ANISET BUTATI ft BONY MWAITEGE - WATAKUHESHIMU (OFFICIAL VIDEO) booking no

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @45004599
    @45004599 2 ปีที่แล้ว +67

    My girlfriend left me for another man in July 2010 because I didn't have a job. I know how it feels. Today I have a Job. Kweli Umaskini ni mbaya. Asante sana Jehovah

  • @fiderismwendemwende5586
    @fiderismwendemwende5586 หลายเดือนก่อน +38

    Who else is here in 2024, huu wimbo hunitia moyo sana🙏

  • @michaelmbui8226
    @michaelmbui8226 9 หลายเดือนก่อน +200

    Who else is here in 2024...wakati wangu wa kuinuliwa na Mungu unafika, amen.

    • @promisekeeper-w3c
      @promisekeeper-w3c 8 หลายเดือนก่อน +1

      mimi hapa. the song is new to my ear every morning.

    • @MourineLipwiko
      @MourineLipwiko 8 หลายเดือนก่อน +3

      Ndio nafika

    • @TowooKewell254
      @TowooKewell254 8 หลายเดือนก่อน +3

      Niko hapa @michaelmbui

    • @jmwachuka
      @jmwachuka 5 หลายเดือนก่อน +1

      Direct from citizen tv I don't know butati but today I have liked his good gospel ministry

    • @RoselynMuhonja
      @RoselynMuhonja 5 หลายเดือนก่อน

      Sjachelewa

  • @MercyOkema
    @MercyOkema หลายเดือนก่อน +3

    Napitia magumu 😭😭😭wacha nisubiri wakati wa Mungu...need your prayers

  • @GloBahati1923
    @GloBahati1923 3 หลายเดือนก่อน +48

    Who else In 2024 has this as his\her prayer 😢😢

  • @irenekanini1925
    @irenekanini1925 หลายเดือนก่อน +6

    This song is a testimony, my brother who was drunkard, he could not hold a job for more than a month is now reformed & he has a high rank job.
    From slums to three bedroomed apartment, driving his own.
    Glory & honour is unto you the most high.

  • @masekete
    @masekete 4 ปีที่แล้ว +695

    Hii nayo ni mpya kabisaaa.....wapi likes tano za wakenya 254

  • @TuliaMwawalo
    @TuliaMwawalo 8 หลายเดือนก่อน +14

    Mungu mwema siku haujawahi kumkatia mwanae mungu mwaminifu gonga like apo atakufanyia 2

  • @SurprisedConchShell-fr5zj
    @SurprisedConchShell-fr5zj 2 หลายเดือนก่อน +4

    Niheshimishe nami Mungu wangu, nikumbuke ❤

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 8 หลายเดือนก่อน +75

    Aki hii nyimbo naipenda sana nikikumbuka vile nilikua na dance kila siku nikiskiza kwa nyumba adi nikaenda gulf kweli mungu ni wa maajabu ,adi majirani walikua wanashangaa kwani mbona napenda hii nyimbo hivi yaaani it's like adi na lia kweli mungu aachi mjawake nakupenda sana mola wangu asante kwa kunikumbuka kumbuka na wengine pia in shaa allah ,'wakati wako ukifika ww ,wakuinuliwa na mungu watakuheshimu ,wacha leo wakuite majina mabaya mabaya ,watakuita boss kesho 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sai nina furaha kweli sante mungu wangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @heavenlyprincess1122
    @heavenlyprincess1122 4 ปีที่แล้ว +1134

    Kama unaamini wakati wa MUNGU ukifika walokudharau watakuheshimu nipe like👍kazi nzuri wapendwa🇰🇪🇰🇪

  • @hassanmapenzi6188
    @hassanmapenzi6188 4 ปีที่แล้ว +171

    Watu wenye huwa wana unlike ngoma nzuri ka hii shda yao inakuanga nn jameni ebu kama kweli we umeupenda nipee like hapa nione

    • @growrich2332
      @growrich2332 4 ปีที่แล้ว +2

      Asanten watumishi mkiimba kwa ushirikiano hivi inaleta raha sana moyoni.

