NDOTO YA KUTISHA, MAMA AANIKA MAMBO MAGUMU NA MAZITO, UCHAGUZI 2025/ AWATAJA MAWAZIRI HAWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ค. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 317

  • @user-my6iz5tg7x
    @user-my6iz5tg7x 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mama, usicheze na jina la mungu. Uongo ni jambo mbaya sana. Wewe unajaribu kuidanganya nchi nzima . Unaweza kupata laana kubwa. Usifanya mzaha na jina la Mungu. Waziri wa kilimo anapambana na wezi wanao wahangaisha wakulima. Kama umetumwa na hao wezi, basi omba msamaha kwa mola wako.

    • @jofreyfungo1112
      @jofreyfungo1112 2 หลายเดือนก่อน

      Anapambana wakati wakati ananyang'anya Haki ya wakulima kushiriki anatengeza miradi ili apate 10%Kwa wakandalasi.Amenyang'anya Maonyesho ya wakulima anaweka yawe ya wizara Nako anataka kupiga Dili kwenye viwanja vya wakulima.(Amka)

    • @user-my6iz5tg7x
      @user-my6iz5tg7x 2 หลายเดือนก่อน

      @@jofreyfungo1112 Jambo la kusikitisha Ni kwamba Sisi waafrika wengi wetu Ni watu ambao si wazalendo. Tuna wivu Na chuki ndani zetu. Mwanasiasa akijaribu kufanya kazi yake vizuri, anasingiziwa mambo za uongo za kumharibia Jina.

  • @danielkanso
    @danielkanso 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi hata sipingi zaidi sana na muomba Mungu atuhepushe na yaliyo mabaya na uliyoyazungunza hata sikatai kwa sababu na jua kazi ya Mungu

  • @AlphaBukuku-f9j
    @AlphaBukuku-f9j 2 วันที่ผ่านมา

    Ucipomtii mungu shetani atakupa kazi mungu hawez kukupa maono kama hayo mungu anatoa maono ya utume ulimwenguni

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 2 หลายเดือนก่อน +8

    UKIWA MTU WA KUTII SAUTI YA MUNGU BASI UTASHUHUDIA MENGI SANA!!SAUTI HII NI YA WENYE IMANI TU

    • @antoinekatembo8520
      @antoinekatembo8520 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa kabisa!!

    • @edisonemmanuel-
      @edisonemmanuel- 2 หลายเดือนก่อน

      Umenena ni vile tu hofu ya Mungu inakufanya ushuhudie au lah kama ni uongo atajua mwenyewe

  • @kitejamayunga7645
    @kitejamayunga7645 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duh! Tulikuwa na mfalme zumaridi, Sasa huyu ni malaika mwenye watoto. God heal this generation

    • @ayshasaid1547
      @ayshasaid1547 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂nimecheka kwa saut

  • @galluskanenge4898
    @galluskanenge4898 2 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu ana mahangaiko ya maisha yake na nafsi yake ina matundu ,yanayotokana maisha ya dhambi alizotenda , uchungu wa kuzaa hewa hupatikana katika ndoto baada ya kurudi kulala wakati jua limechomoza 😊

    • @FatmaChezo
      @FatmaChezo 2 หลายเดือนก่อน

      Uwiii😅😅😅

    • @AMENMUSHI-wt4li
      @AMENMUSHI-wt4li 2 หลายเดือนก่อน

      Mmm

    • @NasibuNasoro-ew3vw
      @NasibuNasoro-ew3vw 2 หลายเดือนก่อน

      Mama uza sura upate foroaz wakutosha vta vipo urus na kongo we huja pigana vta mama ugesema unapata majaribu ya shetani sio vita ungekua unavita na wanadam basi we utakua upo ktk kundi la shetanie

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 2 หลายเดือนก่อน +4

    Uzuri wa hii Nchi bana Hufi kwa Msongo Mawazo
    Ukiona Umezongwa tu Weka Bando lako kisha ingia Yu tube

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 lakini utakufa kwa njaa .

    • @rilekijuma4024
      @rilekijuma4024 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna sehemu yoyote kwenye biblia inasema sauti ya watu ni sauti ya Mungu hii ni kauli ya kifalsafa

  • @user-hq5qx1hu2x
    @user-hq5qx1hu2x 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hawezi kua raisi January yeye na Baba Yake wakafunge
    Kuhusu Makonda hapo umechemka unabii wako

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 2 หลายเดือนก่อน +3

    Apelekwe Milembe hospital akapimwe akili.It is a bunch of nonsense of the highest level.

