Neno la Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Tano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Iliyopendekezwa:
    Maneno ya Mungu ya Kila Siku: Kuingia Katika Uzima
    • Maneno ya Mungu ya Kil...
    Filamu za Injili
    • Filamu za Injili
    Ushuhuda wa Maisha ya Kanisa
    • Ushuhuda wa Maisha ya ...

ความคิดเห็น • 77

  • @atienomaurine8854
    @atienomaurine8854 ปีที่แล้ว

    Amina, naomba Mwenyewe Mungu anipe imani kama ya Ayubu 🙏🙏

  • @DyeVee
    @DyeVee 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏

  • @janethpascal5562
    @janethpascal5562 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho mazur

  • @justinlungunya8959
    @justinlungunya8959 2 ปีที่แล้ว +1

    Najiisi kufarijika kupitiya ukweli huu, Hata nipite katika ziki na mateso mengi tunayoyapitiya kwa sasa, naomba unichiye ngu eh mwenyezi Mungu...

  • @justinlungunya8959
    @justinlungunya8959 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @sophiamlote4424
    @sophiamlote4424 3 ปีที่แล้ว +3

    Ee Nafsi yangu na vyote vilivyomo ndani yangu vikuhimidi Mungu wangu katika Jina la Yesu🙏

  • @fredrickfuraha3081
    @fredrickfuraha3081 3 ปีที่แล้ว +9

    Jina la bwana lihimidiwe milele na milele 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @yoelimchome5879
    @yoelimchome5879 3 ปีที่แล้ว +2

    Hadithi hii imensogeza hatua moja mbele kiiman kwa msaada wa mungu tunashinda majaribu

  • @sandeligate388
    @sandeligate388 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atupe imani kama ya Ayubu

  • @masatuadolfu8691
    @masatuadolfu8691 3 ปีที่แล้ว +1

    amina

  • @kakulesaasitapatrick4856
    @kakulesaasitapatrick4856 3 ปีที่แล้ว

    Mungu niokowe

  • @kazimirially9808
    @kazimirially9808 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @sabathdaychannel2985
    @sabathdaychannel2985 3 ปีที่แล้ว +8

    Eee Mwenyezi Mungu naomba unipe Imani Kama ya Ayubu niende katika ya haki

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว

      Mungu afanyiwe wepes japo sio kilahisi kwa Dunia yasasa nisamehe kama nimekwaza 😁

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa mafundisho kupitia mtumishi wa Mungu Ayubu.Atukuzwe Mungu milele

  • @elizabethmisoka4340
    @elizabethmisoka4340 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu kwa kweli wewe ni mungu Jina lako litaendelea kusifiwa milele na milele amina 🙏🏾

  • @epiphaniapatrice7289
    @epiphaniapatrice7289 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli

  • @butondojoseph6998
    @butondojoseph6998 3 ปีที่แล้ว

    Ee mungu nirehemu

  • @adammjomba7112
    @adammjomba7112 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @marcusmsigwa8942
    @marcusmsigwa8942 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda tubadilike

  • @lemonlifes8515
    @lemonlifes8515 3 ปีที่แล้ว +2

    Nashukuru kwa maubiri. Jina la Baba wetu Mungu libarikiwe kupitia jina la mwana wake Yesu Kristo

  • @youngothmany4665
    @youngothmany4665 3 ปีที่แล้ว +1

    Yote na vyote vitapita,lkn neno la Mungu halitapita kamwe.bali litaishi milele na milele amina.ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 ปีที่แล้ว

    Mungu anitakase na kwaneema kuwa na lmani ya Ayubu

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 3 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana MUNGU kila nisomapo au kusikia hadithi za watumishi wake naona ajabu sana na hekima za juu sana

  • @eliassamson617
    @eliassamson617 3 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu ni mweza wa yote..