    • @ibrahimmohamed1588
      @ibrahimmohamed1588 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu ni mwema

    • @dawitehaqwe1304
      @dawitehaqwe1304 4 ปีที่แล้ว +1

      Kazi nzuri Watumishi, Mungu awabariki mno

    • @rizikiesromu7572
      @rizikiesromu7572 4 ปีที่แล้ว +1

      Hapo sawa.

    • @estersamweli6439
      @estersamweli6439 4 ปีที่แล้ว

      Kabisaa watakuzalau ila ipo siku watakuheshimu

  • @nelsonachaga3999
    @nelsonachaga3999 ปีที่แล้ว +144

    I can never get enough of "watakuheshimu tu" wapi likes za butati na mwaitege 👍👍👍👍

  • @calebamollo3880
    @calebamollo3880 2 ปีที่แล้ว +18

    Wapu likes za BUTATI jameni???.
    Wakati wako ukifika lazima Mungu atakuinuwa hata wafanye nini....

  • @Karembomamayao-ju6yp
    @Karembomamayao-ju6yp 3 หลายเดือนก่อน +3

    Amen,,,, I can't stop worshipping this song wakati mungu ukifika watakuheshimu tu wap likes za butati tukisonga mbele

  • @joelkisembo4435
    @joelkisembo4435 4 ปีที่แล้ว +119

    Kutoka DR-CONGO tuna omba likes zenu wa Kenya.

  • @Zoopita-vg8wo
    @Zoopita-vg8wo 4 หลายเดือนก่อน +8

    Nani wanatazama❤❤❤❤❤❤Mungu akubariki🎉🎉🎉🎉🎉🎉 from Rosemary Adhiambo Kariobangi south 2:39

  • @ernestmwangi867
    @ernestmwangi867 4 ปีที่แล้ว +31

    Wimbo nzuri sana Wa kutia moyo naamini wakati wangu ukifika lazima wataniheshimu. ebu nipate like tano za 254

  • @mosesmvicky4342
    @mosesmvicky4342 9 หลายเดือนก่อน +46

    Kenyan boy nmefka npeeni likes plzz❤

  • @RosemaryChepkoech-u3u
    @RosemaryChepkoech-u3u 10 หลายเดือนก่อน +34

    2024 Feb Wednesday 7th time 8pm; going through a lot and depressed since 2023 Dec. I met a friend who asked me to search for this song today 7th Feb 2024. I am crying my heart out to God. I am replaying this song from today onwards. I am finding comfort in this song , surrendering everything to God and waiting on God's time. May God bless you brothers and much love from Kenya

    • @Albert-un8eg
      @Albert-un8eg 10 หลายเดือนก่อน

      Share your number please

    • @harrietlihavi642
      @harrietlihavi642 9 หลายเดือนก่อน

      Everything will be fine..let's keep trusting Him and one day we shall conquer ❤

    • @McPrince-nk5xj
      @McPrince-nk5xj 9 หลายเดือนก่อน +1

      You can talk to me please

    • @BeatyBeaty-bj9tx
      @BeatyBeaty-bj9tx 5 หลายเดือนก่อน

      May God comfort you darling it's is finish

    • @BeatyBeaty-bj9tx
      @BeatyBeaty-bj9tx 5 หลายเดือนก่อน

      ​@McPrince-nk5xj Thanks bro let's be our brothers and sisters keeper's

  • @mirriamnyumu1841
    @mirriamnyumu1841 3 ปีที่แล้ว +14

    Wakati wa Mungu ukifika waluokudharau watakuheshimu tu..wapi likes za kenya

  • @Paulo-jy2fn
    @Paulo-jy2fn ปีที่แล้ว +4

    Wakati ukifika mtaniheshimu

  • @noahtimoh5368
    @noahtimoh5368 4 ปีที่แล้ว +592

    Nataka like za wakenya kumi tu jamani

    • @salomemulama2763
      @salomemulama2763 4 ปีที่แล้ว +5

      Wao , like this

    • @bibianaqmtoh2478
      @bibianaqmtoh2478 4 ปีที่แล้ว +4

      You have spoken again what a timely message. Am soon blessed, may God continue using you👌👍

    • @veronicahwakamu3723
      @veronicahwakamu3723 4 ปีที่แล้ว +3

      I also wonder! Tanzania lugha same like kenya kiluhya.