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona kila mtu anampinga huyu dada..what if she is right na yote anayoongelea yanatokea

    • @rilekijuma4024
      @rilekijuma4024 2 หลายเดือนก่อน

      Unabii unapimwa kwa neno la Mungu hapo hakuna neno la Mungu mwanzo mwisho ni porojo

  • @user-yz1xq8xo8s
    @user-yz1xq8xo8s 2 หลายเดือนก่อน

    Maneno ya Imani huwa Yana puuzwa lakini mwisho wake ni huu Nuhu aliambiwa na mungu atengeneze safina watu wenye nguvu na dharau wakambeza sana lakini kilichotokea nisikwambie Mimi Bali jifunze.wote waliangamia

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ww ni wa maana Sana Mungu atakutumia Sana kwa kuwa umekubali na kutii mema yanakuja barikiwa sana

  • @lindajohansen9220
    @lindajohansen9220 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hata jiwe kuu la pembeni waashi walilikataa! Pengine ni ujumbe wa Mungu kweli

  • @saluhilya8465
    @saluhilya8465 2 หลายเดือนก่อน +2

    Timiza wajibu wako uliotumwa na mungu atakayebeza atakutana na adhabu ya mung

  • @fredymwakalunde5544
    @fredymwakalunde5544 2 หลายเดือนก่อน +5

    amina mama Mungu aendelee kutenda

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 2 หลายเดือนก่อน

      Yani wakristo wepesi sn kudangqnywa

  • @JacobJoel-cb3ni
    @JacobJoel-cb3ni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmhh sasa unasema Wew Ni Angel Mara kiumbe Zaidi sasa mume wako ana wasiwasi wakati umesema Ni Angry😃😃ila yote Kwa yote Mungu wangu WA mbinguni atukuzwe

  • @arnoldkimaro407
    @arnoldkimaro407 2 หลายเดือนก่อน +1

    ---Taifa linaombewa na viongozi 12:42 wa dini kila siku pamoja na viongozi wake hivyo tunaamini kuwa uchaguzi ujao utakuwa huru na wa amani. Nchi haiwezi kuongozwa kwa watu kuoteshwa matukio au kusema ni maagizo ya mungu kwani maagizo ya mwenyenzi nungu yako kwenye vitabu vya dini ie Bibilia na misaafu pamoja na machapisho mengine .

  • @yasminmohamed604
    @yasminmohamed604 16 วันที่ผ่านมา

    Kaime mama milembe ipo wazi km vilevi acha umekuwa nani wewe upewe wahhai na mungu???? Au ndio ulikuwa na yule kwy maghofa maleefu sn???😅😅😅😅😅

  • @JumannePangapanga
    @JumannePangapanga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaha mungu anakazi nyingi co kukaa kujadil viongoz huyu anafaa huyu hafai bila shaka umetumwa

  • @pantaleokullaya4267
    @pantaleokullaya4267 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamila Neno tu kuhusu kutosuka nywele limekuwia gumu mie nikupimeje kukuamini?1Pt.3:3 na 1Tim.2:9.Ukilitii Neno la Mungu ni rahisi kukutumia kwa ajili ya watu wake.

  • @peterkasonso3169
    @peterkasonso3169 29 วันที่ผ่านมา

    Uliabza vizuri ila kukiita wew maraika hapo mama,sio sawa kwa msingi wa maandiko matakatifu

  • @user-qj7xp7wo1v
    @user-qj7xp7wo1v 28 วันที่ผ่านมา

    Sio kila anae vuta bangi ni mwendawazimu 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @elsonkingtz4506
    @elsonkingtz4506 2 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo bila Shaka katumwa na peoples power

    • @nelsonnyamle
      @nelsonnyamle 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hata wewe uliyeandika sms hii utakuwa umetumwa na ccm

    • @gallusmbaga5522
      @gallusmbaga5522 2 หลายเดือนก่อน

      Hahahahaha

  • @user-fl3yl4or3e
    @user-fl3yl4or3e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sio tatizo lako bali nitatozo la kutojua Mungu ni wanamna gani mungu akujie wewe kabisa aongee mambo ya wizara kwanza muogope Mungu wacha kumfanya kama kitu cha mchezo

