NDOTO ZINAZOLETA AIBU MAISHANI MWAKO // Pastor Innocent Mashauri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2024
  • Zaburi 44:15
    Mchana kutwa fedheha yangu i mbele yangu, Na aibu imeufunika uso wangu
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/sirizabiblia
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 93

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 5 วันที่ผ่านมา

    Kwa damu ya Yesu najitenga na dhambi za Babu zangu bibi zangu mama zangu. Naomba unitenge na Rahana zote nilizotamkiwa. Naomba rehema kwenye maisha YANGU na uchumi wangu maisha YANGU NK. Napokea kufunguliwa. Aminaaa

  • @hilarymakina3441
    @hilarymakina3441 4 หลายเดือนก่อน +1

    Anza na mimi Yesu ❤ anza na mimi BWANA

  • @MwavitaMwajuma22
    @MwavitaMwajuma22 4 หลายเดือนก่อน

    amen nakuomba bwana mungu wangu winguse nafsi yangu winguse nafsi ya watoto wangu katika maombi ya siku ya leo ameeen

  • @hilarymakina3441
    @hilarymakina3441 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu naomba uniondoleee aibu kwa jina la Yesu

  • @marionchao
    @marionchao 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba niondolee Roho ya aibu

  • @alicethobias932
    @alicethobias932 4 หลายเดือนก่อน +1

    Najiunganisha na madhabahu kuundoa aibu

  • @juliussulana5343
    @juliussulana5343 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu naomba uniondolee roho za aibu kwangu na kwa mme na mtoto wangu Jean na familia ya baba yangu na familia ya wakwe zangu na ndugu wa mme wangu na ndugu zangu pia ameen mungu wangu 😢

  • @user-fh8ri5qy2g
    @user-fh8ri5qy2g 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Asante bwana najitenganisha na madhabahu ya kichawi.uganga.mapepu.majini.usherati.uzinzi.nayo yote siyo yakumbuka ambayo Yako kwa kifamilia yetu damu yayesu initenganishe nakizazi ca ibilisi katika jilayesu imanwel Asante bwana❤❤❤ yesu

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Yesu naomba uniondolee roho ya aibu

  • @janetfrancis7180
    @janetfrancis7180 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu wangu maana hutaacha niaibike

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen naondoa aibu kwenye maisha yangu juu ya uchumi wangu 😭😭😭mungu nahangaika tena Sana sina maendeleo na pambana lakini mungu wangu nimechoka siwezi pekee yangu ondoa aibu hii mbele yangu nikumbuke niko hapa madhabahuni mwako 🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾nirehemu mwana wa daudi 🧎🧎🧎🧎😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @joyceshiyo7257
    @joyceshiyo7257 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu naomba niondolee vizuizi vilivyo mbele yangu

  • @verynicejohn7384
    @verynicejohn7384 4 หลายเดือนก่อน

    Nakataa rohoo ya aibu kwenye family yangu na kwangu kwajina la Yesu🙏🏼

  • @christineneema3008
    @christineneema3008 4 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu uujuwaye moyo wangu ninakataa aibu roho ya uchungu majuto na kupata shida katima mahusiano haya yote yashindwe kwa jina la Yesu 😭😭🙏

  • @charmantendungo8970
    @charmantendungo8970 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nikumbuke Baba mambo IME nipitiliya,magonjwa n'a ndowa yangu ambayo umepata vitæ Siku zote mbingu nikumbuke

  • @joankalegi
    @joankalegi 4 หลายเดือนก่อน

    NAJITENGANISHA NA ROHO YA AIBU KTK JINA LA YESU KRISTO,,, BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU,,, AMEN 🙏🙏

  • @BrightLewis
    @BrightLewis 4 หลายเดือนก่อน

    Nakataa aibu kwangu na familia yangu kwa jina la yesu

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa mamlaka ya damu ya Yesu aibu yangu naiondoke. Mungu niokoe

  • @user-eq9ry7cd3q
    @user-eq9ry7cd3q 4 หลายเดือนก่อน

    Kwajina la yesu nalivua vazi la aibu kwenye familia yangu

  • @mbelemmunga-ps4df
    @mbelemmunga-ps4df 4 หลายเดือนก่อน

    kwa damu ya yesu navunja laana ya aibu ndani yamaisha yangu na ndani ya family yate Oh mungu nisaidie Mungu wangu I hope utanisaidia ujawai kuniangusha mungu wangu🙏🙏🙏🙏

  • @user-lb9lu5qx8c
    @user-lb9lu5qx8c หลายเดือนก่อน

    Amen Amen jambo kama hivyo ipo katika maisha yetu ya binadamu

  • @user-du5th9cd1h
    @user-du5th9cd1h 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba uniondolee laana juu ya familia yetu yote naomba uniondolee aibu zote juu yangu, wadogo zangu, dada zangu nakizazi changu