    • @florencekorir3111
      @florencekorir3111 4 ปีที่แล้ว +3

      So touching song ' am waiting my time God to raise me 🙏

    • @kelvinaudax8287
      @kelvinaudax8287 4 ปีที่แล้ว +2

      Noah Timo th-cam.com/video/WLxtNIb79IQ/w-d-xo.html
      Plz subscribe channel yangu

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 ปีที่แล้ว +9

    Bwana Yesu hakika atatuinua sana!!! Shida ni kwetu sisi wanadamu tunakuwa na haraka sana ya kufanikiwa. Mungu anataka uvumilivu!!! Vumilia siku mmoja utabarikiwa!!! Haijalishi imepita miaka mingapi!!!. Haleluyaaaaa!!!

  • @aarpp4907
    @aarpp4907 2 ปีที่แล้ว +39

    Haya yote ninayopitia n heshima yangu ya kesho ,,Mungu naomba tu uniheshimishe madharau yamezidi moyo waumia😭😭😭😭🙏🤲

  • @aluneafyusisye
    @aluneafyusisye 4 ปีที่แล้ว +68

    Wangapi tutunaendelea kupata faraja wimbo huu 2020

    • @samuelgichangi224
      @samuelgichangi224 2 ปีที่แล้ว +1

      Tunaendelea 2022

    • @monicanakio2513
      @monicanakio2513 2 ปีที่แล้ว

      Hadi Sasa 2022

    • @bahaty5734
      @bahaty5734 2 ปีที่แล้ว

      Huo Wimbo unanitia nguvu na kuendelea kumwamini mungu am blessed in this song

    • @virginiakimanzi
      @virginiakimanzi 2 ปีที่แล้ว

      Amen 🙏🙏🙏🙏

    • @cyruslangat1073
      @cyruslangat1073 ปีที่แล้ว

      Usikate tamaa 20233 na mungu

  • @clevixsakwa2437
    @clevixsakwa2437 4 ปีที่แล้ว +197

    Kenyans support Tanzanians music
    Very anointed
    Baraka

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 4 ปีที่แล้ว +98

    Kama we ni wa 254 na unamkubali Bonny Mwaitege Gonga like hapaaaa

  • @JohnSimiyu-r8q
    @JohnSimiyu-r8q 24 วันที่ผ่านมา +2

    Hii ngoma ni fine

  • @davidlundi919
    @davidlundi919 3 ปีที่แล้ว +75

    AM BLESSED POVERTY IS NOT MY PORTION IN THE NAME OF JESUS WOW WHAT A SONG

  • @dopesttz5055
    @dopesttz5055 4 ปีที่แล้ว +12

    Unaesoma hii comment mungu àbariki maisha yako

  • @sarahmalulu4883
    @sarahmalulu4883 4 ปีที่แล้ว +111

    Nimebarikiwa sana na wimbo huu, naona wakt wa kuinuliwa kwangu unakuja soon.......be blessed Aniseth and Bonny

    • @jestamswima8995
      @jestamswima8995 4 ปีที่แล้ว +1

      wakat wa kuheshmiwa umefika nashukuru na adui na walionidharau bado wazima wamejionea kwa macho

    • @sarahbenard5493
      @sarahbenard5493 ปีที่แล้ว

      Huu wimbo umenifanya ninunue sm kubwa

  • @tibeitajoseph6646
    @tibeitajoseph6646 4 ปีที่แล้ว +47

    Daaaa wale was 2021 like tujivunie uwepo wa mungu katika maisha yetu

    • @emilykuloba6133
      @emilykuloba6133 3 ปีที่แล้ว

      Leo wambie wambie Nina mungu ,,,,,

    • @zerishmoses2280
      @zerishmoses2280 2 ปีที่แล้ว

      Gog bless butati and mwaitege ibelieve my bless day from God is coming soon.

  • @meshmukasa8814
    @meshmukasa8814 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nahisi wakati wako wa kubarikiwa,umefika eka like kama wakubaliana nami..

