Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA' (Official Music Video) SMS SKIZA 9840971 TO 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA'
Video Directed by Director Willy +255 673 734 620
MUNGU AKUBARIKI SANA.
Amen nyimbo yenye mafundisho
Haya nayapitia
Upendo wa Baba Mungu ni wa Ajabu sana asante Kaka
Kaka wimbo tamu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Akitubu nitamsamehe ,Mungu Niwamsamaha sisi ni wanawe
Fellow Kenyans Enjoying this Song Please Pass by and Leave a THUMBS UP👍
This is a blessing....
Present as always
Nice voice amazing song,,, wapi love ya wakenya wetu
Nyimbo za bonne zinanibariki sanaa natamani mwanangu akikuq aje siku moja na yeye aimbe kama huyu kaka aishi kwakumtumikia mungu
Mzee tunakuombeya sikuzako ziongezeke , Yani your songs that you singing it brings as tuokoke , tumanye mungu.
Huu wimbo naupenda sana maana inanikumbusha ndugu yangu aliyetoroka nyumbani😭😭lakini naamini kupitia huu wimbo atarudi...
Hakika naupenda sana kaona mbali
Ata me mdogo wangu kila siku namuombea sana arud aombe msamaha nyumbani?
Nakupenda Sana unaenda na mazingira
Amen mungu ni wa miujiuza🎉...after a long time he finally came back home
Amen amen... Mungu ni mwaminifu
We tubu tu mungu anakusamehe. Mungu anatupenda sana.
Nilikuwa napita makutano ya soko la wazi la kongowea kaskazini mwa kisiwa Cha Mombasa nikaskisia wimbo huu kwenye mikutano wa injili,niliguswa na hapa nasema Mungu ambariki mtunzi na aliyeimba,nimebarikwa mara dufu
Amen 🙏🙏
🎉 🎉🎉 maua Yako broo
Family yangu inapitia haya wimbo umenifanya nilie mungu akubaliki kunipunguzia maumivu haya
AshukuriweMungu,aliyekuinua Kwa viwangovyajuuu
Toka Dodoma mpaka naingia iringa sijabadili wimbo mwingine. Mwaitege wewe ni hatari
Mungu azidi kukuongoz ni, bonge la wimbo
Kenyans in the house 🇰🇪❤️❤️
Kenya here
Here we're
Am here
Yan nyimbo hiii nikisikiriza Na toa machozi kabsa
Wimbo mzuri sana,
Nasikia sauti ya madam martha kwenye chorus
Wimbo mtamu sana wenye matumaini ya kwamba tunapojua tumekosea tukitubu bwana ako tayari kutusamehe makosa yetu
Mutumishi mungu akulinde namuomba mungu anifananishe nawe hujawai towa wimbo usiwe falaja unafaliji nahisi naigia mbinguni kwa kukusikiliza
My fellow 🇰🇪🇰🇪kenyans let's show bony mwaitenge love❤....pita na like plizzzzz.....I love its🔥🔥🔥🔥🔥
True
True
I love your hits🎉
@irenÀàQ Saad qaqqqqqqqqqqq AA aqqqqaqqaqqqaqqqqq AA qqqq AA qqqaqqaqqqaqqqqqqqaq qaqqqqqqqqqqq aaaaaaaqqaqqqaqaqaqaqqqQeirene6168
@
Bony tupe zingine zaidi. Sikuoni siku hizi
My first time kuskiza wimbo hii,niliskia roho yangu imekuwa nyepesi na nikasamehe watu wote,,be blessed man of Watching from kenya🇰🇪🇰🇪
So good song
Amazing song❤❤❤
Bado ninapendwa, nitarudi tena kwake. Ee Mungu nipe ujasiri wa kukurudia
Eeh Mungu mpe mtumishi wako maisha marefu aendelee kutubariki
Sawa bony nitamwambia na nitamleta kwako aje atubu umsamehe
Jamani huyo kaka wa 'ngoma' almaarufu kama "drum" 🥁 kwa kimombo ameweza vibaya sana 🎉
Hasa hapo wimbo ukielekea kuisha, (paa paa paa pa pa pa pa!) kazi safi sàna 😅 unaielewa kazi yako 💪
Mziki wako wote una funzo Kenya twakupenda sana
Sept 6 2024 who is still here.wimbo wenye wenye matumaini ya ukikosa bwana ako tayari kukusamehe makosa yetu🙏🙏be blessed.
