THE HITS SONGS OF BONY MWAITEGE 2023
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
- Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.
BEST OF BONY MWAITEGE 2023 unaweza kupakua audio kupitia link hii
mdundo.com/son...
VIDEO DIRECTORS - Director Willy - 06 73 73 46 20
-Director Eljah D
- Director Jukya
Ubarikiwe sana mtumishi wanaokuombea mabaya,return to the sender
Mtumishi wa mungu mkono wa mungu uwe ju yako kwakila jambo
Hongera sana mtumishi
Hongera brother
Nyimbo hii imenigusa sana kiwango machozi inanitoka bila kupigwa nikikumbuka mama yangu shida alio pitia juu yangu muangu akubariki mtumishi
jamani mbona mm nalia hapa baadaya 😢😢kuona eti wasema umekufa 😢😢😢 nqwel ama niongo mnpe jibu
Imenigusa sana hii y kutoa mimba, inabidi nimuombe sana msamaha mtoto ambae nilikomalia atolewe ila mama ake alikomaa asitolewe Leo n mtoto mzuri sana
Mungu akuzidishie kipaji chako Kwa nyimbo zako nizamafundisho jamani
Mungu anastali nimbo zuri kama izi ❤❤❤❤asante kwa yote mtumishi wa mungu
Bado nampenda wow Sir Bonny, what a video and song, nicely arranged lyrics.. Mungu akubariki zaidi. Apostle Kay listening from RSA.
Nawomba ufanye kazi na pasteur moise kutoka RDC🇨🇩🇨🇩nabapenda san 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
😊
My brother is workig had
Mungu Azidi kuinua viwango vingine watu wengi wanapona kupitia nyimbo, hakika nyimbo zako ni baraka ya watu wengi Mungu akutunze
Mimi napenda sana nyimbo zako. Zinamafunzo.
God bless you absolutely beautiful Kazi ya mungu ndiyo kabusa inamakosa.
Good music 🎶
May the Almighty God continue to shower you with uncountable blessings
asaten sanakwawimbo.mutamu
Mungu akubariki sana unatubariki sana na nyimbo zako bro
I discovered your music when i was in form 3 way in in 2010,God bless you bonny
Kazi nzuri. Tunaomba link ya kudownload
I appreciate for your songs because they move me in another level,sanasana wimbo ya safari bado
Asante sana mtumishi wa mungu,tunabarikiwa kupitia nyimbo zako.mungu asiti kukuinua
We thank God 🙏 for this powerful message
Soit beni utilishi
Thanks for your touching songs
Ubalikiwe pasta
Mungu hazidi kuinua kwa viwango najifundisha mengi kupitia kwa nyimbo zako❤❤❤❤❤
a
God bless u
More blessings to you Big brother 🙏
Be blessed mtumishi wa Mungu
Kupitia nyimbo zako nàpata kufunguliwa napenda kusikiliza hiz ❤
Nice one brother
Âmen âmen Amen Amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏
🎉🎉🎉❤❤❤🙏 🙏 🙏 🙏
Kwa Hali zote amenijulisha. Nipo salama rohoni
Nice
Ashanti sana
Fanya remix na utanitambuaje kwakweli ra❤❤❤❤
Barkiwaa Sana Bishop tunaendeleaa Furahaaa HUDUMA akoo
Kazi nzuri Mungu akubariki sana
Keep on soaring man of God ❤
Hata mimi naungana na wewe kwa hits song
Nyimbo zako zinabariki sana tunakuombea uzidi kutupa injiri kwa njia ya uimbaji na mungu akuinue
Una juwa maana ya mama
It's a good music with a meaning ✔️
Be blessed bro Bonny always GOD with you me tuu alm bless through this songs👍
Awesome compilation. tamu sana
Asante Mtumishi Ubarikiweee
I love your songs since 2010
Nzuri mno 🎉🎉
Wangapiiiii wanaelewaaaaaa jamaaniiii😢❤
All ur songs are 👌
mungu akuinue kwa jina la yesu
Nice song
Amen 🙏🙌🙌🙌🙌
❤❤❤❤❤
Jongera
Thank you man of God
You have two TH-cam channels?
❤
be blessed ❤❤❤
Amn
Asante sana, nilianza kubarikiwa wakati ulikuja kenya christine shusho
Amen
😮😮
4:51
Tk u guys for amazing and spiritual songs 🎵 May Lord bless you and keep it up 🎉. Tks so much for sharing your talents .
are the news going round true
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu Awabariki 🙏🏿
Mcsk watambue ngospel
Nikweli
Mwaka huu utakua baraka sana mungu akutunze🙏🏻🙏🏻
The best Gospel song😊
🎉🎉acha tuburudike unstoppable
🙏🙏🙏❤ much love frm Kenya be blessed man of God 🙏
Thank you for the mix bonny, may God bless you.
😢😢😢
🙏💕
Hii news ya mwatege kufaa is real or fake news?
Ubarikiwe sana mtumishi wanaokuombea mabaya,return to the sender
Nimejifunsa mengi sana kutoka lwimbo huu
Amen 🙏🙏🙏
❤❤❤