Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka - Ni Salama'' (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka - Ni Salama'' (Official Music Video)
Video directed by William Ndila (Director Willy) +255 673 734 620
MUNGU AKUBARIKI SANA.
Ni salama kuona amani kwetu nyumbani🙌pitieni mnipee like 30 tu usininyime ju ni salama
❤❤❤
Wapi likes ya wa Kenya👏👏....You never disappoint Bonny congratulations 🎉
❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
Wimbo zuri bwana apewe zifa
Wimbo zuri bwana apewe zifa
Kama kawaida 🎉🇰🇪🎉 tunawapenda sana. Ni salama rohoni mwetu🇰🇪
Very fantastic song have ever had❤❤
Neema iwabebe watumishi wa MUNGU Bony mwaitege na siffael🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪 twawapenda sana 🙏 tuwape likes kwa wingi wapendwa 🙏🙏
Hello Christmas njema
Ni salama rohoni , if u are from kenya gonga like😊😊😊
Ukweli❤ni😂salamah💪💪💪
🎉🎉🎉❤❤🇰🇪🤗
Bonge la collabo Mungu awalinde ndg zangu kwa uinjilisti.
Wale ambao tumekusanyika salama na Yesu Leo hii weka like hapo tukisonga❤❤
Leo jumapili tarehe tatu 2024..na watangazia wote mjue ni salama rohoni mwangu. Ni vyema kumtegemea Mungu kwa kila jambo. Nae atakupa utulivu wa moyo.. Kumbuka Linda Sana moyo. Kuliko chochote🥰🥰🥰🥰💃💃💃💃💃🇰🇪. Team gulf. Tuko kujipanga kwa mwezi wa Ramadan
Hapa Ni lazima nitamke baraka katika Jina Kuu La Yesu Kristo,,,,mubarikiwe sana Sifaeli na Bonie.
Watumishi wa Mungu mbarikiwe na kuzidi 👏 hallelujah Yesu ni Bwana,ukiwa na Yesu mambo yote ni shawari.hikika ni Salama rohoni mwangu.
Boni kama ndio unaanza kuimba upya. Kwamaana moto kweli🔥🔥🔥🔥👍❤️❤️
❤❤❤❤wow congrats bro hii wimbo damu sana God bless you nipe likes wangu wa kenya na team khamama mko wp❤❤❤❤
ASANTE SANA NDUGU YANGU
Binafsi nabarikiwa sana nisikilizapo nyimbo hizi nnapopitia majaribu na shida mbali mbalii huw nazitumia na hunitia moyo sana🙏🙏
Nabalikiwa saan yaan wimbo unashutua moyo wangu jmn balikiwa watumishii wa MUNGU 🕊️🙏
Eee Bwana himiza siku ya kuja...utakaposhuka sitaogopa maana ni salama rohoni mwangu. Karibuni Kenya watumishi wa MUNGU.
Oh hallelujah jamani YESU nimzuri sjawahi kuona,ebu tuskilize wimbo hu kwa pomoja tuuonje utam YESU, hakika kwa YESU kuna raha isyoelezeka,uwiiiiiiiiiiiiii YESU wangu hata nashindwa namna ya kuelezea uzuri wako 🙏🙏🙏
Nimependa Sana wimbo huu jaman waliopamoja na mimi like zenu
Amen 🙏🙏
Amen
P
Amen 🙏🙏
Amen 🙏 🙏 🙌 🙌 nisalama rohoni mwangu.🔥🔥🔥
Tenzi za Rohoni
Nyimbo za pentecoste ya jadi na Hadi Leo zonamvuto wa kiroho usiomithirika...
Hazizeeki haki ziliimbwa chini ya nguvu za Roho Mtakatifu.