Mungu anatupenda sana tukubali kukiri dhambi zetu na atatusamehee
Hats Mimi nimefurahia sana hats Melody iko sawa wasikuibe tena
Balikiwa mweshimiwa ZAMBIA🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 NAKONDE -TUNDUMA TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mkuu, nakupata live from Nairobi, Kenya 🇰🇪
Boni naomba nikudie imegusa mtoto wangu
Ameeennn
Nahisi kubarikiwa sana na nyimbo zako , pokea salamu kutoka Kenya
Nisawa kwamawaitha MUNGU akubariki , Mimi ni muimbaji hapa Kenya Eldoret unikumbuke pia niinuke
aminaaaaa jpe Myo mung atamldxhaaa wkti utfka wkat ukifka kuna jmbo linatakiwa lifanyike
Mtumishi wa mungu hichi ni kitu kwelikweli. Kula chuma hichooooo! (Bado nampenda!)
Asante kwaujumbe mzuri hakika mungu akuze kipaji chako
Brother bonny nmeokoka kupitia nyimbo zako mungu azidi kukupa nguvu wengine nao waokolewe Amen 254
Sauti yakonzur fanya Kaz ya munga akubariki Sana mungu
Ujumbe umejitosheleza, ubarikiwe sana kwa upeo mkubwa umegusa maisha ya mzazi na mtoto, mungu akuongeze daiman.....nk
Bony kwa huu we wimbo wa Bado nampenda nakupa big up
Wimbo unanifinulia kwamba Yesu angali anakupenda licha ya makosa yako, tubu kwake tu anakupenda❤
😢 yaani kama tumeambiana
Kweli huu wimbo hapa umeweza sana
Nakumbuka matusi nilyo ambiwa na mwanangu kuwa sina uwezo wa kumzaa Yeye mwanaume ila nina mbegu za kuzala wanawake inaniuma sana.
msamehe
Muombe kwa mungu amsamehe sababu alijuhi alitendalo na mungu ambadilishe
Am sorry take heart😢❤❤
Msamehe bure
Mungu aendelea kukuweka kazi yako ni nzuri mno unaponya roho za watu kiwango Cha juu sana
God bless you
Toka nikiwa mdogo najifunza kitu kwa MUNGU kupitia nyimbo zako.Tuko pamoja katika kazi ya BWANA
"Barikiwa sana Mtumshi"
Kiukweli nyimbo zako ni nzuri kaka Bony mungu justifiable.
Good song hakika mwaitege unakonga nyoyo zetu ndagha malafyale
Barikiwa nabwana mtumishiwamungu
Ukongwe ni dawa kazi nzuri sana
Wimbo mzuri sana GOD bless you bonny mwaitenge from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪best song i like it
Unanikumbusa wanangu😊
Mungu akuzidishie kipaji chako na akupe maisha mema 🙏
Mungu akubariki papa Niko bunia DRC
Msamaha wa mzazi kweli wa maana🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾, hivyo ndivyo Mungu wetu hutusamehe Bali tunazidi kumkosea 👏👏👏 . Mungu tunatubu 💔
Nikweli
Msamaha ni mhimu aki witching from kenya
Nabarikiwa sana na nyimbo zako Baba hujawahi kosea ujumbe mzur sana barikiwa🙏
Hakika hii ni kazi nzuli sana ubalikiwe..
Legendary wa muziki wa injili Tanzania,,tunakupenda Sana, Mungu azidi kukutumia kwenye Uchungaji lkn na kwenye kuimba usitusahau Sana baba
Baba hujawahi KUKOSEA hongera sana kwa chuma hiki
Bado tunapenda sauti yako Mzee Bonimweitege usituache tumekaukiwa kusikia ile amsha amsha yako nchi nzima imelala Mzee wangu kunavitu unaviimba vya maisha yangu....
Wimbo mzuri sn mungu akubariki san Mzee boni
❤
Kok
..0,,xsd
How can I join u mzee boni
Kaka,hii,nyimbo,inaleta,falaja,kubwa,sana,ubalikiwe❤❤❤❤❤❤
We piga kazi kaka mungu akubariki Kwa kazi nzur
Hallelujah sifa kwa Mungu 🙏
God bless you 🙏
Da brother the god song meseji imeeleweka kwa wale wamchao bwana Mungu akupe nguvu brother
Mungu akubariki
Kitu motooo.......I like and love your ministry
Let us all gather here to congratulate this man
Pure talent, good music, full package
We're blessed and educated
We love you Kenyans Mwaitege
Mwaitege is from mbeya Tanzania not kenya
Kazi nzuri baba mungu akubariki sana
BADO pia Mimi napendwa na mungu, mapenzi yake kwangu Haina mivaka nashukuru mwenyezi mungu sana kwa uwepo Wake kwangu siku zote..amina
Shallom baba nyimbo zako ni mafundicho kabisa mungu akutie nguvu
Nlitoka nyumbani sababu walinidharau..sikuwa na chochote .nashukuru Mungu Nina mali ..majuzi ndungu zangu waliniona wakalia sana😢Hali yao haikuwa nzuri..nmeamua kuenda kuwasaidia
Kaká unaniliza naupenda sana , Im from Moçambique
Umegusa mioyo, umegusa maisha halisi ya Kimbingu na ya Duniani, maana Kama watoto Kama vijana, tunamkosea Mungu na wazazi wetu, lakini misamaha hii miwili ikitoka jua umepona, Barikiwa baba🙏🙏🙏
Namaanisha mungu aendelee kukupa nguvu na sio kuupa nguvu ni tyiping error
Nakukubali sana huwa unatoa kz nzuri Ila Sasa Nina swali,kwa nn sikuizi unatoa single? Alafu inakuchukua mda mrefu Sana Hadi sisi mashabiki wako tunakata tamaa kwamba umeachana na nyimbo za injili?