  • @sheilaadhiambo2503
    @sheilaadhiambo2503 2 ปีที่แล้ว +30

    Aliye sema utasa haufai na m unga mkono yame ni chokesha.Mungu baba nipe faraja moyoni😭🤱🤰💍🧎🧎

    • @Rosyshaz3937
      @Rosyshaz3937 9 หลายเดือนก่อน +1

      Wakati wako umefika upate watoto in Jesus name 🙏🙏🙏🙏

    • @davidwekesa-hu2qz
      @davidwekesa-hu2qz 7 หลายเดือนก่อน

      One day you'll have pia jarb medication

    • @PiusNyumu
      @PiusNyumu 7 หลายเดือนก่อน

      I hope God is answering your prayers, received in Jesus name

    • @SilviaOkumu-r3y
      @SilviaOkumu-r3y 7 หลายเดือนก่อน

      Everything is about God's time,,,,,, wakati wako utafika

    • @Alice-j4z4q
      @Alice-j4z4q 6 หลายเดือนก่อน

      Dada Nina amini MUNGU unabeba mtoto muaka huu,KATIKA JINA LA YESU KRISTO.Amen

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 ปีที่แล้ว +313

    Poverty is a worst disease may God bless everyone listening to this blessed song .Ndio nina imani mungu akiwa upande wako wale walio kudharau Siku moja watakuheshimu🙏🙏🙏🙏

    • @sheilanagadi4851
      @sheilanagadi4851 4 ปีที่แล้ว +2

      Wakati wa mungu utafika God bless

    • @shaikhazowayed2534
      @shaikhazowayed2534 4 ปีที่แล้ว +1

      Watanihesheee...watanyamaaaa...ctamuacha mungu...nitainuka aaaamen dugu zangu.miaka mingi nimedhalauliwa kuosha manguo kijiji mzima wananibadika majina...Woiehy

    • @fauziahmiroya6330
      @fauziahmiroya6330 4 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @jestamswima8995
      @jestamswima8995 4 ปีที่แล้ว

      haswaa Mungu anaheshimisha sio kidogo

    • @lamanene8848
      @lamanene8848 4 ปีที่แล้ว

      Thank you be blessed too

  • @johnberu9020
    @johnberu9020 2 ปีที่แล้ว +5

    This song reminds me of what I have gone through in life but sasa nashukuru Mungu kwa yote. Wakati wangu umefika.

  • @mwendemutuku4924
    @mwendemutuku4924 4 ปีที่แล้ว +105

    We will never lack in Jesus name I speak abundance to anyone watching this song in Jesus name

  • @delinawakio
    @delinawakio หลายเดือนก่อน +2

    Wonderful song,this is the year God blessed me with a baby girl after waiting for years,I was said to be barren But God surprised my enemies

  • @pamellahkemunto5387
    @pamellahkemunto5387 2 ปีที่แล้ว +16

    Napata faraja na wimbo huu..Those struggling with life challenges be comforted 🙏

  • @ev.clintonmasava3
    @ev.clintonmasava3 4 ปีที่แล้ว +106

    wapi likes kama umeuguzwa na huu wimbo..............Gonga like hapa

  • @MarionHope
    @MarionHope 2 ปีที่แล้ว +68

    Thank you Tanzania for the beautiful melodies. Love you from Kenya

  • @alextheguzman6235
    @alextheguzman6235 2 ปีที่แล้ว +71

    I heard this last year 2021,it was like my story😭I sang it every day, praying God to change my story,and believe me not, there's God in heaven.today it's a tesmony.praise the living God...

  • @joycebosibori4048
    @joycebosibori4048 7 หลายเดือนก่อน +2

    Leo waambie nina Mungu ataniinua

  • @odaseston
    @odaseston 4 ปีที่แล้ว +736

    Sijawahi kupata like jamani😧😧😧

  • @SMKOLLECTIONZ
    @SMKOLLECTIONZ 4 ปีที่แล้ว +86

    Wimbo mzuri sana. Jina la bwana libarikiwe.

