame-w9c 2 หลายเดือนก่อน

    Konyagiiii🤪😳🤪🤪🤪🤪🤪🤪

  • @NaomiJoseph-j3n
    @NaomiJoseph-j3n 2 หลายเดือนก่อน

  • @OmariKuhanga-t8d
    @OmariKuhanga-t8d 2 หลายเดือนก่อน

    nakubari

  • @ASHURAIBRAHIM-x1m
    @ASHURAIBRAHIM-x1m 2 หลายเดือนก่อน

    Chao chao

  • @husseinkhatib6864
    @husseinkhatib6864 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo mazuri

  • @abeidmrengaofficial1792
    @abeidmrengaofficial1792 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jitahidi clip zako ziwe fupi dada ..

    • @NurdinOzil
      @NurdinOzil 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mb tatizo nn?

  • @NuruJabu
    @NuruJabu 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HussainSaidy-z8x
    @HussainSaidy-z8x 2 หลายเดือนก่อน

    romania is the one of free viza country for tanzania, what kind of viza are you talking about?

    • @nashnene6326
      @nashnene6326 2 หลายเดือนก่อน +8

      Not all visas, remember he applied work visa not tourist visa! Learn to understand

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน +3

      Mtanzania anahitaji visa kutembelea Romania, sio visa free kama usemavyo

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 2 หลายเดือนก่อน +3

      Watu wengi wanajifanya kujua kila kitu ila sasa kaelewa maana alikuja kwa attack. Ni hayohayo ya wayanzania kuongea sana yaani mdomo is too much

    • @nashnene6326
      @nashnene6326 2 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDatingAssistance nilikuomba link ya yule kijana alienda US kwa njia ngumu ya SA, Brazil and many south American countries hadi kuingia Marekani please sikuona baada ya episodes

    • @serafinecornel4181
      @serafinecornel4181 2 หลายเดือนก่อน

      Bigup bro classmate 2012.God be on ur way

  • @ashumohd2192
    @ashumohd2192 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @naswiruzaharan
    @naswiruzaharan 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