Kazi nzuri Ndugu Bonnie na Sifaele
Mungu awazidishie miaka mingi zaidi yenye baraka tele Ameniiiii
Kenyans never disappoint this men's of god muc love from uwarabuni originality from 🇰🇪 kenya...be blessed bony na sifaeli
It's God not god please
Jifunze kutumia God ya capital letters and not small letters.Remember god ni miungu
Write the name God in capital letters,not "god"
❤More blessings too🇰🇪🥰
Salama rohoni,,,be blessed Mr mwabuka & Mr mwaitege
Baba kama baba aaaaah siku moja ndoto yangu itatimia tu
very nice one song sifaeli and Bonny 💖💖💖 well done ✅ Bonny ooooh may God bless you guys amen 💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️ amen
Siku ya leo mungu atupe wote raha ya rohoni tumtumikie milele nimebarikiwa sana na salama rohoni mwangu
Wale wa 2024 July 22 after kupata roumours kuwa Amefariki Gonga like
Tuko hapa
Bonny warudi soy lini jamani😂❤
Nayaweza Mambo yote katika yeye AMINA mbalikiwe sana kwa kazi nzuri inatujenga kiimani
Kasi nzuri mbarikiwe zaidi bonny na kwaya nzima
NISALAMA ROHONI MWANGU
Mungu awabaliki Kwa nyimbo nzur niko nanyi kwakila post ya nyimbo mungu awabaliki Kwa mahubili matakatifu.
Ni salama rohoni mwangu😢❤
Ni salama rohoni mwangu kwa kuwa najua yesu mtetezi wangu ananipigania
Ni salama rohoni mwangu👏👏👏
Asante yesu,umekuwa salama ktk roho yangu,nakuabudu.
Chenye naskia hope sio ukweli,,ATI bonnie mwaitege is no more,,njoo mniambie ni uongoo please😭😭😭
Ni uongo mamaa, live long mtumishi wa mungu bony
Salama Rohoni,ni salama rohoni mwangu,,,nzuri saana🙏🙏
Napenda sana huu wimbo unabariki moyo wangu be blessed too
I love all your songs stay blessed 🙏 I love you from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Pamoja
Rg
Video quality ni nzuri na ubunifu ni mwingi ubarikiwe zaidi
Jmn sweet song barikiwa Sana mwabuka and mwaitege
Best of the best from Tanzania to Kenya to the world🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Barikiwa sanaaaaa
Nawapenda wapendwa ni salama rohoni.,kenya twaokolewe kila siku kwa nyimbo za kututia moyo jamani mungu bariki mioyo ambayo imebarikiwa kama nami
Huu Wimbo Mtamu Mungu Awabariki Nyote Watumishi NawapendaSana Kutoka Kitengela Town Kenya 🇰🇪 🇰🇪Natazama.
Great song hongera Baba ang wa kiroho hujawah niangusha Mungu azid kukutumia zaid
ASANTE SANA MWANANGU
Najipata nikidance mdogo mdogo tu hapa
Utukufu kwa Mungu
Barikiwa amen
Bwana yesu asifiwe
Mwaitege na sifaeli ninyi mmebarikiwa na bwana
Cool musique amène 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👏👏🎉🎉🎉
Bon Rudi kwenye muziki huku ndio kwako banaa, ubarikiwe sana
Hakika mikononi mwa Yesu roho yangu Iko salama I blessed with this song
Listening 🎧 from Mwanza Tz
Kwa Mungu hakuna kuzeeka haraka Keep shining and blessing as watumishi
Nmesikiliza bony tangu nafanya kazi mtaani …. Alafu nakwenda kukula mle malishoni wanacheza mziki huu … aise service used to be good and awesome zaidi 👍🏾👍🏾🫰🏾
Amen 🙌🙌 nisalama rohoni mwangu🙏mungu awabariki sana
Vile nimekua nangoja hii video wuueeh 🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Dar wimbo unautukufuwake mmependeza sana
2024 Salama rohoni mwangu hata 2025 ijayo itakuwa salama kwangu✊
My Heart feelings good, comforted and given a lot of peace when I saw work of GOD being done faithfully.
Mbarikiwe watumishi mmeubariki moyo wangu kwa huu wimbo kweli mungu wa watu wa mbeya ni mkuu sana
Ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu napenda Sana mwimbo uu pia.