  • @davidkinyuah1042
    @davidkinyuah1042 ปีที่แล้ว +82

    This was my life a few years back. Everything changed after talking to God for many years. Now I'm blessed beyond measure.Feel like shedding a tear listening to this song.God bless them.

    • @christineombalombalo2365
      @christineombalombalo2365 ปีที่แล้ว +3

      The chorus of this song haki😭😭😭nilikuwa naskizanga hii wimbo ikifika Kwa corpus yake machozi inafika Kwa miguu juu ya taabu na mateso na kuchekwa na wanadamu....haki I thank God everything is ok.

    • @DoricaWekesa-oi4yf
      @DoricaWekesa-oi4yf ปีที่แล้ว +1

      Ameeeeen

    • @tomochieng280
      @tomochieng280 ปีที่แล้ว +1

      Very good.Thanks to the Almighty God for uplifting you.Continue shinning in your endeavors to serve God.

    • @tomochieng280
      @tomochieng280 ปีที่แล้ว

      Very good.Thanks to the Almighty God for uplifting you.Continue shinning in your endeavors to serve God.

    • @vincentjohn5777
      @vincentjohn5777 ปีที่แล้ว +1

      My prayers too 4:37

  • @halimaumazi6034
    @halimaumazi6034 29 วันที่ผ่านมา +1

    Niheshimishe Nami mungu wangu.. 😢

  • @KuriaGicharu_1922
    @KuriaGicharu_1922 11 วันที่ผ่านมา +1

    December 2024 let's gather here and give thanks to Almighty God❤❤❤

  • @canvillecanvo386
    @canvillecanvo386 3 ปีที่แล้ว +2

    Ata Yusufu alikuwa house boy, wakati wa Mungu alikuwa waziri mkuu, testimony

  • @GoodluckAmos
    @GoodluckAmos 4 ปีที่แล้ว +49

    Hakika wimbo huu sichok kuusikiliza kbsa duh God bless u

  • @stevomakau9832
    @stevomakau9832 3 ปีที่แล้ว +81

    It doesn't matter what you are today,, tomorrow lies on the hand of God.This song is annointed

  • @BenjaminChalula
    @BenjaminChalula ปีที่แล้ว +3

    Kwa hakika umaskini haufai..., Mungu azidi kutupigania. Mbarikiwe watumishi wa Mungu

  • @LYDIAWASIKE-ru7bu
    @LYDIAWASIKE-ru7bu 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mi niliachwa juu ni total opharn

  • @laurahblessing8561
    @laurahblessing8561 4 ปีที่แล้ว +6

    Uuuui gonga lyk if ur still with mi here 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @gloryjimson9831
    @gloryjimson9831 4 ปีที่แล้ว +51

    Hii ni zaidi ya tamu kiukweli narudia2 kuiwatch ni hatari 🔥🔥🔥 uwiiiiii Aniset hii video ni zaidi ya 🔥🔥🔥 apa naandika comment na kufuta sijui hata niandike nini, leo Nalala TH-cam kisa hii video.

  • @goodluckmmasa6824
    @goodluckmmasa6824 4 ปีที่แล้ว +32

    Mashairi mazuri,video nzuri,mmeimba vizuri.....kwa ujumla kazi inabariki sana,hongereni

    • @PapaTheKingKenya
      @PapaTheKingKenya 4 ปีที่แล้ว

      Nice one bro +253707215825 Mimi muimbaji wa injili pia nicontact

  • @EverlinNamalwa-ml4oe
    @EverlinNamalwa-ml4oe 7 หลายเดือนก่อน +2

    I love this song,, it has a lovely message 🙏🙏🙏...Gods time is the best

  • @NeemaMvuria
    @NeemaMvuria 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nikisikia hii nyimbo cjui nifanye nn kwasababu uwa nasikia furaha xna hongera kkngu ❤❤❤❤❤

  • @benpaul.9310
    @benpaul.9310 2 ปีที่แล้ว +86

    I must state that Tanzanians are best in all types of music,I love this msg in this song. Don't ever let anyone make you feel less. We are not of LESSER GOD. WE BELONG TO ALMIGHTY GOD WHO BLESSES AT HIS OWN TIME. much 💕 love from Kenya 🇰🇪 .

