Muhtasari: Esta

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Esta, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Esta, Mungu kwa uwezo wake anawatumia Waisraeli wawili waliohamishwa kuwaokoa watu wake kutoka kwenye maafa makubwa yajayo, lakini matendo ya Mungu hayatajwi waziwazi katika simulizi hiyo.
    #BibleProject #Biblia #Esta
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2

  • @Devothakimei
    @Devothakimei 16 วันที่ผ่านมา

    Nice

  • @mckennahovland4668
    @mckennahovland4668 2 ปีที่แล้ว +1

    Wonderful!! Please make more! These are so useful.