  • @EmanuelWillson-jy1fq
    @EmanuelWillson-jy1fq หลายเดือนก่อน +1

    Kuna uharibifu mkubwa unakuja . Na kudharau maadili yetu MUNGU hatanyamaza, wengi watasema nipo kwa ajili ya MUNGU nataka niwaambie watatokea manabii wa uongo haya ni madogo katika unabii yanakuja makubwa mno

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l 3 วันที่ผ่านมา

    Huu ujumbe ni wa Mungu kweli

  • @EmmaWairanya
    @EmmaWairanya 2 วันที่ผ่านมา

    Hii nchi ina wahuni wengi poleeee

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 22 วันที่ผ่านมา

    MUNGU gani Binaadam ??😂😂😂 😅😅😅😅, acha kumchezea MUNGU. Japokuwa inawezekana unataka kutufikishia ujumbe wenye maana lkn usichanganye na fikra za kumshirikisha MUNGU.

  • @subirasimbeye5389
    @subirasimbeye5389 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Woman of God

  • @anastazialushika
    @anastazialushika 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu hanaga maneno mengi ivo!Acha kutuuzia mbuzi kwenye gunia! Acha Arusha ipae kimataifa ww acha makonda ainyooshe iwe kama uraya! Makonda oyeeeeee

  • @mamanimama2618
    @mamanimama2618 26 วันที่ผ่านมา +1

    Amina

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 20 วันที่ผ่านมา

    Pmja n ni ninyi mnaopinga huyu dada angalieni vizuri arusha kila siku mauaji kwani hamjiuliziii kwaninn mwanmke huyu aiseee haya acheni kudharauu jambo

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mama ni chizi tayari😅😅

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu akusamehe tu

    • @joycemshana4028
      @joycemshana4028 2 หลายเดือนก่อน

      You cant joke...with this name...

    • @user-kz5en5tq2z
      @user-kz5en5tq2z 2 หลายเดือนก่อน

      Cheka Leo kesho Italian, bora kukaa kimya!!

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @clemencelisonga8261
    @clemencelisonga8261 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu akasema nitakapo kuja nitaiona Imani kweli

  • @AdamChambo-mf4ek
    @AdamChambo-mf4ek 11 วันที่ผ่านมา

    Hata wakati wa Nuhu watu walimdhihaki,wakamkejeri nakumtukana,lakini mwisho wake wote mnafahamu kilichotokea

  • @BarackntabindiEmoro-bo1xp
    @BarackntabindiEmoro-bo1xp 2 หลายเดือนก่อน +2

    Je mungu hakukwambia wamasai wanateseka mama awahulumie au tusimchangue kwa kua ata mungu hajamchagua huu ni kuvizia uteuzi make

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na yeye alikwambia kingereza ? .

  • @user-qj7xp7wo1v
    @user-qj7xp7wo1v 28 วันที่ผ่านมา

    Mpuuzi kweli mitume wenyewe hawakumuona mungu ww unasema umemuona 😂😂😂😂💔 endelea kuwadanganya hao hao wapuuzi wenzako

  • @talents7934
    @talents7934 2 หลายเดือนก่อน

    Hata Mwenyezi Mungu hapa nahisi Kaangua kicheko😂 Nahisi huyo Mungu uliyongea Nae ni Wa chuga Ngarenaro

  • @WeremaSagati-tk5di
    @WeremaSagati-tk5di 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli kabisa

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hahahahaha ,ni kwa nini watu wanakuwa na mawazo ya ajabu duniani hapa .

    • @emmosilver6039
      @emmosilver6039 2 หลายเดือนก่อน

      Unashangaa NI siku za mwisho shetani anawachanganya watu.

    • @nelsonnyamle
      @nelsonnyamle 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe tahila upo wapi?

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeelewa leo kwann magufuli alibana midomo ya watu wenye midomo mirefu ka ma hii yan kama magufuli angekuepo huyu mama angekua ardhin chini ya udongo

  • @stephenalmas4209
    @stephenalmas4209 2 หลายเดือนก่อน

    Amen, ila sasa ndg yng sauti ya Mwenyezi MUNGU huwa hai-hitaji nguvu nyingi sana kufika mahala pake, neno moja tu latosha na kuponya nafsi zetu, maana hilo neno ni takatifu, wala halihitaji maelezo ya ziada kujipambanua.