Nitayafanyia kazi hilo mtumishi nashukuru
Nitayafanyia kazi hilo mtumishi nashukuru
Amina,Kuna albamu ya UTANITAMBUAJE? ilifanya vizuri Sana,pia albamu ya MAMA NI MAMA
@@BonyMwaitegeOfficial leo nime subscribe.. tunataka ufike mbali toa album shirikisha baadhi ya wasanii kama Goodluck gozbet.. hakika brand yako itakua sana wewe ni msanii mwenye uwezo mkubwa sana .. naomba ulifanyie hili kazi
Bony bwana we! unampenda yeye anasema bado yupo batani anakula bata labda zikiisha
Kazi nzuri sana mutumishi wa mungu unanibariki🇨🇩🇧🇮
juzi vile wali tangaza kwenye mitandao eti bony ame fariki nilweka huwimbo nil huziunika sana moyoni mungu aku weke mtumishi wake 🇰🇪
Wimbo mtamu sana... much love from Kenya ♥️💞💞🙏🙏🙏💪💪💪
Long life man of God, much love from kenya🇰🇪
wimbo mzuri sana sana upiyile sana
Nimevutiwa na production producer alitulia...bravo
Wamwambie Ben atakama alinitukana akitubu nitamusamee iyo wimbo imenitoa machoziiii nitamusamee Ako kibira mimi umulahani juu chenye aliniambia inauma nanimeteseka na yeye tangu babake akufe nitamusamee
Ubarikiwe mwimbaji wa mungu
Wimbo huu ukiusikiliza vizuri tulio ondokewa na wazazi lazima utoe machozi nimelia sana
Ujumbe mzuri kwa jamii na vijana , mungu azidi kukubariki bon mwaitege, kazi nzuri yenye ubunifu uliosanifiwa na roho mtakatifu
nimeusikia leo na nimeplay zaidi ya Mara 10 maana ujumbe wake ni mzuri, vocals, instrumentals and beat all are good and delicious music at all
Bwana Yesu afiwe sana kipitia wimbo wako. Mungu akubatiki
Bonny oza somo, nzembo nayo eza elengi 🇨🇩🇨🇩
Dunia ina njaa ya mziki wa namna hii. Barikiwa mtumishi wa Mungu 🙏
Amen
@@ibragichukiofficial2035 g
@@wanjugugeorge1594 AAAAAAaaaaAaaaAàaaaaaaAaaaaaaÀÀAAAÀPpppppppappAÀÀAaAAAAààaAaAaa
Haleluyaaa.sifa.nautukufu.apewe.Bwana.mwenye.huruma.milele.na.milele
Father of the Gospel in Tanzania🔥🔥🔥🔥
Glory to our God 🙏🙏🙏
J
Bony mwaitege uuwimbo naupendà kweli unitumiye yote!
Naipenda sanaaa mtumishi wa Mungu. Watching from Kenya's🇰🇪🇰🇪🔥💪
Niwaathimwa takwa we?
Ujumbe huu umetufikia ubalikiwe mtumishi wamungu
Nina penda nyimbo za huo mzee.mungu ambaliki 🇧🇮🇧🇮
napenda vile mungu anatumia bonny mwaitege
Pongezi na kongole kaka Mwaitege.
Father of gospel,, the great bonnie
Imetulia hata NAMI ni enjoy
Watu husikiza wimbo zipi jamani...this is the type of songs people should listen ❤️much love from Kenya 💪good job
True
Pp
Ppppppppp
Yes very true for me is blessings this song I love so much, GOD bless you servant of God Bonny listen from Kenya.
On point indeed 💪. This is so teaching. Bony Mwaitege you are super. 🌹❤️. From Zambia
Nyimbo zako ni mahubiri na funzo tosha
Nice song 🙏🙏🙏🙏. Let's learn to accept our mistakes and we will be forgiven GOD 🙏 🙌 loves us. We🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ns loves u 💕💖 brother. Amen.
Nzurii