NABII S.S. ROLINGA ASIMULIA MAGUMU ALIYOPITIA, ''NILIKUJA DAR SINA PAKUFIKIA''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.พ. 2019
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 57

  • @edinamwano4911
    @edinamwano4911 5 ปีที่แล้ว +14

    Yuko vizur hongera Baba ni nabii wa kweli alinitabiria mengi ya kweli shukran times kwa kujua umuhimu wake

    • @rubigeorge8410
      @rubigeorge8410 3 ปีที่แล้ว

      Hey na mm Nikitaka nikutane nae ili anitabirie nampataje,nisaidie please

  • @raelchepchirchir4728
    @raelchepchirchir4728 2 ปีที่แล้ว +1

    AHIMIDIWE MUNGU WA NABII SAMUEL LOLINGA. JEHOVA BABA, SIMAMA NA NABII WAKO LOLINGA MILELE.AMEN.

  • @euniceurio7492
    @euniceurio7492 3 ปีที่แล้ว +3

    This is unbelievable story. Kweli mipango ya Mungu siyo kama ya mwadamu. Alikuwa apokelewe na mtu ila Mungu akajitukuza. Maana Mungu haitaji msaidizi, Yeye Mwenyewe anajitosheleza. Acheni Mungu aitwe Mungu.

  • @leticiamasalu8049
    @leticiamasalu8049 3 ปีที่แล้ว +5

    Nice be blessed

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda ni imani ya utumishi wa kumtumikia Mungu aliye hai.

  • @mwl.venancef.m9445
    @mwl.venancef.m9445 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunaomba full interview

  • @THEWOLF_26L
    @THEWOLF_26L 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunakukubali Sana baba

  • @davisdeogratius9475
    @davisdeogratius9475 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda

  • @dickraskeffa7447
    @dickraskeffa7447 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen

  • @nelsonkiula9879
    @nelsonkiula9879 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtu wa Mungu

  • @joykwamby7586
    @joykwamby7586 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen and Amen

    • @genesisgrant2620
      @genesisgrant2620 2 ปีที่แล้ว

      i know I'm pretty off topic but does anyone know of a good place to watch new movies online?

  • @glorygosbert2659
    @glorygosbert2659 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu alikupitisha kwa Makusudi ili uwe ushuhuda

  • @vicentkilonzo924
    @vicentkilonzo924 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @antonernest8479
    @antonernest8479 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @gideonjames6084
    @gideonjames6084 5 ปีที่แล้ว +6

    Muendelezo wa haya mahojiano uko wapi??

  • @evajacob1808
    @evajacob1808 3 ปีที่แล้ว

    Nimesikiza neno lako limenijenga sana, mimi niko Ujerumani ningeomba sana itabidi wako na maombi Juu yangu na Familia yangu na Ndoa

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 3 ปีที่แล้ว

    Ushuhuda Mzur...natamani Kama ingeendelea

  • @jidamlytzpawa6713
    @jidamlytzpawa6713 3 ปีที่แล้ว +1

    So good

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว +4

    Uyu mchungaj tumempenda bule kwenye video yake hile

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 2 ปีที่แล้ว

    Ila huu wito wa dar dar hivi Kati ya mwanza na dar ni wapi wanamhitaji Mungu ni sawa eti mtu anakuja kutoka Congo ana wito Tanzania

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama ananijuwa mana nilishakwambia ndoto nilizota ms akaja Zions zilitokea

    • @salusalu3308
      @salusalu3308 3 ปีที่แล้ว

      Nabii mm nachanga moto ya doa yangu naitaji maombi

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

    Rafik yangu aliikudia

  • @tamarimahega7384
    @tamarimahega7384 2 ปีที่แล้ว

    Huyu sio mtu wa mungu

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

    Kwel wengi utakuta ujana tena wanakuwa wanakataa hila mtu alipata matatizo ndo utakuta hana jinsi

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

    Uyo dada alikuwa anamapepo mabaya ya kichawi. Da ndo Kuna mtoto wa mama yangu mkubwa naye Ana upako alikuwa a naombaga paka utasikia vishindo mtu kama kaanguka na mwenyew alikuwa anasema alikuwa mtu anaanguka mchawi

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

    Kunaweza jiran kukawa na msiba na nikaota siku moja niliota Kuna mtoto mdogo kafa Mara nikawa tumeenda kuchota Maji tukakuta Kuna msiba kuuuliza Wa nani tukaambiwa Wa mtoto nikasema he si nimeota usiku basi ulikuwa huu

  • @nessa4899
    @nessa4899 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmekatisha mahojiano mbona?

    • @josepsamson387
      @josepsamson387 3 ปีที่แล้ว

      Je unaweza ukatabili kifo kijacho kitakuwa Cha Nani nakitatokea majila gan

  • @reganjoseph3592
    @reganjoseph3592 5 ปีที่แล้ว +1

    Ameen sana mtu wa Mungu na bii

  • @issufomussa7689
    @issufomussa7689 2 ปีที่แล้ว

    Unayumba mchungaji

  • @alexmoturi4271
    @alexmoturi4271 2 ปีที่แล้ว

    Mkihoji watu tajika haraka Acheni jamani, Sasa mambo mengi ya muhimu hayakusemwa kisa ni wakati mmempimia mtumishi

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi mwenyew watu Wa nyota yangu tunaponya kwa Maji au kwa kutumia mikon wanaweka na kwel Mim vitu vingi nilikuwa naota kabla havijatokea Mara vikaww vinatokea au naweza nikais I kitu kumbe kikawa ni cha kwel

  • @Churchofecclesia
    @Churchofecclesia 3 ปีที่แล้ว +1

    mbna mmeweka hii tu nyngne zko wap

  • @yussuphshilingi3258
    @yussuphshilingi3258 ปีที่แล้ว

    Wew muongo

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndo aliyetabil Kifo cha makuful da ILE video imewagusa wengi

    • @hasanimsantu3694
      @hasanimsantu3694 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyo ni domo la shetani pia nayeye nishetani wa mdomo mkubwa kama yeye ni nabii agemwambia muwa magufuli kuwa ikulu mtu atakufa huyo kwanza anachekelea kuwa magu amekufa huyo nishetani mkubwa tena nishetani

    • @melanialeonard8043
      @melanialeonard8043 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hasanimsantu3694 yan nishakoment kweny hili litumwa LA shetan mpk ntakufuru n shetan kwa sura ya binadam hakuna binadam mweny ujasiri huo

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

    Nabii tunashukur kukufaham

  • @yussuphshilingi3258
    @yussuphshilingi3258 ปีที่แล้ว

    Huyo aliekupa utume wewe ninani?

  • @mozzaliuleiza9288
    @mozzaliuleiza9288 3 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu mzee hapo ni shetani tu huyo alikuwa

  • @bonifacenengenenge579
    @bonifacenengenenge579 3 ปีที่แล้ว

    Amen