  • @user-rl6pu5hi3d
    @user-rl6pu5hi3d 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa mamlaka ya damu ya Yesu,navunja laana na aibu zote ambazo adui alizipanda katika familia yetu....kama ambavyo neno lako linasema Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa, na likang'olewe Leo hii🙏🙏

  • @user-jn9cx7zh1j
    @user-jn9cx7zh1j 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Kila pando ambalo halikupandwa na baba..nalingoa Kwa damu ya yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai... Navunja laana zote za ukoo ,,navua vazi lolote la aibu nililovishwa Kwa njia ya ndoto katika jina la yesu na Kwa damu ya yesu sitateswa tena na ndoto za aibu Kwa jina la yesu na Kwa damu ya yesu nakataa kuaibika Kwa njia yoyote Ile katika jina la yesu... ameeeeeeen

  • @Priscamavunga90
    @Priscamavunga90 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Mtumishi nabarikiw sana na huduma ya siri za biblia🙏🙏

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 2 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu wangu Mumba mbingu Na nshi ,naomba unique kila vazi Baya nililolivaa ama kuvalishwa kupitia ndoto katika Maisha yangu natumia damu YA yesu kuharibu Na kufuta kila laana ktk Jina la yesu Kristo🙏

  • @AndrianoWambua-hy6wr
    @AndrianoWambua-hy6wr 4 หลายเดือนก่อน

    Jehovah, Baba yetu h uishie milele niondolee aibu.

  • @marionchao
    @marionchao 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu naomba uniombee Mungu anibandilishie maisha ya kudharauluwa na kuonewa katika kazi.

  • @annastaziamatemela3266
    @annastaziamatemela3266 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu uniondolee aibu ya umaskini Kwenye familia yangu

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 4 หลายเดือนก่อน

    YESU ONDOA AIBU KWENYE FAMILIA YETU

  • @AnneMwinamo
    @AnneMwinamo 2 หลายเดือนก่อน

    Sio kwa uwezo wangu bali ni kwa uwezo wa roho mtakatifu Mungu niondolee hii aibu ya kutengana kwa ndoa

  • @user-tq7wn7ty4d
    @user-tq7wn7ty4d 4 หลายเดือนก่อน

    mtumishi was mungu Mimi usiku silali naotaga vitu ambapo sio nzuri

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 4 หลายเดือนก่อน

    Niondolee aibu kwenye maisha yangu 😭🙏

  • @joyceshiyo7257
    @joyceshiyo7257 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba niondolee aibu iliyo mbele yangu

  • @mbelemmunga-ps4df
    @mbelemmunga-ps4df 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unisaide nitowe roho yaku saulika mungu nilikuwa na mausiano yangu yali aribika lakini sikujuwa sababu nini Eeeee mungu nakutumaini wewe tu naomba unitowe roho wakusauloka

  • @user-mn7jm2sf2v
    @user-mn7jm2sf2v 4 หลายเดือนก่อน

    Nimeota natembea Uchi mbele za watu, na ninashuka mlima mkali sana kuelekea mabondeni

  • @collenskessy-ts7ue
    @collenskessy-ts7ue 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @user-yn6ru7xo5m
    @user-yn6ru7xo5m 4 หลายเดือนก่อน

    mungu naomba uniondolee roho ya aibu

  • @BintiSTEPHANO-ll2er
    @BintiSTEPHANO-ll2er 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu nivuwe vazi la ahibu

  • @babyjoseline7055
    @babyjoseline7055 4 หลายเดือนก่อน

    Shalom,Amen neno limegusa kabisa,kila wakati naota kurudi nyuma sio kwenda mbele 😢

  • @edinasomi2162
    @edinasomi2162 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unisaifiyr

  • @edinasomi2162
    @edinasomi2162 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu skutiye nguvu mt

  • @user-xk1vu6jd4l
    @user-xk1vu6jd4l 4 หลายเดือนก่อน +3

    Amen Asante bwana,najitenganissha na madhabahu ya kichawi,uganga,mapepo,majini,usherati uzinzi na yote nisio yakumbuka ambayo yako kwa familia yetu,damu ya yesu initenganishe Pamoja na kizazi changu chote kwa jina la yesu kiristo🙏🙏

  • @user-uz5yv6zy8u
    @user-uz5yv6zy8u 4 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu nihondolee aibu

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen❤

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @marialukumbi
    @marialukumbi 4 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl 4 หลายเดือนก่อน +2

    Baba nikumbuke ondoa roho ya kusaulika na aibu kwenye maisha yangu,kazini,kwenye familia yangu,ukoo wangu,kwa wazazi,dada na kaka zangu,mahusiano yangu na Evance,kwa boss wangu.,Mungu tukumbuke na sisi tuondolehe aibu kama ulivyoiondoa kwa Raheli ulipomkumbuka ukafungua tumbo lake. MWANZO 30:22--23,baba tukumbuke na sisi kwa jina la yesu kristo.Amen🙏🙏🙏

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 4 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿

  • @hopemakangale1596
    @hopemakangale1596 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 3 หลายเดือนก่อน

    Anza na mimi weye bwana !

