Martha Baraka Ft Bony Mwaitege - Mengi Umetenda (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024
- / @marthabaraka
Listen to Martha Baraka
Apple Music / martha-baraka
Boomplay www.boomplay.c...
Spotify open.spotify.c...
Audiomack audiomack.com/...
TH-cam Music / martha baraka - topic
Deezer deezer.page.li...
Amazon Music music.amazon.c...
Stay in touch with Martha Baraka
Instagram / marthabaraka_official
Tiktok: / marthabaraka_
Facebook: web.facebook.c...
For Booking WhatsApp / Call +255743502257
The official TH-cam channel of Martha Baraka. Subscribe for the latest music videos, perfomance and More.
#mengiumetenda #marthabaraka #gospel
Mtumishi unanibariki sana nahudumayako ya uimbaji Mungu akubariki
Sifa na rehema ni kwa Bwana!
Nmeng umetenda Katka maisha yangu siwez eleza Mungu azd kunitia nguvu
nasikiza wimbo nikiwa mikindani weka like
Asande Baraka your songs makes one to know God is with wanyoke
Napenda uimbaji wako sana mantha mungu akuinue zaidi.karibu sana Kenya. Mimi ni mwimbaji mwenzako ukifika kenya naomba tukutane face to face naishi Nairobi
I like your support to other musician. God bless you
Amina Sana uwepo wako
Where r Kenyans?
Amen 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
🙏🙏🙏🙏
Dada angu Martha nafurahi kukuona katika huduma ya uimbaji tangu penye riziki hapakosi vitina
Am a single mother of three from they were 9,13, 6 but God was with all this years now they grown up finish their studies and working I use to wear plastic shoes at work dress washing at night tomorrow I will wear, today am blessed woman because the job God give me I have done well
Mungu azidishe hicho kipaji chako mana tunabarikiwa xana.mungu akubariki dadangu
Kwangu kuhesabu siwezi kiukweli Mungu amefanya mengi na Bado anafanya barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Martha napenda kazi yako ..nyimbo zako zimenibariki sana ... be blessed so much
Weni mfano waku igwa dadangu hongera sana mtwa wa Mungu jmn
Nijibu ata sms yangu jmn dadangu mtumishi wa Mungu bariki wa sana
Kazi nzuri sana barikiwa
Nimeupenda uimbaji wenu umenibaliki
Wakenya hapa ndo naona mnakatambisha. Wacha katambe hivo na likes pia na views .such a beautiful lady from TZ. We love you so much.
Matha baraka ubarikiwe sana nabarikiwa na nyimbo zako
great are things that you done inn my life thankyou Jesus uncountable my redeemer
ahsante mungu kwa wema wako
Nipewe likes zangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Here I am napenda sana nyimbo hizi za injili umeimba Mungu akubariki uongezeke kihuduma also gospel singer Mungu atukuzwe
Madam Martha Baraka thank you very much for this song which is extremely very special and indeed very nice and touching. You sang this song just after my mother's death and I really played a lot during the funeral and i still play and quite mostly. God bless you very much my sister, you are a true vessel of God and a true instrument of nature. God bless you very much. You have a talent and God is using to deliver the message of God that is deeply touching to many globally. Ubarikiwe sana. Mkenya wa Uholanzi 🇳🇱 Uingereza 🇬🇧 na Irelandi 🇮🇪!
Madam matha balaka
Sauti yako lmebeba majibu ya watu na umekutana na fundi wa mzc mtumishi bonn mwaitege shetani Atajuta
Mungu..akurinde
This was me in the month of April 2023,i have a testimony God ambayo ametenda ni makuu.. walipikuja kula nyama yangu ulinifunikia Yesu kwako nitaishi
Hâta namimi mwenzangu
We dada Mungu aku bariki sana sijui ni elezeje ila Mungu aku batiki sana tena sana
Wimbo mtamu Sanaa,,,,mungu abariki hudumu vnye baraka cinatutiririkia qw wingi cwabariki nanyi💓❤️❤️🩸🩸
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu.mungu akutumie kwa viwango vya juu sana
Nimebarikiwa sana huu wimbo Mungu akuinue juu sana
Nani ametoka tiktok na mimi❤❤
Amen,akika mungu NI mengi umetenda kwangu 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante kwma wako mungu mkuu
Mungu wambingu akubariki sn hakika hatuwezi kuhesabu Yale Mungu amefanya kwetu
Madam martha uimbaji wak unanibariki pamoja na boni mwaitege
Madam marther si ufike Nairobi tu utusalimie na ujue vile tunakupenda haki .
Ni mengi umetenda kwangu siwezi kuwhesabu hsante mungu kwa kunipa uhai sio kwa ujajawangu milele nitaimba🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏
Nazdi kubalikiwa kwenye uimbaj nakunvsha vwango vingne kiiman na kiutmishi muwe na maisha malef sn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Inagusamoyo Wacha mungu abaki kuwa mungu, ninaimba naomba kolabo Niko you tube.
