TUKIOMBEE CHAMA TAWALA | NABII SANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2024
  • BILA KUJALI ITIKADI ZETU, HILI NI LETU SOTE MAANA MADHARA YAKE YATATUPATA WOTE.
    "TUKIOMBEE CHAMA TAWALA, NIMEONA MPASUKO."

ความคิดเห็น • 52

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 7 วันที่ผ่านมา

    Acha kipasuke na kuchanika chanika vipande mnipe niwaifazie nitawapa 2030

  • @elvzmak957
    @elvzmak957 4 วันที่ผ่านมา

    Mpuuzi huyu tukiombee chama kinapasuka ovyooo

  • @JOHNKKULULINDA-pc6gy
    @JOHNKKULULINDA-pc6gy 4 หลายเดือนก่อน +2

    HEEEH HAKIKA HUYO ANA ROHO WA MUNGU. UNABII AMEOTOTA SI KW KUTISHA. AMEN. TUSIDHARAU.

  • @BarakaMagesa-vl2cx
    @BarakaMagesa-vl2cx หลายเดือนก่อน

    i see God live

  • @user-vr2wt7el2m
    @user-vr2wt7el2m 4 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kumzingizia Mungu eti amesema!

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 4 หลายเดือนก่อน +1

    Very good pastor where together God bless you .

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน +1

    Always Tanzania kuna matatizo kwenye chama tawala

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu isaidie nchi ya Tanzania

  • @matiredms917
    @matiredms917 6 หลายเดือนก่อน +2

    CCM ni Chama ovu. Wacha waangamie.

  • @kaismwambona9860
    @kaismwambona9860 3 หลายเดือนก่อน

    Kuombea nchi sawa balii chama kiombewe na wanufaika nacho , na kinatawala kama mkoloni, Mungu ni Mungu akipanga kukitoa kinatoka,hata manabii waitwe waungane kukiombea hakitapona 1wafa;19,20....

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 5 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa mungu wametuongoza v8zuri mpaka waraabu wameinhia kutuelemisha mambo ya bandari

  • @maryr4033
    @maryr4033 5 หลายเดือนก่อน

    Ama Mungu amekuwa mwema kwetu..kwa kuinua serious generation of young prophetic men for His own Glory.

  • @Freevideos989
    @Freevideos989 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu hana upendeleo na Mungu ni wa haki... tunataka haki na si mapènzi ya mtu. Mpasuko kama hawatendi haki ni juu yao. Kila mtu na ajitetee

  • @user-sw8fo7wz8i
    @user-sw8fo7wz8i 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mpasuko huo hautafichika tena Kama walivyozoea Kuwaficha Wapiga Kura na Wananchi wengi wa Tanzania..!

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 6 หลายเดือนก่อน +5

    upumbavu huu kuliko niombee chama tawala kikigawanyika bora ninyeee mpaka Dar, CCM IFE NIFANYE SHEREHE

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 4 หลายเดือนก่อน

    Tujue kuwa wanalazimisha kuongoza. 2020 ulikuwa uchaguzi wa mwendazake peke yake.

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watu watafanya sherehe kwa sababu wamechoka kuwaogoza

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏾 prophet of God

  • @user-vr2wt7el2m
    @user-vr2wt7el2m 4 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli ss atuombi kwa sababu ya hao mshetani! Achana na Huo Uouuzi!
    Saau hizo zawadi wanazokupa alafu unatuambia tuombe!!

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nataka CCM iondoke madarakani, hiki chama kinatupa umaskini.

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    Thank you 🙏🏾 Jesus

  • @IldephonceRutta
    @IldephonceRutta 5 หลายเดือนก่อน

    Niombee upuuzi Gani huyo? Acha wapasuke maana zawadi ya uovu ni uovu. Omba peke Yako!!! Sihitaji mwanasiasa wao na matumbi Yao! Napambania maisha yangu! Kwendraaaa😢😢

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wachungaji ombeeni hao CCM waondoke tumewachoka mno

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu anazitambua mamlaka zote za dunia, zilizo sawa,na zisizo sawa zote ziko chini yake. Lakini zile falme mbaya,amesema niombeni nami nitasikia,nayo yatakua yenu. Kwa hiyo unataka tuiombee mamlaka inayotutesa ili kusudi yazidi kuwa yetu?!