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana

  • @gideonwambua9498
    @gideonwambua9498 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙌 🙌🙏🙏

  • @neemanyagawa9479
    @neemanyagawa9479 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeen

  • @user-zo6er2ey2w
    @user-zo6er2ey2w 4 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @collenskessy-ts7ue
    @collenskessy-ts7ue 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu niondolee roho ya aibu katika maisha yangu watoto wangu familia yangu

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @hilarymakina3441
    @hilarymakina3441 4 หลายเดือนก่อน +1

    Niondolee aibu katika familia yangu mmewang wadogozangu Yesu tunaomba utukumbuke utuondkolee aibu kwa jina la Yesu ♥

  • @PapiyioMurero
    @PapiyioMurero 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @modesterstanislaus6639
    @modesterstanislaus6639 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba niondolee roho ya aibu kwenye maisha yangu,kwa kizazi changu na familia yangu🙏

  • @Priscamavunga90
    @Priscamavunga90 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ni maombi yangu MUNGU aondoe kila jambo linaloteta Aibu ktk Maisha yangu

  • @MwavitaMwajuma22
    @MwavitaMwajuma22 4 หลายเดือนก่อน +1

    amen naomba bwana yesu ahondowre ahimbu zangu zote ahimbu ya mangonjwa ahimbu ya kukataliwa ahimbu ya kukwama katika maisha yangu

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba unipe heshima Mungu wangu kwenye mahusiano yangu 😭🙏🙏

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ee bwana tuondolee aibu kwenye familia yetu mimi na ndugu zangu wote kwa jina la yesu😢😢

  • @jacklinemutevu2470
    @jacklinemutevu2470 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu niondolee roho ya aibu kwenye familia yangu🙏🙏

  • @annajoachim-bi1jp
    @annajoachim-bi1jp 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba uniondolee roho ya aibu katika maisha yangu ......niondolee kila aina ya aibu inayopandwa hata ndoto yangu

  • @RahabkRuth
    @RahabkRuth 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu naomba unirehemu npate kuingia kwenye kusudi langu nakusii ukae NAMI mkono wakono wako uwe juu yangu aibu ya madui na namaovu yasinipate, nayafuta Kwa damu yasu.

  • @setds-ey2qs
    @setds-ey2qs 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba uniondolee roho ya aibu kwa maisha yangu hata kaw family yetu 🤲🤲🤲

  • @user-vn5eg2mz3y
    @user-vn5eg2mz3y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aibu yangu ni ndoa mungu nisaidie nipate mume mwema niondelee hii aibu kama ulivyoondoa kwa rahel😢😢😢😢mwanzo30:22

  • @elizabethpilla1472
    @elizabethpilla1472 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakataaa aibu kwangu na familia yangu kwa jina la YESU

  • @JanetMihayo
    @JanetMihayo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba niondolee roho ya aibu katika maisha yangu

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 4 หลายเดือนก่อน +1

    Emeeen nakataa aibu kwangu na familia yangu Kwa jina la yesu

  • @EsuvathLaizer
    @EsuvathLaizer 4 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU wangu wewe wanijua vyema Mungu

  • @user-hl2kn6si2i
    @user-hl2kn6si2i 4 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU NAOMBA NIONDOLEE ROHO YA AIBU🤲🤲🤲

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 4 หลายเดือนก่อน +1

    Eee mungu niondolee roho ya aibu katika maisha yangu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Baba kwa nafasi na fursa hii siyo kwa uwezo au akili zangu

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen Asnte yesu kwa kuniwezesha kifikabmadhabahuni😢

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asnte Mungu wangu Kwa uhai alionipa ❤

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 4 หลายเดือนก่อน

    Be blessed pastor innocent and is it biblical as a christian to use salt bathing or in any like chasing demons?please advise

  • @juliussulana5343
    @juliussulana5343 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu naomba uniondolee roho za aibu kwangu na kwa mme na mtoto wangu Jean na familia ya baba yangu na familia ya wakwe zangu na ndugu wa mme wangu na ndugu zangu pia ameen mungu wangu 😢

  • @CholelaRobert-lm7ro
    @CholelaRobert-lm7ro 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba niondolee roho ya aibu

  • @pamelabracedes9600
    @pamelabracedes9600 4 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @JosephJohn-rq7el
    @JosephJohn-rq7el 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @munguNimwema-cr7fk
    @munguNimwema-cr7fk 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @georginantemi8598
    @georginantemi8598 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Priscamavunga90
    @Priscamavunga90 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @florencenshimi9353
    @florencenshimi9353 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @hortenseornella-po8zw
    @hortenseornella-po8zw 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @SylviaWesonga-jc2cq
    @SylviaWesonga-jc2cq 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @dotonprince2573
    @dotonprince2573 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @frolamussa9862
    @frolamussa9862 4 หลายเดือนก่อน

    Amen