    • @Puritykoki
      @Puritykoki ปีที่แล้ว +3

      Yeas He is Best time keeper ...He keeps his promise too

  • @qtydarlene7332
    @qtydarlene7332 4 ปีที่แล้ว +62

    Shedding tears while watching 😭😭😭, Mimi ni hushuhuda kweli 😭😭😭leo hii naheshimiwa, thanks so much brothers🙏🙏🙏🙏

    • @celestinekarayo7750
      @celestinekarayo7750 4 ปีที่แล้ว +2

      Amina zidi kubarikiwa dada

    • @qtydarlene7332
      @qtydarlene7332 4 ปีที่แล้ว +3

      Amen

    • @mr.timing1152
      @mr.timing1152 4 ปีที่แล้ว +1

      Amina.....niombee sana

    • @wycliffemokaya6890
      @wycliffemokaya6890 3 ปีที่แล้ว

      Naomba siku Moja pia Mimi niheshimiwe

    • @qtydarlene7332
      @qtydarlene7332 3 ปีที่แล้ว

      @@wycliffemokaya6890 Amen, His time is always the best, His promises are Yes and Amen

  • @07pa
    @07pa 4 ปีที่แล้ว +4

    Papa the king mini Ni muimbaji wa. Injili nchini Kenya napenda butati Sana na Bonny mwaitege ju wako na message kwa ngoma zao

  • @isaacbiwott7878
    @isaacbiwott7878 2 ปีที่แล้ว +12

    Radio Milele in Kenya is a home of introducing us to sweet songs. This one is hitting differently!

  • @kadollyreen
    @kadollyreen ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤wimbo mzuri sana

  • @sheilakanindo
    @sheilakanindo 3 ปีที่แล้ว +72

    I first heard this song in a matatu while heading to town. I had to come here to listen to it again. Much love from 254

  • @irenerugunza8697
    @irenerugunza8697 2 ปีที่แล้ว +19

    I have played this song 1001 times.
    So inspiring.
    Leo waambie
    Nina Mungu ataniinua mtaniheshimu,ooh God🙏💕

  • @bridgetnyamvula
    @bridgetnyamvula 4 ปีที่แล้ว +5

    Sijui Kama Kuna mwengine aligonga like before nyimbo ianze😄😄..Kuna nyimbo unaskia tu hiyo annointing...nice

  • @HareneKipande
    @HareneKipande ปีที่แล้ว +1

    Yesu nisaidie kupitia nyimbo hii maana ndio maisha ambayo nilipita lakini Mungu ameninua Sana

  • @abbyalima2810
    @abbyalima2810 ปีที่แล้ว +2

    God is great December we r,the love I have for this song,yaani naipenda hii wimbo sana,butati and bonny barikiweni sana kwa juu wimbo,ahsante

  • @shadieproductions2547
    @shadieproductions2547 4 ปีที่แล้ว +28

    Naskiza ii wimbo kila siku Ni napo ingia TH-cam 👉Kama uko Nani like zako zitambee☑️

    • @francismunene1537
      @francismunene1537 3 ปีที่แล้ว

      i love it more than u do

    • @zerishmoses2280
      @zerishmoses2280 2 ปีที่แล้ว

      Wimbo huu ,umekuja kwa ajili yangu nashkuru Kuna wakati wa Mungu unakuja acha nyakati za binadamu zipite nitainuka tu.

  • @yvonnechepchumba4907
    @yvonnechepchumba4907 4 หลายเดือนก่อน +9

    2024 who's here 🤦🏼‍♀️

  • @tumainicindy3580
    @tumainicindy3580 3 ปีที่แล้ว +5

    Wakati wako ukifika wewe wakuinuliwa na mungu walokudharau watakuheshimu tu 🙏🙏🙏🙏💕

  • @mamaakyoo2137
    @mamaakyoo2137 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen. Mtumikie Mungu kwa furaha. Kwa Mungu kuna faida

  • @ANNNTINYARI-kf9mt
    @ANNNTINYARI-kf9mt ปีที่แล้ว

    Hapo kwa kuna kipindi unafika hata watu wakikutazama wanaona utoinuka tena😢 but i thank God watati wangu utafika tu

  • @Regnard999
    @Regnard999 4 ปีที่แล้ว +89

    Kuanzia ujumbe, video quality, melody kali na tamu masikioni, humble spirit, ushirikisho, n.k inapenya mpaka inakulazimu kui-replay. Nimefurahi kusikia lugha yangu ya Kiha-Kigoma!!! Mbarikiwe sana watumishi! Kazi nzuri sana!!!!