  • @edwardshio4840
    @edwardshio4840 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana kwa mafundisho

    • @gracelee8738
      @gracelee8738 5 ปีที่แล้ว +3

      Hujambo, rafiki mpendwa, mimi ni Mkristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu, ninafurahia kukutana nawe!
      Ikiwa ungependa kujua zaidi, tafadhali usisite kuwasiliana na mimi na tunaweza kuwa na mjadala zaidi pamoja!⬇️Ubarikiwe!
      youtu.be/addme/cgN9zEYJtwoVuwjn8PmkIiZmJt0HtQ

    • @adammwaihojo1671
      @adammwaihojo1671 3 ปีที่แล้ว

      Napenda Sana elimu hii ya MUNGU.

    • @kanisalamwenyezimungu
      @kanisalamwenyezimungu  3 ปีที่แล้ว +1

      Hello, Adam Mwaihojo! Seen from your comment, you are a person who likes to listen to God’s words. I would like to recommend you watch this list of Daily Words of God: th-cam.com/play/PLGDyAm4Ie4Hw7KaxLCGxgZ-k8XVV-0o-Y.html
      These are the words that God expresses in the last days, which can help you understand God and His work and bring you closer to God. If there are any questions, feel free to join our group and we will answer you in time.
      WhatsApp: api.whatsapp.com/send?phone=+254-700-427-192

  • @dorcasseruhere6875
    @dorcasseruhere6875 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu atuepushe Na misiba kwajinatla Yesu Zab 118:17.18 sitkufa mpaka niyashudie matendoymakuu ya bwana. nimekuumiza Sana lakini sikukuacha ufe. Mwenyewezi Mungu epusha vifo kwa Tanzania yetu Amen Mungu anajua maisha yetu tusijisumbue kwa jambo lolote

  • @adammjomba7112
    @adammjomba7112 3 ปีที่แล้ว

    Ameen Bwana wa majeshi Tumche mola atupiganie na shetani tukaze mwendo sana bila kuchoka

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 ปีที่แล้ว

    Mungu unirehemu na kuniondolea maovu yote, namagonjwa yote

  • @lovelytwins9159
    @lovelytwins9159 3 ปีที่แล้ว +4

    Ewe mola wangu kaa ndani yangu nami ndani yako. Niepushe na dhambi nikutumainie wewe pekee maana bila wewe sitaweza chochote. Ninusuru na dhambi.

  • @godfreymalo932
    @godfreymalo932 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tusaidie tuwe mfano
    Wa ayubu ili mpenzi yako yatendeke juu yetu

  • @huldermsuya7904
    @huldermsuya7904 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa mafundisho

  • @vaambamusic7065
    @vaambamusic7065 3 ปีที่แล้ว

    nzur sana

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa kutuletea simulizi

  • @epiphaniapatrice7289
    @epiphaniapatrice7289 3 ปีที่แล้ว

    Kweli tupewe imani kama ayubu

  • @msafirikandonga1105
    @msafirikandonga1105 3 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @kambonasanga8264
    @kambonasanga8264 3 ปีที่แล้ว

    Bwana Ni Bwana milele Amina

  • @ayubuleskarkorosmolel3563
    @ayubuleskarkorosmolel3563 3 ปีที่แล้ว

    Ayubu

  • @jopumunga4699
    @jopumunga4699 3 ปีที่แล้ว +3

    Tujifunze kumtafuta Mungu tukiwa bado tunamda

  • @jamesmungereza6893
    @jamesmungereza6893 3 ปีที่แล้ว

    Asante na Mungu awabarki sna

  • @erickpasence5837
    @erickpasence5837 3 ปีที่แล้ว

    mungu ni mwema kila wakati....asante kwa neno zuri lenye kulenga kuokoa roho zetu

  • @danielamos8460
    @danielamos8460 4 ปีที่แล้ว +1

    Asnte kwa neno

  • @josserunyei9681
    @josserunyei9681 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana ukamilifu wa ayub

    • @kanisalamwenyezimungu
      @kanisalamwenyezimungu  3 ปีที่แล้ว +1

      Halo Josse Runyei , asante kwa maoni yako.
      Kama ungetaka kujua zaidi, tunawakaribisha kutembelea tovuti yetu.
      sw.godfootsteps.org/gods-work-gods-disposition-and-god-himself-ii.html#sw=Hebu%20tuone%20kama%20Ayubu%20alimtosheleza%20Mungu%20na%20kupendwa%20na%20Mungu.