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 5 หลายเดือนก่อน

    ACha. Babeli iwaoate tumewachoka

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x 4 หลายเดือนก่อน

    Ipasuke ht wafe wanavaa kijana siombei ccm Bora niombee ht watoto wa shule na magonjwa

  • @user-mk1qz1mn7w
    @user-mk1qz1mn7w 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @annalyimo2659
    @annalyimo2659 4 หลายเดือนก่อน

    Usituchoshe bwana huna mengine ya kuombea

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    True true true true Daddy

  • @user-cu3dg8xd7q
    @user-cu3dg8xd7q 4 หลายเดือนก่อน

    Yaaaaani Mungu akae mbinguni aseme mukiombeee CCM 😅😅😅😅😅😅😅

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Papa

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 4 หลายเดือนก่อน

    Sisiemu na ife.

  • @DonatusNyamizi
    @DonatusNyamizi 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni uongo

  • @marwamagere
    @marwamagere หลายเดือนก่อน

    Manabii wa kupalilia rushwa kutoka ccm waongo na wanafiki hawaendi kinyume na ccm

  • @pastoreskakachaula4684
    @pastoreskakachaula4684 6 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿🇹🇿🔥🔥🇹🇿🇹🇿

  • @dianamakyara4210
    @dianamakyara4210 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm basi kifike mwisho kabisa tumeshawachoka

  • @winifridarugayana7312
    @winifridarugayana7312 5 หลายเดือนก่อน

    Acha wagawanyike watajua wenyewe

  • @joshuajohn2668
    @joshuajohn2668 4 หลายเดือนก่อน

    Unabii wako hata kwa akili za kawaida unaweza kukadilia tu sio lazima kusema MUNGU kasema sababu rahisi Alicia madarakani na aliepo ni makamu Tena wakike kwa unabii huu ata Mimi naweza kutengeneza wa kwangu

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Nabii ni mpenzi wa CCM,Kama Mungu kakupa unabii mbona unafafanua?

  • @johntendwa7856
    @johntendwa7856 4 หลายเดือนก่อน

    sheria ni moja tu, kila kilichozeeka mwisho wake ni kifo tu, na acha uongo maana mungu pia huviinua vinyonge badala ya vilivyo vikuu, alafu mbona unafanya siasa hapa kama unatumiwa na ccm, kama mungu anakijua chama hiki kwa nini kiwe na mgogoro, hawa ni inallah rajuin.

  • @user-sw8fo7wz8i
    @user-sw8fo7wz8i 5 หลายเดือนก่อน

    CCM ilikuwa bado IENDELEE Kupendwa na Wananchi KAMA tu wangekuwa wanaheshimu Mawazo ya Wananchi juu ya Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi Tanzania.
    Lakini CCM Kinaenda Kuangamia Kwa Kuvunjika Vipande Vipande Kwa Makundi tishio Ndani yake.!

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 4 หลายเดือนก่อน +1

    KANISA HILI LIKO WAPI JAMANI?.

    • @pogfamilytv
      @pogfamilytv  4 หลายเดือนก่อน

      MAKONGO JUU - MTAA WA SOLA, DAR ES SALAAM

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 3 หลายเดือนก่อน

    Ubia na wawekezaji unaipotezea Radha CCM kwa wananchi mfumo huu fursa za kiuchumi zinaondolewa mikononi mwa umma wanapewa wachache wenye mitaji

  • @Hapomwanzo
    @Hapomwanzo 2 หลายเดือนก่อน

    YAANI NIPOTEZE MUDA WANGU KWA AJIRI YA KUOMBEA KITU KISICHO NA FAIDA KWANGU, ZAIDI KINANIUMIZA TU!, SI NI BORA NIOMBE KWA AJIRI YA CONGO AU SOMALIA AU SUDANI NA NCHI NYINGI ZENYE VITA.

  • @saalim5401
    @saalim5401 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni wehu hakuna chochote kitakachotokea mtabaki hivyo hivyo wazee wa maokoto mnatafuta njia za maokoto uchaguzi utapita bila mtikisiko wowote mwaka huu hampati chochote wehu nyie kula chuma hicho mbwa nyie

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 5 หลายเดือนก่อน +3

    Pastor achana na upuuzi huo hatuipendi Ccm chama hiki kimetuumiza sana mpaka sasa tunazidiwa na Kenya kiuchumi sababu ya viongozi wa Ccm

    • @furahasanga2534
      @furahasanga2534 4 หลายเดือนก่อน

      KIMEKUUMIZA WEWE MTUMISHI ANAONGEA HABARI ZA KITAIFA, WEWE
      UNALETA HABARI ZAKO BINAFSI, KAMA MCHAGA WALIO SHEREKEA KIFO CHA
      MAGUFULI.

  • @user-fi9dh1wz1z
    @user-fi9dh1wz1z 4 หลายเดือนก่อน

    Bora niombee mavi kuliko kuliombea ccm

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 4 หลายเดือนก่อน

    MAKONGO JUU MTAA WA SOLA KANISA NAHITAJI KUFIKA, LITANIFAA SANA.