    • @ayubjackson6794
      @ayubjackson6794 4 ปีที่แล้ว +1

      Nice

    • @poulletkavuvi2227
      @poulletkavuvi2227 3 ปีที่แล้ว +2

      Hata waluhya, Kenya huwa wanasema, simu yanje.

    • @rehemafungo5042
      @rehemafungo5042 2 ปีที่แล้ว

      Acha!huu wimbo umenifanya ndondocha🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️hoooi

    • @sarahaamos6175
      @sarahaamos6175 2 ปีที่แล้ว +1

      Mdogo wangu kumbe nawe unafatilia vitu vizuri huku🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Waha tupo juu hata Mungu anajua

    • @Regnard999
      @Regnard999 2 ปีที่แล้ว +1

      @@sarahaamos6175 hahahaha, dada yangu kipenzi najitahidi kufuatilia maana napenda sana muziki wa injili. Nimefurahi sana kukuona hapa.

  • @johnpauloumah5298
    @johnpauloumah5298 3 ปีที่แล้ว +99

    Today while walking on the streets of Nairobi, I spotted a lone preacher with her loud speaker playing this song. I was drawn to her just to listen to this beautiful song till the end. And now, here I am. My soul has been uplifted spiritually.

  • @lucyjack6362
    @lucyjack6362 ปีที่แล้ว +59

    Just heard this song for the first time on my way to work and its really a blessing🙏🙏, indeed poverty is a bad disease. Cant get enough of this song, may God bless everyone listening to this prayer song.

  • @Willardshafi
    @Willardshafi ปีที่แล้ว +1

    Situations Change i welcome you to winners chapel international come with expectations and believe in God situations change can i get an amen🙏

  • @GraceMwankemwa
    @GraceMwankemwa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks butati & mwaitege nice message

  • @mwangiwachege6545
    @mwangiwachege6545 3 ปีที่แล้ว +90

    Today as I was traveling to Nairobi town I heard this song in the matatu. I wrote the lyrics in my notepad. I thank God I found it here. God bless you men of God.

    • @jenniferkarani3044
      @jenniferkarani3044 2 ปีที่แล้ว

      Me too🤗😊

    • @Misskiki254
      @Misskiki254 2 ปีที่แล้ว

      I did the same thanks to Naekana sacco kwa nyimbo za injili

    • @bensfordmakori5220
      @bensfordmakori5220 ปีที่แล้ว +1

      Here to say I heard it on my way to Nairobi while in supermetro and sound googled it. I took a screenshot and here I am

    • @mutokakennedy3277
      @mutokakennedy3277 ปีที่แล้ว

      I heard it on my way to Nyeri in 4NTE.Was blessed

    • @SG-bp4hk
      @SG-bp4hk ปีที่แล้ว +1

      Aki,, first time I heard it going to kibarua in nrb nikiwa kwa MSL Sacco early morning hours,,😂😂😂I used to board that mat till today.soo blessings 🙏🙏

  • @mithletlwoyelo6044
    @mithletlwoyelo6044 4 ปีที่แล้ว +28

    Muhereze simu Yanje ........wow I'm blessed

  • @munenepeter1277
    @munenepeter1277 3 ปีที่แล้ว +56

    exactly a year later, and the song still gives someone somewhere hopes

  • @ZakariaKayanda
    @ZakariaKayanda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akamwambia samweli huyundiye nimemchagua mimi , yaani daudi , ndivyo ilivo hata kwako, karibu uendelee kuskiliza ujumbe huu

  • @brendachepkoech-qd4oe
    @brendachepkoech-qd4oe 2 หลายเดือนก่อน +1

    crying /in tears while ,,watching this song😪😪😪😭😭😭😭😭😭😭❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @englibertmalabe1451
    @englibertmalabe1451 4 ปีที่แล้ว +62

    Aise wimbo mzuri sana. Mheleze isimu yanje hamwe halicho yogamba😘😘

  • @dukearage9523
    @dukearage9523 ปีที่แล้ว +4

    This is my song, soo Inspirational a true story of my family..Thanks to God Heshima imekuja,God's time is the best no one can stop it..Honour and Glory to God,wambie tunaye Mungu..