    • @josserunyei9681
      @josserunyei9681 3 ปีที่แล้ว

      @@kanisalamwenyezimungu asante sana

  • @Jodrey1
    @Jodrey1 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa neno

  • @beatricemanyamba770
    @beatricemanyamba770 3 ปีที่แล้ว

    Jina la bwana libalikiwe milele na milele

  • @victoriousblessedmom4343
    @victoriousblessedmom4343 3 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @mosesarchevec8404
    @mosesarchevec8404 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana.

  • @sikujuahassan3983
    @sikujuahassan3983 3 ปีที่แล้ว

    Mungu nisaidie mdhambi Mimi, niweze kukupendeza.😭🙇

  • @irenejoseph5925
    @irenejoseph5925 3 ปีที่แล้ว +1

    😍😍😍

  • @irenejecinta6104
    @irenejecinta6104 3 ปีที่แล้ว

    Nimefurai somo,,, Asante

  • @54plus41
    @54plus41 3 ปีที่แล้ว

    Be blessed bro

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว

    Ila kwa Dunia hi sina uhakika, kumbe karne ya ngapi hi, naile karne Yakima ayubu ilikuwa karne ya ngapi

  • @ericmusyoka4511
    @ericmusyoka4511 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana yangu ni swali ni vyema kutoa zaka ya kuteketeza?

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 3 ปีที่แล้ว +1

    Watoto walifariki wote wakati wa jaribu. Lak8ni baadaye aliwapata wengine kama sikosei. Maana tunaambiwa aliposhinda jaribu alirudishiwa mara dufu.

  • @esterpaul7697
    @esterpaul7697 3 ปีที่แล้ว +1

    Nani kama ayubu

  • @allymamlo252
    @allymamlo252 3 ปีที่แล้ว

    Utamanyile

  • @desirechibichabene1096
    @desirechibichabene1096 3 ปีที่แล้ว +2

    Ast nina.swali.kisha.jaribuyo.ya Ayubu Mucha mungu.alipewa watoto .gapi.tena?

    • @kabuletepierre7506
      @kabuletepierre7506 3 ปีที่แล้ว

      Ukisoma kitabu cha Ayubu sura ya 42 mustari wa 12 mpaka 17 yaani Job 42: 12-17. Kisha kujaribiwa Ayubu alizaa vijana 7 wasichana 3 Jemimah, Keziah na Karen-Happuch. Ayubu ni Mharabu . Ibrahim alikuwa Mkaldayo baadaye alibadirika na kuwa myahudi.

  • @elizabethmisoka4340
    @elizabethmisoka4340 3 ปีที่แล้ว

    Nina swali ni vibaya kutembea na mtenda dhambi?

  • @adammwaihojo1671
    @adammwaihojo1671 3 ปีที่แล้ว

    Nani kama ayubu??

    • @kanisalamwenyezimungu
      @kanisalamwenyezimungu  3 ปีที่แล้ว +1

      Hello, Adam Mwaihojo! Siku hizi kuna watu wachache sana wanaoogopa Mungu na kuepuka maovu kama Ayubu. Pointi nzuri kutoka kwa matendo ya Ayubu ndio tuweze kufuata mfano wake kuwa mtu anaye mwogopa Mungu na kuepuka maovu.

    • @adammwaihojo1671
      @adammwaihojo1671 3 ปีที่แล้ว

      @@kanisalamwenyezimungu barikiwa Sana Kanisa la Mungu nataman kuabudu nanyi.

    • @alinepascalin8777
      @alinepascalin8777 3 ปีที่แล้ว

      Niajabu kabisa

  • @pascalmgina
    @pascalmgina 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @mosesmoses1429
    @mosesmoses1429 3 ปีที่แล้ว

    Asante