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 2 หลายเดือนก่อน

      Acheni utoto nyie wakristo kwann mnadanganyika fasta ivo

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 2 หลายเดือนก่อน +1

    UNAJUA UKIACHA BANGE NDOTO FLANI FLANI ZINAKUJIA,,USIJALI UTAKUA SAWA TU

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu anamwambia nenda kaonge na media😂😂😂😂😂😂😂😂bongo bongo kuhama itakua shida sana

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน

    Ok.

  • @jifunzekuhusuwewe7475
    @jifunzekuhusuwewe7475 2 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN MUNGU ATUSAIDIE

  • @MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
    @MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh 16 วันที่ผ่านมา

    Sijakupata anaejua kuwawe nimagugu au nimbegunjema ni mungu

  • @jumamkwanda8031
    @jumamkwanda8031 2 หลายเดือนก่อน

    Uhuru wa kuongea,uhuru wa wana Habari,uhuru wa kujieleza,uhuru wa kuongea lolote utakalo ili mladi usivunje sheria za Nchi,uhuru wa kutoa Mao ni Malaika jamila ametoa maoni yake 😂😂😂

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu amemtaja na makamba😂😂😂😂😂😂😂😂 huyu mama jaman apimwe akili haraka sana Ebu tuwambie mungu kuhusu chadema 😂

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

    Hebu wacha wazimu wewe Bibi. Mungu atakuaibisha wewe kwa karibu na Ulimwengu utashuhudiya. Zanzibar kila miaka mitano inamwqgika damu na hakuna kichaa yoyote alitumwa na Mungu kusema maneno kama unayo yasema wewe. Na unasema uwongo pia Mungu atakuonesha very soon.

  • @jeremiahmsangi8215
    @jeremiahmsangi8215 2 หลายเดือนก่อน

    Siku za mwisho,tuzipime Roho.Ufunuo WA YOHANA.Maono ya Geography kabisa haya

  • @neemasanga5333
    @neemasanga5333 หลายเดือนก่อน

    USIMZINGIZIYE MUNGU NJE YA NENO LAKO, UMECHUKIZEA WEWE NA WANASIASA WENZAKO, USIMZINGIZIYE MUNGU WEWE.

  • @user-fj4mj5gh3i
    @user-fj4mj5gh3i 2 หลายเดือนก่อน

    Ww mama jitambuwe usimchezee mungu umetumwa na shetani .kwani makonda alichaguliwa na wananchi si aliteuliwa na raisi .kikwete je mama je. Mawaziri wake vipi .kikwete je.

  • @user-gh4mg2wn8y
    @user-gh4mg2wn8y 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe bi mkubwa acha njaa zitakuponzaa😂😂😂

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 2 หลายเดือนก่อน

    Hey we go😂😂😂😂😂 eti ni malakla Aise bongo sihami kabisa

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo mungu wako mbona afanyi mwenyewe to akamaliza mambo 😀😀😀🤣🤣🤣wewe ni kizazi cha Ibrahim na umezaliwa Chikongola Mtwara uyo ibrahim anaijua kweli Mtwara 🤣😅😂 Naona na mimi ntaanza kuwa nabii haraka sana

  • @BakariCheo
    @BakariCheo 12 วันที่ผ่านมา

    We muongo mng awez ongea n wew manabii baadh hawaiuw n hadh km hiyo ach uong huko munatak madrk nchii ss n muend t si ktk mitandao kl kanisa ss n sias ty

  • @tinosimon595
    @tinosimon595 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanza Mungu akija hawezi kuja kukuongelesha kwa masaa yote. Dada Mungu ajakuambia sasa nani atakua mkuu wa mkoa wa Arusha. 😅😮😢

  • @beatricemneney7696
    @beatricemneney7696 8 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @abdulmagido5444
    @abdulmagido5444 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akaache kuchukizwa na kugeuzana jambo ambalo alighalakisha umma akakasilishwe na mimea mama akatumwa apeleke upepo kwa watu watakiwawo na watu wake tuwache kumchezea Mungu jamani.