  • @nehemiambembela442
    @nehemiambembela442 4 ปีที่แล้ว +96

    My only song that helps me to understand how much GOD loves me

    • @lucynatasha5751
      @lucynatasha5751 3 ปีที่แล้ว +1

      You are blessed in Jesus name Nehemia,,,
      You are welcome to new life 2021, i pray that what so ever you lost in 2020 you will receive it this year, you will be the first person to give a testimony about the goodness of the Lord, any where you are favour will locate you and you will never lack of blessings in your life, so when i was praying last night the Lord review a revelation to me that before this year END the WORLD is going to celebrate with you, you are going to be greater than what you think, sow a seed into the life of kids in this orphanage home foundation,they are going to pray over your life and bless you, call or message them on WhatsApp now (+2347030374593) you are bless.

    • @nehemiahshija2265
      @nehemiahshija2265 3 ปีที่แล้ว +1

      God bless you

    • @hamidutwaha7420
      @hamidutwaha7420 3 ปีที่แล้ว

      Ame

  • @hesbontom9481
    @hesbontom9481 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda San hyo wimbo and I thank God one day I will succeful

  • @pascaliamuli6424
    @pascaliamuli6424 ปีที่แล้ว +1

    First time hearing this song on rembo shuttle kitengela,,,thank kuipata here

  • @okechnelson9340
    @okechnelson9340 ปีที่แล้ว +31

    The Lord dropped this song in me this evening after breaking a three day fasting of praying against the poverty level that has been in our family .The time is coming that out family will be respected

  • @janemumbe3295
    @janemumbe3295 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli wakati wangu upo wa kuinuliwa na mungu haijalishi mapito na opposers.thank you mens of God for this encouraging song

  • @joykashu3260
    @joykashu3260 2 ปีที่แล้ว +48

    I always shade tears while singing this song..its my story..you have strengthened me

  • @kiswahilitv
    @kiswahilitv 2 ปีที่แล้ว +1

    ATA YUSUPH ALIKUA HOUSE BOY LAKINI WAKATI WAKE ULIFIKA 🙏🏿 @bonymwaitege

  • @ndayizeyevianney8803
    @ndayizeyevianney8803 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante saana wengi tunabalikiwa kupitia nyimbo zenu

  • @linventanyango9768
    @linventanyango9768 2 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed Butati and Bonny this song has many meanings imenipatumaini ya kuendelea na maisha binadamu anaweza kukudharau lakini wakati was Munngu ikifika kilakitu Kiko shwari

  • @sharonalukhaba1181
    @sharonalukhaba1181 4 ปีที่แล้ว +42

    God Time is the best ,,, never have a rush ,,,, wait for your destination is coming

  • @danielotanga7996
    @danielotanga7996 4 ปีที่แล้ว +40

    In love with this wakenya wapi likes?

    • @narto6553
      @narto6553 3 ปีที่แล้ว

      Wowwwwwwwwwwwwwwww

    • @sheilachebet4730
      @sheilachebet4730 3 ปีที่แล้ว +1

      This song is amazing,,I really like it,,congrats! Butati and Bony Mwaitege

  • @getrudeshagora
    @getrudeshagora ปีที่แล้ว +3

    This songs ministers to me differently,indeed when God time is ripe situations changes

  • @elkanahnyanchabera3804
    @elkanahnyanchabera3804 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu yupo tu... Mungu naamini anaweza kukuinua wakati wowote

  • @BellaRaissaMUCO
    @BellaRaissaMUCO หลายเดือนก่อน

    Aniset asante sana iyi nyimbo inanifurahisha sana