mtumishi wa Mungu naomba kongamano kanda ya ziwa lifanyije Geita tunaitaji sana utume wa Mungu hapa naomba Mungu akuongoze katika kukupa maono ya kufanya kongamano hapa Geita mauaji ya kikatili yamekithiri sana
You have spoken well servant of the Most High God,when the Lord speaks the wise listen,Proohet TB Joshua's kegacy lives on,the gospel is powerful,stoo the killing of albinos,their innicent blood will cry out to God tor justice...Lord Jesus have mercy on us
Kweli Baba Tanzania imekuwa nchi ya Amani sana, lakini watanzania mtiini sauti ya nabii maanake kinywa cha MUNGU kimo ndani yake. Yasije yakawapata mabaya zaidi ombeni sana,, from 🇰🇪🇰🇪
Yohana wa kwanza anasema yesu alikuja ili azivunje kazi za ibilisi mtumishi zilivunjika aliondoka nao yesu alikuja alimvunja ko waganga na washirikina wanatumia vitu vilivovunjika shetani hana nguvu
Me ni Muslim ila namfatilia sana sana mtumishi wa mungu ROLINGA GOD BLESS YOU 🙏
Amen
Amen
Mungu akutunze baba Kwa ajiri ya taifa na watu wote wanao Amini katika Yesu Alie hai
Ameen baba yangu wa kiroho mungu azidi kukuupa maono zaid na zaid
Baba Rolinga na kuomba unisaidie tuombe Mungu asimame sana amina
Amen mtumishi wa Bwana, nikweli kabisa Mungu aturudie 🇰🇪🇰🇪🙏.
mtumishi wa Mungu naomba kongamano kanda ya ziwa lifanyije Geita tunaitaji sana utume wa Mungu hapa
naomba Mungu akuongoze katika kukupa maono ya kufanya kongamano hapa Geita mauaji ya kikatili yamekithiri sana
Mimi pia nimtumishi Wa Yesu Je tunaweza kufanya hiyo kazi hapo gaita??
Ameen hallelujah Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu 🙏
Ameen barikiwa cna mchungaji
Mtumishi wa Mungu ubalikiwe sana amina❤❤🤝
YESU NI MFALME WA AMANI
Ameen Ameen
Thanks prophet rolinga.
Asante nimekubali nipo mbeya
Kweli kabisa Baba🎉
Ameen Mtumishi wa Mungu mungu azidi kukufungulia makuu kabisa ili tuwez kupona watoto wa Mungu
Walio Muuwq Yule Mtoto Walaaniwe na M.Mungu.
Amani, Amani, Ni Yesu Kristo Ameeen
You have spoken well servant of the Most High God,when the Lord speaks the wise listen,Proohet TB Joshua's kegacy lives on,the gospel is powerful,stoo the killing of albinos,their innicent blood will cry out to God tor justice...Lord Jesus have mercy on us
AMEN AMEN AMEN in JESUS name we pray AMEN.
Barikiwa sana kuhani wa BWANA
Mungu atausaidie
YESU KRISTO MUNGU MKUU NA MWENYEZI
Watu wengi atutaki kusikikiliza neno tunapenda miujiza ya hpo kwa hapo mimi na barikiwa sana na baba yangu Rolinga maana anafundisha unaelewa
Kwa jina la Yesu utawale
Kweli kabisa baba yangu prophet SS Rolinga ❤❤👏🕊
Amen❤
Kweli Baba Tanzania imekuwa nchi ya Amani sana, lakini watanzania mtiini sauti ya nabii maanake kinywa cha MUNGU kimo ndani yake.
Yasije yakawapata mabaya zaidi ombeni sana,, from 🇰🇪🇰🇪
Onyo la manabii ni ujumbe wa Mungu tusipozingatia maombi na sala yatatupata
AMEN
Aameen
HILO NI ONYO SIKIENI ROHOO AYAAMBIA MAKANISA
Ameeen
Ujumbe wako mtumishi ni sahihi maana Mungu aliahidi hatafanya lolote bila kuwafunulia watu wake
It's true 🎉
Kweli kabisa
Neno zito sana 😂😂😂😂😂
Ameee
🙌🙌😭
Huo ndio Ukweli mtumishi
Yohana wa kwanza anasema yesu alikuja ili azivunje kazi za ibilisi mtumishi zilivunjika aliondoka nao yesu alikuja alimvunja ko waganga na washirikina wanatumia vitu vilivovunjika shetani hana nguvu
Shetan hana uwerevu tena yesu alimkanyaga kichwa na kumnyanganya mamlaka, ili andiko litimie uzao wa mwanamke utamponda nyoka kichwa .
Kumponda kichwa hakuondoi uelevu ndugu
Umeongea usichokijua rudi kasome tena
@@frankanyandwilemwakatika1059 kipi sijakijua kwan maandiko hayasemi ivyo au
Kasome Ezekiel 28
Kisha jiulize kwa nini Biblia imwite shetani Mungu wa dunia hii
Nyoka kwa Sasa yupo kwenye kichwa Cha Cha Samia msizarau uyu Mama ni kiboko anashangiliwa ata anapo kohoa au kupiga chafyaa😮
❤🙏
Ameen
Ameen