  • @allyomary4230
    @allyomary4230 2 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah ghala nighimatil islam....
    Hii mambo ya Kufunuliwa eti ni MALAIKA, SIJUI ROHO MTAKATIFU na kutuletea Habari za KUTUMWA NA MUNGU, sijui kuona MAGOROFA MBINGUNI....
    Huyu mama alee tu wanae aachane na hizi ndoto za ALINACHA.

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa nao kila siku MUNGU wao anawafunua na kuwavisha vazi jipya. Hahahahahhahahaba

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 20 วันที่ผ่านมา

    Ninyi mnaopinga hayaaaa ya huyu dada hamjitmbui na msipende kupuuza kila kitu Jamn huyu dada sio mwehu

  • @user-po9wi5lh1o
    @user-po9wi5lh1o 2 หลายเดือนก่อน

    Katumwa na vibaraka umeona wapi selikali ikakubalika na watu wote mungu hayupo kwenye selikali zisizo na dini Tanzania hatutaki viongozi vibaraka wapinzani wote hao vibaraka

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 2 หลายเดือนก่อน

    Usitukane nii kweli watu wanakufa hospitali za serikali hwana pesa umaskini ni hateri

  • @FatmaChezo
    @FatmaChezo 2 หลายเดือนก่อน

    Tangu mwendazake aende tunaonamengi namungu akituwekahai tutaona vibweka zaidi😢😢😢😂

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 2 หลายเดือนก่อน

    Yani ulivyosema tu umeona umbo kama la mwanaume na ukamuuliza ww ni nani akasema yey ni MUNGU, hapo tu ndo niuongo wa mchna peupe mungu afanani na kitu chochote

  • @edwardpiniel9925
    @edwardpiniel9925 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio tanzani sasa kwrli kila mtu yupo anajuwa mungu sana ila kivyangu mimi sisrmi kitu ilaa mmmh hii kama vile watu bana

  • @fkirumba1463
    @fkirumba1463 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekusikiliza sana mama nimegundua kwamba maneno hayo yanatoka kingine hata wewe unajua kwamba yanatoka kungine

  • @user-lo3zv3sl8q
    @user-lo3zv3sl8q 2 หลายเดือนก่อน

    Tumesha sahau utanganyika wewe mama wewe 😂😂😂

  • @williammollel97
    @williammollel97 13 วันที่ผ่านมา

    Kwanza umesuka na kichwa wazi

  • @petermabula4492
    @petermabula4492 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna nyakati itafika manabii wa uongo watakuwepo nyakat yenyew ndo haya ya naendelea

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂uwi jaman acheni kufuru kujiita malaika huku mnaziniana kilasiku

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 2 หลายเดือนก่อน

    Mmm pepo shindwa

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

    Nyiye wa Tanzania Bara Hamwishi vituko. Lakini mnawafurahisha walonuna 😂😂😂 na story zenu.

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 2 หลายเดือนก่อน

      IFIE IMANI YAKO ACHANA NA IMANI YA WATU WENGINE USHAURI TU😢😢

  • @IdrisMgumia
    @IdrisMgumia 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa ndio kipindi cha kumrejea Mwenyezi Mungu maana tumekua tukisikia malaika wa mbinguni , kumbe tulidanganywa malaika tunao hapahapa juu ya uso wa ardhi na siyeye tu yeye na wanae.

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mama ingefaa apigwe fimbo hadharani maana anachezea ujumbe wa Mungu ameota ndoto za mchana

  • @user-hq5qx1hu2x
    @user-hq5qx1hu2x 2 หลายเดือนก่อน

    Hata Mimi NIna Jambo langu natafuta wandishi wa habari Niko kasulu vijijini huo ni unyaynyasaji

  • @SHEDRACKKIBOKO
    @SHEDRACKKIBOKO หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmh mama MUOGOPE MUNGU

  • @msenegalimtoi359
    @msenegalimtoi359 2 หลายเดือนก่อน

    Maono yapogo ila usijiite malaika wala kutokewa na mwanaume fimbo hata ramli zakishirikina zinamaono ila utekelezaji ni wa mungu na wale vijana wa arusha pale hamna waizi msibague watu nchi sio yenu
    Waizi wapo arusha tena manyamera kweli
    Na bad waanafanya yao hao waizi ila sio vilevitoto vinajiita vididu yapo madudu sasa