Amina ❤
Ni mengi mungu ametendea Asante sana mungu❤
Nipendezewa wimbo wako imenikumbusha mengi
Amina wema wako Mungu nashukuru Mungu sijui ata niesabu nn
From tiktok wapi likes bado colabo na bahati bukuku
Your,songs are very blezing,,kwanza Hiyo ya nashukuru mungu, for sure me too sikujua ntakua mtumishi wa mung u,,,niliimba kwa my bible graduation
Asante kwa wema wako Mungu mkuu
Amen ..yesu kwagu umetwnda🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Marther wewe una Mungu ndani yako
Haki Martha mungu akubariki sana dadangu
Leo maraba sijachelewa wakwaza
Asante mungu kwa wema wako mile nitainba huo wema wakoo.hakika nimependa mungu awazidishie
Thanks madam Martha unanibarki sna na nyimbo zko na Mungu wa mbinguni akutendee mema pamoja na familia Yako ,🙏🙏
Good song mungu awape nguvu kwa imani
Waaao! KAZI zuri madame Kwa anae hitaji Kutowa sadaka ya shkran afanyeje??
YESU ASANTE MOYO WANGU HUU BILA WW KUTENDA SIO RAHIS
Hallelujah kwa mengi umenitendea nisingeweza
Wimbo huu hunibariki kila wakati ninaposongwa na mawazo🙏🙏
Ameeeen Mungu ni mwema
Kweli Mungu anatenda.
You are such a blessed woman
Nabarikiwa Sana na huu wimbo
Nguvu ya imani isonge mbele muwaombee waimbaji wengine wamche Mungu
Sidi dada kua baraka kwa wengi unaponya mioyo ya wengi
Munguu ndiy kilakitu 💯💯
Nabarikiwa sana na uimbaji wako dada angu Martha simbeye jina la yesu ni dawa penye ridhiki na namshukuru mungu ulicheza sana ila nasikitika jambo moja tu kumuacha baraka
Kama namuona Mwaji wa Mbeya
Mungu akubaliki sana nabalikiwa na uwimbaji wako matha 🎉🎉🎉
Ubalikiw Sana mtumish
Aise umemkumbuka kakayako wakitambo mliimbaga vzr sana ule wimbo wa. Kwanza
Hakika Dada angu Martha baraka simbeye umetu saprise nyimbo nzuri sana unapeperusha vizuri bendera ya mkoa wetu na nchi kwa ujumla
Mungu awabariki sana watumishi wamungu nyimbo hii imenitia nguvu zidi yayale ninayo yapitia nasikiliza nyimbo kila wakati nikiwa daresalam
Mungu akupe nehema ya kuisha Martha ...nakupenda sana ,,uko na kibao Cha kuimba ,sauti nzuri sana na sura nzuri mungu akubaliki sana madam
Nabarikiwa sana na wimbo huu
Ubarikiwe sana dadangu hii nyimbo ina nitia nguvu zana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Madam Martha, huduma yako izidi kuinuliwa na Mungu na ninaomba nigawiwe sehemu kidogo tu.
Huu wimbo una kiwango kingine cha juu sana, nahisi kuinuliwa ndani yangu
Hakika mengi umetenda kwangu kuhesabu siwez🙏
milele nitaimba huo we a wako. Amen. Baraka
Amen nakupenda sana mum nyimbo zako hunibariki ubarikiwe sana🙏🙏🙏🙏
Madam mantha nakupenda sana dada unajua kuimba
Nakumbuka alivyoniokoa,,asante umenisaidia kushukuru
Dada ukitulia na hapo ulipo hakuna wa kukusumbua kiuimbaji sema dhambi kaaa nayo mbali mpenzi hukosei Kira mwimbo kweli
Nimengi mungu amenitendea kuhesabu siwezi baba
Huu Wimbo unanibariki na kunitia nguvu kila asubui niamkapo nikienda kazi... Nashukuru Mungu 🙏🙏
Asante 😢 Mungu nashukuru kwa yote ❤
I believe that God calls and makes singers just like He makes some people Apostles, prophets, evangelists, pastors and teachers (Ephesians 4v7). This soong is divine inspired.
COULD YOU PLEASE MAKE ENGLISH SUBTITLES OF THIS SONG AND HELP THE WHOLE WORLD UNDERSTAND IT. MY SWAHILI IS JUST ENOUGH TO UNDERSTAND IT BUT A FEW WORDS DEFEAT ME.
Asantekwaimbowako nzuri sana nakuombea mungu ajidikukuinua
Hâta Mimi Nimbona Eliphaz natoa Pongezi nyingi kwa uimbaji wa Kwaya yunu
mjukuwangu..pigakas
Wow wimbo nzuri saana
Nakupenda sana sana toka nikiwa mdg mungu ni mwema nataman cku moja nikuone penda sana mungu akujalie aman
Martha mungu akuzidishie zaid
Kazi nzuri watumishi
Napenda sana nyimbo.zenu mbarikiwe zaidii ndungu zangu
Amen dada madam Martha mungu azidi kikupeleka mbali
Ahsante mungu wangu ni mengi umetenda kwangu kuhesabu binadamu asingeweza
Nimependa sana wimbo huu umenikumbusha mbali sana wakati nilikua mgonjwa Asante sana yesu kwa wema wako barikiwa Sana dada pamoja na mtumishi wa mungu bony mwaitege mungu akutie nguvu uendelee kutangaza injili kupitia uwimbachi hallelujah Amina 🙏🙏🙏 thank you Lord
Mungu akumbariki sana
Touching message mbarikiwe sana
Ubarikiwe sana nakukubali sana
Utukufu kwa Yesu christo
AMETENDA HILI NA LILE....YAAANI MENGI TU....More Grace Watumishi...Glory be to GOD
Nikweli mengi atutendeayo Mungu mwanadamu hawezi asante kwaujumbe mzuri.
Nice song
Mungu akuinue zaidi
Iko poa iko good bon father