J'aime beaucoup cette chanson que Dieu vous bénisse toujours ubarikiwe Sana Mtumishi
Nyimbo hunibariki n hunikumbusha mara ya mwisho nikiaga rafiki rangu kipenzi💔😭😭
Safiri salama Bony ,we will miss you,Kweli ni salama rohoni
😢😢
Kaziiiiii nzuriiiiii sanaaaaa
huuu wimbo wa hawa mabigwa wawili tuh aaaahh jameni huwa unaniguzaaa kwa kweli nabarikiwa nikiziskizaa tuh mungu azidi kuwabiriki na kuwapa afya ili muzidi kutuubiria kwa nyimbo zenu🙏🙏🙏🙌🙌
ady wajua pia mm huniguza Sana ady wanischa na hisia let's continue serving ur living God🤍🤍🤍
Kenyans wekeni hapa likes zenu for these two legends
Penda sana mwaitege na sifaeli ....mungu awatunze....nabarikiwa sana nikiwasikiliza❤❤
ahsanten sanaaaa
looking good guys 👌👌 amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu salama moyoni mwangu nice one song amen ❤️♥️♥️ amen
I like your song mtumishi wa mungu ubarikiwe sana this song imenibariki sana
Ameni🙏🙏🙏🙏🇹🇿
Nipo Tz. katavi.
very powerful song amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu wangu salaam Rohini
Wow hiii truck kali saana nmependwezwa nanyi watumishi
King's of gospel
Kwakwel huu wimb unanibarik sana, Mungu awabariki watumish wake,
Wangapi tumetoka tiktok🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Salama rohoni mwangu,kazi nzuli Sana balikiwa❤
❤❤❤naupenda sana huu wimbo jamn
very nice one song amen 💪💪💪 hallelujah salaam rohhoni wangu well done sifaeli and Bonny 💖💕💕 sing guys amen 🙏🙏🙏❣️❣️
Siku zote napenda mnoo gospel Mungu awabariki watumish hawa uzr wamekutn mafundi wote wanamzk naowapenda mnoo ❤ nyimbo nzur mnoo
Leo wapishi yaani kitapendeza wooow...who is here in 2024 Dec lets praise together. Hugs from Singapore
Nyimbo nzuli sana🥰🥰🥰
Mbarikiwe kwa kujenga ufalme wa Mungu taji yenu ipo mtavalishwa kazen mwendo
Nimebarikiwa na wimbo mzuri Mungu azidi kuwainua sana
.
Amen 🙏, Glory to God. Ni salama rohoni mwoyoni mwangu. Amen 🙏 am really blessed abundantly
ooooh sifaeli and Bonny 🙏🙏🙏 looking good guys hallelujah powerful song amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh thank you God ❤❤❤
Wouw!
hallelujah very powerful song amen 💪💪💪 hallelujah good voice guys well done sifaeli and Bonny 💖❤️❤️🌹 may God bless all hallelujah 🍀🍀
Jamani wimbo ni tamu sana 😢 hallelujah 🙏 hatakama ujuwi mungu lasima utafute mungu. Kwaiyo wimbo Jamani nitam sana😢😢😢😢
Be blessed Watumishi wa Mungu kwa kutubariki na Ibada za kumsifu Mungu 🙏💯
Jamn nyimbo zako nazipenda San na Mimi nataka kuimba Kama wew sifael naomba
Hakika ni salama rohoni. Mungu awabariki sana watumishi wake hawa. Amina
Ni salama Rohoni mwangu mbarikiwe watumishi 🙏🙏
Ameni,hakika Mungu Azidi kuwainua nimebarikiwa mnooo, mzidi kuwa na mafuta zaidi, be blessed watumishi❤❤
NYIMBO ZR
Hongera kaka... kweli ni salama rohoni ukiwa na yesu🥳🥳
Wow huu wimbo umenibariki Mungu azidi kuwapaka mafuta yake muzidi kutuburudisha kwa nyimbo zenyu tamu❤🎉
Bony is professional dancer😂 naona brother sifael ulikua unambana 😂😂😂 🤣
Katika jina la Yesu ni salama rohoni
Tunakupenda saana 🇿🇲🇧🇮
ASANTE SANA