  • @maduhueddy5076
    @maduhueddy5076 2 หลายเดือนก่อน

    Umeota mwenyewe bila shahidi, huyo Mungu hatupi tu shahidi yako? Janja janjaaaaa tu

  • @zahrayusuf5985
    @zahrayusuf5985 2 หลายเดือนก่อน

    Maskini tayari huyu she need help

  • @user-hq5qx1hu2x
    @user-hq5qx1hu2x 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe sio maraika hakuna maraika anaitwa Jamila
    Mungu anasema magufuli aliyemua ni Nani

  • @SalehHemed-zi1ek
    @SalehHemed-zi1ek 2 หลายเดือนก่อน

    Acha ushirikina na mchawi

  • @ProsperMwakasungura
    @ProsperMwakasungura 2 หลายเดือนก่อน +4

    Anamchezea MUNGU. We subiri kitakachompata. MUNGU na wizara wapi na wapi. Huyu anakichaa.

  • @user-cf4cs9qp1k
    @user-cf4cs9qp1k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umetumwa wewe mama!!

  • @shafiijuma840
    @shafiijuma840 2 หลายเดือนก่อน

    Chunguzeni mtakuta ametoka kwenye vyama vya ushirika kama kiongozi maana waziri amewavuruga sana mafisadi naona wameanza kuigiza

  • @blasiustibwakawa6258
    @blasiustibwakawa6258 2 หลายเดือนก่อน

    Dah

  • @tinosimon595
    @tinosimon595 2 หลายเดือนก่อน

    Weee mama ni wa dini gani?? Hivi Mungu katika watu wooote wa Tz, akutokee wewe. Na huyo nikikuangalia umetumwa kabsaaaa. Wewe umechaguliwa na Mungu mtu kuharibia wengine. Umelipwa na mtu usimdanganyie Mungu.

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 2 หลายเดือนก่อน

    mimi wa 1 nakwambia nakaidi huo ujumbe wa mungu. Kwasababu mungu wako ni shetani. Na wewe tunajua kama unawashwa

  • @user-do1pq2uu1c
    @user-do1pq2uu1c 2 หลายเดือนก่อน

    Labda atakua yule mungu mtu wa kenya aliejiita mungu itakua kakujia huyo kukwambia yaani hata biblia yenu inakanusha kua mungu hafananishwi na mtu isaya 41 1

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 2 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi kila mtu nabii wa miungu ya kabila na mizimu ya kwao ww nikichaa ndio inaaza hivo ama mwambie mzee akushughulikie usiku maana kuna tatizo

  • @NGOMELE1976
    @NGOMELE1976 2 หลายเดือนก่อน

    Unachanganya mambo sasa.
    Ukitoa ujumbe wa Mungu usitoe yaliyo yako.
    Sasa yote yanapuuzwa!

  • @kaombwechacha1526
    @kaombwechacha1526 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu Dunia mwisho kua na aibu bas we mama Malaika anazaa kweli mmmmmmm

  • @shamilaalhabsi909
    @shamilaalhabsi909 2 หลายเดือนก่อน

    Watanzania mbona mnaoombea nchi yenu laana siku zimepita huyo hamor kamwita Allah ni mwanamke astaghafiruallah leo kaja sheetani mwingine mwingi mungu kamfananinsha na mwanaume na nyote ni waislam hujamila na hamor rudieni kwa Allah
    Allah hafananishishwa na kitu chochote hana mfano wwt huyo ni shetan kakaa kwenye vichwa vyenu

  • @kalalaseleman
    @kalalaseleman 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama anashida kwani anasema ameota Leo hasubuhi huku anasema mme wake alitaka kuuwawa hapo nyuma huoni kuwa anashida

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 2 หลายเดือนก่อน

    Siasa bhana
    Umeoteshwa siasa peke yake?
    Siku za mwisho kutakuwa na manabii wa uwongo je tutajuaje kama wew ni sahihi

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 2 หลายเดือนก่อน

    Unatuchanganya mama ww unawezaje kujua huyo ni Mungu au ni Shetani? Maana hata Shetani huwa anajigeuza kuwa Mungu yaani ww hapo unahubiri siasa acha kutuaminisha vitu vya uwongo na hisia zako

  • @GIVASDASON
    @GIVASDASON 27 วันที่ผ่านมา

    Watu kufa hata mm niliota